WALIA WAKIDAI KUTAPELIWA MAMILIONI NA MR. MANGURUWE/ UCHUNGUZI WABAINI MADUDU KIJIJI CHA NGURUWE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 113

  • @selestineramadhani7325
    @selestineramadhani7325 День тому +7

    Watu walitabiri mapema kuwa huyu ni tapeli atawaibia kama alivyoibia watu kwenye uwekwzaji wa vannila shinyanga zanzibar njombe arusha zanzibar lakini watu hawakusikia. Ngoja mukome

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 День тому +10

    Ila Wabongo bana yule jamaa wa Mangurue hamuoni kwa maneno yake tu dish limeyumba

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День тому

      Umeona eee!!😂😂😂
      Tapeli 😂😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW День тому

      😂🤣😂🎉🎉🎉💯

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 День тому

      😂😂

    • @HabibuUrasa
      @HabibuUrasa День тому

      huwezi kula nguruwe ukawa salama 😁😁😁😁 ,ukila nguruwe umekula shetani ,yesu si,aliamuru yale mapepo yaingie kwa nguruwe. eti biashara yenye faida 😁😁😁😁😁

    • @diamondplatnumz.148kviews5
      @diamondplatnumz.148kviews5 День тому

      😂😂😂😂

  • @AlexHubert-c1h
    @AlexHubert-c1h День тому +10

    Tayariiiíii, vanilla village 😅

  • @sethkavenuke6401
    @sethkavenuke6401 9 годин тому +1

    MAKONDA ANGEKUWEPO DAR,LINGESHAISHA

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 16 годин тому +1

    Watanzania wengi bado wanaamini maneno badala ya kufanya utafiti juu ya maneno yasemwayo kujua uhalisia wake ili kubaini ukweli ndiyo sababu manabii na mitume wa uongo kila siku wanazaliwa na wanakokota wengi

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 13 годин тому +1

    Hivi kwa nini watu hukimbilia vitu halafu baadaye wanaanza kuitupia mpira serikali?
    Kwa nini kabla ya kujiingiza kwenye hayo mambo wasitafute ukweli kuhusu faida na hasara na uhalali wa jambo lenyewe?

  • @BarakaKamara
    @BarakaKamara 19 годин тому +1

    Siku hizo wasomi ndio wanakuwa matapeli kwa sababu ndiyo wanajua kucheza na mifumo ya nchi akamatwe awekwe ndani.

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t День тому +3

    Dodoma nguluwe wapo kibao shambani kwake kama mliandikishana sii muende mkagawane wale nguluwe wa dodoma wapo kibao

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario День тому +2

    Mtatapeliwa sana! Hamjui kama kuna UTT AMIS mkome!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @goodlucktarimo6170
    @goodlucktarimo6170 2 години тому

    Mlimwon kwa makonda na utapeli WA vanilla Leo mmejikuta kwa nguruwe mwache awanyooshee

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe День тому +2

    Huyo Mr Manguruwe alichokifanya Arusha hebu mrejee Mikutano ya Makonda kuna moja kawekwa kati anadaiwa pia kutapeli. Hvo achunguzwe tu mtaona

  • @sethkavenuke6401
    @sethkavenuke6401 9 годин тому

    Huyu bwana manguruwe wa Piginvest tapeli sana, alianza na Vanilla investment, ajaha na Pig invest, jana amebadilisha jampun inaitwa Dorctor manguruwe pig Plc, Serikari inamuona tu, Wapo Radio wanatangaza tu,

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 20 годин тому +1

    Ndio mkome kukimbilia mambo hovyo hovyo, si ufuge wenyewe hayo Madudu,😅 mkomee😂

  • @herijaphet
    @herijaphet 8 годин тому

    Mbona media ndiyo umeumbuka mana jamaa kawaambia lete watu hamtaki.
    Nyie ndiyo mnazingua.

