KONGAMANO LA KISWAHILI Hotuba ya Abdilatif Abdallah

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025
  • Kongamano la kumi na tano liliandaliwa chini ya kichwa "Kiswahili, Uwiano, Utangamano na Maendeleo" katika ukumbi wa Chuo cha Kenyatta, mnamo tarehe 23 na 24 Agosti, 2012 mjini Niarobi, Kenya.
    Chama cha CHAKITA kimechangia pakubwa katika kuendeleza Kiswahili. Kufikia sasa lugha ya Kiswahili ndiyo lugha ya Kiafrika iliyoweza kupenyeza kwa undani zaidi katika mawanda mbalimbali ya kitaalamu kote Afrika Mashariki na duniani kwa jumla.
    Inatumika katika maswala ya siasa, kilimo, afya, utamaduni, biashara na hivi punde katika kudumisha uwiano, utangamano na umoja wa jamii na mataifa mbalimbali. Kutokana na matumizi haya, lugha hii imekubalika katika nchi nyingi kama lingua franka.

КОМЕНТАРІ • 7