Mm leo nimekuja kushare nilicho ota juu yenu wana donta na mm tukiwa mtoni ila sikuelewa ilikua ina maana ngani ,naomba tu msikie mkitilia maanani sawa pia mki kataa sawa ,mm niliota tukiwa mtoni kwetu alafu nyinyi mlikua mnashout movie badae mdada mmoja akaja na mwanae bahati mbaya akaanguka kwa maji akazama nae mwanae akawa analia hapo kando yake ila akuna aliye msaidia alikuwa tu yuwatupa mkono juu asaidiwe ila badae nikaona mmoja wenu donta tv nae ni kelvin amemchukua huyo mtoto akamrusha kwa maji juu alikua analilia mamake baadae yale maji yakainuka juu yakawa yanatukimbiza tulikua ndani tukaelekea juu ila maji yalikua nyuma kidongo tu hivi kila mtu aka frize yaaani watu wakageuka barafu na kusimama ila mm nikaskia sauti kubwa ikiniita ati nichukue mawe matatu but yalikua black na nijipake na pia nyinyi mjipake but after nimejipaka tu nyote mkakua sawa na mkaendelea kukimbia juu ya maji ,ss sikujua maana ya hiyo ndoto ni nn ndio maana nimeamua kushare na ninyi asante ,ila msisahau sauti ilitokea mbiguni subhannah allah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 tuzidini sana kuomba na tusiache swala dunguzanguni

Amen🙏🙏🙏🙏
Amin
Loveness nakupenda bure🎉🎉❤❤❤❤❤
Ila hapa kunambi nimekupenda msinamo wa nguvu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hhhh weee ni move 2 hana m2 ana kumiminia nyungu vile afu uvumilie duh Tina ww ni kiboko unajua kuichezesha
Ujue tina piss kali sana sema nyie hamjui tu I.....you so much.
Loveness na brown mnaendana sana
Nitizame. Kwa makiniii😅😅😅
Marafik wengine si wazur. we Tina noma Kwa kugombanisha
Nakupenda dada tina❤❤❤
Nimeipenda❤❤❤ nzuri sana
Much love from Kenya guys like back❤❤😂
We Tina na kupendaga sana kwa izo scene zakugombanisha watu unawezaga sana ❤️🇧🇮
Chukuwa mauwa yako loveness🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Ka loveness ni Kamwanamke kazur ka asili jmn ❤
Tina kimekulamba 😂😂
Loveless ukiambiwa elewa plz
Loveness hayo mambo yapo
Loveness msikilize Mme wako
Tina kumbe viuno umo hongera😂❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza kabizaaa...niko hapa nairobi....likes zangu hata 100
Saa 😂😂hapo unamulilia nani😂😂😂😂
Kunambi kula nyama nyamanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Filamu nzuri kabisa hivyo njo mwanaume apashwa kuwa na musimamo.5/5.
😂😂😂😂😂 hivi vituko vya tina sisiku moja mumuhoji na yeye ataji express vipi
Jamn nauyo Tina Kila muv anaiba mume wa mtu 😮
Uyu Tina itakua kazoea kutembea na shemej zake
Nawakubali sana wanadonta tv kazizenu nizuri nawapendasana
Lovenesse wewe utayaona baday subiri 😮😮😮
Congratulations 👏 much love from 🇰🇪
Kenya Watching, twapenda. Mpokee maua yenu 🎉🎉🎉
Jamani wee tina mtamuuu,,,,,aa we acha 😅😅😅
Good job.kunambi😂
Jamani story nzuli Tina najuwa kuceza jamani
shemejiiii tinaaaa😅😅😅😅
Laveness unaweza jikaze ùtafikambl nduguyang
Shemeji ni mboga😋🥰
Oyooo kafukuzwa na mabegi yake 😅😅
Duh umelimwag dad adi medisa uku😅😆🤣
Tina watingishia shemeji tako😂😂😂ila nakupenda xnaa🎉🎉🎉
Rudi umalizie movie kwanza 😂
Loveness fumbua macho umtoe huyo kahaba
wakwaza mimi like zagu
😂😂😂nimechekaaa Hy Dad anamauno hmm hrtr😅
😂😂😂😂 jamani shemegi umeua sana
Du wadada kunamuda tuwaamin waume zetu arafu rafik zetu ndio adui zetyuuuu duuuuu😂😂😂😂😢😢
Love ni mwanamke mwenye kumfanya mwanaume ujisikie amu yakuwa nae mda wote mkiwa kwenye maandalizi ya mapenzi
Lovenes pamoja na Tina wanashawish sana
Kabisaaa
Loveness si mwanaume wako ana gubu kula chuma hicho
Loveness usilie lijua nisawasawa na usiku wa giza 😂😂😂😂😂😂hata mumeo amekwambia ila wpi tina kazi unayo dadangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duh msambwanda
Shemeji amekupenda kunambiiii😂😂😂
Brown kwa nn usimrecod ukamshikisha haya loveness??
