DUNIA (Ep 01)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 965

  • @asmacomedian9021
    @asmacomedian9021  2 місяці тому +574

    KARIBUNI SANA KUTAZAMA TAMTHILIA YETU MPYA YA DUNIA,, AMBAYO ITAKUA INARUKA KILA JUMA TATU, JUMA TANO NA IJUMAA ,,, ASANTENI TUNAWAPENDA

  • @julianaedwin8652
    @julianaedwin8652 2 місяці тому +221

    Nimefurai Sana kumuon vai, kam unampenda gong like ap

  • @AhmedChitema
    @AhmedChitema 2 місяці тому +86

    Nice movie,,,scene zote ziko bomba,,,imeniumiza sana scene ya matlda dah😢😢😢 naishiwa kuchezewa tu na kuachwa,,,hii inaakis hadi kweny maisha mtaani,,na ni ngumu kwa mwanamke kumjua mwanaume gani ni sahihi kweny maisha yake,, na mwishowe ni kuchezewa tu na kuachwa inaniumiza sana swala kama hili pale napoliona kwa baadhi ya wanawake mtaani napoishi, maana hali hii ina athari sana kwa mwanamke asiyekuwa na uvumilivu kuanza kuchukia wanaume na wengine kuingia ktk janga la kuwa malaya kwa lengo la kufanya kwa kipato tu ambapo mwisho wake unakuwa mbaya pia,,,!! Ushauri kwa sisi Boys/men tusiwe tunawachezea wasichana/wanawake zinaa ni deni, kama hauna malengo naye ni bora ukawa mkweli tu na sio kuumiza hisia za mtu au kumuharibia maisha yake,,,!!!😢😢😢,,. Scne ya mzee baba kutokupata ukaribu na mke wake napo ni changmoto, mke wake hana muda na mumew hali ambayo inaweza kusababisha jamaa kutoka nje ya ndoa kutafuta faraja, na kupelekea ndoa kuvunjika. Mwanamke kama hautaki kumtii mume ni vyema ubaki tu nyumbani uzeekee ukiwa kwenu na sio kuolewa maana mwanaume anatapenda sana ukimtii na kumsikiliza. Then scene ya jamaa kuhusu kumuheshimisha mke ni jambo jema sana,,na subira na uvumilivu ni vitu vizur sana,,mke anajitajid kumvumilia mume wake although ni mnywaji naiman kweny scene zijazo atabadilika na kuwa mtu mzuri tu,,,!!! Asnte kwa kutuburudisha, kutuelimisha, kuhuzunisha na kuleta msisimuko wa tamthiliya big up sana media🙌🙌

    • @Bintmwafurani
      @Bintmwafurani 2 місяці тому +1

      Asante na nimependa maneno yako NA ushauri mzuri kewa dada na ma kaka ni kweli hayo maisha yapo kikubwa kumuomba mungu tu maana sis binadamu si wakamilifu ivyo ukiona mtu Anaweza kuku vumilia na kukupenda jinsi ulivyo basi mungu ataleta baraka zake mw/mungu akubariki sana nakupenda kwa ajili ya Allah

    • @PhildausKamaka
      @PhildausKamaka 20 днів тому

      Umeamua uandike assay😂😂😂

    • @Bintmwafurani
      @Bintmwafurani 19 днів тому

      @@PhildausKamaka kawaida sana ata ameshanielewa cjui wew hofu yako iko wapi

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 2 місяці тому +132

    Duuuu kumbe vai team strong nipeni hâta kidogo ntashukuru🇲🇬🇲🇬🇧🇮

  • @MstaarabuTv
    @MstaarabuTv 2 місяці тому +213

    Dah huyu mlevi bonge la msanii sana anajua hatari wanao kubaliana namm gonga like hapa

