Enzi Zao : Juha Kalulu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2012
  • Juha Kalulu si jina geni, hasaa kama wewe ni mpenzi wa lugha ya Kiswahili.Ni safu katika gazeti la Taifa Leo, inayoangazia, kibonzo mmoja machachari, na mkewe sara,na mbwa wao kwa jina tusker.wengi hasaa vijana wa jana walipenda sana katuni huyo, lakini mchoraji wake, wengi hawamfahamu. Mwanahabri wetu Joab Mwaura alimsaka mzee Edward Gitau mwenye umri wa miaka 82 ambaye kwa zaidi ya miaka sitini amekuwa akitayarisha safu ya Juha Kalulu bila kusita, na ndiye anayetupambia makala ya enzi zao.

КОМЕНТАРІ • 15

  • @emmanuelgicheri1734
    @emmanuelgicheri1734 4 роки тому +1

    My grandfather am proud of you, a good example is portrayed to your family children, grandchildren, great grandchildren & entire world, your memories will never be forgotten from generation to generation may you continue resting in peace

    • @ashkuttan4168
      @ashkuttan4168 2 роки тому

      I had the privilege to meet him at nation center in 2009 through my friend innocent gicheri

  • @richardgaya3965
    @richardgaya3965 4 роки тому

    You made our day over the ages since our youth!!!

  • @ellykiptum6786
    @ellykiptum6786 11 років тому +1

    Good job mzee most of his age mates are at home keep it up and God bless you.

  • @hannahmwaura7130
    @hannahmwaura7130 4 роки тому

    i like juha kalulu soo much...waoh

  • @Jasubakende
    @Jasubakende 12 років тому

    Hongera Mzee Gitao!

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 років тому

    nlivipenda Hadi Wa Leo Check IN

  •  5 років тому

    wow, i used to like juha kalulu

  • @219790
    @219790 12 років тому

    very inspiring. good job mzee

  • @margaretomwakwe8064
    @margaretomwakwe8064 8 років тому

    juha kalulu my favourite

  • @uhondo
    @uhondo 12 років тому

    Hope NMG pays him good he is an ICON

  • @HannahmTV
    @HannahmTV 12 років тому

    oh god where are they availabe na bogi benda ilikua ya nani.na tusker anaonaje juu ya hague 4?

  • @marykenyamary8200
    @marykenyamary8200 8 років тому

    rip

  • @johnngaruiya9624
    @johnngaruiya9624 6 років тому

    I think he is called Gitau not gitao

  • @otienomakonyango8980
    @otienomakonyango8980 4 роки тому

    Wacheni Fitina za Wamakafiri Jaluous and Wakikuyuos Jinga nyinyi ?Jubilee Govt is Owned by Kukuyuos an Kales WSR & Uhuru Kinyatta both belongs to ICC in Hague Both must Return to the ICC in Hague Victims must get their rights.Where is Ocampo/Bensouda?