PAMELA SIMULIZI FUPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 91

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 14 днів тому +5

    😂😂😂😂ila huyu Pamela ataniuguza vichomi leo❤🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 14 днів тому +8

    Hakuna kulala huku Pamela huku Edna ni ss tu tushindwe wenyewe barikiwa sana 🎉🎉🎉

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 14 днів тому +9

    simulizi ni ya kujifunza kwny hy maisha yetu siku zote mama ndio ndy mwenye kujua uchungu wa mtoto wake na unakulaje chakula kikakushuka na ujui mwanao anaendeleaje na anakula nn ? ndoa siyo chochote kwny maisha mwanaume anaweza kukutenda na kukuumiza na ata kukuacha lakini mwanao uwezi kukuacha maana iyo ndy azina yk kwnye hii dunia pongezi kwa ma singles mother wote wanao pambana na watoto wao wote ❤❤❤

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 14 днів тому +2

    Hii ndio inaitwa kua ndege wawili kwa jiwe moja😂😂😂, asante sana kaka lucas mungu akulinde kwa kila jambo😊😊

  • @user-sp9tq8mq6q
    @user-sp9tq8mq6q 14 днів тому +4

    mzigo bado wa motto Pamela ❤❤🔥🔥🔥

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 14 днів тому +6

    Asante kaka Lucas kwa kitu kipya tuko nazo zote hatuachi hata moja

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 14 днів тому +12

    ❤️❤️Duu leo ni leo jamani asemae kesho adanganya yule aina leo kiupya like apa, asante kaka lucas ubarkiwe pamela ktu kpyaa kpyaaaa!💯🪑🎧🏃

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 14 днів тому +4

    😂😂😂😂😂 wewe lucas 🎉🎉🎉❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 13 днів тому +2

    Kwann bibi anarohoo mbayaa hivyoo mpka chakula wanakunyima jamani 😢😢😢😢halafu wewe ndounapika loo

  • @user-zs3jf3uz9c
    @user-zs3jf3uz9c 14 днів тому +3

    Kazi nzuri mungu awe nawe pia

  • @RedmiA3-g8w
    @RedmiA3-g8w 14 днів тому +2

    Uwiiii❤❤❤🎉🎉🎉 mtoto Pamela

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 14 днів тому +4

    Mashaal asant 44❤❤

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 14 днів тому +4

    Wakwanza ❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 14 днів тому +4

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 14 днів тому +2

      Lucas hiyo michezo ya kufunga majani njiani ilikua miaka ya 80 kwa sasa watoto Wa 2000 Wa toke wapi wajue mambo hayo 😂😂😂😂😂

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 14 днів тому +2

      Yaani huyu bibi gani jamani khaaah 😗😗😗😗

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 14 днів тому +2

      Mmetisha🤣🤣 majani yasasa ni sms

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 14 днів тому

      @@TeklaNdekeja nikweli kabisaa majani ya sasa ni SMS 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 14 днів тому +4

    😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏 Thanks son

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 13 днів тому +1

    😢😢😢😢😢😢😢huyu shangazi na watoto wake Mungu atawaona yani matesoo bila chuki

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 14 днів тому +3

    I love you kaka Lucas

  • @NeliaDaniel-h9s
    @NeliaDaniel-h9s 13 днів тому +2

    Mungu siku zote huwa ni mwema japo kutuacha kwanza tupitie kikwazo mitihani na tunapo shindwa hujizihilisha kwa aina yake 🙏🙏🙏🙏

  • @HalimaPachu
    @HalimaPachu 14 днів тому +4

    Aww syo kwa suprise hii ngoja nianze na Pamela coz Edna inatakiwa umakini sana

  • @ostakiamgaya2045
    @ostakiamgaya2045 14 днів тому +2

    Pombiiii nyumbiiii tumefikwa😊

  • @user-tc7lp2fb9d
    @user-tc7lp2fb9d 14 днів тому +3

  • @JosephineTantine
    @JosephineTantine 14 днів тому +2

    ninzuri sana ❤❤❤❤

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 14 днів тому +3

    Lucas yani unatowa edna na pamela kwa makusudi wallah acha mi nianze na Edna pamela badae

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 14 днів тому +5

    ᴴⁱᶻⁱ ˢⁱᵐᵘˡⁱᶻⁱ ᶻⁱᵗᵃⁿⁱᵘᵃ 😅😅😅 ʰⁱⁱ ⁿᵃⁱʷᵉᵏᵃ

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 13 днів тому +2

    😢😢😢😢😢huyuu mamako kweli alikuzaaa😢😢 yani bora kilamtuu akukatae lkn sio mxaxi 😢😢😢mamako kweli chixi

