HADI HURUMA: MAMA MZAZI wa ASKARI ALIYEMCHINJA BABA YAKE AKISIMULIA KILICHOTOKEA!
Вставка
- Опубліковано 11 січ 2022
- Mama Mzazi wa Mussa Edward Ndonde Askari wa JWTZ MT.109772 Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani Bi Renatha Ndonde ameeleza hali Ilivyo kua nyumbani kabla mwanae kumuua baba yake.
Bi Renatha Ndonde amesema Mwanae imefika nyumbani mapema leo asubuhi na baada ya kuwasili Jambo la kwanza aliuliza alipo baba yake Mzazi Ambaye Kwa wakati huo alikua kuoga.
HADI HURUMA: MAMA MZAZI wa ASKARI ALIYEMCHINJA BABA YAKE AKISIMULIA KILICHOTOKEA!
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
📌ASKARI 'ADAIWA' KUMCHINJA BABA YAKE >> ua-cam.com/video/cURWSMDdQQM/v-deo.html
ua-cam.com/video/__NvL7VuQ70/v-deo.html
Ee BABA wa mbinguni kwa uluma yako naomba nikiamini utatenda kawaondolee raho ya ukatili vijana ili wawe na hofu na wewe siku zote za maisha yao🙏🙏Apumzike kwa amani mzee wetu, Poleni sana
Mungu bariki vizazi vyetu naogopa naogopa uchungu wako unakupa uchungu🙌🙌🙌🙌 Mungu tuhurumie wanawake sisi
Kanywa pombe na bangi huyo kamix maana siyo pombe tu imvuruge akili ivyo
Hii dunia jaman inageuka watoto ndo wanauwa tu wazazi .Mungu tunakuomba ondoa hili roho la mauti 🙏🏽🙏🏽
Mungu atusaidie
Amen
mwisho wa dunia umeshafika tumrejee mungu wetu ,,,pole Sana mama na familia kwa ujumla kwa kumpoteza mpendwa wetu ,,,😭😭😭😭😭 eeh mwenyezi mungu tujaalie mwisho mwema
Amiin
Yaaan nimeumia sana yaan wazazi watulee kwa wema leo wamuua Allahu akbar subhanallah
Hatar sana aisee
Yaani Allah atunusuru hali hii inatisha
😭😭😭Pole mama Hawa watoto wetu wanatuua wazazi jamani Mungu utuongoze watoto wetu wanahitaji hekima yako
Mama amenihuzinisha jamani😭😭
Inasikitisha sana,mungu atunusuru na tumuombe sana haya matatizo yakome ya kuuana..
Mungu atusaidie jamani inaumiza mnooo pole sana mama
Tanzania serikali tunaomba tuweke japo siku2 yakufunga mashekhe na mapadre jmni imekua to murch sis pekeyetu hatuwez bila msaada WA mungu
Umeongea point
Mambo makuu matatu ya kuombea
1.Serikali
2.Hali ya hewa
3 Mauaji
Mungu tusimamie
Jmn n kweli kabisa ndg yang...maombi y pmj yahitajika
@@mamachris6811 kweli maana sasa tunaanza kuuawa nawatoto wetu,wazaz nao kuua watoto mtihani
Pole Sana mama maumivu Mara mbili mume na mtoto kiukweli kiatu chako sikiwez na hakinitoshi hata sekunde moja pole Sana mama angu
Pole Mwanamke mwenzangu kwa kuzaa kizazi hichi cha Nyoka, Mungu atunusuru woote maana hatujui saangapi hizi Nyoka zita tugonga. Tuombe Mungu atunusuru nao
Mungu atutetee
Innalillaah wainna ilaihi Raajiun Pole sana Mama yangu umempoteza Mumeo Kichwa cha familia na unampoteza mtoto wako pia. 😭😭😭😭
Tumrudie Mungu vijana shetani anacheza na sisi 😭😭 matukio ya watoto kuuwa mzazi yamezidi jamani nyie Ee Mungu tusamehe Waja wako 🙏🏼
Hakika
Poleni sana wafiwa , jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
Ww nawe na makolokolo yako😔 ..wenzako wana msiba huko ww umekomaa na makuruani utafikir ww ndo malaika kweli
Mungu akusamehe... Maana unavyosema makolokolo ... Unafananisha na nn hy quraan
@@aishaally4912 /Poleni
Lakini tafuteni maombi
Kuna mtu hapo
Mwindani wenyu anawamaliza Kima Pepo
Nenda mama kwa maombi
Duuuuuhhh😭😭polen bha kukaja mweeeeh pepo gani hili Mungu awatie nguvu,tunamhitaji Sana Mungu kipindi hiki tulichonacho n kigumu Sana.
