Ubarikiwe mtumishi wa Mungu na pia akuongezee nguvu ya kimwili nakukujaza Roho mtakatifu Mahubiri yako unipa fundisho sana kukufata Kila siku kwenye UA-cam.
Asante Mtumishi Sunbella kwa Somo la fungu la kumi , ninebarikiwa sana na masomo yako. Ila swali langu ni Sadaka ya yatima na wajane. Itakuwa katika kundi gani?. Mimi nilidhani unaweza kutoka fungu la kumi kwa yatima na wajane na kama sio. Je liko katika kundi gani ? na inatolewa wakati gani?.Mimi nauliza ili nijifunze kwani nafuatilia masomo yako kwenye you tube Ibada zote Tatu.Kila wiki, . Mungu azidi kukubariki sana . Nebraska- Marekani.
Nina jibu swali lako ingawa sio mhusika uliye muuliza!! Fungu la kumi unaweza kuwapa yatima na wajane kama Holly spirit amekwambia ila ni salama kabisa kutoa kwa makuhani au wachungaji na hata madhabahuni ambapo Mungu asema toeni ili kiwemo chakula!! Malaki 3:10-12,ila tangu zamani sheria ilikuwa ni kutoa kwa makuhani na walawi au madhabahuni (kanisani) makuhani ndio walikuwa wanaigawa katika mafungu mbalimbali ya misaada kwa wahitaji ikiwemo yatima na wajane!!
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu na pia akuongezee nguvu ya kimwili nakukujaza Roho mtakatifu Mahubiri yako unipa fundisho sana kukufata Kila siku kwenye UA-cam.
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri inanibariki ila kuna wakati unachanganya na kimombo Unaniacha hewani naomba unisaidie kwa hilo
Asante kwa mafundisho Yako mungu akutie nguvu zaid na miaka zaidi
Thank you JESUS🙏🙏🙏
Asante Mungu wangu kwa huu ufahamu 🙏🙏🙏❤️❤️Mungu akubariki sana baba
Am always blessed following your teachings
Tukipata muda tusome yakobo 2:10
Mtumishi kuna jambo unatakiwa ujue
Na unatakiwa ujifunze au ulifatilie vizuri
Ahsante sana nashkuru
Hahahahaha mafundisho mepesi sana hamna kitu hapo uongo asilimia tisini
I have learnt something be blessed pastor 🙏🙏🙏
Ameeen be blessed paster nimejifunza kitu kwa hilo fundisho waaaa
Ashanti mtumishi sikuona ukubwa wake Leo nimejua
Amen mtumishi barikiwa sana
AMEEN
Amina! Nimejifunza kitu hapa,
the lord is good
Amen
Pastor Mungu akubariki saana, nimejifunza jambo kubwa saana
Ubarikiwe sana
Uko sawa nimekukubari ubarikiwe
Amen mtumishi....Mungu azidi kukubariki
Nimekuelewa vizuri mtumishi kwa maisha tunayoishi na tulioishi Mungu tuu aingilie kati atuokoe kwa Neema yake amen
MTUMISHI ubarikiwe Nina kuelewa sàna
Ameeen mtumishi wa Mungu
Mchungaji sisi wachaga ndio tunatakiwa tufikirie sana wazee wetu na sadaka za mitambiko mwaka kwa mwaka
A
Asante Mtumishi Sunbella kwa Somo la fungu la kumi , ninebarikiwa sana na masomo yako. Ila swali langu ni Sadaka ya yatima na wajane. Itakuwa katika kundi gani?. Mimi nilidhani unaweza kutoka fungu la kumi kwa yatima na wajane na kama sio. Je liko katika kundi gani ? na inatolewa wakati gani?.Mimi nauliza ili nijifunze kwani nafuatilia masomo yako kwenye you tube Ibada zote Tatu.Kila wiki, . Mungu azidi kukubariki sana . Nebraska- Marekani.
Nina jibu swali lako ingawa sio mhusika uliye muuliza!! Fungu la kumi unaweza kuwapa yatima na wajane kama Holly spirit amekwambia ila ni salama kabisa kutoa kwa makuhani au wachungaji na hata madhabahuni ambapo Mungu asema toeni ili kiwemo chakula!! Malaki 3:10-12,ila tangu zamani sheria ilikuwa ni kutoa kwa makuhani na walawi au madhabahuni (kanisani) makuhani ndio walikuwa wanaigawa katika mafungu mbalimbali ya misaada kwa wahitaji ikiwemo yatima na wajane!!
🙏🏾🙏🏾
Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya Nini?
Amein
Na kama sandaka yako unampa mtoto wake atoe kwa sababu mzazi anafanya kali nchi za mbali je ni sawa ama ninakosea
Laiti tungelijua maana ya sadaka tusingecheza nayo hata kidogo
Hjh
Amen ubarikiwe mtumishi
Fungu la kumi is not for the church during animal blood
Amen
Nimejifunza mengi nilikuwa sitoagi zaka ila kwanzia Leo nitakuwa wakwanza kutoa zaka mungu anisaidie
Amen