  • @KhatibSalehKhatib
    @KhatibSalehKhatib 2 місяці тому +18

    Huyuu mlevii. Mimemkubali. Wallah anajua

  • @adidjaVyumvuhore-tp3tc
    @adidjaVyumvuhore-tp3tc 2 місяці тому +16

    Nimefurah san kumuon cha pombe Wang jaman🤗🤗🤗kazi nzur sana🙏🙏

  • @WinfridaKossa
    @WinfridaKossa 2 місяці тому +57

    Vaileth Tena na manyanya 😂❤😊 niliwamic kuwaona pomoja

    • @MelanceNzoyishemeza
      @MelanceNzoyishemeza 2 місяці тому +1

      Manyanya amemariza vizur agano anakuja kwa ju na vaileth nawapenda😀😀

  • @NdyamukamaEdmund
    @NdyamukamaEdmund 2 місяці тому +64

    asanteni sanaa kwa kutufikisha episode ya Mwisho ya Agano,,,,, na kwa kutuunganishia tena ya hii mpya kabisa ya Dunia,,,,, hamna baya,,,,nawapenda nyote

  • @johnmusha5260
    @johnmusha5260 2 місяці тому +82

    Manyanya mtanzania number moja mwenye kuongea kizungu fasaha... 🎉🎉🎉

  • @salimasava11
    @salimasava11 3 місяці тому +36

    Jamani kanji wewe wa kuletea mke wako mawe etii nyama jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @NickoMsigwa
      @NickoMsigwa Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @LatifaMuddy
      @LatifaMuddy Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @GilbertSambaya
      @GilbertSambaya 19 днів тому

      Nimechek nikakumbuk umbuz wa bab yangu anamfanyiag mom wangu hv haletag kitu ni mawe tuuu😅😅😅😅😅

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 3 місяці тому +70

    Number 1 today gong likes 5 Guys Kam unaipenda hiy team ❤kanji mlevi hiyo stailo unacezeaga ikosawa much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @paulmgishamussa1125
      @paulmgishamussa1125 2 місяці тому +1

      Jamani tanzania adala kusupport kazi za watu hili twende mbele tunashindania likes tu 😂😂, guys stop being stupid on things that what help you. Ushauri tu.😊

    • @clementphon9450
      @clementphon9450 2 місяці тому +1

      💞💕💕

    • @BrandonsimiyuBrandon
      @BrandonsimiyuBrandon 8 днів тому

      Sasa

  • @sarahdonte2183
    @sarahdonte2183 3 місяці тому +32

    Manyanya Vai asikuumize awamu hii😂😂

    • @applesuperclick
      @applesuperclick 2 місяці тому

      Mm kiukwel mwanamke unakuwa kama busness partiner huwa nashindwa kiukwel

  • @PoleenNjeru
    @PoleenNjeru 3 місяці тому +40

    Tupo dani wapili tokea🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much 💚..twende nalo

    • @ChristineKadzo-hf4uq
      @ChristineKadzo-hf4uq 2 місяці тому +2

      MTU wangu NPO apa+245😂😂unaning"Ang"ania mm mmko mzazi hiii nayo n yetu

    • @MelanceNzoyishemeza
      @MelanceNzoyishemeza 2 місяці тому +1

      Huyu mrevi nae😂😂😂😂😂😂😂😂😋ananiuwa

    • @eunicewambui-v7k
      @eunicewambui-v7k 2 місяці тому

      Kuna mapenzi na majaribio 😢😢😢 hii ni nn kweli

  • @henryhabadju-xr6qk
    @henryhabadju-xr6qk 3 місяці тому +19

    MBOTE NA BINO NYOSO🇨🇩

  • @felistusbochaberi383
    @felistusbochaberi383 2 місяці тому +10

    Matlida tuko wengi huku😂😂😢😢

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 місяці тому +10

    Huyu mlevi na mkewe❤😂😂😂

  • @NajmaRajabu-q8e
    @NajmaRajabu-q8e 2 місяці тому +12

    Sindi na mudi 😂😂😂😂😂😂nawapenda bure❤❤❤❤❤❤

  • @ericnduwimana8246
    @ericnduwimana8246 2 місяці тому +18

    Jamani,kama kuna dada anae teswa nama penzi kama Matilda,Basi mwambie kwamba taipu yake ni mimi hapa from Burundi,nawapenda sana best family kwa mafunzo yanu ya bule

    • @LovenessLucas-r2x
      @LovenessLucas-r2x 2 місяці тому

      Hii Hali inatokea Sana
      Hata mm imewai nitokea niliteseka Ila asilimia kubwa unakuwa unachezewa na walimwengu