Pole sana mama yangu jmn hadi naumia eti!!! Kweli maisha bila Yesu ni matatizo.
yeah ndo alokuumba wewe watu wengine bhana sijui mnasizigi af ndio mnakuja Ku comments
Huyo Yesu mwenyewe ndio naye mnasema kauawa, ndio dhambi ya kuuwana inaendelea hiyo.
We Mica Mathew vipi
Sasa yesu nini kaigiaje
Pole Mama M/Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu mnoo kwako yaani umepoteza mume wako pia kijana wako atafungwa kwa kosa la kuua 😭😭😭😭😭
Huu mwaka umeanza vibaya Mungu aingilie kati atuhurumie 😭 poleni sana wafiwa
Mama awe pole sana. Shetani ni kumbe mbaya sana, hafurahi kuona mkimaliza maisha haya salama usalimini.
Tumpige vita kwa nguvu zetu zote, na tukiondoa vile viashiria vyake, pombe, chuki sisi kwa sisi, na hata utumwa mbovu utakao kua chanzo cha kuponza akili zetu kujidhuru ama kudhuru mwengine.
Poleni Sana mamaangu ( Mwalimu wangu ) kwa kuondokewa na baba yetu 😭 😭 Mungu akupe ujasili
Unamfahamu
Dah.! Pole Mama.
Yani wazazi wakulee na kukusomesha kwa shida upate kazi badala uwasaidie unakuja kuuwa hata hawajakula matunda ya mafanikio yako.Mungu atuhurumie
R.i.p Baba,umemlea mwanao kishujaa na umekufa kishujaa,inauma sana
😭😭😭😭😭 mwenzenu mpaka naogopa kuingia kwenye mtandao maana kila nikiingia ni matukio Tu mungu tuhulumie 😭😭😭 we mtoto Baba amekukosea nini nimeumia sana
Allah yaallah , poleni Sana wazazi tuombe Dua Sana, watu wa mkoa wa pwani , inauma sana
Pole Sana mama mungu akutie nhuvu mama kwa pito gumu lakumpoteza mwenzako,
Hakika Mwenyezi Mungu ndio anajua hukumu ya mwenye dhambi, RIP
Poleni sanaaa
Pole sana mama...M/Mungu akupe nguvu katika wkt huu mgumu wa Majonzi!
Daaaaaaah Nyakati Za Mwisho Hizi, Wanajeshi Mungu Anawaona.
Ahaa wapi
Sio wote wenye roho ya kikatili
Poleni sana. Mungu aturehem.Amen.
Poleni sana pole mamaaetu
Bongo kumechafuka😪so sad.Allah atulinde na kutuongoza🙏watching from Kenya🔥
Pole mama pole
Mungu Mungu Mungu 🙏🙏🙏🙏
R.i.p Baba!
