BIBI ATUHUMIWA KUISHI NA MSUKULE WA KIZUNGU/UKWELI WOTE HUU HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 сер 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 2 роки тому +26

    Mapenzi ya mama ni makubwa mnooo!
    Mama Mungu akupe uhai mrefu na akubariki uzee wako uwe na furaha! Nakuelewa sana!😭

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 2 роки тому +72

    Wanamuonea donge bibi anawatoto wa kizungu bibi masha Allah unawatoto wazuri

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 2 роки тому +21

    Watanzania tuna shida kubwa sana ,,tunaacha kupambana na serikali inatuongezea makodi kila siku tunaanza kufuatilia maisha ya watu

    • @alinassor6956
      @alinassor6956 2 роки тому

      Kwahakika ounayo yasema niukweli binadamu hafikiri yale yanayo mpasa afadhali washuhulikie nakazi zitakazo wasaidia maesha hata kazi ya mama nitile nikazi badala ya kukaa namawazo yakishetwani

    • @marthakibona
      @marthakibona 3 місяці тому

      Kwelikabisa

    • @Ibuhkadugulu
      @Ibuhkadugulu 3 місяці тому

      Hahaha kukuta ww

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +39

    SubhanAllh jamani watu tusipende kuongea vitu ambavyo hauna uhakika navyo sio vizuli kabisa yani pole sana bibi kwa changamoto unazo pitia

  • @walaaabdallah3236
    @walaaabdallah3236 2 роки тому +68

    Pole sana bibi kwa changamoto na mitihani ya maisha 😭 Masikini ya mungu mpaka unaitwa mchawi, bora ahame iloeneo awezi kukaa kwa Amani

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 2 роки тому +141

    Omg, kama huyu bibi anayosema nikweli watu wamuombe huyo bibi msamaha haraka sana 😭

    • @polytarimo324
      @polytarimo324 2 роки тому +4

      Kweli mimi mwenyewe imeniuma

    • @shekhamohammed416
      @shekhamohammed416 2 роки тому +3

      Yeah maskini

    • @marianamontoedi2333
      @marianamontoedi2333 2 роки тому +2

      Nani kama mama

    • @mapenzikatana9990
      @mapenzikatana9990 2 роки тому +2

      Kweli kabisa

    • @okelloowino7577
      @okelloowino7577 2 роки тому +4

      Sana na ikiwezekana bibi akashtaki kwa kuzalilishwa ila sishangai manake ukimjuwa mchawi lazima unawanga nea this was so bad I wish ningekuwepo hapo karibu nimfinze huyu bibi hatua yakuchuwa kwa uzalilishaji huuu manake yangekuwa mengine kama srkali haingeingilia meneno hiii

  • @leamajaliwa3076
    @leamajaliwa3076 2 роки тому +42

    Subhanaallah binadamu tunamambo iko siku nasisi umri ukisogea tutaitwa wachawi

  • @hajikishuwa1078
    @hajikishuwa1078 2 роки тому +48

    Toto baya zuri kwa mama ye muheshimu sana mama ungali yupo hai 🙏

  • @drrelaxation6911
    @drrelaxation6911 2 роки тому +58

    Mzungu alichukua rafiki wa bibi akasepa. Hao wote wanae. Na si mzee kihivyo. Ni maisha tu jamani.

  • @davidmwombeki5633
    @davidmwombeki5633 2 роки тому +14

    Jamani mm mama huyo namjua sana siyo mchawi kabisa namjua alishi kigboni maeneo ya Tungi na huyo Dadaye mwenye Asili ya kizungu namjuwa ni Watu wema sana sana

    • @loveelooh1964
      @loveelooh1964 2 роки тому

      Huyo mzungu kabisa Hana mixed muangalie vizuri

  • @zulfahamissi4725
    @zulfahamissi4725 2 роки тому +50

    Ila tusilaumu sana yy kuitwa mchawi pengine mungu alipanga iwe hivi ili aweze kupata msaada

  • @hassansaid2614
    @hassansaid2614 2 роки тому +6

    Wadau wenye uwezo msaidieni hyu mama na vijana wake, Mungu atawalipa Insha'Allah

  • @abdirizakhtuke2882
    @abdirizakhtuke2882 2 роки тому +47

    Wabongo wana imani chafu, jamii ya kishenzi sana.
    Uchawi ndio mnawaza tu.

