KACHARA KOBE KADAI ETI ANA JANABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @kimbomuhamed6439
    @kimbomuhamed6439 5 років тому +25

    Masaallah hii nifaida kubwa kwa watumiaji simu kikweli heri itapatikana insha'Allah wanaokubaliana na mm gonga like yako hapa

  • @binghulaam2685
    @binghulaam2685 5 років тому +5

    Allah akulipeni ujira uliokuwa mwema kwa ujumbe wenu mzuri mno kwenye jamii

    • @mohamedkikunge5417
      @mohamedkikunge5417 5 років тому +1

      Bin Ghulaam Mashaallah allah awalipe kubwa kwa kutufundisha juu ya jambo ili na mengine bihidhinn llah

    • @binghulaam2685
      @binghulaam2685 5 років тому +1

      @@mohamedkikunge5417 Amiin

  • @omarjuma2988
    @omarjuma2988 4 роки тому

    Shukuran kwaujumbo allah wajalie mulete zaidii yahii

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +3

    Inamafunzo sana mazur sana

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 років тому +3

    Mashallah na shuklani kwa darasa hili 🙏🙏

  • @yussufmoha6862
    @yussufmoha6862 5 років тому +2

    Mashaallah!! Ujumbe mzur Allah awabarik mzidi kutuelimisha

  • @alimuhsin6655
    @alimuhsin6655 5 років тому +5

    Muhammed Omar chukua ulilopewa masuala ya khitlafu ukiyazamia hutafanya ibada hata moja tumalizie kwa kusema Allahu yaalam basi. kila jambo linaendana na NIA .

    • @hajiallyally5699
      @hajiallyally5699 5 років тому

      Ali Muhsin sahih kwa7b katika uislamu khitilafu zipo ila kufarakana ndo haramu

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 5 років тому

    Dini,ni nyepesi,Kama umefanya tendo la ndoa na Mkeo,usiku wa Ramadhan,Hakuna shaka,wala hulaumiwa Kisheria,Hata kama utaamka na Janaba,Janaba la usiku,halitengui funga

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 років тому +3

    Mashaallah nimejifunza..shukran

  • @hamadyussuf5307
    @hamadyussuf5307 4 роки тому +1

    Shukran Allah awalipe kheri inshaallah

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 років тому +2

    Masha Allah ujumbe mzur

  • @ummunaaleicester4337
    @ummunaaleicester4337 5 років тому +4

    Maa shaa Allah

  • @abassmkubwa7242
    @abassmkubwa7242 5 років тому +3

    Mashallah allah awajalie mue mnatuongoza km hivi

  • @risepili5250
    @risepili5250 5 років тому +3

    Masha allah

  • @halimamussa1694
    @halimamussa1694 5 років тому +1

    mashaallah kwa njia yenu nzur ya kufkisha ujumbe tumefaham vya kutoshaaaaa

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 5 років тому +3

    Mashaa allah

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 років тому +2

    Jamani masuala haya yakhitlafu yanahitaji ufafanuzi wakina watu wataelewa vibaya nalitafanywa linafaa

    • @massoudhassan9255
      @massoudhassan9255 5 років тому

      Salama Khamis apa kuna khilafu gani wacheni kuifanya dini ngumu nynyi ivy vitabu mnavyosima mmevipata wapi na mashee woote wamejubaliana kuamka na janaba fynga ipo na hdithi za mtume zipo sasa khilafu imetoka wapi ktk kitabu chenu cha albani anasema kupiga nyeto(kujitoa manii kwa kukusudia) mchana wa ramadhani funga haibatiliki wakati maimamu wamekubaliana inabatilika iv mtu akipiga master bashen hapati janaba?
      acheni kuiingiza dini kwenye khilafu pasipi stahiki na hawa wapo sahh.

    • @bakarialykitemwe9232
      @bakarialykitemwe9232 5 років тому

      @@massoudhassan9255 Kuna kitu najiuliza sipati jibu so nimeona nikuulize ww huwenda ukanijuza sio kwa ubaya Bali ni kutaka kujua tu ,hizi hadith zinaonyesha mtume Muhammad alikua na janaba mi ninacho jiuliza ni hukusu swala ya alfajir je hajaswali siku hio?

