REV. DR. ELIONA KIMARO: AMSALITI MKEWE BAADA YA KWENDA KUSOMA MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 4 місяці тому +3

    Napenda mahubiri yako sana yatanibadilisha amen

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 Рік тому +8

    Waaaa ,hii nikama yangu ,, tuu ,but I thank God niko kazi ,watoto wangu Wana soma

  • @SubiraNgwangi
    @SubiraNgwangi Рік тому +1

    Mimi nimekuwa mwananafunzi wako Asante umeniinua kihuduma Sana ubarikiwe mno Mungu akutunze

  • @emmanuelminja6179
    @emmanuelminja6179 Рік тому +11

    Nakupenda sana Mke wangu Heavenlight Mungu akubariki sana kwa unavyotujali ,Mungu awabariki na watoto wetu

  • @marympango9247
    @marympango9247 Рік тому +4

    Dr..Eliona yaan duuh..mm namshukuru mungu nimekua sugu gafla... Yan mwanaume haniumizi kabisa...

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 Рік тому +13

    Duuuh,, Ahsante Mtumishi kiukweli wanawake tunapitia mengi na tulio wengi tumeshaumizwa sana na wanaume tuliowaamini,, ahsante kwa kututia moyo 🙏🙏

  • @Bright__4
    @Bright__4 Рік тому +2

    Nimejifunza kitu kikubwa , God Bless You Pastor for this sermon

  • @yohanamasweko915
    @yohanamasweko915 Рік тому +7

    Mwanamke ni mtu muhimu sana ktk maisha ya family lakini simameni ktk nafasi zenu MUNGU atawainua sana ingawa mnapitia magumu lakini MUNGU yupo upande wenu.

  • @agnesmangale3163
    @agnesmangale3163 Рік тому +3

    Watu husahau fadhilaa....Lakini Mungu halaliii.. Amen halleluyaa Amen...

  • @mwanzajosephine468
    @mwanzajosephine468 Рік тому +4

    Mungu nirehemu mimi n wote tulio duniani tuepushe na yule mwovu ubarikiwe baba kimaro

  • @anaelsdaughtercathydaughte7926

    mchungaji napenda Sana mahubiri yako Mungu akubariki Sana

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 Рік тому +7

    Ukifanya ubaya lazima ulipe gharama. Mungu Huwa hakosei. Upandacho, utavuna

  • @maikovineventscompany1180
    @maikovineventscompany1180 Рік тому +7

    Nakupenda Mke Wangu christina Michael. Haijalishi nini tunapitia nitakupenda daima milele Na ujumbe huu itaishi milele Na kuwa kama kumbukumbu yetu ❤ bila kusahau watoto Wangu nawapenda sana na Mungu atusmamie maisha Yetu yote 🙏🏻

  • @abdulllyhussein3224
    @abdulllyhussein3224 Рік тому +4

    Somo zuri pastor MUNGU ATUREHEMU SANA JAMAN
    😭😭😭😭

  • @sia4867
    @sia4867 Рік тому +7

    Ila mumewangu Samwel ,Kwa ulichonifanyia kwenye maisha yangu,kila chozi langu na kila jasholangu Atanilipia Mungu.

    • @siakiwelu3007
      @siakiwelu3007 Рік тому +3

      Pole sanaa dada Mungu atakusaidia tuu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому +3

      Pole saana

    • @sia4867
      @sia4867 Рік тому +1

      @@trophywilson7211 asant dr

    • @sia4867
      @sia4867 Рік тому

      @@siakiwelu3007 Amen

    • @jeangodelo5349
      @jeangodelo5349 Рік тому +3

      Pole sana dear muombe sana Mungu amini hajakuacha yupo upande wako, tupo wengi tunapitia hayo,, lakini yote kwa yote tumuombe Mungu bila kukoma 🙏🙏

  • @ahungu4677
    @ahungu4677 Рік тому +5

    Tatizo huwa tunasikiliza kwa mihemiko. Mengi ni ya kutunga. 1. Kumsaliti mke sio lazima kwa Mwislam hata kwa Mkristo mwenzako. 2. Huyo mwanamme angetaka kumwoa huyo Rukia angemwolea huko huko Marekani. 3. Wakati wa kurudi Tz haikuwa na lazima ya kumwarifu mke aliye msaliti. Angekukuja kimya kimya. 4. SWALI, hivi MSOMI wa Masters asijue kanuni za kurudi Marekani tena. Mchungaji mwogope Mwenyeezi Mungu SWT ACHA kuchapia!