  • @ramadhanimbwana1763
    @ramadhanimbwana1763 2 роки тому +8

    Mungu shahidi hii kitu kimeniuma huyu bibi namjua alishawahi kuishi kigamboni. Hana hatia. Mungu tusamehe ila sisi binadamu Daaahhh. Sema imeniuma sana sana tuuu

    • @user-pm4dm3vk3o
      @user-pm4dm3vk3o 4 місяці тому

      Pore mama yangu kwamajukum yakiduniya yatapita mngu yupo pamoja na wewe atapona mwanao wanao sema nimusukure nawao siwao hawarijuwi waritedaro 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hamadiselemani1110
    @hamadiselemani1110 2 роки тому +4

    Pole Bibi sisi tulioachwa Na baba zetu wa nchi za nnje tunaishi Kwa shidaaa sana Kwa kukosa malezi ya baba,mungu atulinde tu Ameen,

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 2 роки тому +19

    Mungu akubariki Bibi 🙏🏾

  • @wegorokibajiro9098
    @wegorokibajiro9098 2 роки тому +4

    Pole bibi Mungu akusimamie na wananchi kabla ya kujaji ulizeni kwanza

  • @samuelwange7643
    @samuelwange7643 2 роки тому +95

    Watanzania nakuhisihisi watu....ndomana mkonyuma sikuzote

  • @personcriticalthinking7162
    @personcriticalthinking7162 2 роки тому +19

    Acheni umang'aa aki mtto wake. Angalieni mama mwenye mnamuuliza maswali jameni.

  • @nusuranusura4688
    @nusuranusura4688 2 роки тому +13

    Maashaallah , mama alipata wazungu wake mwenyewe. Kazaa wanae wazuri. Ila.mtihani ummkuta, kijana ana stress anamtaka baba yake

  • @joycechunga400
    @joycechunga400 2 роки тому +27

    Muda mwingine mama zetu wanaaivishwa lengo tu kututetea sisi watoto,weka namba zako za simu tukuchangie wengine tumeguswa na haya yaliyo kukuta mama

  • @edwardphillipkimaro3598
    @edwardphillipkimaro3598 2 роки тому +43

    Huyo sio msukule huyo ni Mama yake kweli na mshikaji anaitwa Robert tumesoma naye Mafinga Iringa 1999-2000 ndio akaondoka.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 роки тому +73

    Watanzania tunapenda sana kuzuliana mambo yahovyo

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 2 роки тому +5

    Huyu mama anaitaji kusaidiwa kwakweli bona binadamu tuko hivi bona wanamtia huyu mama aibu tu mungu anawaona.

  • @ghatititus7136
    @ghatititus7136 2 роки тому +7

    Yaani wabongo wakiamka asubuhi badala awaze atapataje riziki anawaza wapi apate tukio asambaze umbea,ee Mungu tufundishe kunyamaza hasa kwa yasiyotuhusu.

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 роки тому +22

    Mama bora God bless you 🙏

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 роки тому +6

    Watamuharibia hata biashara watu waogope kula unga wake wa muhogo acheni wivu wabongo ndo maana mnachelewa kupata maendeleo 😭😭😭😭😭😭

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 роки тому +47

    Pore sana mama yangu😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

    • @righton19
      @righton19 2 роки тому +1

      Roho imeniuma huyu Bibi nahis anaonewa

    • @selector728
      @selector728 2 роки тому

      Pole sio pore🚮

    • @wardasaid3269
      @wardasaid3269 2 роки тому

      Kakosea bb huo cyo utaratibu wa kumsaidia haki haijatendeka huwezi kumfungia binadam kwa miaka yoote

