Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
    Muda si mrefu iliopita nilirudi nyuma kidogo kwenye kumbukumbu ya mawasiliano ya kwanza kabisa kati yangu na moja wa wasaidizi wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho wa Kikwete na hiyo ilinirudisha nyuma mpaka mwezi wa tatu mwaka 2020. Kama mtu mwengine yoyote hii ilikua ndoto tu ambayo kwa Rehema na Baraka za Allah ilibidi itimie. Kwa Baraka zake hizo mimi na wenzangu tunashkuru sana sana kwa kuweza kulikamilisha hili.
    Shukran za dhati ziende kwa Doris Mollel ambaye kwa msaada wa Sadam ‘Almando’ Sanare alinimbia Doris anaweza akatu unganisha na mmoja wa wasaidizi wake ili tuweze kuona kama tunaweza pata hii nafasi, na kama ujuavyo, mengine yote yamebaki kuwa historia tu tena, maana yametimia.
    Mimi kama wewe tu, shabiki nambari moja wa Jakaya Mrisho Kikwete na kukutana naye, kukaa naye chini na kuweza kumuuliza maswali tuliyokua tumeyaandaa (kwa muongozo wao) ilikua raha isiyoelezeka. Mzee charming, mwenye roho nzuri na muelewa kabisa. Mengine yalofuata baada ya hapo ndo ambayo utayaona au kuyaskiliza katika maongezi yetu haya. Mengi yalikua ni juu ya yeye alivyokua na uelewa wake kwenye mambo mengi. I wish tungeweza kuongea nae kuhusu masuala meeengi zaidi kuhusu kiila kitu ila ki ukweli hii inatosha kwa sasa na Mungu atajaalia tutakutana naye tena siku nyengine In Shaa Allah.
    Mheshimiwa JK aliongea nasi kuhusu Wazazi wake, elimu, uelewa wake wa mambo, yeye kuwa mwanajeshi. Jinsi alivyokutana na Mama Salma. Historia ya nyuma kidogo kuhusu mapenzi na jinsi Marehemu Mzee wake alivyomtaftia mke na kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza ambaye ni Ridhwan. Kuhusu kitabu chake, mapenzi yake na basketball na muziki. Pia Kobe Bryant na mapenzi kwa wajukuu zake.
    Kama ilivyo kawaida yetu, yangu matumaini utapata kadhaa humu ya kukufunza jambo. Na napenda kuchukua nafasi hii kumshkuru kila mtu ambaye alisaidia hilo kutimia na zaidi team yangu yote ya ‘YahStoneTown’ ambayo ilifanya kazi iliyotukuka kukamilisha hili.
    Nikutakie Kheri ya mwaka mpya na kila lenye Kheri nawe.
    Enjoy.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 945

  • @abdallahrashid1182
    @abdallahrashid1182 3 роки тому +105

    Salama is very talented, the way anavyoongea na muheshimiwa ni kama binti anaongea na babaake, her facial expression and the way she is enjoying the moment with mr. President! It is lovely! She is my star

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 роки тому +1

      Amejikaza kucheka

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +4

    Dada usiwasahau Mzee Mwinyi, Mama Maria Nyerere, mama Fatma Karume na mama Ana Mkapa nk kuwapa kipindi kama hiki. Ni raha kuwasikiliza hawa wazee wetu. Tuwaenzi. Hongera sana.

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 3 роки тому +176

    Hii customer service is extraordinarrrrry yani tumeletewa JK mezani...guys, let's send more tip!

    • @mymussept3662
      @mymussept3662 3 роки тому

      ua-cam.com/video/XUVR261lcZY/v-deo.html

    • @lazaromtui1355
      @lazaromtui1355 3 роки тому +3

      Alafu kuna washenzi wamepress 👎. Watz tuna mdudu kichwani

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 3 роки тому +1

      @@lazaromtui1355 hawajielewi hao wanaopress

  • @jaafarjacka9272
    @jaafarjacka9272 3 роки тому +162

    Daahh huyu mzee ALLAH amuhifadhi ampe afya njema ampe mwisho mwema na amsaameh makosa yake...JK mtu mwenye moyo wa kustahimili

  • @mrsmbaga6082
    @mrsmbaga6082 3 роки тому +60

    Raisi asiye ogopa kuhojiwa raisi mwenye kujitambua mcheshi daaah mic u our father

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 роки тому

      Mmmh hapa unamaana yake siyo!

