EDINA PART 37 | MICHEPUKO YAHAMIA JIRANI KARIBU NA NYUMBANI KWA EDINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 192

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 місяці тому +12

    Uje ututumie na picha ya nasra Amina na wengineo maan Edna ni mrembo haswa

  • @janekipsang425
    @janekipsang425 2 місяці тому +12

    Hamjamboni? Hongereni, na furahahi sana kuwa hapa

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 2 місяці тому +7

    Jaman Edna ❤❤❤

  • @PerpetualWanyama
    @PerpetualWanyama 2 місяці тому +7

    Nime wai pia Mimi salam kwa waknza niwape maua🎉🎉🌷🌷nawapenda❤❤❤

  • @Jennysolange8989
    @Jennysolange8989 2 місяці тому +7

    Wakwanza Tena jaman🎉🎉❤❤

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 місяці тому +5

    Yani kama mwanamke ulokamili huwezi kuwa mchepuko has sio kama wanabweda bali nishida tupu kaka tuko pamoja kazi mzuli mimi sina ulafiki namichepuko😊😊😊😊😊

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Ingekuwa mm sijui ningewafanyaje wasingesubutu ht kunisogelea

  • @SaeedhSaeedh-f6i
    @SaeedhSaeedh-f6i 2 місяці тому +8

    Nakuombea edna apate tena bume la mbegu🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 місяці тому +19

    Nipe hata like 5 tu bs mashabiki wa kaka lucas ❤❤❤🎉🎉

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 2 місяці тому +10

    Namba one makofi kwangu na msimuliaji😂😂😂

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 2 місяці тому +6

    Aaaah leo safi❤

  • @NiyonkuruMariam-qm3jb
    @NiyonkuruMariam-qm3jb 2 місяці тому +10

    Wakwanza Léo jamani naomba mauwa yen🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 місяці тому +9

    Wanne jamani team Roma kumekucha 🏃🏃🏃🏃🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 місяці тому +7

    Nimewah kweli hawamfikii edina

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Washamfikia hd Wanamyea kwa mdomo

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 2 місяці тому +6

    Wow furaha sana nmewahi🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @sallyvian
    @sallyvian 2 місяці тому +12

    Leo nimekua wakwanza jaman naomb like zenu

  • @marykabuto
    @marykabuto 2 місяці тому +6

    Hampoi 🎉❤

  • @rahimaomarybabu1808
    @rahimaomarybabu1808 2 місяці тому +3

    Natamani sana t jmn Edna apate ujauzito jamn

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Sio apate ujauzito alafu Roma aendelee na hawo malaya zake ht hautaona raha ya kubeba hiyo mimba

  • @MwanajumaNdegwa
    @MwanajumaNdegwa 2 місяці тому +6

    Leo nimekua WA kwanza

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 2 місяці тому +6

    Wa Kwanzaa aaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AnnaMsumule
    @AnnaMsumule 2 місяці тому +5

    Asante kaka RUCAS❤❤❤❤❤

  • @MishiMshihiri
    @MishiMshihiri 2 місяці тому +5

    Mbona kwangu hakuna sauti

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 2 місяці тому +10

    Yaani leo hamuwezi nikanyaga 😅😅😅 nipo hapa kwa gate😅😅😅

    • @FatimaRamadan-s4f
      @FatimaRamadan-s4f 2 місяці тому +1

      Pisha basi mie nipite mbona watafuta sababu ukanyangwe useme mie ni m baya 😊😊😊

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 2 місяці тому

      @@FatimaRamadan-s4f haya mama 😅😅😅

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 2 місяці тому

      Haya bana 😅😅😅😅​@@FatimaRamadan-s4f

  • @Siti-kg4lj
    @Siti-kg4lj 2 місяці тому +7

    Love you edna

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 місяці тому +6

    ❤❤ asante

  • @ShadyaKipingu
    @ShadyaKipingu 2 місяці тому +7

  • @ScollasticaLaurent
    @ScollasticaLaurent 2 місяці тому +7

    Leo nimekua wakwanza

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 місяці тому +9

    Doric anaweza acbebe akja kushndwa hayo mazoez ya Roma.