    • @zulfahalily6095
      @zulfahalily6095 2 роки тому

      @@wardasaid3269 sasa ulitaka afanyeje na Ni mfanya biashara angekua anamuachia Nan naatatizo la akili

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 2 роки тому +11

    Pole sana mama Mungu akufanyie wepesi

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 роки тому +28

    Duh bibi ana zali eeeeh,anipe namba ya mganga wake,watoto sita wa kizungu na kila mmoja na baba ake🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 роки тому +3

    Pole sana mama walimwengu wanapenda kuhukumu polee. Wasamehe hawajui walitendalo. MUNGU akufanyie wepesi na Mzungu wetu apone

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +9

    Wabongo nimewavulia kofia wallah 🙌🙌

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 2 роки тому +10

    Usihofu bibi inawezekana Mungu ametaka watu wakujue upate msada wa mtoto wako.

  • @circus2578
    @circus2578 2 роки тому +11

    May Allah give you strength and longlife too,he's there for you he will protect your family Mama,Good luck Inshallah 🌹🤲♥️❤️♥️

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 роки тому +7

    Wa Mama mko wapi... Hongera kwa upendo wenu kwetu sisi Watoto... Bibi huyo Ni kielelezo...
    Vile vikindi vya umoja wa Amina mama, vya kijamii, kidini, n.k.
    Jitokezeni Sasa Ni wakati wa kumshika Bibi Mkono na mwanae kumfikishia baraka za Mwenyezi Mungu na kumsaidia kumpata baba wa mtoto... Sheria itungwa kwa wageni wanaowapa mama zetu mimba na kukwepa majukumu ya Jules Watoto... Kwa Sasa wimbi la Watoto wa kichina na wazungu waliotelekezwa Ni kubwa Sana... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @superherocolin7564
    @superherocolin7564 2 роки тому +39

    Huyo jamaa sio mzukule huyo anamatatizo ya akili alishapelekwa kanisa lipo pale magengeni nilishawahi mkuta pale kanisani

  • @elizabethsjoberg5734
    @elizabethsjoberg5734 2 роки тому +87

    Watanzania wenzangu tumsaidie huyu kijana ili apate sehemu ya kuishi na matibabu 😭

    • @zainabmbarak1043
      @zainabmbarak1043 2 роки тому +7

      Atafutiwe baba ake akatibiwe kwao bibi hana uwezo

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 2 роки тому +2

      Kabisa

    • @lidyahaule5343
      @lidyahaule5343 2 роки тому +6

      Huyo ni binadamu mwenzetu ana hitaji mmsada

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 роки тому

      Bibi alikua ahojiwe vzr aseme uyo baba Raia wawapi iliifuatiliwe ubalozini anaweza kupatikana baba yao kama bado yupo hai

    • @kitengegaston6946
      @kitengegaston6946 2 роки тому

      acheni ivo alafu kama baba yake ayupo

  • @khadijakiba3587
    @khadijakiba3587 2 роки тому +19

    Makubwa pole bibi yangu 🥲🥲

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 2 роки тому +2

    Pole Bibi Mungu akupe nguvu pamoja na yote wewe NI mpambanaji

  • @dainesszuber7404
    @dainesszuber7404 2 місяці тому +1

    Pole sana mama hata mimi nikizeeka nitaambiwa mchawi kizazi cha sasahivi ukizeeka sana unaambiwa mchawi pole sana mama angu

  • @leonjuly8242
    @leonjuly8242 2 роки тому +8

    Damn,story kama hii najiweka mwenyewe af nawaza nipate shida haki mamaangu hawez niacha kabisa.!Pole mama nimekuelewa vzur sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 роки тому +20

    Ila watanzanua jamani mbona ukiwaangalia tu unaona wanafanana jamani!!!!MSUKULE!!!! kha

  • @amosbigirimana5469
    @amosbigirimana5469 2 місяці тому

    Tunaliliya kuishi myaka mingi ayo ndiyo matokeyo yakuishi myaka mingi.ukiwa mzee utakutana na mithani mingi saana.mungu atupe mwisho mwema

  • @victoriasfamilytalkandcoun6016
    @victoriasfamilytalkandcoun6016 2 роки тому +7

    This is shocking! Some people's mindsets are messed up! No empathy! What has gone wrong with today's society? This is wicked!this mother is trying big time she's old and worn out and she needs support but too bad the same people who should be helping out are the ones crucifying her. Shame on the society !