  • @Nancy-z8g2g
    @Nancy-z8g2g 4 дні тому +1

    Tangu niaze kuangali movie za kitanzania atimae manyanya pekee ndiye nimemsikia akiongea kingereza vizuri hongera sana bwana manyanya❤❤

  • @kakampole7
    @kakampole7 2 місяці тому +28

    Cha pombe huyu😂 kilaza😂😂hiyo mijiwe

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t 2 місяці тому +20

    Huyu mkaka napendaga ongea yake 😂❤❤

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 2 місяці тому +6

    Mashallah vaylet good job keep going mama❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 місяці тому +11

    Huyu Vai mimi kabisaa 😂😂😂kichwa kinawaza kutafuta pesa tu😂😂😂

  • @directordelpierrofilmz
    @directordelpierrofilmz 3 місяці тому +34

    Nawakubali kutoka Congo Drc 🎉wakongomani nipeni Likee zangu Hapa❤❤❤❤❤

  • @alish2182
    @alish2182 2 місяці тому +6

    Manyanya mchunguze mkeo Ana mtu inje.ya ndoa anamula😂😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 23 дні тому +1

    Napenda sana mnavoiheshimisha bongo movie kila unapogusa moto🔥

  • @CizaEmanuel
    @CizaEmanuel 2 місяці тому +6

    Chapombe anamke mwenye heshima kwer jamani wanawake kama hawa wamebaki wachache

  • @SharifuAlbughuli
    @SharifuAlbughuli 2 місяці тому +6

    Mlevi na manyanya wanauwaa Sana asee😂😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 2 місяці тому +6

    😂😂😂😂😂ilachapombe nahuyo mkeo kazi nzr jamani

  • @rafaelzerozi
    @rafaelzerozi 2 місяці тому +17

    Kicheche yuko wapi jamani❤❤ Dada Vai mimi napenda movies zenu hapa ❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @makabilatwangavideo.1514
    @makabilatwangavideo.1514 2 місяці тому +23

    Binafisi agano iko poa nimeifatilia mwanzo mwisho ila fainal yake sijaielewa vizur yaan kuna vipengele haviko Sawa.
    1.yule mchwawi mkuu haikupaswa afe kizembe ivo na kifo cha kufanana na Hao wengine iyo mbaya.
    2.sijafrahishwa na namna ya yule askari mpelelezi iliishia wapi na alipotea ghafra tu kwenye thamthilia.
    3. Pia swara la watu kubadilishwa kuwa njiwa nayo iliishia wapi?
    NB :Kuna namna ilitakiwa mfanye kwenye ivo vipengele ili sisi wafuatiliaji na shabiki zenu tuendelee kuwakubali Zaid. Haya wacha tuone kwenye Hii DUNIA

    • @AblahmanJuma
      @AblahmanJuma 2 місяці тому +3

      Nakujibu kuusu askari ukuona alikuwa na mausiano na mchawi mmoja yule aliyefungwa stoo na kuteswa na manyanya ukuona aliuliwa geust na malkia yule dada akapiga makelele mpka manyanya akaja akakuta maiti ndani

    • @DonasienPanda
      @DonasienPanda 2 місяці тому +2

      Hii ndo maana ya kufatilia filamu umeongea kweli kulingana na Mąkosa yalio fanyika kwenye movie siyo wengine wanacomment hila kujua hitilafu au changa moto

    • @AliphonceMartina-q1u
      @AliphonceMartina-q1u 2 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @AliphonceMartina-q1u
      @AliphonceMartina-q1u 2 місяці тому

      ​@Ablahman❤Juma

  • @Sharifaliuma-gb3vt
    @Sharifaliuma-gb3vt 2 місяці тому +8

    Wewe chapombe ubadilike tena tuone uwezowako kilasiku kulewa tu

  • @Anwarmoh-p3x
    @Anwarmoh-p3x 2 місяці тому +6

    Manyanyaaaaa much❤❤❤sana take that🎉🎉🎉🎉 belongs to you, big up sana kaka mkubwa pamoja na vaii... hamjawai tuangusha ila wapi mzee kicheche mlimpotezea wapi mwenzenu... frm254 nyumbani.