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 Рік тому +1

      Hadithi ya kutunga, miaka 15 iliyopita? Kwa Gharama za Chuo ulaya hiyo mke alikua na kazi ipi yenye uwezo wa kulipia Chuo Ulaya?

    • @rahmambugi1950
      @rahmambugi1950 Рік тому +1

      😂😂🙌🏾 hatamimi nimeliona hi ilo apa timepigwa na kitu kizito, sema nini yeye mchungaji alitufikishia ujembe tuwe wa aminifu katika ndoa zetu sema namna ya kutufikishia kidogo katereza kwa msomi wa masta asijue prosese za kulud malekani niishie hapo

    • @edwardphhodoho7430
      @edwardphhodoho7430 Рік тому +2

      Tumepigwa na chuma cha pua,,🤣🤣

    • @gibajr1569
      @gibajr1569 Рік тому +4

      Umewah safiri ndugu, ukijikanyaga kwenye maelezo tena marekani Visa hupati mzee kumbka before alienda kwa ticket ya kusoma this tym around itakua alizngua kwenye maelezo visa unakosa kwa marekani iyo kukosa ni simple saana rafiki

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 Місяць тому

      Hapo Mchungaji hajamaanisha kuusema uislam hapo anaongelea USALITI siyo udini. Tuwe tunaelewa mifano, hata wakristo ni wasaliti vile vile huo ni mfano.

  • @everlinekemunto267
    @everlinekemunto267 Рік тому +6

    Kwa kweli Dunia inayo mengi, ee yesu turehemu

  • @kelvinkyando3409
    @kelvinkyando3409 Рік тому +3

    Mungu naafanye njia kwa hiki kinachoendelea

  • @sia4867
    @sia4867 Рік тому +63

    Baba huyo dada ni Mimi kabisa,,Mimi mumewangu nimetoka naye mbal san nimepoteza kila kitu kisa yeye nimepoteza mtaji wangu wote kisa yeye,,nimezaa naye watoto 3 ,,,Ila Alichonifanyia Mungu Anawaona nimeondoka haijaisha miez 2 kashaowa tena kaolea palepale ndan kwangu,, Roho inaniuma Sana yaaan Akil bado hazijanikaa Sawa Nakwambia Mungu anilipie kila siku , kwasababu Ameniumiza Sana moyo wangu nikiangalia watoto bado wadogo wote,,,Kanifanya nimekosa Aman ya kuendelea kuish hapa duniani niombee Baba Tafadhal.

    • @annehk8185
      @annehk8185 Рік тому +3

      Sasa mwenzangu umeondoka ukaenda wapi kama unampenda mumeo?

    • @messiasulleydidy2585
      @messiasulleydidy2585 Рік тому +5

      Mungu Hajakuacha tangu Jana,, Leo, kesho., na hadi milele

    • @sia4867
      @sia4867 Рік тому +3

      @@messiasulleydidy2585 Amina

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 Рік тому +4

      Mbaya nikuchepuka lakn kma ameoa hyo sio shda we muombe Mungu akupe subira uishi na Mumeo madamu hajakuacha

    • @sia4867
      @sia4867 Рік тому +3

      @@saidmadizi9152 asant dr Kwa kunitia moyo nimekupend Sana mpaka nimetabasam Kwa mara ya Kwanza.

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 Рік тому +1

    Amen kwa kweli mafundisho yako Mungu akubarki sana

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому

    Pst. Uncle Mungu akutunze

  • @mankaben
    @mankaben Рік тому +1

    Mungu atakuvusha my dia

  • @hurumamangula3027
    @hurumamangula3027 Рік тому

    Baba Asante kwa somo zuri sana Mungu akubariki

  • @munyaburangacharles7415
    @munyaburangacharles7415 Рік тому +2

    Ubarikiwe muchungaji

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 Рік тому

    You did a great thing today

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 Рік тому

    Daa mchugaji nakukubali sana barikiwa

  • @muna1165
    @muna1165 Рік тому

    Nilikua nakupenda sana Mimi ni muislam safi tu maranyingi huwa naangalia mawaiza Yako lakini kwa Hilo Sina mapenzi tena nawewe

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 Рік тому +2

    It's very painful...

