DADA WA DULA MAKABILA AFUNGUKA PENZI LA ZAYLISA ,KULOGANA KUPO KWENYE NDOA/NDOA YA BARNABA,MAMAKIMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @mirrykirungi5078
    @mirrykirungi5078 Рік тому +2

    Siwa nakupenda dada beauty with brain kweli

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Рік тому

    Love siwa wng❤bint kikala kula chips naja kulipa ❤🥰🔥🔥🔥nakupendaga sanaa

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 Рік тому +2

    😅😅😅😅😅😅yaan huyu dada nampenda jaman mweee😂❤❤❤❤

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 Рік тому +3

    Nampenda huyu dada❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @sitimwarakwe1830
    @sitimwarakwe1830 Рік тому

    Nakupenda bure mwaya

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g Рік тому +1

    Nakupenda cn dada siwa❤❤❤❤❤❤

  • @Atb300
    @Atb300 Рік тому +3

    Nampendaga uyu dada ❤❤❤

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 6 місяців тому

    Safi sana

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 Рік тому

    Yaani wewe Dada nakupendagaaaaaa sanaaa

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому

    Siwa kikala a.k.a Mama Mashavu😄😄😄😄Hongera kwa kuongea ukweli❤️❤️

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 Рік тому +8

    Siwa nakupendaga kweli kwamajibu yako kweli unaongeya ukweli😂😂😂😂😂

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 Рік тому

    Dada nakupenda bure

  • @lolollololi1050
    @lolollololi1050 Рік тому

    Dada hongera sana unahakili wewe😂😂

  • @chikuchinga8118
    @chikuchinga8118 Рік тому

    Mimi niwewe dada siyawezi nasita yaweza🙌

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Рік тому

    👌👌👌👌Safi Maneno kuntuu

  • @sadilahindian3401
    @sadilahindian3401 Рік тому

    Heee kumbe ni ndugu yangu

  • @JanetJohnson-gj1bv
    @JanetJohnson-gj1bv Рік тому

    Dada upo vizuri kwa swala la kumtunza mtu ela nyingi m mwenyewe sinaga ila kwa kaka Barnaba kubadiri dini mmmh amenzingua sana ila tunamuombea sana tu❤

    • @Haroun_juma
      @Haroun_juma Рік тому

      Kwann sasa kakuzingua wakati kafata dini ya haki

    • @valeriaally6584
      @valeriaally6584 Рік тому

      @harounjuma1200 dini ipi ya haki,ulikua na Mungu ww aliposema dini hii ya haki na hii si ya haki au ndio mnajichetuaga tu

    • @KurthoomIbraton-pu3gq
      @KurthoomIbraton-pu3gq Рік тому

      @@valeriaally6584 dini ya haki kwa sababu kila nambii alikuja kwa kipind chake nabii issa au yesu alikuja na kipind chake kimeisha akaingia muhammad ndo kipind chake hiki

    • @jellynesssemu9406
      @jellynesssemu9406 Рік тому

      ​@@KurthoomIbraton-pu3gq😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Рік тому

    Upumbavu mtupu haya mambo ya kutunzana mwisho watu watakuwa wanakataa kualikwa. Vizuri Sana dada bora waambie kabisa huo upumbavu hutaki

  • @mwangazamengi2161
    @mwangazamengi2161 Рік тому +1

    Yaani huyu ni mimi kabisa sipendi kweli izo tabia😏😏😏

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Рік тому +2

    Sio laya jamani ni RAYA.

  • @sadilahindian3401
    @sadilahindian3401 Рік тому +1

    Nakufa huku mwenzenu

  • @rehemaissa358
    @rehemaissa358 Рік тому

    Hahaha nimecheka kama fala. Macarrree

  • @tabithadaniel7364
    @tabithadaniel7364 Рік тому

    Sasa huyu mtangazaji amezidi anamuuliza amina kuhusu ndugu wa barnaba

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Рік тому

    Ndio washaachana sasa

  • @AzaShamba
    @AzaShamba Рік тому

    Hivi ni kuloga au kuroga?

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +2

    Huyo yy mwenyewe kabadili dini kaolewa na mkristo Dullah Makabila alisemaga kipindi kile cha ugomvi wa mkewe wa kwanza kwann amuingilie mbona yy hakuingiliwa alivyotoka dini. Voice is Dullah

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 Рік тому +1

      Kabadili dini bass ni mjinga huyo dada ake dulla makabila haongopi mungu siyo endebakiya na dini yake tu ya kislam huo ni mtihani yarabi😢

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 Рік тому

      ​@@kadijahajali3918anaishi na mkristo bila ya ndoa ila hajabadili dini!!!!

  • @sabinamathias-qk7bv
    @sabinamathias-qk7bv Рік тому

    Nakpenda xana da siwa unajiamin mpaka unakeraaaaa🤣🤣🤣

  • @sitimwarakwe1830
    @sitimwarakwe1830 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂Siwa u

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Рік тому +2

    Mapenz mahendoring makea😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Рік тому

    😂😂😂😂😂