    • @captendunga1392
      @captendunga1392 3 роки тому +1

      Kwani huyo ni rais?? Au unataka kujenga hoja... nishajua unachotaka kumaanisha ni kwamba hata MAGUFULI akiachia kiti ruksa kufanyiwa intervew.

    • @anahna6788
      @anahna6788 3 роки тому

      @@captendunga1392 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 роки тому

      Nionyeshe interview aliofanyiwa Kikwete akiwa Madarakani...!
      Acheni mbwembwe..!

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 3 роки тому

      @@chiefmahucha6847 Zipo sana! Fanya usearch UA-cam utaona.

  • @ramadhanseif4564
    @ramadhanseif4564 3 роки тому +9

    All the best jk rais wangu bora kuwahi kutokea tanzania hakuna cha nyerere wala magufuli

  • @loveadventure1957
    @loveadventure1957 3 роки тому +29

    🥰much LOVE to our old president❤

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 3 роки тому +4

    Sijawahi ku comment kwa chanel hii..
    It may take a lot to Express how I feel, but for few words (Thank you so much Guys, Mungu awabarikie team yote kwa kazi nzuri)..
    Si kwamba kutoku comment huko kwingine haina maana kwamba sijapenda kazi zenu, uwa nazipenda, Leo nilipoona hii nimezidiwa mahaba...hongereni salama na Team nzima..

  • @ramadhanmohamed8851
    @ramadhanmohamed8851 3 роки тому +25

    Hii nimeipenda salama your the best ww ni mwisho kwa kweli hakuna kama wewe

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 3 роки тому +3

    Baba yetu kipenzi m.mumgu akumpe umri mrefu na swalih na akusameh madhambi yako ameen.

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 3 роки тому +7

    Miss you JK wallah Allah akupe afya bora na maisha marefu yenye baraka ndani yake

  • @jacksonmtumishi2157
    @jacksonmtumishi2157 3 роки тому +2

    Mungu wa hajabu sana Jk , Umenikumbusha mbali sana . uliyoyapitia mengi Mzee nimeyapitia Dah !!!

  • @fredydonald1610
    @fredydonald1610 3 роки тому +51

    Wewe kama unatak upepo kwenye nyumba ya makuti kajenge yako uishi... Hahaa we miss you hon JK

  • @edwardobreymarunda496
    @edwardobreymarunda496 3 роки тому +52

    We miss you JK..
    Thank you Salama

    • @NELSON64916
      @NELSON64916 3 роки тому

      Baba CJ. Mjomba anakunyoosha nini? Hahahah

    • @Exclusive22updates
      @Exclusive22updates 3 роки тому

      ua-cam.com/video/BAGyXHcRN-k/v-deo.html

  • @jrsingham
    @jrsingham 3 роки тому +28

    Daah kumb hata president alikuwa hataki shule duuh chama la utoro tumepata mwenyekiti 🤣🤣

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 роки тому +1

    Nampenda Sana huyu babajamani.I wish nikutane naye sikumoja.ntafurahi Sana. Nimcheshi,halingi,mzuri,tabasamu tamu.Mungu akulinde baba.

  • @BenjaminFMosha
    @BenjaminFMosha 3 роки тому +21

    Kazi nzuri salama unajua kuhoji haumkatishi mgeni big up

  • @khadeejaalmahri6217
    @khadeejaalmahri6217 3 роки тому +2

    Mash Allah big up mstaafu wetu mungu akupe Maisha marefu hizi ndio ndoa alizotuusia mtumie wetu s aw hongera baba mungu amekupa mafanikio ya dunia na akhera inshalla

  • @sultantany6091
    @sultantany6091 3 роки тому +39

    Salama nilikuona jana ivi ulikua unashabikia azam ama mlandege? Alaf hongera kwa kumpata huyo mzee jk

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 3 роки тому +8

    Salama wewe ni mkali sana, nimependa sana jinsi unavouliza maswali, Nakuoenda sana.

  • @ramadhanimohamedisheshe7073
    @ramadhanimohamedisheshe7073 3 роки тому +13

    JK THE SECOND ALLAH AMPE UMRI MREFU HUYU MZEE....