  • @othmanmapunda2310
    @othmanmapunda2310 Рік тому

    Dr kimaro upo vizuri mawaidha Yako yanaingia kichwani nakuombea kwa Mungu

  • @marianlemomomasia5499
    @marianlemomomasia5499 Рік тому

    Mungu atusaidie sanaa wanawake 🙏

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 Рік тому +9

    Kweli mwanaume sio kiumbe cha kuamini hata kama mwanamke ana hela kuliko mwanaume usijichanganye ukamuandikisha mwanaume mali zako itakula kwako

  • @renamwasenga5294
    @renamwasenga5294 Рік тому

    Ubarikiwe mtumish wa mungu

  • @rizikiantwanette6081
    @rizikiantwanette6081 Рік тому +2

    Mungu Akuzidishiye karama mchungaji unayo fundisha ni mimi kabisa nikama Mbingu zilikuzungumuziya ingawa majina nitofauti kiliyo cha myaka tatu baada ya myaka ishirini na mitatu Mbingu Ndizo ziliniokowa nilipo taka kunyongwa na mume niliye jitoleya ili awe kama wanaume wengine.

    • @stanleymsenga9820
      @stanleymsenga9820 Рік тому

      Poleni Sana wa Mama mlio patwa na hizo changamoto ya ndoa MUNGU atawafuta machozi yenu kwani yeye ni mwaminifu cku zote hata waacha kamwe, ombeni kwa Bidii

    • @regnazakariaelia
      @regnazakariaelia Рік тому

      Mungu ww peke ako watosha Kila chozi ni mbengu chozi huwa linaandika 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @joyceallan2758
    @joyceallan2758 Рік тому +4

    Eee Mungu unikumbuke na mimi

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 Рік тому +2

    Asante sana kwa kuwajua wanaume walivyo na roho mbaya

    • @maurinekastuli8998
      @maurinekastuli8998 Рік тому

      MUNGU akuinue zaid na zaidi mtumishi wa MUNGU namshukuru sana hii itaendelea kuniimarisha nawewe ni majibu ya wengin amen

  • @sausterchelela3522
    @sausterchelela3522 Рік тому +6

    Mungu tutetee tu maana duniani tunapitia mengi

  • @esterminja9374
    @esterminja9374 Рік тому +2

    Da! Mungu turehemu

  • @reginakahesi3126
    @reginakahesi3126 Рік тому

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa ushuhuda

  • @violetwinluck4885
    @violetwinluck4885 Рік тому +2

    Mungu ututetee

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 4 місяці тому

    I love you Kwa mafundisho

  • @SuzanMrangu
    @SuzanMrangu Місяць тому

    Stella wangu

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 Рік тому +18

    I love my kids and my wife, thank you God.

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому +2

      Hongra Mungu akubarki akupe Afya njema uzidi kuwatunza watoto wako na mrembo wako

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 Рік тому

      @@consolatamedard6593 Asante sana dada angu.Mungu akubariki pia wewe na familia yako.

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому +1

      @@godfreydavid6996 Amen 🙏

    • @annamjata1830
      @annamjata1830 Рік тому +1

      Dar yamenikuta mm mungu nitiee nguvu

    • @afiamsangi3717
      @afiamsangi3717 Рік тому

      akurudishe tunamisi ukweli aachana na wanaficha maukweli

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +3

    Daaah inauma sana Ndyomana nampenda Baba angu sijawai muona akimfanyia unyama wowote Mama angu

    • @happynessmathayo3278
      @happynessmathayo3278 Рік тому

      Nampenda sana baba yangu Mungu akutunze jinsi ulivyomtunza mama yetu na sisi wanao

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 Рік тому

      @@happynessmathayo3278 Hatuna sababu ya kumshukulu Mungu kwa kutzawadia Kina Baba wazur kiukweli Mm nampenda Baba

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 4 місяці тому

    Mchungaji Mungu amekuleta kwa wakati mahubiri yako yamenijengea imani kubwa kwa Mungu anayetenda KWA WAKATI