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 6 годин тому

    Huyu jamaa tapeli, aliacha,biashara ya vanilla baada ya kutapeli watu kibao😂

  • @elymollel
    @elymollel 4 години тому

    Kwanini mnapenda mserereko?
    Kwani mlishindwa kufuga nguruwe zenu wenyewe hadi mpeleke Kwa Mkondia?

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 7 годин тому

    Tuliwaambia watu walilia kweny Vannila na huyo jamaa mkabishaa😊😅😅

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 День тому +1

    Yani uweke 1m afu upewe laki tatu kila mwezi....aisee acha mka"angwe hamtaki kifikirisha akili.....unaacha kupeleka hela UTT unapeleka kwa Saimon mkondia..achaa mkaangwe kama kuku wa kuchoma

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o День тому +1

    Hawa waliotapeliwa inabidi wachapwe viboko hadharani maana hawasikii kila siku mtu huyo huyo anawatapeli lakini hamsikii

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 День тому +1

    Huyo jama aliwadanganya arusha wapande vanilla na akawapiga😊

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 День тому +1

    Kwa uzoefu Wangu hakuna mpumbavu ambae anaweza fugia Mtu Nguruwe hawa hybrid ni expensive wanakula vyakula vizuri na vya Bei Wewe upo home tuu Alafu tugawane🤣🤣🤣🤣🗝️🗝️

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 20 годин тому

      @@walinaziontime7300 Ndugu hii migodi ya dhahabu unayoona hapa wazungu. Ni fedha ya watu wengi huko ulaya na Marekani. Amelala mitaji wa kukupa alitoa wapi?. Ukweli ni kwamba, dhana ya kuibua shughuli za kiuchumi na kuzipatia mitaji bado ni somo gumu sana. Tz inawezekana tunajua ila WIVU NI UTAMADUNI WETU sasa. Bible ina mfano wa talanta. Wtz kama afukii talanta anaziiba. Nao hao wenye fedha na mamlaka yao wanatupa jongoo na mti wake. Utajiri wa mtu au Taifa haupo kama kuna mtu anageuka na kudhulumu au kuiba kwa kisingizio cha kua yeye Yuko jikoni. Wengine wako sebuleni. Na huku akijua walioko sebuleni wana share yao ya haki. Ni kwa mtindo pesa ya umma inaliwa, ni kwa mtindo huo tulihujumu viwanda leo tunasingizia utandawaji. Hahahah Kwa nini kuiba Kesho ya kizazi chako. Tuwe waaminifu kwa kutimiza makubaliano.

  • @bibideo5028
    @bibideo5028 14 годин тому

    Jamani huyu bwana sijui mnaendeleaje kumuamini? Mkawaulize wenzenu wa Nkombe livyowafukarisha na Vanilla. Arusha Makonda alisaidia yaani ni shida kubwa

  • @anwarKhan-gn6yt
    @anwarKhan-gn6yt 13 годин тому

    Unaiomba serikali baada ya kutapeliwa?kabla ya kutoa hiyo milioni moja je uliishirikisha serikali?

  • @TomLorg
    @TomLorg 18 годин тому

    Mzeee wa zamahoro😃😃😃😂😂😂Mme wa @shishi baby!!! Ila si @dotto Magari kawekeza bilioni mbili apa Au😀😀😀😀😀😀

  • @georgelupembe8672
    @georgelupembe8672 День тому +1

    Eehhh.......vanilla Njombe ! na sasa Nguruwe ! kweli 1+2=12

  • @herijaphet
    @herijaphet 8 годин тому

    NAHISI MWAMBA UNATUMIKA KUHARIBU BIASHARA YA JAMAA.
    NI MPANGO KAMDO HUO. KUSHINDWA VANILA HAIMAANISHI HAWEZ FANIKIWA JAMBO JINGINE.
    MUACHE WIVU MN HUU MRADI UNAONESHA UMESHAPANDIKIZWA WTU KUHUJUMU ILI UFE.

