MBONA NAHANGAIKA (OFFICIAL VIDEO) - St Paul's Students' Choir - University of Nairobi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Available on all Platforms: album.link/ke/...
    Performers: St Paul's Students' Choir - University of Nairobi
    Producer: Verony Productions Ltd.
    Copyright ©Verony Productions Ltd.
    Mbona nahangaika, mkiwa mimi,
    Sina hata wa kunifuta machozi x 2
    Ni aibu gani iliyonitanda,
    Najuta hata siku ya kuzaliwa kwangu
    Maskini mimi, nitakuwa mgeni wa nani,
    Nakulilia eee Mungu uniokoe x 2
    Taabu na matatizo yanisonga mimi
    Shida nazo karaha zanisumbua mimi,
    Mungu ufanye hima uniokoe.
    Nimeugua nikilalama, mnyonge mimi,
    Sina rafiki wala mtetezi, mkiwa mimi
    Wote wamenigeuka kuniwinda.
    Kila waliwazalo juu yangu ni baya,
    Kuugua kwangu kumbe ni furaha kwao,
    Walitaka nife nisahaulike.

КОМЕНТАРІ • 31