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi 14 днів тому +3

    Pamela wapitia

  • @Rehemaa-uz8rj
    @Rehemaa-uz8rj 14 днів тому +3

    Nzur sana

  • @AthmanMasini
    @AthmanMasini 12 днів тому +1

    😢Ni kweli Pamela ni zam yao kuja kukuafuta na kukuomb msamh kila la. Kher kweny maish yko mapya😊❤

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 14 днів тому +6

    Mambo vpLucas😊

    • @Lightkiboga
      @Lightkiboga 13 днів тому

      Poa vipi kaka

    • @habibanasoro9024
      @habibanasoro9024 13 днів тому

      @@Lightkiboga 😂😂mi Dada 👈

    • @Lightkiboga
      @Lightkiboga 13 днів тому

      @@habibanasoro9024 oooh am very sorry sorry jamaneh

    • @Lightkiboga
      @Lightkiboga 13 днів тому

      @@habibanasoro9024 tatzoo picha uliowekaaa🤣🤣😂

    • @habibanasoro9024
      @habibanasoro9024 13 днів тому

      @@Lightkiboga 😍😍

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 14 днів тому +9

    Ingawa watoto wanaopitia magumu kama hivi Mungu huwabariki sana wakati mwingine,mimi nawalaumu sana watu wanaotelekeza watoto wao kwaajili ya ndoa mpya,na ninawaheshimu sana wazazi wanaolea watoto wao wakiwa single parent kwaajili ya kuwatetea,wanaokimbilia ndoa mpya huwataka watoto wao wavumilie shida ambazo wao hawawezi kuvumilia,kiukweli ubinafsi wao unanishinda😢😢

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t 14 днів тому +1

      😅😅 nishasema ukinipenda nipende na mtoto wangu kama huwezi pita kushoto maana ukipita kulia tunaweza kutana🤣🤣

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 14 днів тому

      ​@@user-jk8qn4zi5thiyo ni sahihi kabisa,kweli mtoto anateswa na wazazi wake kama majambazi bila hata huruma,anauzwa kama mbuzi wa sadaka😭😭afadhali muwe mmekufa kuliko mnaishi

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 13 днів тому

      Ata hvo Dunia ya sasa Haina mapenzi hasa ikiwa unafamilia iwe mwana mke au mwanaume

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 13 днів тому +1

      Nakumbuka mamaangu alinambia babaaungu arifalik nikikwa na miezi nane😭 nae alkua bado numlmdogo alipata mwanaumee akaolewa nimekua bla kujua kua yey sibabaangu japo kua maisha yakua magum nimefaham hlo nikwa darasa la sita maana ata shule nilitumia Jna la baba angu wakambo tulikua wawili altupenda ote🙏🙏 leo mwanaume anakwambia watoto peleka kwandungzao ujetuoane

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 13 днів тому

      @@TeklaNdekeja mshukuru Mungu sana kwaajili ya huyo babako mlezi ambae ni malaika,kama anaishi bado umheshimu na kumpenda kwa moyo wako wote,kwani wewe unapaswa kulia machozi ya furaha kwa kuwa na baba wazazi wawili

  • @rizikih6898
    @rizikih6898 13 днів тому +1

    Kweli Kenya viko vikombe ivyo

  • @faithndenge-cz8pe
    @faithndenge-cz8pe 14 днів тому +3

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @gedizwamama
    @gedizwamama 14 днів тому +5

    Wakwanza

  • @WernerJunior-wc5uq
    @WernerJunior-wc5uq 14 днів тому +2

    Asante kaka lucas barikiwa sna umejuwakutufuraisha ❤

  • @tyroneduplooy9903
    @tyroneduplooy9903 14 днів тому +5

    Mnaomba like nawakati hata cku moja cjaona like yenu hap😂

  • @EsterSayi-s1q
    @EsterSayi-s1q 14 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 14 днів тому +3

    Leo mambo matam

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 14 днів тому +3

    Wakomage tu kungangania mandoa na kuwafukuza watoto nyumbani,shenzi sana😩😩

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 14 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SabrinaIsmail-c1h
    @SabrinaIsmail-c1h 14 днів тому +6

