Yani asaivi mbona radio zao awatuoni tena ❤ ilove crown fm❤
Jamani naitwa sila kutoka marekani arizona phoenix naomba kupata tisheti ya CROWN MEDIA
Mimi nawafatilia nikiwa south Africa 🇿🇦💪
Nawapata sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
From green city mbeya tuna wapatavyema 🔥🔥🔥🔥🔥
Juma matampy ayo kaka umetisha na mmetisha sana
Niko nafuraha Sana watching from Kenya mombasa
Naenjoy sana kuwapa muda wangu, from Kigoma🎉🎉🎉🎉🎉
Noma sana chapeni kazi,kazi hiendele
From NATIONAL MWANZA, TANZANIA Crown Media ni wa motooo
wa kwanza jamani naona like hii ni redio yetu tuisapoti kwa hali na mali....
Nawapata nikiwa songea mjin crown media 👑 hapa ni nyumbani
Nmewapata vyema nikiwa mitaa ya kigamboni crown 92.1 ❤
Salute from Mozambique
Daaah Mpak Raha Kweli Mnajuw❤🎉
Yani tüme wa Subiriya sana Australia yani na enjoy sana siyo siri muko navipaji
Asante king kiba kwakutuletea crown media iliyoshehen watangazaji bora kama kikeke hans rafaely moja kati ya wachambuzi bora kabisaaa asante king
Mm nimefurahi sana kuhusu mamuzi simba kumwachiya chama kwamana chama hawezi kuwa mkubwa kuliko club wamefanya vizuri kumwachiya
Ninampata sana vizuri kutika Mocambique
Crown hapa ni nyumbani🎉
Hii radio ni ya moto itakuwa kubwa san
Nakubali sana
Nawapata vizuri sana toka Göterbog sweden
Crown vipindi vipo vizuri sana ila kipindi cha magazeti msikikisahau
Tuko pamoja hapa ni nyumbani from zanzibar
Yaani apo kwenye watu wa msumbiji na Mimi pia nikiwemo. Crown FM, mko vizuri Sana
Nakubali sana crown mmko on fayaaa
Kutoka Ara chuga nawapata vyema , hapa ni nyumbani
Mambo mzuri Grown
Nawafatilia nikiwa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 nimefurahi sana nawatakia Kila lakher
Kazi nzuri
Nawapata nduguzangu nikitokea Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Crown hapa ni nyumbani
Natafina popkon to hapa sina wasi
Yan simba wakomae na Elie Mpanzu yule ni mtu ndugu zangu,yan yule ni zaidi ya mayele au wakamechi uwezo
Nawapato toka rusizi borda nchini Rwanda
❤❤❤❤❤
Hapa ni nyumba mathias kinondoni
Crown 👑 nipo Mozambique 🇲🇿
🔥🔥🔥🔥
Haaaaa me nachekatu 😅😅 wakimbizeni hawo, hiiiiiih nihatari yeeeeeh babaaaaah
Mm nawafutaliya nikiwa london uk kipindi kizuri sana
🙌🙌🙌🙌
Naenjoy sana kipindi Cha joga bonito kutoka Mocambique
Sound nzuri sana
Mpo vzur frm mbeya
Naangalia nikiwa dubai
Wow
Joga bonito
🎉🎉🎉🎉❤
Nisiposkiza iki kipindi siwezi kupata uzingizi
Nakubali😊
If you like it Crown it
Ududuuuuh
Kipindi kizuri mutuchambulie n a michuano ya euro
Moshi Kilimanjaro tupo pamoja
Huyo Jeff ni kilaza
Nawapata nikiwa mozambique
👑👑👑👑
Crown🔥🔥🔥🙌
Hongereni 🎉🎊
Nzuri sana,❤❤❤❤❤❤❤🎉
❤❤
𝐂𝐮𝐫𝐭𝐢𝐧𝐝𝐨 𝐚 𝐩𝐚𝐫𝐭𝐢𝐫 𝐝𝐞 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hapa ni nyumbani nawafatilia nikiwa Qatar 🇶🇦
Ok ok
Dalí shubinji safi sana
Unyama Sana
Nipo south Africa apo mumemaliza
Nc
🔰
🔥🔥hapa ni nyumbani
Tuko pamoj
Mnajua sn
Duuuu
Wana muungano sio mapinduz
Kwa picha mupo vizur crown fm
Crown 🔥 🔥 🔥🔥🔥❤
nakubar hatari
❤❤❤❤❤ crown 👑 😊
Estou live 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 na cidade de pemba
😂😂😂
Kuwa uki tazama caméra
Hapa ni nyumbani❤
manu bola imekuwa tayali kutua yanga?
Hapa ni nyumbani
⚽⚽⚽
❤❤❤
yamana sana
Mpovizuri sana crown from ruvuma
Hawoo utopolo wametaka kupata kitonga tu hao
Unyama mwing
Kk mkosaw ban❤❤❤❤
Huyo Pablo ni yanga Kuma tu
Crown ufalumeni ndo kwetu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Crown ni Moto mwingine
matumaini tunao makubwa
Nawakubali
Naenjoy sana Kwa habar zenu Yan ni Kama mmejipata asee joga bonito ni 🔥🔥🔥 naitwa Charles binamu nipo kange Tanga