  • @mottomajidshipande8237
    @mottomajidshipande8237 2 роки тому +17

    Pole bib!wananch tuache kutuhumu Mambo pasipo ku chunguza

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 2 роки тому +19

    Watanzani wakti mwengine tuna fanya mambo ya ajabu sana. Sasa Bibi maskini shida yake ipo wapi. Tuwache kumzulia mtu kabla ya Uhakika. Bibi nakuombea Allah atakusaidia InshaAllah. 🙏

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 2 роки тому +1

    Waswahili kazi Yao kubwa uongo ndio tatizo tunakufa masikini kisa kufatilia maisha ya watu pasipo kujua chanzo cha matatizo aliweza kumlea tangu Mdogo akumuua pole mama nimapito Mungu atakusaidia

  • @zulfahamissi4725
    @zulfahamissi4725 2 роки тому +7

    Subhanallah muombeni radhi huyu bibi acheni fikra potofu. Oneni nahawo wa2 walivyo jazana utafikiri kuna maonyesho

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +4

    Masha Allah...ilaa pole bibi

  • @alphageorge5563
    @alphageorge5563 2 роки тому +15

    Wabongo kwa kuzua mambo, washamnyima raha bibi wa watu.

  • @reginaphillipo8758
    @reginaphillipo8758 22 дні тому

    Mungu anapima imani ya binadam kumshusha ili ampandishe juu ubarikiwe sana bibi

  • @rajabadriano9741
    @rajabadriano9741 2 роки тому +1

    Daah polen xana wanafamilia yote ni chngmoto za maisha tuu pole Bibi mwnyezi mungu anajua nn lakkulipa

  • @lilwiz5414
    @lilwiz5414 2 роки тому +27

    Kazi yko ngumu mchaga

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 2 роки тому +54

    Serikali imsaidie kumpata Baba yake jamani wee unadhani stress mchezo

    • @kitengegaston6946
      @kitengegaston6946 2 роки тому

      kama ameshaga fariki ili iweje

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 роки тому +1

      @@kitengegaston6946 umeonaee? Mama kama mama awezi kukubali mtoto kamzaa kamlea peke ake alaf leo ampeleke kwa baba ake wkt huu ni mda wa yeye kuwa karib na watoto wake ili apewe mahitaj yake kama mama umri huo umtafute baba wa kaz gan usikute uyo baba mwenyew kashajizeekea na yy anahitaj msaada asaidiwe

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 роки тому

      @@kitengegaston6946 Uyo mama namshaur aendelee kukataa uko wenzao wataenda kumgeuza mwanamke na hivyo alivyo mh!!! Watu weupe wengi wana roho mbaya

  • @ednamasud2613
    @ednamasud2613 2 роки тому +2

    Duuuh pole sana Bibi Mungu akutie nguvu 🙏🙏

  • @julithamlay4558
    @julithamlay4558 2 роки тому +2

    Hongera Sana mama yangu. Endelea kumuomba Mungu atakusaidia

  • @bintrobert4952
    @bintrobert4952 2 роки тому +5

    Waswahili tukikosa kumzoea mtu na kujua undani wake yanayo Fata ni hayo MUNGU akutie nguvu

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 роки тому +6

    Wee mtoto a acha kumlaumu mama yako, kama baba hayupo hawezi kulazimisha awepo, na dogo ni bangi zake tuu wengi hawawajui baba zao wanaishi vizuri tuu

  • @safariautoservice7032
    @safariautoservice7032 2 роки тому

    Bibi usikate tamaa. Mungu yupo nanyi. Nasi tupo ili tusaidiane. MUNGU akinijalia mimi nitakuja kuwaona. Tutaongea mawili matatu. Na Baba Mtoto kama bado yupo mimi nakuwahidi. Nitamutafuta najuwa shida ya kutokuwa na Baba.