Yani nimelia jamanii..Mungu tuondolee hili pepo la kuua wazazi
Yaani 😭😭😭
Wallah allah atunusur jmn
Pole sana mama na familia kwa ujumla Mungu awafariji kipindi hiki kigumu cha msiba
Pole sana mama angu mwenyezi mungu akutie nguvu mama ... ivi kwann hii nchi isingeweka utaratibu ule ukifanya kosa la mauaji na wewe unyongwe🤔mbona nchi nyingine wanaiyo taratibu,wakiweka iyo taratibu nadhani watu watakuwa na akili maana tunaendekeza sana roho za umauti
Uturehem Ee Bwana kwakua tumetenda dhambi, waondolee vijana wetu roho ya shetani ilio wavamia na kuwaletea kutenda yasio faa katika family na jamii nzima 🙏🙏🙏
Nayeye. Auliwe
Pole mama
Pole sana mamaa
Pole Sana mama
Pole sana sana Mama! 🙏🏾
Pole sana mama angu mungu akutiye nguvu
Pole sana mama 😩😩😩
Pole sana mamaangu ,Mungu akutie nguvu sana pamoja na wafiwa wote
pole mama🥺 pole sana mamaangu
Pole sana Mama na Family nzima. Mwenyezi Mungu Mwenye Rehema Awatiye nguvu inshallaAh 🙏🏻🙏🏻😭😭😭😭
Duuuu! Mwenyez Mungu atusaidie kuufikia mwisho mwema na tunapoyaona haya yanatokea mahalimahali tujue yesu yu karbu jaman tuache maisha ya anasa tumugeukie Mungu mathayo 24:1........
Walahi Mama umeniliza sana! Mama Pole sana sana!
ile nyimbo ya marioo bia tamu ifungiwe na isiwe ruhusa kupigwa sehemu yoyote
Wew kwa upeo wako Ni kuw alikuw amelew au
@@calvinsilayo2052 ndio... Kwani hauna masikio??
@@FadyFs ttz siyo ilo bro ishu n kwamb wew unaon n pombe imefny ivyo
@@calvinsilayo2052 amna jipya zaidi ni kwamba wew jamaa unatetea vileo..
@@FadyFs ningekuw natumia saw lkn Mimi nimelet hoj nyingine mezan coz huwez kuniaminish moja kwa moja ety akili y pmb ndo imefany ivyo.
Poleni sana wafiwa inauma sana 😭😭😭😭
Pole sana mama.. Mungu akutie nguvu
Poleni sana mama. Nimesikitishwa sana na kitendo alichokifanya huyo kijana Kwa kukatisha maisha ya mzazi wake
Pole sana mama imeniuma sana nimelia kwa uchungu unavyosimulia tukio la mwanao kumuua baba yake
Pole mama...nimeumia sana
Pole Sanaa sana Mama
Pole sana
Poleni sana ndg zetu daaah mwenyezi mungu akupe amani na uvumilivu kwenye ili mama
Pole mamangu mzazi, kweli inauma
Daah!!! Mungu kaa nasi.Nikiasi gani Mungu umetuacha.Utatuacha mpaka lini Baba.Tunakuhitaji katika taifa letu nawatu wake.Hali imekuwa mbaya sana sana sana.
Pole Sana mama damu ya Yesu Kristo ikufariji, Baba alikuwa na haki ya kumeonya mtoto wake, poleni sana
Pole sana mama Mungu akutie nguvu
Pole sana mungu azidi kukulinda
Pole Sana mamaangu.umeniliza sana.nawatu wambeya wanavyoliaga kwa uchungu
Pole mama m/mungu akutie nguv
Pole mama Allah akufanyie wepes inshallah
Mungu wangu pole sana
So sad sana Mama analia MAMA (Pepo ipo chini ya nyayo za wazazi wawili) how you can kill them 😭😭😭
Umenena vyema 😭
😭😭😭😭
Innalilah wainnaillah rajiuun pole sana mama angu Allah akupe subra na akufariji nafsi yako
Yarabiy tusitir waja wako katika hii dunia
Utaona kwanini mwenyezimungu ameharamisha pombe, kila kilicho haramishwa na mwenyezimungu kina madhara, Sawa Sawa tuyajue au tusiyajue.