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Рік тому

    KATIKA maisha HAYA USEMI WA TUMETOKA MBALI HAUNA Tija ikiwa mtu alikuwa na wewe kwa sababu ya shida tu. Hakuwahi kukupenda🥲🥲

  • @lesusi7872
    @lesusi7872 Рік тому +2

    Ndo wengine tunayopitia mungu utuvushe

  • @mzizirashid709
    @mzizirashid709 Рік тому +4

    Mm nisingemchukua Tena Ndugu Zake Walioniimbia Taarabu ndio wangeenda Kucheza na Singeli 😂

  • @doramoshi6340
    @doramoshi6340 Рік тому +3

    So sad

  • @dorakiyao4509
    @dorakiyao4509 Рік тому

    Uwiiiii Mungu wangu,

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 Рік тому +3

    Eee Mungu tukumbuke wanawake, jibu maombi yetu wamama.

  • @violetwinluck4885
    @violetwinluck4885 Рік тому +2

    Hui

  • @ibrahimmwamgohiganga6763
    @ibrahimmwamgohiganga6763 Рік тому +1

    Hii haipo kwa upande mmoja tu,ni vile likitokea kwa wanawake huwa dunia nzima inaomboleza.Wanaume wangapi wamefilisika kwa kuwawezesha wanawake na wanapopanda viwango huwaacha ushagoo?

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 Рік тому

    Dah!!!... Aisee

  • @samsonisaack5145
    @samsonisaack5145 Рік тому +1

    Amen

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Рік тому +2

    Wanaume tunatakiwa tuishi nao kwa akili yaani mimi huwa najiuliza hawa watu kwani wameumbwaje Mungu alisahau kuwaekea huruma ndani ya mioyo yao maana Wanaume wengine mnyama ana afadhali

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +6

    Kweli mshahala wa dhambi ni mauti, Mungu uturehemu 😭😭🙏

  • @vivienshubi8746
    @vivienshubi8746 Рік тому +1

    Hii imenigusa sana kuachwa kubaya saana! Tumwangalie Mungu tu atatutetea

  • @annekaranjandigaconoka860
    @annekaranjandigaconoka860 Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @venantimapunda630
    @venantimapunda630 Рік тому

    Munguataletaneema

  • @janethmagita6297
    @janethmagita6297 Рік тому +5

    Afu bado yanaambiana eti usisomeshe mwanamke haya huyo aliyesomeshwa ni mwanamke au

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Ajabu

    • @paulmapunda887
      @paulmapunda887 Рік тому

      Wanaume Ni binadamu kama wewe siyo madudu pamoja na mapungufu tuliyonayo. Kwa hiyo nakuomba usitumie kauli ya " yanaambiana". Asante kama umenielewa.

  • @hamurabani5386
    @hamurabani5386 Рік тому

    Amina

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Рік тому +2

    Mbuta! Hamna rangi angeachaona

  • @JudithKimambo-dd8kl
    @JudithKimambo-dd8kl Рік тому

    Mjukuu eliaichi scarlet. Kabatizwa

  • @sonywajustus
    @sonywajustus Рік тому

    Ndio maisha ya kina mama siku hizi
    Tushaa zoea
    Ndio tabia za wangu wa siku hizi
    Wapandacho watakihuna

  • @macklinakabyazi3036
    @macklinakabyazi3036 Рік тому +3

    Mungu analipa kwelikweli nyie

  • @shujaaprosper2892
    @shujaaprosper2892 Рік тому

    😭😭😭😭 Daaah yesuuuuh

  • @ajestaajesta5057
    @ajestaajesta5057 Рік тому +2

    😭😭😭😭😭

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому

    Ameni

  • @LaurenceNdosi-yi5es
    @LaurenceNdosi-yi5es Рік тому

    kijitonyama evening class20.3.2023

  • @severaminja7406
    @severaminja7406 Рік тому

    Mchungaji hata wanawake wapo tena wanaumiza kuliko maelezo Mungu tusaidie

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 Рік тому

    E mungu tusaidie wanawake tunayopitia ni magumu

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 Рік тому +2

    😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔

  • @demetrianangela7793
    @demetrianangela7793 Рік тому

    Mh!!!!!!!!!!!! Apaaa ndenga😳🤔🙌

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Рік тому

    Wanyakusya Basi la Rungwe Mchungaji katoa ya mwaka 2022!