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui День тому +3

    Hii nchi ni tamu bana❤ TANZANIA.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 годину тому

      @@MagrethMallya-we8ui Hii nchi sio Tamu hata kidogo. Nchi ni shubiri kwa binadamu anayefikiria vizuri.

    • @Darian2550
      @Darian2550 17 годин тому

      Ni kweli, wajinga ndo waliwao....

  • @ramadhanichuma7925
    @ramadhanichuma7925 День тому +1

    Mr kuku kawaliza huyu nae kawaliza bongo kuwatajiri ni very simple

  • @saimonmlay4295
    @saimonmlay4295 9 годин тому

    aha Mpelekeni kwa Makonda tena

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 20 годин тому

    Sasa baba Simu atapokea ajé wakati apatikani 😁😁😁😁🇲🇿🇹🇿

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 21 годину тому

    Huyu ndiye aliyekuwa anatangaza vanilla? Ujanja ujanja mwingi sana muulize prof kapuya atakuambia alichofanyiwa huko njombe lwenye kijiji cha vanilla. Watu wanapigwa sana

  • @FrancisMhilu
    @FrancisMhilu 22 години тому

    Nimesikiliza vizuri sana Ila huyo jamaa meneja wa mawasiliano yuko vizuri kujueleza ila huyo mwandishi ni Kama hujui anachokifanya anaropoka tu Mara media house Mara Chombo cha habari ndo haws unakuta watu wanashindwa kujizuia wanawachapa..umeshaelezwa namba nzuri ya kubalance story na ni sahihi kbs sasa unaforce nini hapo yani ilitakuwa wawepo hapo Kama unavyoelezwa full stop.sasa unavyosema siyo jukumu Lako je ulienda kufany nini kwenye ofisi za watu?je Kama umepewa taarifa za uongi umethibitishaje sasa hapo huyo mwandishi naweza kusema ni unproffesional 😂 anaongozwa na hisia na anaonyesha anaweza kuharibu zaidi ajitizame…yani angepewa mtu mwingine ahoji na akaambiwa hivyo watu wawepo ingekuwa bonge moja la headline maana ingethibitika bila hata kuomba msaada kokote..mpaka hapo ni 1:0😂

  • @dr_ridhiwan
    @dr_ridhiwan 20 годин тому

    Alisema Mr Mwanya ana Nguruwe wake pale Mwenye Thamani ya 700M 😂😂😂

  • @herijaphet
    @herijaphet 8 годин тому

    Huyu jamaa hadai bali ni pandikizi lenye wivu

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 20 годин тому

    Uliona wapi Nguruwe Moja izalishe mil 30 kwa mwaka?😂😂😂 .Hapo ni Akilimali Vs Nguvumali

  • @yassinitupa5819
    @yassinitupa5819 День тому +1

    Watanzania bwana

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 21 годину тому

    🤣🤣🤣🤣🤣mwandishe walete walalamikaji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hiyo kali

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 12 годин тому

    WAPUMBAVU TU. ACHA WAUMIZWE. WAJINGA KABSAA

  • @jerome3143
    @jerome3143 20 годин тому

    ujinga wetu wa tz tunaminiana mapema sana

  • @bilid4128
    @bilid4128 День тому

    Ndugu watanzania ! Kabla hujawekeza sehemu yoyote angalia uzalishaji wa biashara hiyo .Kuanzia soko,na uzalishaji uliopo.Fanyq utafiti wa Biashara nzima uelewe bidhaa inayozalishwa na soko lake kisha uje uhusianishe na ahadi unazopewa ! Utafundua utapeli mwingi au ni lugha ya kukulaghai uwekeze kwenye kitu ambacho hakipo .