Brown ulikua namsimamo kwa loveness, ivo ndoinatakikana
Lavnes nakubunda sana❤❤❤❤
Tina miss you ❤❤❤ sikunyingi mamboyako nihatari😂😂😂
Tamuyako tina 😂😂😂
Best movie❤❤
Wanaume wa namna hii mbali na kuwaona sikuwahi hata kuwasikia huyu ni kwanza.....
Kesho yangu jamani
Nimeipenda sana ntajtenga na marafki wanafk
Mmejuwa kumkomesha
Yawezekana ndo kazi unawezaka iyi tina yakukula wanaume zama rafiki zako kila mouvie uko na mume wa rafiki yako ???? Nakupaenda tina
Love anaongea na malafu mdomo wake unaongea mala mbili jicho namkubali kifupi
jamani like zagu please
Maamuzi yako loveness mazuri sio kucheza na hisia zamtu
Sasa km unakaa na mwanaume halafu humuamini s bora uishi mwenyewe2😂
Natamani sana nifanye collabo na nyie
Laviness una weza mama 😂😂
Ubishi huo utakuja kuuponz😂
Iv ukill nae unambakisha kweli na loveness alivyo pis kinoma aje chunga aone kulivy na ukame
Kwanz mim kuigiz ctowez
Yan hivyo alafu nimuache oya weee mim kuigiz pita kule
Makumbwa hayo
Et shetan kampitia sijui shetani Yuko wap hapo
Huyo Tina niwakawaida sana sema dera lake ndoozur kweli
Fukuza huyo kahaba
😂😂😂😂😂😂😂
Jamani sheneiza mbona haonekani mmemutowa au 😅
Tina umepunguza kusuka enzi za kijana tajir na dada wa kazi ulikuw unawak ila ni mrembooo
Brown muda mwngn ni mwanaume jaman , vjana muige au aigwe na jamii
Nimeipend
Yup pmji 🎉
❤❤❤❤❤❤❤
Ila badilisheni location ya nyumba na Kila kitu
❤❤❤❤❤🎉
Hiyo house 🏠 inakuwaga na mkosi gani? Hata kelvin alifukuzwaga hivyo hivyo kwa hiyo house 🏠😅😅😅😅😅😅😅😅
Tatizo sio nyumba Bali vile series ilivyochezwa.
😂😂😂umenichekesha😂😂😂
@@IreneTPamphil hata mm nilicheka tu kama wew sema Hawa watu wanatupa burudani bwana
❤❤🎉
Wahuni si watu wazur wangekuwa walisha pita nae😂😂 wanawake wa kiafrica bado awajui kutega
XD 🇲🇿🇲🇿🇲🇿💯💯🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉❤❤
💙💙💙💚💚💚👍👍👍
🎉🎉🎉🎉
Hahahaaaa love nesss
Leo mmetumia kamera ya tekno ama
Ata we umeona eeh😂😂😂
Tulitumia Simu yangu
😂😂😂😂😅
Mimi ni director wa music na film ingawa bado sijapata jina ila bado napambana kiukweli mnafanya kazi nzuri sana. Channel yangu inaitwa menady tv
Nakufuatilia sana uko vizur san nakukubali
Mwanaume wanaona hiyo sijawahi kuon
Tina unavituko weee😅😅😅
🎉🎉
Ila Tina wewe
We brazameni nini wewe luka nae tu.
Tulia mrembo changu sum
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kunambi kula huo mzigo la sivyo utakosa yote
Wanaume wa iv wako wap
Mimi huyo mbona 😂😂😂😂
Laves nae mbishi