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 місяці тому +4

    Wa kwanza nimewahi ❤❤❤❤🎉

  • @SarahJackson-nt1mp
    @SarahJackson-nt1mp 2 місяці тому +1

    Inazidi kuwa bomba zaidi, tuombe uzima tu Jamani 😍😍😍😍😍

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 2 місяці тому +13

    Hata wakishika wote mimba mke n mmoja tu 😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому

      Roma kanishinda tabia, Roma ata nyimwe Haina maana kumpa ktumbua km unajipemda aendeleet namichepuko maana hanamipaka

    • @anneMoeti-d3l
      @anneMoeti-d3l 2 місяці тому

      Ila anamupenda sana Edina Na you ndio mke wake pekee

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂hee,leoo 😂😂😂😂 wanakusanyika wote bila ubaguzi leo,labda watazoeana zaidi na kuheshimiana😂😂ngoja tuone,labda ni dharula

  • @LeahIbrahim-ib4ss
    @LeahIbrahim-ib4ss 2 місяці тому +4

    Wa kwanza Leo 🥰❤️

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 місяці тому +6

    ❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 2 місяці тому +1

    Edna baada ya ndoa❤❤

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому +5

    Kazi ipo michepuko ni balaa😂😂

  • @lindaanyango
    @lindaanyango 2 місяці тому +5

    Asante kaka lucas kwa kazi nzuri 😂😂😂

  • @Saida-tv2vj
    @Saida-tv2vj 2 місяці тому +14

    Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau 🎉🎉

  • @هايلينل
    @هايلينل 2 місяці тому +4

    Mm sina say hapa wacha niongojea mwisho

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 2 місяці тому +6

    Aweee Athena uyo anatapatapa kama mfamaji ila hawez mwangusha Roma acha twende nayo mdogo mdogo.

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 2 місяці тому +2

    Mh jamani mwenzenu natoka kazini naiwaza edina tu japo nimechelewa 😮nimekuwa maka roma anavyo waza kuwanyandua mochepuko kila mda 😂😂

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 2 місяці тому +8

    Hata Roma anajua Edina ndo mkewe hy michepuko ni kitulizo tu cha mwamba

    • @Mejumaa-v3g
      @Mejumaa-v3g 2 місяці тому

      Haswa hadi ameanza kuonyesha wivu waziwazi sio siri tena

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 2 місяці тому +4

    Wa.kwanza.😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 2 місяці тому +1

    Leo mm niko nyuma ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 2 місяці тому +4

    Watu mko macho kazi ya mwarabu ijanipea time ningie UA-cam

  • @NancyKwimba
    @NancyKwimba 2 місяці тому +6

    😂😂😂😂 mbavu zangu

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 місяці тому +5

    Mbona hakuna sauti😢😢😢😢😢

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 2 місяці тому +10

    Jamani wewe lukas tueke sura ya roma maana sikwakupedwa huko 😂😂😂😂😂

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 місяці тому +4

      Ilishawahi wekwa .WAKAWAIDA SANA

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 2 місяці тому

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg wacha na Roma wangu😁😁😁

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому +1

      ​@@Kellyperry947😂😂

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua Місяць тому

      @@MwanatumuJumaa-rj4fg sana

  • @AnnaMsumule
    @AnnaMsumule 2 місяці тому +7

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 2 місяці тому +5

    Nimewahiwahi

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 місяці тому +4

    Munakimbya sana musinipituwe munakasi awomurishahamiya kwa Lukasi💐💐💐💐💐💐🇧🇮mwotouyo ntayingiya badae🦻🦻

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 2 місяці тому +62

    😂😂😂😂Wacha nicheke kwanza 😂... Hata wakihamia ndani kwake hakuna watakachopata kutoka kwa Roma zaidi ya kunyanduliwa na mwishoni Roma anabaki kua wa Edna tuonakubalia gonga like tujuane ❤❤

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 2 місяці тому +4

    Waooo 33❤❤

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 2 місяці тому +5

    Nawaombea wote wabarikiwe wamzalie Roma kwani anataka ila aweze kuwatunza tu

  • @PiliZubeir
    @PiliZubeir 2 місяці тому +6

    Mbona kwangu Hakuna sauti

  • @salmarajabu1626
    @salmarajabu1626 2 місяці тому +1

    Asante natumai watu wali watashika mimba

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 2 місяці тому +3

    Ayiiiiii doris mwanae atakuwa kitu cha ajabu roma atakiyayusha bhana😅😅😅

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому

      😂😂 haswa

    • @jasminmohagthari3730
      @jasminmohagthari3730 2 місяці тому

      @@RehemasiryaKabahasha team Edna atutak masihara ni dua mbaya tuu kwa michepuko🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

      Doris hawezi kubeba mimba maana tangu afanyiwe mazingaombo na Athena amesha nyanduliwa na Roma malanyingi na haja beba mimba nahuyo Doris siamwambie Roma kuhusu Athena kuliko kukaa kimya.