    • @pena_tz
      @pena_tz День тому

      Tatizo kubwa media na wasanii wetu kazi yao kubwa ni kupromot vitu vya kulostisha watu tuu.. yani matapeli, makalio ndio utakuwa yanapewa airtime. Ni tatizo

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 20 годин тому

    Du huyu jamaa alikuwa anafuga ng'ombe kijijini zamani sana nilikuwa mdogo sana, na alikuwa na ng'ombe wengi sana kumbe kaibukia huku tena.

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 День тому

    Mungu amekataza kula Nguruwe hamsikii haya sasa!

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 годину тому

      @@malkiarosemuhando3310 Amri moja ya Mungu ni kutoua mtu mwenzako, Ukraine, DRC, Sudani, Mashariki ya Kati, Haiti, Ethiopia. Huo upande wa sheria Amri za Mungu. Je upande wa sheria?. Yesu unajisi si kula na kujisadia, unajisi ni kile kinachotoka ndani ya Mtu. Mfano wizi, husuda, kusengenya, kuua, kuzini, fitina, uchonganishi, wizi wa kutumia vipimo, dhuluma. Haya ni Nguruwe wa wana wa Israel wa enzi za Musa.

    • @Mamshika
      @Mamshika 14 годин тому

      Mmekatazwa nyie lakini sisi hatujakatazwa

  • @charlesmapunda2002
    @charlesmapunda2002 День тому +1

    Maisha co raisi hivyo kama utaki kujishughulisha peleka pesa UTT ,bonding au share

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario День тому

      Una akili nyingi kijana UTT AMIS ndo mpango mzima, na wajinga ndo waliwao😂😂😂😂😂

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward День тому

      ​@@ManswetKimarioTatizo uaminifu. Mataifa mengine wanatumia huo mfumo wa uwekezaji. Rejea Mbunge Kishimba.

    • @anny19988
      @anny19988 День тому

      Yaani UTT ipo halafu unapeleka hela pasipoeleweka. Basi nunua hata hisa au bonds . Sema shida ni elimu watu wengi hawana.

    • @anny19988
      @anny19988 День тому

      ​@@GodfreyOswardHayo mataifa mengine wanaofanya huo mfumo ni watu professional wataalam wa kilimo wamesajiliwa na wanajulikana. Sasa uliza huyo Mr Manguruwe kama kasajiliwa. Na kilimo gani malipo kila wiki ehhhee

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 годину тому

      @@anny19988 Haliye zuia asisajiliwe ni nani, Watu si wanavaa Suti kila leo kwenda kwenye ofisi za umma. Kila Jambo hata liwe baya Lina cha kujifunza. Tz inaonekana kuna fedha nyingi Raia hawana mwongozo Mzuri wa kuwekeza. Ukipata raia mil 2 tu. Wakashawishiwa kama huyo Maguruwe na Vanilla village anavyofanya. Leo hii tungefufua viwanda vingi.mfano General tyre na kuanzisha vipya. Bahati mbaya hao wataalamu unaowasema. Ulishajitoa ufahamu.

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 День тому

    Nyie mnaopeleka pesa zenu kwa ajili ya kutaka kupata haraka haraka bila kufikiri ndio mnaotengeneza matapeli ktk jamii. Mmesikia tangazo lenye maneno matamu kuhusu investing kwenye kampuni flani basi watu wanakurupuka. Ibilisi sio mjinga. Atakuja na maneno mazuri ya kuvutia na kweli watu wakavutika. Waswahili walisema " wajinga ndio waliwao"

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa День тому

    huyu ni mwizi Yaani ufuge nguruwe uwe salama ,😁😁😁😁 hii ni biashara ya kishetani kwahiyo inaendeshwa kishetani 😁😁😁😁😁 poleni watu wa nguruwe 😁😁😁😁😁

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 20 годин тому

    FANYENI KAZI ACHENI KUPENDA VYA KUNYONGWA WATU WAZIMA MTALALAMIKA MPAKA LINI.