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 2 роки тому +1

    Cyo kwamba mama ni mbishi hapana uchungu wa mwana aujuae mzaz aiwezekana mtoto kamzaa kamlea peke ake alaf leo akubali kumpeleka mtoto wake uko mbal na usikute baba mwenyew huko kashajizeekea anahitaj msaada asaidiewe au hana hata mpango wa mtoto mwenyew maana kule kaoa yupo na watoto wake wengine hana abar alaf kwan yeye si anajua uku kama alimuacha mtoto kwann asimfatilie mtoto wake alaf leo bibi akubali kumpeleka hata mm nisingekubali miaka 1000000

  • @lydianasambuwanjala8849
    @lydianasambuwanjala8849 2 роки тому +19

    Surely, wee wa kuleta Habari ya uongo, pole bibi tu Sana,, wanaume waaaaa 😭😭😭😭😭

    • @mariamufungo9619
      @mariamufungo9619 2 роки тому

      Jamani jamani tusiwalaum sana majirani kwani kukosa hao majirani hata sisi tusengejua kuwa bibi hapo zamani alikuwa akigawa jimbo kwa wazungu..na pia hayo yote tusingeyajua.

    • @zulfahalily6095
      @zulfahalily6095 2 роки тому +1

      @@mariamufungo9619 usiseme ayo maneno monz ujui kesho yako .....mzee alikua anajarib pengine atapata wa kumtuza na familia yake ila wote wakawa mtihan n kumuomba Mungu tu

  • @jacklinejohn222
    @jacklinejohn222 2 роки тому +4

    Jamani jamani acheni kuwa jaji watu vibaya me nimeumia sana huyu bibi amepitia mengi 😭 naomba niulize inamana ata sisi tukizeeka tutaitwa wanga jamani tuoneane huruma wazazi wanapitia mengi😭😭😭

    • @zaharaamdilah6602
      @zaharaamdilah6602 2 роки тому

      Kweli mungu atu saindie nawatoto wetu waweze kuepuka balaa za nduniani

  • @Miriam760ful
    @Miriam760ful 2 роки тому

    Pole mama pole mama yangu..umeniliza ....mwenyeezi Mungu akusaidia ...nawapenda sana

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 2 роки тому +2

    Pole Sana mama,MUNGU akutie nguvu.

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir4490 2 роки тому +2

    Kwa ufupi wabongo muelewe uyu kijana alijihisi toka utotoni mbona mimi si wa hapa, sasa mama kama umechepuka si unioneshe mzee baba nisepe zangu ma sweden, kwa ufupi mtoto wa kizungu kazaliwa bongo alafu akaona sipo pakamtia stress sasa tujifunze

  • @furahinidaudi7851
    @furahinidaudi7851 2 роки тому +2

    Pole Mama Mungu akufariji...

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 2 роки тому +28

    Mimi katika woote alonichekesha ni mjumbe na magwanda 😂😂😂

    • @jasice6792
      @jasice6792 2 роки тому +1

      Mwenyekiti Sasa anaongea balaa

  • @ashankusa1514
    @ashankusa1514 2 роки тому +3

    Dah mpaka tumbo limeniuma uyo sasa ndio mama mwenye uchungu na mwanae anatamani Angekua na uwezo angemlinda zaidi

  • @goodhelpnolland6792
    @goodhelpnolland6792 2 роки тому

    Pole sana Bibi watanzania tuache mihemko Jambo hamlijui kiundani mnakurupuka acheni Imani za kichawi fanyeni kazi

  • @mokohratino9052
    @mokohratino9052 2 роки тому +1

    Jmni uyu mkka nlimjuaga mda nadda ake mzung ilamda Sana tukawa atuwaongi kumbe waliama jmni duu🙏🙏🙏 pole mma wawtu yanamkuta mazito

