MPINA 'AGEUKA MBOGO' MAHAKAMA KUU/ ATANGAZA KUTINGA MAHAKAMA YA RUFANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 9 годин тому +2

    Mungu awabariki sana ndugu kwa kuwatetea watanzania yetu.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 8 годин тому +5

    Mpina ameshinda mpaka hapo

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 8 годин тому +2

    MPINA BABA usikate tamaa. Tunajuwa unatetea masikini. Wabunge wengi bungeni hawaelewi ama wana ogopa ku potęza ubunge wawo. History will judge you. Huchukuwi hatuwa hizi kwa manufaa yako na familia yako. Ndiyo maana umeungwa mukono na mawakili wengi. Wanaona nchi Ina elekea pabaya. Wana kisesa wako nyuma yako. Mwenyezi Mungu akubariki. WATANZANIA WANAONEWA SANA

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 7 годин тому +1

    Mpina tunakuombea haki tz haipo mungu akushindie

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 7 годин тому

    Mpina Mungu akubariki songa mbele

  • @Burange666
    @Burange666 8 годин тому +4

    Kesi ya nyani jaji ngedere huwezi kushinda maana serikali hii inawatetea wezi

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 10 годин тому +2

    Brother MUNGU akubariki sina kingine zaidi ya kukuombea

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 6 годин тому +1

    Umeshindwa kesi sababu kesi yako Haina mashiko/ na ushahidi. Poteza pesa kuwapa mawakili

  • @JOSEPHURUPIA
    @JOSEPHURUPIA 9 годин тому +4

    KWAHIYO BUNGE LIKISEMA WATU WOTE WAUWAWE, MAHAKAMA HAINA UWEZO WA KUIGILIA!.
    TZ KUNA MAMBO YA AJABU SANA😢

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 8 годин тому

      Ndo halijasema sasa

    • @ulomirabiel6980
      @ulomirabiel6980 6 годин тому

      Ni nani atakuja ifanya mihimili hii iwe huru ili haki iweze kutendeka

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 6 годин тому

    Hee haujui tuu, yaani umewashitaki wanaosikiliza kesi tatizo hilo. Labda kama kuna njia nyingine.

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 годин тому +4

    Kesi kama hizi zinadhihirisha udhaifu wa katiba ya Tanzania. Mimi binafsi naami kuwa wanadamu wote hukosea wakati fulani kuwa rais ama spika hakumfanyi mtu kuwa maalumu.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 9 годин тому +4

    Hapa ndipo watanzania uwepo wa katiba mpya unahitajika

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 6 годин тому

    Mdogo wangu mpina hii ndo Tanzania. Kamata waiba kuku funga sana. Vigogo wateuliwa mhhhh

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 годин тому +1

    Africa haitaendelea kamwe kama sheria zetu zinachaguwa. Haki ndiyo yenye kufanya nchi in aendelee.

  • @abiudkarume938
    @abiudkarume938 6 годин тому

    Big show

  • @Teddy-z4i
    @Teddy-z4i 7 годин тому +1

    Unajua hizi mahakama za kibongo kwakwer ni shida sanaaa akimu alisema huki hiyo inaitaji mda ili aandike ukumu iliosahh je sasa mda wote alishindwa nini kusema hana mamlaka ya kuinglia bunge yaan Tanzania hakuna cha haki

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 8 годин тому +1

    Hapo ndipo utajua ukisikia maneno yasemayo kukosa imani na mahakama!!!?!!!

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 8 годин тому +1

    Mbona hamutuonyeshi live kama Kenya?😮

  • @esifhordmunyugu4687
    @esifhordmunyugu4687 9 годин тому +2

    Kesi ya ngendele huwezi pelekea nyani Alimalize

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 9 годин тому +1

      Umesema kweli tupu, hii nchi Ina wenyewe, na wenyewe ndio wenye kuajiri watoa HAKI.

  • @matiredms917
    @matiredms917 9 годин тому +5

    Mhe. Mpina una ujasiri mkubwa wa kutafuta haki lakini ukumbuke maneno ya Rostam Aziz juu ya AMRI KUTOKA JUU ktk kufikia maamuzi kwa Majaji wetu. Mpaka hapo Watanzania tutakapozinduka kutoka jinamizi la ujinga na kutambua umuhimu wa kupigania haki zetu za msingi kwa kuwaondoa watawala haramu ndiyo tuasema tuko huru. Kwa sasa basi sahau.

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 9 годин тому +1

    Mahakama ndo chombo cha MWISHO cha utoaj Haki,,,kw maamuzi hayo Ni Kua mahakama sio chombo cha MWISHO cha utoaj Haki ,,na mahakama Ni ndogo kw bunge

  • @SalumKombo-sf5gs
    @SalumKombo-sf5gs 7 годин тому

    Tatizo ni katiba jaji anapokea maelekezo papana kiongozi muinyoshe nnchi polepole

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 7 годин тому

    Mpina najua umesoma, nafasi haichukuliwi ukiwa unazungumza Natumia nafasi hii bc sio kuchukua

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 8 годин тому +2

    Aibu tu mpina.ajielewi

    • @matiredms917
      @matiredms917 8 годин тому +1

      @@fidelismwakanyamale6787 Unajua fika wewe ndiye hujielewi ama kwa kuwa wewe sio mjinga tu bali ni mpumbavu kwa kuwa CHAWA wa Mama.