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 роки тому +2

    Jk Mungu azidi kukujalia afya njema ili uzidi kutufundisha mambo mengi ya mazuri katika huu ulimwengu nimependa Sana mahojiano haya. 🙏🙏

  • @juju-hc8to
    @juju-hc8to 3 роки тому +20

    Love him soooo much he is amazing

  • @kanyika14kanyika16
    @kanyika14kanyika16 3 роки тому +8

    Jamani muheshimiwa anazungumza vizuri 😍😍 we still missing you 😙😙

  • @barakachalres9316
    @barakachalres9316 3 роки тому +16

    Waoooooooooooh leo coment ya 7 asante sana dada Salama kwa kutuletea mtu mashuhuli na kipenzi cha watu kama huyu

  • @csellah4930
    @csellah4930 2 роки тому +1

    salama mungu akubarik sana heshima
    yako mh Jakaya mrisho kikwete allah akupe afya njema daima.💪

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 3 роки тому +164

    Kama unamkubali JK weka likes zako hapa tuone...

    • @prophetsjeremiah1063
      @prophetsjeremiah1063 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name.

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 3 роки тому +1

    What a humble man!!! Former president kwa talk show ya vijana? Kenya haijaai tokea.

  • @doreendinamica3473
    @doreendinamica3473 3 роки тому +8

    This is great.....well done Salama.........More Health Life to JK!

  • @abdallahomari9860
    @abdallahomari9860 3 роки тому +10

    Ikulu Kam ikulu sasa. Msooooooogggaaaaaa. Mojaaaa JK Master

  • @joycefelix9047
    @joycefelix9047 3 роки тому +2

    Hi Salama
    Kindly Invite Mama Salma Kikwete/Dr Asha Rose Migiro/ Mama Samia Suluhu

  • @chumayahaya9095
    @chumayahaya9095 3 роки тому +4

    Wemzee umepitia mengi ndyomana mjanja sana unaelewa sana mtaa our former President Dr jakaya mrisho kikwete

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 роки тому +14

    Nilikuwa naisubir Alhamdullilah imewadia love C* salama 😍😍

  • @eliagodlove1095
    @eliagodlove1095 3 роки тому +6

    Whaaaoh itz nice ....our dady JK i love u n salama

  • @jaalabenterprises6744
    @jaalabenterprises6744 3 роки тому +7

    Ahsante sana kwa kushare nasi.

  • @jumamwandai9859
    @jumamwandai9859 3 роки тому +1

    Uyu mzee anajitambua sana... Big up xan mr president.!!! 🔥 Nakukubali xan baba etu.

  • @lucasmwinuka3838
    @lucasmwinuka3838 3 роки тому +3

    Our father jk we love you

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 роки тому +1

    Nimemfata jk huku nampenda huyuu bab ongea yake tu Mungu amlinde , akuongezee miaka🙏

  • @cosmasdismas8714
    @cosmasdismas8714 3 роки тому

    Jk best president ever....live long mheshimiwa#mwana jangwani#dar young Africans

  • @faisalhizkil9174
    @faisalhizkil9174 3 роки тому +12

    Salama haikufaa uvae kaptula kwenye hii interview, unamhoji raisi umevaa kaptula!!!??? istoshe we mtoto wa kiislamu siyo vizur jaribu kusoma alana za nyakakati.

    • @hadijaiddy4638
      @hadijaiddy4638 3 роки тому

      Kwel yan wanafeligi Sana awa

    • @siapaul3346
      @siapaul3346 3 роки тому

      Ndo maisha yake kwanini Leo ajifanye mnafiki kuvaa dela au gauni kisa et raisi anaishi uhalisia wake big up ccter

    • @faisalhizkil9174
      @faisalhizkil9174 3 роки тому +1

      @@siapaul3346 hata ukiacha swala la uislamu, yeye kama mwanamke wa kiafrika hapaswi kuvaa kihuni mbele ya kiongozi mkubwa kama Kikwete... binadamu tumepewa uwezo wa kutumia akili zetu kutokana na mazingira... yani hata Magu akirudi nyumbani humbidi auvue uraisi then avae ubaba wa familia. Usiforce kuwa wewe yuleyule kila wakati na kila pahala.. kuna sehemu utapwaya.