  • @athmansaid9931
    @athmansaid9931 2 місяці тому +8

    Nani anajua kama nimekuletea mijiwee😅😅chapombe bwana😂

  • @AbdillahOomar-h7l
    @AbdillahOomar-h7l 2 місяці тому +14

    Hahahaahaha mpombe yumoooooo nakubali chanaa chaliii angu

  • @DanndannosdanielDannos
    @DanndannosdanielDannos 2 місяці тому +6

    Kasoro yako haiko tamu 😅😅😅😅 nimewafata kutoka Congo Kinshasa

  • @AthumaniMsangi-f4i
    @AthumaniMsangi-f4i 2 місяці тому +5

    Dah huyu kanji noma kuekti ulevi salute kwake

  • @ISSAMuemede-u6j
    @ISSAMuemede-u6j 2 місяці тому +3

    Ebwanaee tunaomba msituwangushe maana so kwaio movie Hatari.❤❤❤❤

  • @MoiseJosue
    @MoiseJosue 2 місяці тому +8

    Atimae vaii karudi tena , asante kabisa, tulikuwa tume miss kazi toka kwako

  • @Challengeman1-f6r
    @Challengeman1-f6r 6 днів тому

    Manyanya ni muchezaji muzuri sana❤🎉🎉🎉🎉

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 2 місяці тому +3

    Huu jamaa anajuwa kizungu ila huyu sio tz ameiva na kama ni mubongo bc ameweza mbaya❤❤❤❤❤❤❤

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r 2 місяці тому +9

    Manyanya anajua sana atafika mbali❤❤

  • @DalmondLaurent
    @DalmondLaurent 2 місяці тому +4

    Ila uyu mlevi bana😂😂 unaweza ❤

  • @fabianFanueli
    @fabianFanueli Місяць тому +1

    nmeikubal movie kwan inaleng maixha halix katik jamii zetu nmepend pia kwan inafundixha mengi mno huxuxani kwa watu ambao wapo xingle na wanategemea kuingia katik maixha ya ndoa lakin pia xi kwa wao tu bali hata kwa wanandoa.good perfomance by Andrew slyvester lazaro

  • @WapoHao
    @WapoHao 2 місяці тому +6

    Oya we nyumbani kwanza muvi nzuri na inafundisha

  • @harrysawa-kenya4902
    @harrysawa-kenya4902 2 місяці тому +20

    Manyanya ni kama amesoma kwetu kenya, kizungu yake iko vizuri

    • @rogatusmeleki1660
      @rogatusmeleki1660 2 місяці тому +2

      😂😂😂 sisi Nyerere alimkimbiza Mwingereza mapema sanaa
      Almost 25 yrs only

    • @PeterMgonja-u1m
      @PeterMgonja-u1m 2 місяці тому +2

      Mnazanigi Kuwa wabongo atujui English 😂😂😂

    • @metrinenyakoe1764
      @metrinenyakoe1764 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂team 🇰🇪 🇰🇪

    • @inviolataatieno6353
      @inviolataatieno6353 2 місяці тому

      ​@@rogatusmeleki1660😂😂😂😂

    • @rogatusmeleki1660
      @rogatusmeleki1660 2 місяці тому

      @@inviolataatieno6353
      Shida ikaanzia hapo
      But generation ya kuanzia 2000's kuja now 2024
      Tz tumepiga shule sana n huku Tz hii n second language but uelewa n mzuri kwa sasa kwa jamii

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 2 місяці тому +21

    Nimefrah kumwn zinduna na maisha ya zinduna ndo yangu kabisa niko single singwingwi

  • @AbdallaHija-k8e
    @AbdallaHija-k8e 2 місяці тому +5

    nyie bwan muowan kwel bwan nyie me nawapenda san ❤😂🎉🎉😊😊

  • @MikajoseNankola
    @MikajoseNankola 2 місяці тому +7

    Nilimmiss Sana Vai jamani atimae amerudiii

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial 2 місяці тому +4

    Kakina matrida ni kazur jaman ninge kua Mimi sio masikin ninge kapenda ❤

  • @FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI
    @FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI 2 місяці тому +5

