Thanks mama for going deep into teaching the 4 temperaments....Napenda sana hili somo nilishawahi alikwa kulifundisha sehemu fulani huko Tanzania...jamani sanguines wenzangu mkono juuuuuuuuuuuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅...Much love from Kenya mchungaji Kimaro and mama Kimaro
Ziba masikio usisikie mwaya, wenzako tuache tupone kupitia shule hii ya maana, tujue tumechemsha wapi na jinsi ya kutoka, endelea mama Mchg mimi napona mwenzio
Ni kweli mama tunashukuru sana kwa somo hili hata Mimi nimesema Psychology, guidance and counseling. Changamoto ni pale mke anapokuwa choleric, mume hamwelewi anaona anamu -overpower, hawa wanasaidiwaje. Mume aliyeoa Choleric anakuwa so insecured. What to do about this.
Shida iko kwenye unapokuwa umepata ndio kawaida utakuja mbele ya wengine kuwaambia kuwashuhudia eti tumetoka kwenye hatukuwa na kitu tulianza kwa shida, tukalala nja tukala kavu!! Duuuh tuacheni wengine tuko kwenye maumivu! Ushuhuda wakwako sio na wa wengine!!

MUNGU wa Ibrahim azidi kuwabariki na kuwatunza ❤🎉🎉❤🙏🙏
Ahsante sn Mama kwa Maneno ya Hekima sn,,Mungu Azidi kuwatunza kila Siku ❤❤🙏🙏
Barikiwa mama angu mzuri unahekima mpk Raha ubarikiweee sanaaaa
Amina Mungu awabariki sana namtukuza Mungu kwa ajiri yenu ❤❤
Yes mama mchungaji. Hongera sana. Mimi mwenyewe c. Watu wengi katika Jamii hawawaelewi.
Hongera sana, Mama mchungaji, ubarikiwe pia.
Hongera sana❤❤
Asante nimejifunza kitu ma mchungaji
AMIN
Wonderful
NO SURRENDER NO RETREAT
Fabulously
AMEN barikiwa Mama ❤
Uwe na maisha marefu mchungaji mwenye maono
Mwenyezi mungu awabariki
Nawapa Hongera sana Mungu awabariki na kuwalinda
Hongera sana mama ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ameen Mungu akubariki mama Mchungaji
yaani mama kimaro umenipa nguvu sana ya kusonga mbele
Mungu ni mwema hakika😊
Mungu awatunze
❤❤❤nawapenda sana katika Bwana
AMEN 🙏
Ameeeeeeeeeeen ameeeeeeeeeeen👏🏻👏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻
Ameen
Ziba masikio usisikie mwaya, wenzako tuache tupone kupitia shule hii ya maana, tujue tumechemsha wapi na jinsi ya kutoka, endelea mama Mchg mimi napona mwenzio
Ushuhuda mzuri
Ni kweli mama tunashukuru sana kwa somo hili hata Mimi nimesema Psychology, guidance and counseling. Changamoto ni pale mke anapokuwa choleric, mume hamwelewi anaona anamu -overpower, hawa wanasaidiwaje. Mume aliyeoa Choleric anakuwa so insecured. What to do about this.
Mimi najua tu kina Sanguine wasivyo na misimamo kumbe Choleric ni shida hivi saafi sana
Amina
Hongera kwa elimu mama ndo maisha
Mungu azidi kuwatunza watumishi
Mungu amewafanya kua baraka kwa wengi na azidi kuwatunza kwa ajili ya vizazi vingi mbele
Mungu awabariki kwa uvumilivu mkubwa
Aminaaa
Kuna uyo mama mweupe kakaa hapo ana enjoy kama yupo ana wach cheka tuu
Baba mchungaji tunampenda maubili mama tuponawe kumuombea azidi kuwa na mafuta mabichi
Vipi kuhusu sangwin ? Nawapenda bure familia ya mchungaji eliona
Mungu awatunze❤
❤❤❤❤
Na uko na bahati mama mchungaji
Aisee nimejua sasa Mke wangu ni Colleric jamani maana duuu hizo mipango anazonipaga ni za hatari hatari sanav
Xubir corelic n jina la mtu au sifa za mtu
Aina ya watu
Natamani sana haya masomo muyarudierudie ya koreli,sangwini merankiri au mtoe vitabu
Apart from Mchungaji ni Mchagga
Shida iko kwenye unapokuwa umepata ndio kawaida utakuja mbele ya wengine kuwaambia kuwashuhudia eti tumetoka kwenye hatukuwa na kitu tulianza kwa shida, tukalala nja tukala kavu!! Duuuh tuacheni wengine tuko kwenye maumivu! Ushuhuda wakwako sio na wa wengine!!
ndomana anashuhudia ili muelewe maisha yalivo, shida zako sio na za wengine 😊
Anataka tulio chini tusife moyo, tupambane ili tufanikiwe. Pia tunajifunza kwa waliofanikiwa siyo kwa walioshindwa
@@mbokamtafya535 very true
@@nancyg8664 asante momy
Mungu awatunze
Mungu awatunze
Mungu awatunze