Salama Na Seba Ep 27 | MKURUGENZI Part 2
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
Sebastian Bigacho Ndege, jina kubwa nchini kwetu na anajulikana na watu wa aina tofauti tofauti, hiyo ndo tofauti yake yeye na ‘celebrities’ wengine. Ukiachana na kwamba ni Daktari hodari tu na mtangazaji wa radio mahiri kabisa ambale alijenga historia miaka ya nyuma kwa kuwafanya watu wawe huru kuongelea juu ya suala la maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, Seba (hivyo ndo anavyofahamika zaidi au Dr Seba au hata Jembe ni Jembe) aliweza kuwafanya watu wawe huru kuongelea pia masuala ya magonjwa ya zinaa na unyanyasaji wa kijinsia kwenye kipindi chake cha NJIA PANDA. Kutumia kipindi hiki, aliweza pia kubadilisha maisha ya yatu wengi ambao walikua wanaishi maisha ya ukimya kwenye suala la ugonjwa na unyanyasaji wa kijinsia, kupitia kipindi hake alitoa elimu ya waziwazi kwenye suala la gonjwa la Ukimwi na kuwafanya watu kuuelewa ugonjwa na jinsi ya kupambana nao na kujikinga pia.
Toka alivyokua mwanafunzi Dr Seba alikua mjanja na muerevu, alijifunza mambo mengi kwenye muda wake wa ziada, na ndo yalimfanya awe mbele ya wenzake wengi. Nafasi za kuelimisha na uongozi zilipokua zinajitokeza Seba alikua wa kwanza kuzipata maana tayari alikua na ufahamu kuliko wenzake wengi. Alikua mwanafunzi wa kupasi daraja la juu na hilo lilitokana na kutokea kwenye familia ya kisomi ambayo iliweka elimu mbele kabla ya mambo mengine.
Dr Seba anafanya kazi zaidi ya nne hata alipokuja kwenye maogezi haya ilibidi tumsubiri kwa muda ili amalizie ku edit CV yake ambayo alikua akiituma sehemu ili aweze kupata kazi aliyokua akiifukuzia. Yeye ni Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe FM pia ni Mkurugenzi wa Ndege Insurance lakini pia miaka ya nyuma alikua na Band ambayo kusema za ukweli ilitoa ajira kwa vijana wengi na pia kutoa ushindani kwa band nyengine ambazo pia zilikua zinafanya vyema kipindi hicho.
So,anawezaji kufanya yote hayo? Kumbuka pia kuna wakati huwa anafanya yale makongamano ya kuhamasisha vijana kwenye mambo mbali mbali na pia ni moja ya vitu anavyoviweza sana ukichukulia kuongea pia ni moja ya vipaji vyake. Anawezaje? Anajipangaje? Bila ya shaka unafahamu pia kama mwaka huu alitangwazwa kuwa ni mmoja kati ya watu ambao wanamsisamia Harmonize kwenye mziki wake, kitu ambacho kilinyanyua nyusi za baadhi ya watu. Je ana uzoefu huo? Ataweza? Ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo? Na kuhusu familia yake je? Ulikua unafahamu kwamba ametokea katika familia ambayo Mungu aliibariki kwa kipato? Pengine mafanikio yalianza kutokea huko?
Majibu ya maswali yetu yalipatikana baada ya kuongea nae pale tu alipomaliza kutuma CV yake. Tuliongea kuhusu udaktari, njia panda, familia, biashara, challenges za maisha, ubunifu na of course Harmonize. Yangu matumaini utapata jambo la kujifunza humu na ku enjoy pia.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Alie tamani seba arudi tena kuhojiwa na salama like hapa❤️❤️👏🏾
“People are not confident because they dont know what they are offering”.. Jembe.
This was the most educational interview I must say. Dr Seba is smart, very smart I must say! Kikubwa nijifunza ni kuwa huwa akiwa na passion flani ana prefer kuingia class formally; that way huwezi kuwa na kubahatishabahatisha since u have both the passion and knowledge on what u are doing.
The interview should have been a bit longer so we tap and learn more from him
This Interview is LIFE, Hongera sana. Haya Madini ni zaidi ya yale ya Tanzanite.
Kweli seba umependeza,ushauri wewe ni manager mzuri keep it going dont give up,tupo tunaoona unachokifanya si watu wote watakupenda that's Nomal kwa kila mja cha muhimu wakisema chukua kile unachoona kinafaa na kisichofaa kiache,big up salama kwa kutuletea watu kama hawa nimejifunza kitu.🤝👌🏿❤
He is smart...mpambanaji....
First of all RESPECT to you!!!! I just love the fact that your book SMART and street SMART. Kondeboy is on the right hands no doubt about that!!!! 💪💪
Salama, huyu kaka ni kichwa kwakweli, nimejifunza kikubwa sana kupitia interview yenu wewe Na yeye , Nakuomba uendelee kutuletea watu wenye uelewa kama huyu , shukran sana
Men Jembe Ni Jembe is something else...very smart at presenting issues🤭🤭....nimetoka na kitu leo🤗🤗...big up salama n ur crew💕
Jembe is genius and gifted
Dr anajua anachosema kwa kweli ni mtu mwenye busara na muelewa wa nguvu he is real deal.
Hongera sana Mr. Sebastian Ndege kwa hapo ulipofikia, Huyu jamaaz alikuwa mkali sana wa Bebate competition tukiwa pale Azania Boys sec.school.