    • @faisalhizkil9174
      @faisalhizkil9174 3 роки тому

      @@hadijaiddy4638 usela mwingi mwishoe anaharibu

    • @siapaul3346
      @siapaul3346 3 роки тому

      @@faisalhizkil9174 sawa bhana yawezekana hana hata gauni wala siketi jamanii

  • @kingjirehofficial
    @kingjirehofficial 3 роки тому +2

    Salama Big Up!....unajua hii kazi

  • @abdillahnyembeya1433
    @abdillahnyembeya1433 3 роки тому +1

    Makini sana ✍️ mzee wetu wew ni maana halisi ya uongozi na kama ingekuwa Kuna re-play ningependekeza ianzie kwako 🤔

  • @saidishebuge4796
    @saidishebuge4796 3 роки тому +12

    The Best

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 3 роки тому +2

    Nakupenda sana JK

  • @michaeldoroleo4864
    @michaeldoroleo4864 3 роки тому +1

    great interview,ila pia kama umeona paja la salama ungana nami hapo chini😍😍

  • @collinsmakanta6898
    @collinsmakanta6898 3 роки тому +1

    Huyu Mzee Yupo Peace Sana Aisee Mungu Azidi Kumpa Heli

  • @AliJabir-xi4em
    @AliJabir-xi4em 3 роки тому +12

    Mungu akupe maisha marefu Mh Jk

  • @abdallahsaidi2942
    @abdallahsaidi2942 3 роки тому +2

    Safi sana

  • @harunking5418
    @harunking5418 3 роки тому

    Nafurah sana nikimuona Mh.kikwete namuona alivyofanana na baba yangu. Very nice

  • @gibishinchambi1971
    @gibishinchambi1971 3 роки тому +1

    Mzee huyu safi sana Mungu ampe miaka kama yoteeee

  • @prosperkullaya4529
    @prosperkullaya4529 3 роки тому +3

    God blessing u Jk you looking Gd baba

  • @solomonnanguni2688
    @solomonnanguni2688 Рік тому

    Jk nakukubali. Mwingi wa kicheko na mzungumzaji hodari sana. Ila kila kitu chema kina mgogoro wake. Mumeupiga mwingi na wenzio wa CCM. Mumekula nchi yetu hata mbegu! Aah bwana shibeni basi.

  • @tracemsolla7604
    @tracemsolla7604 3 роки тому +9

    Jk for lifeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883 3 роки тому

    Huyu mzee ndio anaenifanya nione tofauti kati ya watu wa bara na wat wa pwani katika UTU

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 3 роки тому +1

    salama ana confidence jamani 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻hongera dada

  • @soulmusictz7015
    @soulmusictz7015 3 роки тому

    Salama hizi ni show Adimu sana Tanzania kama kuna uwezekano mjiunge na Television ilikuwafikia watu wengi zaidi

  • @saidmussa2792
    @saidmussa2792 3 роки тому +8

    Awoteeee

  • @mussachabonga9595
    @mussachabonga9595 3 роки тому +2

    Nice interview my lovely sister Salama for 2021 big up.

  • @ahmedalwy
    @ahmedalwy 3 роки тому +2

    Hi Salama, I cannot wait for Ali Kiba and Diamond come on plssss 🙏
    Much love from Saudi Arabia 🇸🇦🤩🤛

  • @winnieseme5492
    @winnieseme5492 3 роки тому

    Mungu akupe uzima Jk. Binafsi nitakukumbuka daima.

  • @laurineaban1323
    @laurineaban1323 3 роки тому +1

    😂😂huyu baba he is very social jmn 😊❤️ Mungu amtunze jmn🙏🏻

  • @edson2450
    @edson2450 3 роки тому +9

    Kiti cha mbele kabisa,

  • @emmanuelmwafubo2747
    @emmanuelmwafubo2747 3 роки тому +2

    Tunamsubiri uncle magu

  • @issamanongi1902
    @issamanongi1902 6 днів тому +1

    Dah hizi zilikuwa zangu kabisa sema nikikumbuka 😂

  • @nurulight177
    @nurulight177 3 роки тому +13

    I really miss u JK jaman

    • @salimfea
      @salimfea 3 роки тому +1

      My president

  • @diamondplatnumz5849
    @diamondplatnumz5849 3 роки тому +23

    Salama una akili sana kmleta kikwetee ,.lugoba oyeee my advance school

    • @godwingabriel8882
      @godwingabriel8882 3 роки тому +1

      Lugoba ✊🏼✊🏼 ✊🏼 Chalinze 1✊🏼✊🏼 hoyeeeeee

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 3 роки тому

    Huyu jamaaa Ni Azina Sana. Anajua Mambo mengi ya nchi

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief6151 3 роки тому

    Salama kumbe mzuri tu uolewe sasa mtoto wa ki islamu

  • @yusuphumussa904
    @yusuphumussa904 3 роки тому

    penda sana uyu mweshimiwa jakaya aongee kingereza utampenda zaidi obama alizima sigara

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому +12

    Nimeipenda hiyo yaku weka maji kwenye mafuta. Kwa mwaka huu mafuta yalivyo bei ghali ningejaza mandoo nakwambia kutoka lita 5 tu 😂

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 2 роки тому

    Wee salama mara nyingi unaonekana kugusa nywele kama vile nywele chafu MBA au ......au jasho...haipendezi kabisa mbele y mgeni..