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu 2 місяці тому +1

    😂😂😂❤❤ hii simulizi inanifurahisha kweli asante kaka lukas

  • @HijraJuma
    @HijraJuma 2 місяці тому +3

    can't wait to see rromaaaa😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 місяці тому +6

    Hata wangekuja kuishi hapo tuu kwa Edina wamtawale huyu roma kwann anamshushia hadhi mkewake

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Huyu mtu aninikwaza sana

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 2 місяці тому

      @@OdethaTesha mm ndokabisaa mana sasa unamke halafu michepuko tena karibu kabisaa sijui hao wanawake wanajisikiajee kumfanyia Edina hivyo jamani kwaza hao wawili wanao lala naroma kwapamoja yani wanachefua kweli

  • @siliminamachao3485
    @siliminamachao3485 2 місяці тому +1

    Yaani hii simulizi ni tamu we acha tu asate lucas

  • @GufgChgy
    @GufgChgy 2 місяці тому +3

    Naomba huo uchawi aliofanyiwa Doris usifanye kazi kwa Roma

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому +4

    🎉🎉🎉

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 2 місяці тому +3

    Mimi nahona goston inayo hishi kwenye mwili wa roma pamoja na nguvu za kijini avita kubali kwa nguvu ya athena kwakuwa itakuwa kinyume na nguvu zao Kama ni kweli yako ndugu😂😂😂

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 2 місяці тому +1

    Woyooooo mambo 🔥🔥🇴🇲 naomba Edna ndio hatapata mimba❤❤🎉

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 2 місяці тому +5

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Nattyjay294
    @Nattyjay294 2 місяці тому +4

    Sauti hakuna

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому +1

    Mm naona dorin hatapata mimba kwa nguvu za athena juu alipomfanyia uchawi roma alikua levo ya chini na sahizi yuko juu so hakuna mtego wote wote atakao ufanya ufanikiwe labda Roma mwenyewe atake😢😢

  • @aminasaid308
    @aminasaid308 2 місяці тому +2

    Mm naamini ngekua b4 doric angebeba bt kwa level aliyofikia Mr Roma hakuna Zaid ya Edina wetu basi

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 2 місяці тому +2

    Duuuh jaman kak Lukas nitafutie namb ya Roma nashid nayo jaman Kun watu wananisumbua huku 😂😂😂😂😂

    • @Eldaheliya-zl5to
      @Eldaheliya-zl5to 2 місяці тому

      Hahaha usinichekeshe kuna siku niliona nikajikuta Edna namuita roma anisaidie

    • @ReginaJumanne
      @ReginaJumanne 2 місяці тому

      @@Eldaheliya-zl5to 🤣🤣🤣🤣🤣 hizi xhid zinaach tumkumbuke Roma Kam tunamjua vile

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 2 місяці тому +3

    Mmmh ham lali

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 місяці тому +1

    Nmechelewa kube ❤

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 місяці тому +3

    Ila Rose na dors nyinyi mna laana hamuoni ata shda kuchangia chumba mmekaa kma malaya mhhh

    • @sakinapili1569
      @sakinapili1569 2 місяці тому +1

      Ni wamalaya walokubuhu

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому +1

      Malaya tena waliokubuhu maana wanamke walio timamu hawaezi fanya mapenzi kwa pamoja hata wanatia kinyaaa🤮🤮🤮

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому +1

      Doris na Rose mwishoni watakuja kuwa wasagaji kama Athena mwenyewe mi yangu macho na hapo Roma atawabwaga wote kwapamoja😂😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 2 місяці тому +1

      @@Evelynmoreen3655 tena me natak awafumanie kbla ata hajawafundisha izo njia zke 🤣🤣🤣

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 2 місяці тому +1

      @@RehemasiryaKabahasha Malaya mwenzao roma na ndo mna anapnda mwenyew

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 2 місяці тому +1

    Edna kaka😂❤❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому +2

    Jamani kumbe Doris ni mrembo hivi ndio maana roma wetu anachanganyikiwa😂😂

  • @AzizaTanzanya
    @AzizaTanzanya 2 місяці тому +3

    Jaman kazur

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 2 місяці тому +1

    Edina ndo kila kitu sema roma ni zaid ya kicha😂😂😂

  • @Munirahamis10
    @Munirahamis10 2 місяці тому +2

    🤣🤣🤣🤣ila roma na hao wanawake wake hawana aibu kujikusanya kwenye nyumba ya mwenzao ndo nini 😢

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Ndio nashangaa kwann asiwapele kule walinzi wake walikoweka kambi

  • @ashalwamba8286
    @ashalwamba8286 2 місяці тому +2

    Mali na ya Edna tu awa wengine ni mapanya tu.

