Mnaobisha ni kwa sababu mlishaharibiwa kisaikolojia na watu juu ya UKIMWI na ndio maana hata dada wa watu anapofafanua mnabisha, kama serikari yetu ingepokea taarifa za corona vibaya na kutujaza ujinga tungeogopa sana, kwa sasa china amegundua tiba kisukari na anatibu kabisa hivo Watanzania wenzangu muamke muache ujinga

Dear God futa Janga hili la ukimwi kabisa😭😭😭
😂😂😂
Nyie jidanganye ukimwi ukiongea mdomo ni rahisi ila sio uwe nao.
😂😂😂😂😂
😁 kabisa mwanang
Wasafi mnapotosha maelezo futeni huo ujinga.
Umesikiliza vizuri lakini
@@scholamodestus9386 nimesikiliza vizuri kilichoandikwa sicho kilichozungumzwa. Na kimepelekwa kwenye jamii