EXCLUSIVE: AMANI KARUME ATEMA CHECHE, AFUNGUKA SAKATA LA BANDARI
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- ZANZIBAR: Ni katika mfululizo wa simulizi za viongozi wastaafu wakielezea namna walivyohudumu katika nafasi mbalimbali za uongozi wao walipokuwa mamlakani yale tuliyoyaona na mengine ambayo hatukupata kuyasikia.
Hapa tunakutana na Amani Abeid Karume, Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi afunguka mazito akielezea Sakata la bandari..
Msimulizi wako ni Ismaily Kawambwa katika Makala iliyoandaliwa na Adam Lutta kutoka Zanzibar.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...