    Unajidanganya daa wanaume Wana maneno mataamu lkn hayana ukweli ndani yake

  • @twinsnationtz
    @twinsnationtz 3 місяці тому +7

    Kaz kaz 🔥😊

  • @BoniphaceMkisi
    @BoniphaceMkisi 2 місяці тому +7

    Sema kanji katishaa manaa kaheshimishaa familia

  • @lucasbale3157
    @lucasbale3157 19 днів тому

    Kwakweli mmeweza ndgu zangu mungu awabariki xan kipaji kionhezeke na zngne ziendelee mpyaaaaa

  • @DomingosMacaicaAndre
    @DomingosMacaicaAndre 3 місяці тому +8

    Ata kama nimechelewa ila naomba like zen i'm from 🇲🇿🇲🇿 na mpenda sana manyanya na w

  • @maleshmspecial02
    @maleshmspecial02 2 місяці тому +1

    Mmmh nimeipenda hii Moto Sana representing 254 #mspecial naikubali hii tamthilia

  • @Vanessa-xr4qn
    @Vanessa-xr4qn 2 місяці тому +6

    Jamani movie inamafunzo ni Dunia kbxaaa Matilda ameigiza maisha yangu kbxaaa

    • @DariusKasitu
      @DariusKasitu 2 місяці тому

      Njoo Kwangu me Nina Mapenzi ya kweli😅

    • @MwinyiSalim-d4j
      @MwinyiSalim-d4j 2 місяці тому

      Wapi captain chef mzee kicheche

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 15 днів тому +1

    Huyu mlevi mwenye busara😂😂

  • @wycliffonyango2065
    @wycliffonyango2065 2 місяці тому +6

    Nani anawatch akiweka earphone kwa maskio😂😂😂 hiyo beats inakimbia kwa maskio moja hadi ingine 🎉...

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p Місяць тому

    Nampenda huyu mkaka sauti inanivutia ❤❤❤❤

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 2 місяці тому +3

    Ahaa we mlevi umetisha sana, ila mke wako Yuko vizuri 👏👏👏 angekua mke wangu Leo ningekufa Kijiji kizima kingejua😮

  • @BelchorCarlitoCoreiaCoreia
    @BelchorCarlitoCoreiaCoreia 2 місяці тому +4

    🎉 kicheche aludi kwenhe kazi ni mefurai kumwona vai 🎉

  • @franciscojoaquimjoaquim7750
    @franciscojoaquimjoaquim7750 2 місяці тому +5

    Vaillet upo????? Nakupenda sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 2 місяці тому +2

    Daaah😂😂😂😂😂nyama😅😅😅😅

  • @mandelakingi8183
    @mandelakingi8183 3 місяці тому +13

    Wakwanzq kutoka Kenya 🇰🇪

  • @MaryamSafi-vm6or
    @MaryamSafi-vm6or 2 місяці тому +2

    Yamoto sana ❤❤🎉🎉

  • @SERGEDEPAUL
    @SERGEDEPAUL 3 місяці тому +6

    Leo nipeni like zangu aisee kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @Molong-e6d
    @Molong-e6d 22 дні тому

    😅😅😅😅😅 jamani amenifurahisha sana huyu mlevi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 2 місяці тому +5

    Naomba kicheche awepo jamn

  • @jailomunyuka
    @jailomunyuka 2 місяці тому +1

    dhaa huyu dada matirida mnamtesa sana .ila mi mampenda sana .kabisa

  • @ebubu-bf1oy
    @ebubu-bf1oy 2 місяці тому +3

    Akili sana mlevi wangu 👏👏

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 20 днів тому

    Dah mmenikusha kwetu tandale ❤❤❤❤❤❤

  • @kiswagatz7990
    @kiswagatz7990 Місяць тому +2

    Hi movie kali sana kama umeikubali kama mimi gonga like hapo.