    Jamani leo wakwanza🎉😂😂

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 13 днів тому

    Asante psmela akuna laana walikukataa wenyewe

  • @هايلينل
    @هايلينل 14 днів тому +3

    Mm leo nimekimbia mbio na kiti ili nipate mahali pakukaa nikasikize Pamela akafanya nn, wacha 2 nienda nayo hadi mwisho ndio tutajua

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 14 днів тому +3

    Nimerud kwa Pamela leo umejua kutukomesha hadi raha

  • @fatumakama8760
    @fatumakama8760 14 днів тому +2

    Aya basi usi2bwange kesho kipenzi kwan leo ume2piga mbili za usoni 😂😂😂😂 cimchezo utamu mpaka kwenye chupaa

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 9 днів тому

    Daah hii simulizi tamu 🇴🇲🇴🇲

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 14 днів тому +5

    Mbona suprise sasa unatufanyia ok acha tutoe Comment turudi kwa Edna wetu kisha tutarudi kwa Pamela☺️

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 14 днів тому +4

    Iwiiiiiiii mzigo mpya tayar kak kaz nzur san

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly 14 днів тому +2

    ❤❤❤😂🎉

  • @DorcasJoseph-b2k
    @DorcasJoseph-b2k 6 днів тому

    Ameen mungu nionekanie mm

  • @user-so4gw1wz9b
    @user-so4gw1wz9b 14 днів тому +1

    Amen amen ❤❤❤❤🙏🙏🙏

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 13 днів тому +1

    Duuuu wazaxi wote wawili wamekutelekezaa bibi nayee ndohuyoo anakusimanga mm hapo sikai yan bora nikaemtaani kuungana.namayatima yani uko mzima unakuchukia pole mwaya

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 13 днів тому +1

    Yani baba hajakulea halafu anakuja kukuozeshaa jamani halafu huyu bibi na mwanae rohoo mbaya walivyojua baba anakuja wakampa chakula 😢😢😢😢😢😢 bibi naye hataki mjukuu aolewe awe maid wake .pamela miaka 18 ai bora ukimbie tuuu

  • @user-lu4op2lr1d
    @user-lu4op2lr1d 14 днів тому +6

    Hello 👋 guys nimewaiii eeeh waoooo nipen like bas vipenziiii🎉

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 14 днів тому +3

    Kamchezo kazuri sana nakakumbuka 🇰🇪🇰🇪

  • @luluhoney4622
    @luluhoney4622 8 днів тому

    Ilah lucas mm nalipenda unavyo badilisha sauti

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 13 днів тому +1

    Duu ila kuna wanawake wengine hawakufaa kuwa wanawake kwa maana wanawake walio zaa hawawatesi watoto wao na kuwatelekeza labda vichaa

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty 4 дні тому

    Duuh Pole sana pamela hadi nimelia hasa😢

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 12 днів тому +1

    Kwa kweli Wazazi wanatuleta duniani tunawashukuru lakini swala la upendo unapandikiza kwa Watoto ili iwe hazina baadae. Kama unapandikiza chuki kwa Watoto na fitina wakunbuke kwamba mavuno yapo. Sasa utapataje radhi ya Mama ambae hakutaki? Hata mbingu zina macho🙏🏾

  • @GogoO-mb5fq
    @GogoO-mb5fq 13 днів тому +1

    😎😎😎

  • @AdamSabugo-sr4ds
    @AdamSabugo-sr4ds 14 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 13 днів тому

    ❤❤❤

  • @Tabiasalum-gz4fv
    @Tabiasalum-gz4fv 11 днів тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 13 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 13 днів тому

    Wazasi wengine afathali kukaa bila

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 13 днів тому

    Ukanen n mtoto wako kisa na maana mwanamume

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 12 днів тому

    😢😢😢🤔

  • @GogoO-mb5fq
    @GogoO-mb5fq 13 днів тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🌹🌹

  • @sarafinahprince4265
    @sarafinahprince4265 13 днів тому +1

    Kwakweli hii story imeniumiza na kunikumbusha mbali juu hii ni story yangu mm kabisaaa yani nimejikuta nalia kweli

  • @user-yu4jk5vu2n
    @user-yu4jk5vu2n 14 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 14 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ZenaZena-vx2ee
    @ZenaZena-vx2ee 3 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 12 днів тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 8 днів тому

    ❤❤

  • @JohnyBaguma
    @JohnyBaguma 13 днів тому

    ❤❤❤❤