Ni kweli kabisa, Profesa Said Ahmed ni mfano wa kuigwa. Ameandika vitabu visivyopungua 55 na bado kuna vitabu anaendelea kuandika. Huyu utampata kwenye uwanja wa mashairi, riwaya na tamthilia. Bingwa wa uhakika. Mungu akubariki Profesa, na sisi tupo nawe katika kukikuza kiswahili
Kiswahili cha pemba,kina uhalisia wa aina yake,sio Kama cha Mombasa kimetiwa halua na tende.Inkisari kupitiliza "amkwambia" badala ya "amekwambia" "ndoo" badala ya "njoo" Wala sio Kama cha bara Tanzania wanaotamka "th" Kama "z" "r" Kama "l",. "kwa hiyo" badala ya "kwa hivyo" na hitilafu nyingi za kiufundi.Natamani nije Zanzibar angaa wiki moja nipate kusikia wenyeji wakizungumza kiswahili kwa ufasaha.Ukiumwa mwone daktari aliye karibu nawe.

Mungu wangu,laiti ningesheheni thuluthi moja ya uwezo wako,ningekuwa sijui Kama Nini,ahh Mkuu,natamani niwe Kama wewe.
I so love this legend by the name Said A Mohammed 💪💪💪💪💪
Nampeda Said Ahmed Mohammed,Utengano,Asali Chungu,Dunia mti mkavu,Duniani kuna watu..nimevisoma
Kiswahili cha pemba,kina uhalisia wa aina yake,sio Kama cha Mombasa kimetiwa halua na tende.Inkisari kupitiliza "amkwambia" badala ya "amekwambia" "ndoo" badala ya "njoo" Wala sio Kama cha bara Tanzania wanaotamka "th" Kama "z" "r" Kama "l",. "kwa hiyo" badala ya "kwa hivyo" na hitilafu nyingi za kiufundi.Natamani nije Zanzibar angaa wiki moja nipate kusikia wenyeji wakizungumza kiswahili kwa ufasaha.Ukiumwa mwone daktari aliye karibu nawe.
Majuzi mambasa imepatikana sarafu ya 1400....
Walai hapa kiswahili kipo!!!!