  • @OG_20
    @OG_20 19 годин тому

    Huyo Afisa ana akili sana huwezi kwenda ofisini kwa mtu eti kisa mwandishi ukademand taarifa kama wewe mahakama! ndugu waandishi rudini shule huyo jamaa kawapiga knock out na amewafundisha namna ya kupata 2 sided story

    • @MJM52
      @MJM52 16 годин тому

      Afisa uhusiano yuko vizuri sana,,,ila mwandishi analazomisha mambo😂

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda День тому +1

    Kesi ya madai hiyo

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 15 годин тому

    Utapeli umekithiri kwa kweli

  • @BarakaKamara
    @BarakaKamara 19 годин тому

    Hilo jamaa ni litapeli halifai kwenye jamii.

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 20 годин тому

    Maaninaaaaaaa.nyie hamna akili hata moja.faida gani upata kiuharaka kiivo

  • @henrynjovu9147
    @henrynjovu9147 День тому

    Boom Daily, ni anauza Maziwa au?

  • @MWAKIPESA
    @MWAKIPESA День тому +1

    Kuwekeza mngeweka kwenye mgodi

  • @foncetecelectricalandelect34
    @foncetecelectricalandelect34 23 години тому

    Serikali imeshindwa kuwalinda wakulima wake dhidi ya mtu mmoja?

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p День тому +1

    Kwani kunamaandishi ya kuwekeza mkataba huo

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 День тому

    Mnataka pesa za bure😂😂
    Acha mliwe 😂😂😂
    Mwanaume mzima kabisa unashindwa kuanzisha mradi wa kwako binafsi.

  • @Madatv001
    @Madatv001 День тому

    Jamani Mahali pa kutolea haki si panajulikana nendeni Mahakamani

  • @SelinaChares
    @SelinaChares 23 години тому

    Mmmmh hatarii

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 День тому

    Hapo mmeshapigwa kajipangeni kivingine

  • @JUSTINPiniel
    @JUSTINPiniel День тому

    kama huna akili acha wenye akili wakufundishe akili

  • @ChipugeLaulian-fz1mv
    @ChipugeLaulian-fz1mv 20 годин тому

    Yan unatoa pesa unaachiwa makalatasi 😂😂

  • @cypriantibenda9757
    @cypriantibenda9757 День тому

    Maoni yenu ni mazuri lkn hakuna aliyetaka vya bure waliwekeza msiwaone watu wajinga kwani kalynda hawakuwa na vibali vya serikali? Tuwe na lugha za staha, shauri kwa wakati

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 17 годин тому

    Huyu NI.MHAYA😂😂😂

  • @chogaissa1619
    @chogaissa1619 19 годин тому

    Akili zimerudi sasa baada ya kupigwa

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 День тому

    Huyu bwana achunguzwe hayuko peke yake kuna kundi kubwa la matapeli wako nyuma yake

  • @paulbaharia410
    @paulbaharia410 День тому +1

    Hiki ni kikundi Cha kitapeli ambacho kipo ndani ya nchi yetu TZ namlaka zenye dhamana hasa kilimo na mifugo ndiko wanakopitia Kwa sababu ya udhaifu waliouona. Na huu niuongozi Bata vitoto vyake vitajuaga vyenyewe.

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 22 години тому

    Tatizo sheria zipo ila ni za bure tu hazifanyi kazi wanawaza rushwa tu

  • @DJINNOSSBTZ
    @DJINNOSSBTZ 22 години тому

    Hao ni matapeli tu serikali iingilie kati

  • @EvansiEvansi-oi8or
    @EvansiEvansi-oi8or День тому

    Nguluwe alipewa msemajiwa vitaro bulundi

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 День тому

    Kila kitu kipe muda

  • @MussaJames-q7c
    @MussaJames-q7c 22 години тому

    Ii ni vgm iliyochangamka

  • @ezekielshija9251
    @ezekielshija9251 День тому

    Uvivu wa akili. Tamaa ya kupata utajili kwa njia rahisi. Ushapokea malipo ya awamu tatu. Hapo ni kesi ya madai