  • @ProspaSalumLungwecha
    @ProspaSalumLungwecha 2 місяці тому +1

    Mwandaaji wa hii movie chukua💐💐💐

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 2 місяці тому +13

    Ivi uyu jamaa mathematics boy uwaga ni msomi sana😮😮😮

  • @Alexwachiaanyonge
    @Alexwachiaanyonge 25 днів тому

    Hii story inanijenga sana huu ni ukweli wa maisha🎉🎉🎉

  • @Rihan-zs3vr
    @Rihan-zs3vr 2 місяці тому +5

    Kama wamkubali mamake Asma gonga like,nampenda bure ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KhadijaSaid-vj9kh
    @KhadijaSaid-vj9kh 28 днів тому

    Bora muwe mnatuekea kilasku jmn Kaz nzr hii

  • @Elisingham
    @Elisingham 2 місяці тому +3

    Film nzuri naona itakuwa nzuri zaidi mu episode zingine , tunawapenda kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 warundi Dondosha comment na like

  • @RukiajumaMwamguta
    @RukiajumaMwamguta Місяць тому

    Mashallah nzuri san🎉🎉🎉from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @willyobiike5500
    @willyobiike5500 2 місяці тому +6

    WAKUU NAOMBA HUU WIMBO WA TAMTHILIA HII UPOSTIWE FULL TUUPATE JAMANI DAAAAAH WIMBO MZURI SANA MH 😢

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 2 місяці тому +1

    Mleviii anajuaa kufanyiaa kazi sektaaa yakeeee❤❤❤❤

  • @YohanahamisyjonasyYohana-o2p
    @YohanahamisyjonasyYohana-o2p 2 місяці тому +5

    Uyo dada anaeumizwa na kira mwanaume kama hajaorewa kweri atume namba nimuowe ❤❤❤❤❤❤

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 2 місяці тому +1

      Hzo ni movie tu hakuna uhalisia hapo

    • @shilagijisandu3101
      @shilagijisandu3101 2 місяці тому

      Wew ndo utamchezea maana yawezekana una mke

    • @AtuganileLeonard
      @AtuganileLeonard 27 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 27 днів тому

      @@YohanahamisyjonasyYohana-o2p kwanza mama watoto umemwambia kuhusu hilo 😂🤣🤣😂🤣🤣🤣 ama nipeleke ujumbe

  • @rosemarymaokola7239
    @rosemarymaokola7239 2 місяці тому +1

    Nimeipenda hyo Cha pombe eti anamuheshimisha mke wake kumletea mijiwe eti nyama 😂😂😂😂

  • @irenemosha962
    @irenemosha962 2 місяці тому +5

    Leo vai kamkubal manyanya

  • @mechne803
    @mechne803 2 місяці тому +1

    Manyanya na vai Mkicheza pamoja inanoga sanaaa nawapendaaaa🎉🎉🎉 hongereni kazi nzuri sana

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 місяці тому +2

    Tuliwamiss sana jamani ❤❤❤

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 2 місяці тому

    Lkn uyu dem wakuitwa matlda amenona this time mashalla

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 3 місяці тому +3

    Woow hakuna kulala🎬

  • @bahatiwinchi
    @bahatiwinchi 2 місяці тому

    Nimefurah kumuona zinduna nampenda sana huyu mlembo❤

  • @safarikanigibertin9812
    @safarikanigibertin9812 2 місяці тому +3

    Umalaya tu Ila kuoga aaahhhh

  • @AdamClassic-uj9ed
    @AdamClassic-uj9ed Місяць тому +1

    Nani Anajua Kama Nimekuletea Mijiwe😂😂😂

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 2 місяці тому +3

    Kazi mpya #MANYANYA

  • @OmarHamad-sh7hv
    @OmarHamad-sh7hv Місяць тому +1

    Kazi iko poa....lete kama hizi🎉🎉

  • @JosphatSimiyu-s1j
    @JosphatSimiyu-s1j 2 місяці тому +3

    Hii movie ipo tozzy kabisa

  • @IGEMBEOG
    @IGEMBEOG 2 місяці тому

    Aliye andika story yahii movie great writer ❤

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 місяці тому +5

    ❤❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Місяць тому

    Vai Mashallah mtoto kakurembesha🎉🎉

  • @MiguelMwale
    @MiguelMwale 2 місяці тому +3

    Nimekubari sana hi móveis 🇲🇿