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 3 роки тому +24

    It's Jakaya Kikwete 🌶🍷

    • @mymussept3662
      @mymussept3662 3 роки тому

      ua-cam.com/video/XUVR261lcZY/v-deo.html

  • @lilzombies7821
    @lilzombies7821 3 роки тому +2

    Mlete mo dweji atueleze paka walimsajili lini

  • @jsmastory5770
    @jsmastory5770 3 роки тому +2

    Nmefurah sanaaa kuona Leo tunae rahsi pendwaa

  • @SIMULIZIZONE
    @SIMULIZIZONE 3 роки тому +1

    Daah heshima sana kwa huyu mzee

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 3 роки тому

    JK Mungu akutunze na kukupa afya njema. Tunakupenda.

  • @malickabbas8271
    @malickabbas8271 3 роки тому +1

    Tunakumiss mzee

  • @franshyera8970
    @franshyera8970 3 роки тому +1

    interview bora ya mwaka . Hongera salama

  • @hadijamhina923
    @hadijamhina923 3 роки тому +1

    So funny super father

  • @ansijl
    @ansijl 3 роки тому +1

    This show is so on point. Great production

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 роки тому

    Mkuu, asante kwa kuyatoa ya ndani. Allah akuhifadhi.

  • @gracemsenya2198
    @gracemsenya2198 3 роки тому

    natamani siku moja nifanye interview na salama nampenda jamani uko vzr sana my dia salama

  • @sosterntulian491
    @sosterntulian491 3 роки тому +3

    Raisi wetu wa miaka yote

  • @fadhiltindwar49
    @fadhiltindwar49 3 роки тому +1

    Bless up.....mfate Nikki mbishi now muuuliz apa vp

  • @mohammedallysingano5771
    @mohammedallysingano5771 3 роки тому

    My president💓

  • @josephkomba1732
    @josephkomba1732 3 роки тому +7

    Love it JK

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 3 роки тому

    Hongera sana Salama kwa ubunifu, for surely, ua talented

  • @ramahamis5793
    @ramahamis5793 3 роки тому

    Nampenda sana kiukweri JK natamani MUNGU anipe BUSARA kama zake

  • @prackedarwechungura7788
    @prackedarwechungura7788 3 роки тому

    WE LOVE YOU WE MIC U MY FEV PRESIDENT EVER ❤❤❤❤❤

  • @yustinageorge1771
    @yustinageorge1771 3 роки тому +2

    Nzur sana

  • @BashirMatola
    @BashirMatola Місяць тому

    Huyu ndio rais aliyefanya makubwa tanzania

  • @mkakampole7802
    @mkakampole7802 3 роки тому +1

    Ila mzee kikwete anachekesha jamn😂😂.. Et chakula chepesi nachoweza kupika ni chai

  • @abdulazizimohamed3093
    @abdulazizimohamed3093 3 роки тому

    Salama naona umeishiwa na maswali umebaki kucheka tu na Rais wetu

  • @aidanwazebanga6910
    @aidanwazebanga6910 3 роки тому +9

    Dady we miss you😭😭

  • @tinondege3771
    @tinondege3771 3 роки тому +2

    Top notched

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 3 роки тому +6

    Wow nimeipenda hii sana

  • @harounahaji7578
    @harounahaji7578 3 роки тому

    Salama uko juu paka kikwete

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 3 роки тому +1

    Salama umependeza na buibui

  • @aisharamadhani9438
    @aisharamadhani9438 3 роки тому +12

    Jakaya tuhulumie bc yaan Kama hutuoni tumekumisi xana mpendwa wetu

  • @wallesdavidprimarymasinga3382
    @wallesdavidprimarymasinga3382 3 роки тому

    Mzee Jakaya ni nomaa inapendeza more blessings