GEORGE BONABUCHA Akubali LAWAMA, Ajitangaza TEAM JUMA CHOKI - "NASSIB Hata AROGE Hawezi KUSHINDA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2024
  • GEORGE BONABUCHA Akubali LAWAMA, Ajitangaza TEAM JUMA CHOKI - "NASSIB Hata AROGE Hawezi KUSHINDA"
    Bondia kutoka JWTZ, George Bonabucha amefunguka kuelekea pambano kubwa la 'DAR BOXING DERBY' litakalochezwa Juni 29, 2024 katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 16

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Місяць тому +1

    Mmmh juma na mpenda nasibu pia nampenda 😢😢😢😢😢❤❤

  • @eddykatamba1008
    @eddykatamba1008 Місяць тому +3

    mm ni mpenzi wa ngumi ila kwa hawa mabondia mm wote wapo vizr sana

  • @yasiniselemani8672
    @yasiniselemani8672 28 днів тому +1

    😢😢wote wakali na ninawakubali xn duuh 😢😢

  • @YasinPiyao
    @YasinPiyao 28 днів тому

    Juma choki ushindi kwako mmm konde boy 4:03

  • @nebbomars2930
    @nebbomars2930 17 днів тому

    Nassib ka drop I bet for juma choki

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb Місяць тому

    Nasibu ❤ juma❤ 😢😢😢😢 nina street kibao 😢😢 mumejua kuniumiza

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 Місяць тому +2

    Mmmhhh!!??Nasibu mkali ana speed na choki mkali ana speed. Ila kura yangu nampa Juma choki Kwa sababu ana speed na pia ana makotakota,mvamizi. Nasibu akikutanaga na bondia wa namna hii ni shida sana kushinda.

  • @eddykatamba1008
    @eddykatamba1008 Місяць тому +2

    daa huyu aliewapambanisha hawa watu anitafute ntampa clet moja la coka cola meja upo vizr

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Місяць тому

    kaka upo vzr sana

  • @YasinPiyao
    @YasinPiyao 28 днів тому

    Juma choki ushindi kwako mmm konde boy

  • @Jescayoram
    @Jescayoram 12 днів тому

    Choki mkali nasibu kwachoki bado

  • @AllySengondo
    @AllySengondo Місяць тому

    Juma choki atashinda mchezo

  • @jacksonmchaki8098
    @jacksonmchaki8098 Місяць тому

    Weweee mwenyewe unakaa na ngumi zako zakukatika viuno

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 Місяць тому

    Mje Sasa kuangalia ngumi ..achaneni na yule mwimba taarabu...

  • @issasekao9088
    @issasekao9088 Місяць тому +2

    Nasibu awapiga wote wewe na juma choki