  • @unkown2429
    @unkown2429 2 роки тому +14

    Jamani upendo wa mama kwa mtoto hata kama hana kitu ni mkubwa mno. Amefanya jambo kubwa mno hapaswi kulaumiwa

  • @alykhan9054
    @alykhan9054 2 роки тому +10

    Bibiii hanaaa shidaaa mizengwee yenuuu tyuuu bibiii hanaaa shidaaa

  • @RehemaMlila-yt8hd
    @RehemaMlila-yt8hd 2 місяці тому

    Mwenyezi mungu amjaaliye na amjalie pia apate wajukuu wa kizungu insha allah

  • @mwashambakipanga4528
    @mwashambakipanga4528 2 роки тому +1

    Ila inauma sana mtu anakuachia mtoto au mimba alaf baadae umemlea kwa tabu baba ht akumbuki likikuwa linamtaka baba ake duuuuuuh Bibi pole mungu atakusaidia sikieni tu ivyoivyo ukiwa single mother mtoto alikuwa umepitia mengi muache aende kwa baba ake kishakuwa

  • @johnchuwa2888
    @johnchuwa2888 2 роки тому +30

    Huyu bibi nimkweli kabisaa niliwahi mku.wona kwa mzee wa yesu swala lakumuuliza yeye ni nani kwa huyo bibi?

  • @priscalorinius9368
    @priscalorinius9368 2 роки тому +1

    Oooh maskini pole yake sana huyu kaka jamani, naomba nipate namba ya hiyo familia au majina ha baba yake nimsaidie huyo kijana mimi ninaishi hapa Sweden.... pia ana haki zake huku Sweden jamani huyo kaka

  • @josephsambaja1455
    @josephsambaja1455 2 роки тому +1

    Uyo bibi namfaham kindaki ndaki,,,Uyo jamaa tunamuita zungu yupo Dada ake nimesoma nae kivukon sec school,,,Tulikua tunaishi nao kigambon Tungi stand,,,akuna asie wajua,,,,uyo bibi sio mchawi n watoto wake wa kuwazaa

  • @alykhan9054
    @alykhan9054 2 роки тому +37

    Kizzo all the way from Moro bibiii Hana shidaaa huyoooo kashasema mwanaeee

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 2 роки тому +33

    Mashallah watoto wazuri .

  • @shafimuhsin7685
    @shafimuhsin7685 2 роки тому +1

    Kama wanakusingizia Allah atakulipia bibi wala ucjali👏

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 роки тому

    Mungu ni mwema wasamehe bule bibi Mungu atakulipia

  • @merynjau5614
    @merynjau5614 2 роки тому +6

    Alieanza kutoa izo shutma inabidi akaomuombe uyu bibi msamaha jmn dah!

    • @damaspmtz1018
      @damaspmtz1018 2 роки тому

      Apana uyo yupo sahihi kwani wanae wameongea vizuri kabisa hivyo uwezi ukawa unamfungia mtu ndani wewe unaondoka hivyo wameelewa

  • @saidyshabani9146
    @saidyshabani9146 2 роки тому

    Mwenyezi mungu akusaidie mama pole saana

  • @majidabas3843
    @majidabas3843 2 роки тому

    MAJITU YA DAR ES SALAAM MAPUMBAVU PUMBAVU MALIMBUKENI HAYAFANYI KAZI UNAFIKI TUU HAYANA LOLOTE UONGO UONGO TUUUU. BIBI HUYO NI MPAMBANAJI(MTAFUTAJI) INSHALLAH ALLAH ATAMSAIDIA MAZUSHI ZUSHI

  • @joycechunga400
    @joycechunga400 2 роки тому +3

    Pole sana mama,hao walio kushutumu wakuombe msamaha haraka sana

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 2 роки тому +33

    Wabongo too much

  • @genovevakilawe3018
    @genovevakilawe3018 2 роки тому

    Hongera bibi Mungu akupe neema zaidi uweze kumtunza

  • @eliwangumria9639
    @eliwangumria9639 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu bibi. Dah! Pole sana nimesikitika kweli