  • @bonifassimon7909
    @bonifassimon7909 День тому

    Bora hata mr manguruwe alikuwa anachua hela hii biashara inachangamoto nyingi sana mfano hio ml moja laki 4 mi nanunua chakula cha mwezi na wiki mbili na mnyama hapo abadiriki na ili mnyama akue mpaka azae ni mwaka na miezi miwili sasa hapo ukichukua laki tatu utapata nini wewe kama mwekezaji?jamani tunaheshimu tu utu lakini ipo siku mr manguruwe atakimbia hii nchi

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 21 годину тому

      @@bonifassimon7909 Nguruwe ndani ya miezi sita chakula chake kilo 224, Uzito 65_70kg?. Sio kweli kupoteza fedha. Sema tunayo changamoto ya mfumo njaa. Mtz usimpe mgongo. Tumefumdishana kuchakura kama kuku. Mfumo wizi, wizi tu.

    • @bonifassimon7909
      @bonifassimon7909 13 годин тому

      @@GodfreyOsward mi naomba niandikie huo Mchanganyiko wa chakula unachotumia ili nije nichinje nguruwe wa miezi 6 kilo 65 kwa 70 huu mwaka wa saba nafuga sijawahi pata uzito huu kwa kipindi cha miezi sita na nimeshaweka karibia haina zote za mbegu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 7 годин тому

      @@bonifassimon7909 kwanza Nguruwe kwa siku uzito wa kuongezeka ni kiasi gani?. 1 breed, chakula, afya. Mfugaji lazima vitu vitatu viwe sawa. Nguruwe anacha ziwa miezi mingapi?, mbegu/breed?, afya, lishe?, lishe. Protein, energy, vakula vyenye nyuzi, Minerals na vitamins. Vyakula visafi au makombo ya jalala?.

    • @elymollel
      @elymollel 4 години тому

      ​@@GodfreyOswardendelea na ufugaji wa Instagram 😃😃 ila siku ukija Field ndio utajua ugumu wa kufuga nguruwe. Nina nguruwe Zaid ya hamsini ninajua ninachokisema, huwezi ukalisha nguruwe hizo kilo ulizosema labda kama ni bata au kuku.

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 День тому

    Kama muna mikataba kamaten hizo dudu muuze mpate hela yenu

  • @emanuelmbondo4598
    @emanuelmbondo4598 День тому +1

    Tanzania kuna wapumbavu!!! Aiseee

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 День тому

      Mnooo hawajawahi jifunza walipigwa biashara za mitandaoni mara deci mara mr kuku wacha waibiwe tu

    • @emanuelmbondo4598
      @emanuelmbondo4598 23 години тому

      @@fahadfaraj6474 Alafu bila aibu anakaa kwenye media eti tusaidiwe tunadhurumiwa. Heee

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 22 години тому

      @@emanuelmbondo4598 wapuuzi mnoo na hela za haraka

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION День тому

    Mara Mr kuku

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda День тому

    Hapo mmeliwa

  • @christopherdiu7851
    @christopherdiu7851 День тому

    Waachie Ujinga,, Waende Dodoma wagawane mali na yeye kumshughulikia ... KULIALIA MITANDAONI Wakati jamaa yupo

  • @yassinitupa5819
    @yassinitupa5819 День тому +2

    Dudubaya aliwaambia

  • @sifaelmophat1021
    @sifaelmophat1021 День тому

    Nilijua2 haya yatakuja

  • @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI
    @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI День тому

    mataperi peleka mahakamani

  • @chizcom4229
    @chizcom4229 День тому +1

    bado ng'ombe awamu hii

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 День тому

    Acha upumbavu ushatapeliwa wewe

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 День тому

    KWANI MMESAHAU KUHUSU KULIMA VANILLA....??
    ALIWAPIGA WATU KWENYE VANILLA.
    BONGO TAMU SANA