    • @massoudhassan9255
      @massoudhassan9255 5 років тому

      Bacar Ali Kitemwe hamna kuamka asubuhi na janaba yani alfajiri huoga then akaenda kuswali hala funga huanza alfajir hvyo akiamka na sio asubuhi nielewe vizuuri.

    • @hamadiharuna9974
      @hamadiharuna9974 5 років тому +1

      jaman Mtume wetu hawezi kulala na janaba mpaka asbhi na hajaoga iyo haiingi akilini mutafte mifano mingine sio kumudhalilisha kiasi hicho kuna njia nyingi za kutufundisha tukaelewa.

    • @aishasudi1571
      @aishasudi1571 5 років тому +1

      massoud Hassan hiii

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 років тому

    Maa Shaa Allah
    Kama hukuelewa kula daku kubwa na bila Kuosha mkono jua hayakuhusu

  • @athumanmohammed7550
    @athumanmohammed7550 5 років тому

    Swadaktah hili darasa zuri saana hili

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 5 років тому

    من أصبح جنبا،أصبح مفطرا Hadithi Dhaifu

  • @ramadhanshaibu8165
    @ramadhanshaibu8165 5 років тому +1

    Mashaallah

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 років тому +1

    Hahaha huo mkanda

  • @nyokamuddy4194
    @nyokamuddy4194 5 років тому

    Jazzakallah khair

  • @feisalmohamed3198
    @feisalmohamed3198 5 років тому

    kweli ni faida sasa je baada ya kula daku si kuna kusali fajir ina maana hakusal pia baada ya kulala na janaba. na hio hadithi ya mtume s w a. ipo katika kitab gani alicho kosa kunawa hadi fajir kumpita.. asanteni alfatah kwa elimu tupeni ili zaidi na zaidi lakinu bado hapa nafkria hilo suali

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 років тому +3

    Hizo sauti za background zisizokwisha za nini ?

  • @mubaraknassor4272
    @mubaraknassor4272 5 років тому

    مشاء الله بارك الله فيكم

  • @binsalim1917
    @binsalim1917 5 років тому +3

    Allah bark 4 message

  • @winstonsam8656
    @winstonsam8656 5 років тому

    Mashallah

  • @shanisaidy5033
    @shanisaidy5033 5 років тому

    Mashaaallah

  • @ibrahimshirazi6280
    @ibrahimshirazi6280 5 років тому

    Santaaa

  • @youngleader8656
    @youngleader8656 5 років тому +2

    Mashallah ujumbe umefika

  • @i.a.nalbusaidi4647
    @i.a.nalbusaidi4647 5 років тому +1

    Haya mafundisho ni kwa mtu ambae hajakusudia wala si mazoea yake.
    (من أصبح جنبا أصبح مفطرا)

  • @OmarMohamed-iz2zw
    @OmarMohamed-iz2zw 5 років тому +1

    kihujuhuju munkisikia wenzangu? neno la
    kikwetu khaswa ilo wakengeja mupo

    • @abumuhammad2572
      @abumuhammad2572 5 років тому

      Omar Mohamed 😁😁
      Ulipo tupo kengeja ya wapi weye

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 5 років тому

    Shukran Sana

  • @tinevimbologisticsltd7225
    @tinevimbologisticsltd7225 5 років тому

    Allah awalipe

  • @naimakweyamba5340
    @naimakweyamba5340 5 років тому

    Mie nataka kujuwa kwa mwanamke je Nae Analuusiwa kuonga kisha na kuendeleza funga mana navyojuwa mie mwanamke nilazima Ajitoe uchafu siemu ya sili ili onga na udhu wake ukamilike sasa apo ikakuwaje? Naombeni jibu mnao Elewa jamani

  • @challabeel578
    @challabeel578 5 років тому

    Shukraan

  • @rishadimuhammad3238
    @rishadimuhammad3238 5 років тому +1

    Mashaa Allah