  • @tangamedia4729
    @tangamedia4729 2 роки тому +5

    Daaaah Wakati Unamuita MAMA wa mwenzio MCHAWI Fikiria Wewe MAMA AKO akiitwa MCHAWI unajisikiaje ROHONI #Mama anauma Trust me 😥😥😥😥

    • @circus2578
      @circus2578 2 роки тому

      Allah atawafanyia wepesi,atafungua njia zote,atazidisha kipato chako,nawaombeni Mashirika yakuhusika na kesi kama hizi, shughulikeni upaswavyo,huyu kijana ywahitaji huduma,arudi Hali zake za kawaida,wanamziki Mashirika na wadau wote,Kwa pamoja mwaeza kutimiza ndoto za huyu kijana,kila la heri nyote mliojitolea kumpa chochote huyu mama,anatuhitaji soteni Kwa pamoja, Inshallah 🤲✌️👍♥️

  • @simionikengere3930
    @simionikengere3930 2 роки тому +3

    Pole kwa huyo mama , Mungu amsimamie.

  • @abramo08
    @abramo08 2 роки тому +1

    Asante mchaga og kwakuwa karibu na jamii.

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 2 роки тому

    Pole sana bibi hii mitihani ya Dunia Mungu atawalipa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 роки тому +34

    Mpelekeni ubalozi wa Sweden jamani.

    • @gracemunguisaidietanzaniam9340
      @gracemunguisaidietanzaniam9340 2 роки тому +1

      Sawa kabisa,na namshangaa huyo mswidi kumsahau mtoto kiasi hicho,Mungu amsaidie huyo kijana na Mama yake,inatia huruma kwa kweli

    • @siwetusafari8624
      @siwetusafari8624 2 роки тому +1

      Pole sana kwa kuuguza mungu akunusuru kwa maneno ya watu

    • @jeziyamaua7196
      @jeziyamaua7196 2 роки тому +1

      Apelekwe kwa babake anangangania mtoto kulea hawezi

    • @AmmyKurunge
      @AmmyKurunge 4 місяці тому

      Nyie jaman hao watu weupe kuacha mtoto kitu Cha kawaida mm Dada yangu alikutana na wachina wakati wanatengeneza barabara akawa anawapikia chakula kwenye starehe zao wakapata mtoto tangu mimba had mtoto Sasa hivi ana miaka 25 hajawah kumuona Bab yake useme tumpeleke kwa baba yake haya hatupajui ni China sehem gan yaan acha tu

  • @bern1229
    @bern1229 2 роки тому +4

    Kweli si vchwa vya wendawazim..mnaksanyika kshangaa ktu kdg badala ya kupiga Kaz ..pmbav mliokusanyika hapo kwa ajili ya umbea

  • @barakamwapongo2572
    @barakamwapongo2572 2 роки тому +1

    Mungu atakusimamia Bibi,, Mungu atakukumbuka

  • @rahmaawadh1695
    @rahmaawadh1695 2 роки тому +1

    Jamani nimewatazama huyu bibi na huyo mwanae alikua wana attend clinic Muhimbili kipindi nampeleka mdogo wangu ana tatizo la Afya ya Akili nishawahi kukutanaga nao

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 2 роки тому +12

    sema apo bibi anaitaj kusaidiwa sio kushtakiwaaa watz apo ndo tunafeli 😢

  • @johnezekiel3909
    @johnezekiel3909 2 роки тому +3

    Pole sana mama yangu, ila kwanini walimwengu tunaamini ushirikina lakini, mtakeni mama huyu pole

  • @davidmwombeki5633
    @davidmwombeki5633 2 роки тому +2

    Mama ni mwangaikaji sana mjasilia Mali sana namfaamu hadi nilishawai kula Chakula chake ni msitarabu sana

  • @AdethaAdroph
    @AdethaAdroph 2 місяці тому

    Pole bibi mungu akupe maisha malef akuepushe na maneno wanadm