"WACHEZAJI WA SIMBA NI WA KAWAIDA" | ORUMA AWAVUNJIA HESHIMA | AMTAJA MO DEWJI | HILI NI BALAA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 11

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l 10 днів тому

    Wewe uruma ndiyo maana domo kama mkundu uliotumwa na yanga, achaneni simba

  • @ManenoSiame
    @ManenoSiame 12 днів тому

    Uyo mbaya sura hajui lolote uyo hamna mchambuz apo

  • @195941233
    @195941233 12 днів тому

    Huna lolote! Simba SC amesajili wachezaji siyo klabu aliyotoka

  • @JamalYahaya-xv7mu
    @JamalYahaya-xv7mu 12 днів тому

    Nyie wachambuz kwer mbuz mnaangalia matokeo au anaangaliwa mchezaji uwezo wake

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 12 днів тому

    Mdhamini anasema katumia zaidi ya skauti 50 kutafuta hao wachezaji....za ndaani kabisa zinasema skauti jemedari na wenzake 8 walimskauti kagoma kwa miezi 6 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mamkinga1
    @mamkinga1 12 днів тому

    Kwani yeye ni waajabu?

  • @AizackDominick
    @AizackDominick 12 днів тому

    Hakuna wachambuz hapo kina ngoro kante mliwajua mpaka Lester City ilipo chukua ubingwa

    • @user-mg1yl2rl8s
      @user-mg1yl2rl8s 12 днів тому

      Kumbe na nyie mmesajiri level za kina N'goro Kante sawa tutawaona ligi ikianza 😂😂😂😂😂

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 12 днів тому

    Hata Mwamnyeto kaja yanga wakati coastal imeshuka daraja na akawa star yanga

    • @user-mg1yl2rl8s
      @user-mg1yl2rl8s 12 днів тому

      Rudi shule ukasome somo la historia halafu ukifauru fanya utafiti kujua Mwamnyeto alisajiriwa lini na Yanga na Coastal walishuka lini daraja😅😅😅😅

  • @MmangaHamad-br2qz
    @MmangaHamad-br2qz 12 днів тому

    Kwenda uko mwanyeto kaja yanga wakati costa ni ya Moto haishikiki pumbavu wewe