    • @Teddy-z4i
      @Teddy-z4i 8 годин тому

      Mpina ana akili nyng kuliko wazaz wako ww unasema hajitambuwiiii

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 7 годин тому

      Mpina hajitambuiiii😂😂ngoja mawakili watafune pesa zake

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 9 годин тому +2

    Maana Hawa munawashitaki wanakinga ya madaraka hata nyie ccm ambao hamna vyeo mutakuwa munaonewa chadema wanapo dai katiba mpya sio ubaya

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 9 годин тому +1

    Mahakama ni ya wale ambao wamewaweka majaji kazini, kwa mawazo ya kawaida tu utegemee kuwepo na uamuzi gani wa HAKI???????????, Achana na hayo, kesi hiyo itaenda mpaka 2030

  • @bundalamashimi3042
    @bundalamashimi3042 6 годин тому

    Kulingana na hukumu hii kuwa mhimili wa mahakama hauna mamlaka ya kuingilia maamuzi ya mhimili wa bunge ina maana kuwa watanzania hawana uwezo wa kupata haki wakionewa na bunge kwa sababu mahakama imejivua uwezo wa kutoa haki ya wanao onewa na bunge.

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 8 годин тому

    Mpina bhana

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 7 годин тому

    Kama mahakama haina nguvu juu ya muimili wa bunge ni ajabu watawezaje kuwa na nguvu juu ya serekali

  • @owenbonfance
    @owenbonfance 9 годин тому +1

    mwarobain wa haya yote ni katiba bila ivyo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 8 годин тому

    Hiyo Mahakama Inashidwaje kutoa Haki Maana ya Mahakama ni nn ?

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 8 годин тому

    Kuna watu wachache wameiteka Tanzania. Tanzania imekuwa kama mali yawo binafsi. Tanzania ya Mwalimu Nyerere ya watu wote Sawa si Tanzania ya leo. Tanzania ya leo ni ya mapepari wachache wanao jitajirisha bila ya kuwa na viwanda. Mungu tusaidie hatujuwi nchi inaelekea wapi. Bunge limeshindwa kutusaidia. Wabunge wetu duni kwa woga. Ni Kukubali tu ndiyo tunaunga hoja. Tunategemea MAHAKAMA. Mahakama zetu hazina uwezo. Wabunge hawana sauti, wengi wamo bungeni bila ya kuchaguliwa. Upinzani viongozi hakuna kitu. Je watanzania ni nani atatukombowa? Afande Katuma watu kubaka hata mahakani kakataa kutokea. Hakuna wa kumugusa. Raisi wetu anatuambia hakuna mtu yuko juu ya sheria, je ni kweli? . Tanzania gani hii isiokuwa na haki?

  • @supa7077
    @supa7077 9 годин тому +2

    Huyu hana kazi sijui. Sukari imeanza tena kuadimika na kupanda bei ..ana watetea wenye viwanda vya ndani waakati bei inawaumiza wananchi. Analipwq na wenye viwanda.

    • @trueprophet7627
      @trueprophet7627 9 годин тому

      akili si kuwa na fuvu tu bali kufuatilia jambo kwa undani

    • @matiredms917
      @matiredms917 9 годин тому

      Ndugu yangu Super bei ya sukari inapangwa na Serikali na siyo na wenye Viwanda vya sukari. Hakika unawaonea.Waziri wa Kilimo Bwana Bashe ndiyo alitoa kibali cha watu ambao hawana uwezo wala ujuzi wa mambo ya sukari kuagiza sukari toka nje ya nchi. Tuwe na hekima ya kutoshabikia masuala ambayo hatuna ufahamu wake.

    • @supa7077
      @supa7077 9 годин тому

      @@trueprophet7627 kwahiyo ww unajiona una akili sana?hahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @trueprophet7627
      @trueprophet7627 9 годин тому

      @@matiredms917 chukulia kwamba unajua kwa mtazamo wako

    • @supa7077
      @supa7077 9 годин тому

      @@matiredms917 hapana kaka. Hawa wenye viwanda hawafuati bei elekezi za sukari. Niamini mimi. Lakini pia imeanza kuadimika mitaani

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 8 годин тому

    Sikio

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 8 годин тому

    Supa Huna akili kichaawewe mpina anawatetea we unaweka ushabiki

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 9 годин тому +2

    Jamaa amekosa kazi, baada ya kupigwa pini kuingia Bungeni.

    • @csato9415
      @csato9415 9 годин тому +2

      Hizi 🧠🧠 hasa kwa vijana zinafanya nchi yetu ibaki kwenye utawala dhalimu wa CCM.

    • @Paulo-e4c
      @Paulo-e4c 8 годин тому +1

      Pamoja nakutoka bungeni lakini anavuma kisiasa siasa ni popote

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 8 годин тому +1

      Kosa wameliona lipo lakin mahakama inaliogopa bunge ,kweli katba mpya ni lazima

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 8 годин тому +2

    Wewe Mpina wacha Ujinga wewe huna hoja yoyote unataka kutrendi tu mitandaoni

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 9 годин тому +1

    Hapa ndipo watanzania uwepo wa katiba mpya unahitajika