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 2 місяці тому +1

    Mh wanajiloga tu ndo wanamfanya edina aweke umakini mkubwa kuliko awali wataiishia kunyanduliwa tu 😂😂 acha nicheke

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 2 місяці тому +1

    Mh nilikuwa nawaza ivi kwamfano wanawake wa roma wakipat mimda jamani🤔🤨🤭

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g Місяць тому

    Jmn wanawake mkisaidiwa tu kunakufa na kuoza mazma mnabakiza kunuka tu😇😇😇

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi 2 місяці тому

    Edna ndio atabeba mimba wanza ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @rosalienahimana6287
    @rosalienahimana6287 2 місяці тому +2

    Dorisi anaedha kupata miimba Edna atafata

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому +1

      Naomba Mungu Hilo lositokee maana hp nitaacha kusikiliza hii simuliz

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому

      ​@@OdethaTesha😂😂ila wadau mnanichekesha

  • @Munira1044
    @Munira1044 2 місяці тому +4

    ❤❤😂😂

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 2 місяці тому +1

    Awo Wana wake wange chomeka kama sambusa ingekuwa pow kwel

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому

      😂😂😂 Kwanza hao makahaba wawili wanaofirwa pamoja wamenisinya sana

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 місяці тому +2

    Mmi nsomba roma akufe amenichosha mmi nahio michepuko yake

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Bora Roma akufu wote wakose na Edna wetu anabak na lanlan

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +2

    😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

    Kusema ukweli Edna anaroho ngumu yani michepuko yote ikusanyiwe kwake na ayitafutiye nyumba khaaaa amakweli hiyo michepuko hayijishuku kweli wangeachana na Roma maana mama mjengo hana baya masikini Edna usihofu lazima upewe hitaji la Moyo wako mwaya❤❤❤❤❤ kama unakubaliana nami nope like😂😂😂😂😂😂

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 2 місяці тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @OdethaTesha
    @OdethaTesha 2 місяці тому +4

    Doris ni mzuri ila hajanizid

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому

      😂😂

    • @OdethaTesha
      @OdethaTesha 2 місяці тому

      Hii story leo haijanibamba sana inanitia. Huzun tu sijui kwann nasikiliza hii story alafu naumia

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому

      @@OdethaTesha ☹️☹️pole kipenzi siku hazifanani

    • @RehemasiryaKabahasha
      @RehemasiryaKabahasha 2 місяці тому

      ​kweli inachukiza sana na hawa michepuko, nikama anamdharau Edna ni ningekua mm ningejitia kitanzi mara moja😒😒😒

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому

      @@RehemasiryaKabahasha 😅😅Kuna mda hizi stimulizi zinatuumiza sisi wasikilizaji😂😂

  • @ChristineOresha
    @ChristineOresha 2 місяці тому

    Yep Doris mimi naona atanasa mimba ya masinga umbwe😅

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 місяці тому

    Bismillah ndo na anzaaa minah babe yake roman
    Nilipo mtandao una sumbuwa😢

  • @Monica-p3k
    @Monica-p3k 2 місяці тому

    Edina ndio ata beba mimba ju nkama pia yy ana nguvu flan

  • @aishaOmar-i1k
    @aishaOmar-i1k 2 місяці тому

    Edna ndie atakaye beba mimba wa kwanza

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 місяці тому

    Uyu Edna anamupango gani na Roma awo naiyi micepuko?? Anazidi kuniudhi mimi Siufukuze uyu Roma wakukuzarawisha naiyi micepuko maisha niya Allah gusema ubebe mimbayake siungi mukono kwanzahawogopi kukureteya iyomikoshi unaloho miningefukuziq mbari minimwîvu tenasana we unasubiri muunge ndowa nakumbuka arikwambiya hadaheba mucepuko wake hataumoja umekwama wapi😭😭😭😭😭

  • @EdinaEdina-tn4go
    @EdinaEdina-tn4go 2 місяці тому +1

    ❤❤❤🎉

  • @SallyJemutai-w5r
    @SallyJemutai-w5r 2 місяці тому

    Roma asizalishe inje y ndoa juu michepuko watazarau edna heri edna awe wa kwanza michepuko baadaye

  • @NeyMarco-b8g
    @NeyMarco-b8g Місяць тому

    Jmn watakao pata ujauzito ni edina na doriss

  • @AnjelaSilayo
    @AnjelaSilayo 2 місяці тому

    Mimi pia naona doris