  • @muna1165
    @muna1165 Рік тому

    Nitabia mbaya sijapenda kwa sababu waikristo pia ni wasaliti kuwa msaliti sio dini Bali ni tabia yamtu sivyema kuikashifu dini ya mwengine jifunze Hilo

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Mbona wamesaliti wengi tu??

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Waambie Visa ni ya muhimu huko Marekani kwa kweli

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 2 місяці тому

    Wala hajakashifu dini anaongelea jenero tu

  • @GloryManueli
    @GloryManueli 5 місяців тому

    Amekashfu vp,kwani km ni kweli ni muislamu kun shida gan!

  • @edithapaul4222
    @edithapaul4222 28 днів тому

    Bora ukutane na ajali ya gari kuliko ya mahusiano au ya ndoa.

  • @robartlukata2932
    @robartlukata2932 Рік тому

    Hunger sana mchungaji kimariyo

  • @wemambonge6256
    @wemambonge6256 5 місяців тому

    Mawifi vigeugeu hatari. Hawafai hata bureee

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 Рік тому

    Aseeee malipo Ni hapa hapa kaaaah,na huyo dada n mtumish wa Munguuu.... Ukingusaa masih wa bwan ndo malipo hayo

  • @angelmkini1508
    @angelmkini1508 Рік тому +4

    Ndio yaliyonikuta mimi kabisa hakuna tofauti

    • @frankcharles2483
      @frankcharles2483 Рік тому

      Pole angel

    • @jeangodelo5349
      @jeangodelo5349 Рік тому

      Duuuh 🙆🙆 wanawake tunapitia mengi jamaniiii 😥😥

    • @emmanuelsanga7363
      @emmanuelsanga7363 Рік тому

      Tatizo wadada wengi wanaolewa bila kupata mafundisho sahihi ya namna ya kuishi na mume

  • @michellekarisa5099
    @michellekarisa5099 Рік тому

    Nimejifunza mabo

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 Рік тому

    Tulio Kuja hapa baada ya kuckia kasimamishwa like tujuanee,😅

  • @fulgensiakweka658
    @fulgensiakweka658 Рік тому

    AbrahamMaslow

  • @godfreycheyo3396
    @godfreycheyo3396 Рік тому +2

    Ni mhimu kukumbuka tulikotaka

  • @muna1165
    @muna1165 Рік тому

    Jifunze kutoa mawaiza Yako vizuri sio vyema kuikashifu dini ya mwengine

  • @titohaule4758
    @titohaule4758 Рік тому +2

    Hapana hata wana wake wana tabia hiyo akifanikiwa kipesa au kielimu atakuacha wewe ambaye uliye msomesha na kwenda kwa mwanaume aliye kuwa na pesa au Elimu na Atakudhalau sana wewe uliye msaidia kufika hapo alipo

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому +2

    MAWIFI NI CHANZO CHA KUCHOCHEA UGOMVI WA KUACHANA WANANDOA.

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 Рік тому

      Mawifi wengine wanakuonea wivu utazani wanataka kulala na kaka yao

  • @carolinemae2531
    @carolinemae2531 Рік тому

    Mchungaji kwa Sadalaaa kule kwetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏

  • @maryoswad7022
    @maryoswad7022 Рік тому +1

    Huyo mke alikuwa na moyo mkuuu

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 Рік тому

    Wakati mwingine unajiuliza kama kuna haja ya kuhangaika na wanaume!!

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Рік тому +1

    Dada naye pumbavu

    • @annehk8185
      @annehk8185 Рік тому

      Eti kauza viwanja vyake😂😂

  • @julianalaurent664
    @julianalaurent664 Рік тому

    Duuuu kumpa mwanaume moyo upumbavu

  • @neemamatey
    @neemamatey Рік тому

    Mshahara wa dhambi ni mauti

  • @hurumamangula3027
    @hurumamangula3027 Рік тому

    Ha ha ha wanyakyusa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому

    NDY UPUMBAVU WA WANAUME HUWA WANASAHAU WALIKOTOKA.

  • @saadamasabali7582
    @saadamasabali7582 Рік тому

    Story ya kutunga huisha hivyo 🤣