Enzi Zao : JJ Kamotho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2012
  • Anajulikana na wengi kama JJ Kamotho, lakini jina lake halisi ni Joseph John Kamotho. Alihudumu kama mbunge kwa zaidi ya miaka thelathini. Yeye ni kati ya wabunge waliokuwa na uhusiano wa karibu na rais mstaafu Daniel arap Moi. Kwa sasa, yeye ni mkulima katika kaunti ya Murang'a, lakini bado hajazika siasa katika kaburi la sahau. Joab Mwaura kwa niaba ya Franklin Macharia aliye nchini Somalia anakusimilia zaidi maisha yake Kamotho.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @Patdisel
    @Patdisel 12 років тому

    Ati atasimamia senate? Hawa wazee wanajipenda sana kuliko nchi na watoto wao.

  • @chrismwenda
    @chrismwenda 12 років тому

    edit these videos well.................

  • @trizaq
    @trizaq 12 років тому

    job poorly done!!! what happened to the standards and the quality delivery of news and information?

  • @mkenyahalisi1
    @mkenyahalisi1 12 років тому

    ....he said chama cha mapenzi, lol

  • @mytime81
    @mytime81 12 років тому

    Please stop wasting our time with poorly edited videos.

  • @NusuKappeti
    @NusuKappeti 12 років тому

    Come on Citizen... You can do better!!

  • @NusuKappeti
    @NusuKappeti 12 років тому

    LOL.. Kamotho! Kanu ni mama na baba! Bure Kabisa! Ass kisser! Stay retired please!!