Lakusikitisha ni kua baadhi ya wanadamu wanahalalisha viliyoharamishwa kwa kuvipa majina mbali mbali na mazuri, nakujifanya kutoa faida za kisayansi nk, katika hivyo viliyoharamishwa.
Tufahamu alietuumba anatujua zaidi na anaju kila kilicho na faida nasi na kisichokua na faida.
Hivyo tusimame alipotuamrisha.
kwahiyo ukichukua statistics za mauaji kama hayo wengi ni pombe kuliko yaliyofanywa na wasio kunywapombe? au wanagapi wanakunywa pombe na ni wastaarabu hawana matukio mabaya? watu kila siku wanauana,wanabaka na pombe hawanywi
Walevi watateteana tu!! Hakuna shaka pombe inamadhara makubwa sana
@@coazoneone1174 ata magomvi mengi kati ya wanandoa uletwa na pombe
Al-Qaida, Al-Shababu, Boko Haramu hawanywi pombe na ni wauaji wakubwa! Unasemaji Bwana Abuuuuu!!
@@mimiraia2531 Hata kama mauaji mengi yanafanywa na wasokunywa pombe lakini pombe pia inamchango wake mkubwa na kuna vifo vinatokana na unywaji wa pombe kama hichi!!! Inshort pombe ina madhara makubwa, sema kweli atakama ni chungu
Spirit of death 🥺Polee mama na MUNGU akutie nguvu, pia omba something is not right
Hakika hiyo ni roho ya umauti mungu awasaidie
@@lusekelocharles8066 Amen 🙏
Pole mm kwa mazito yaliyokufika
Daah pole saana mama Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu 🙏
Msenge sana sana
Pole sana mamangu
Mungu Wetu Wa Rehema Turehemu sisi.
Poleni mungu atusaidie
Poleni sana kwa msiba
Pole sana mama
Watu wa aina hii mimi napeleka moja kwa moja kwenye kitanzi hakuna mahakamani wala haki za binadamu hapo ondoa takataka hii hapa duniani
Nikweli kabisa jamaniii uwiiii baba kajifunga mkanda kumsomesha Leo anamtoa uhai wake??? Inauma ...
Kweli ht dini inasema ukimshuhudia mtu kauwa basi inpaswa umuuwe nawe inauma sana
@@mariammwendakazungu5783 dini ipi?
Haki za bnadamu ndy wNazngua kbsa maana polis wakitaka kumuua ila haqi za bnadamu wanazuia kuua
@@mariammwendakazungu5783 kwel kbsa rafk angu Yan ingekua uarabuni na yy vlevle anachnjwa
Poleni sana wanandonde wenzangu
Pole san mama mungu tusaidie hii imeharibika
Mama pole mungu atakupa subra dah inaumiza sana mtoto unamlea unasomesha leo anakuja kukupotezea maisha kwa kweli tuzid kuwaombea Dua watt wetu waondokone na mabilisi haya
Doooh! Inasikitisha sana kwa kweli..... Tumwombe Mwenyezi Mungu atujaalie watoto wema
Pole mama angu mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu pole yaani hdi choz limenitoka
Poleni sana
Mmmmmh poleni sana
Pole mama yangu
Daaa mungu tuhurumie
Poleni saana,, angaliyeni laani za familia,,
Inauma sana. Pole sana Mama na Mwalimu wangu tokea darasa la kwanza na la pili. Vijana tunatakiwa tujitathmini sana, maana inakuwa inapitiliza sasa.
Mama pole sana, muombe Mungu pepo la mauti hilo ktk ukoo na familia,lishindwe kwa jina la yesu.
Mtoto wazazi wamekulea kwa shida Leo unamuua baba yako!umesomeshwa na umepata kazi,shukrani yako ndo hiyo kwa baba yako!
daaahhh,, aiseee,, inauma sanaaa
Pole mama anguu
Pole sanaaa mamaa
Pole mama Allah akupe subira
Poleni mama
Pole mamangu
Poleni sana wafiwa