Salama we ni nouma saana sijapata kuona,. Daah, basi tutengenezee na wengne kama wew hata wa 4 tuu bongo🙏🏿
Daaaaah kiukwel kuanzia leo nimekua shabaki wa huyu jamaa Mara ya kwanza sikumjua yupoje bt now daaah anajua Sana hongera Sana salama kwa kutuletea vichwa hivi mi ni shabiki yenu mkubwa sana I wish nije kuhojiwa siku moja japo mm sio chochote kwasasa bt badae nitakua mkubwa Sana na namadini ya kutosha kwenye haya maisha.
jamaa ni very intelligent anazo akili sana smart in thinking nimejifunza mengi sana kupitia hii interview watu kam ndo tunawahitaji
Yaani harmonize amepata manager mzuri sana asimpoteze kwa kweli.
I love him even more! Uwa namuona tu navutiwa na mishemishe zake leo kanifungua zaidi
Mrudishe tena dr. Seba ana mengi ya kutufunza ana jibu vzr sana
Nimejifunza kitu kikubwa sana kwako sebastian.
Salama unafanya kitu kikubwa sana
Good interview nimejifunza ving kutoka kwa doctor Sebastian ndege
I wish to met with Dr seba maana nilikuwa nasikiliza njia panda mpaka nalia . Nimejifunza mengi kutika kwako.nakupongeza sana
salama usisahau kua na wewe unamchango mkubwa mpaka konde kufikia alipo ❤
Aunt Salama...uchaguzi wako mzuri...tuletee ambaye wewe unaona anafaa...yeyote yule💃💃
Kichwa hichii daah i wish one day nikutane na Dr ndege na hisi maisha yangu yatapa mwangaza sana
Interview kali sanaaa nimeanza kuiskiliza kwenye podcast na bado naingalia tena youtube. Can’t get enough of it...Madini kama yote. Big up salama big up SEBA🔥🔥🔥🔥
What’s the platform you use
Speaking volumes and profound truth... bravoo Seba💥
Ila kwa ujumla najifunza mengi kutoka kwa Ndugu yangu Sebastiani Ndege. Big up sana Seba. Kwa ujumla tusing'ang'anie field moja tu hata kama haitulipi.
i real appreciate the interview
imenifundisha mengi sana
Kusikiliza bila kusema chochote ni kutoitendea haki hii interview, Jamaa anajua sana na sijaona ajabu kwa nilichokisikia coz namjua yupo vizuri.
Such a brilliant man...
Moja Kati ya enteview nzuri kupata kuziona mwaka huu
Asante Salama, amini tunajifunza sana katika hiki kipindi chako.
Uwezi kuzuia watu wanavyofikiria, kweli kabisa
PLAN, PERSISTENT,FLEXIBILITY,CONFIDENCE,RESPONSIBILITIES and EXECUTION.....asante sana Dr Jembe.
Shukran Salama na Dr. Seba
Madini tupu aisee kweli jembe ni jembe sijaliwa mb bule nimetoka na vitu kibao ubalikiwe sana sister kwa kumleta Seba 🙏
Nimejifunza mengi sana Kwenye mazungumzo haya Jembe barikiwa zaidi jamii ya watanzania bado inakuhitaji kuwapeperusha kina Harmonize wengi zaidi.
naomba mumuite MASOUD KIPANYA ntafurahi sana aiseee...kipindi chenu ni kizuri sana...all the best
Naunga mkono hoja
Tutacheka mwanzo wa kipindi hadi mwisho japo atakuwa na madini kama yote.Kipanya habari nyingine Ile.
Kipanya ukimuuliza swali anakuuliza na were swali kwanza kabla ya kukujibu hahahahaaaa
🙌🏽🙌🏽🙌🏽Sina la kuongea aiseee..... Salama watu wa hivi utuwekee masaa 2🤦🏽♀️
asante mdogo wangu kwakuliona ilo, kweli upate wangu nimejifunza kitu
Sana
@@mkapamashalo9913 duuuh
He is the best 👏🏻
Congratulation brother Jembe
Kudos Dr. Ndege
Genius
Oooh my God very nice and smart can really kumusikiliza the whole day jamani thanks you so much again sister Salama
Wow! Powerful interview! I’ll use those 6 pointers for my weight loss
Moja ya interview nzuri xnaaa
Dr. Seba is awesome..✍
Interview bomba kabisaaa..next time aje mwanamke sasa👌
Kwa bahati nzuri umezaliwa katika familia ambayo mungu ameibariki" Salama sijakuelewa katika sentensi yako hii
Familia yenye pesa
KAMA MANAGER TEMBO KAPATA👌💯
Kabisaaa
Ndo maana tembo ananidhamu sana.
Jembe ni jembe....its really reflecting
Daa huyu jamaa anasound like pastor sikuamin kama yupo kweny music business
how old are you??
Dr Umetisha
... Kipindi kizur sana na kinaelimisha kiasi chake,kikubwa tuekee infuencer kama hawa 🙏 sana #Salama&Seba...
Salama dada utuletea kichwa sana tunaomba pia utuletee shaffihdauda
🔥🔥🔥.... Kwa video za mapishi, karibuni tujifunze
Nice
Mambo ya kujifanya am too big for that ndio maana mnaishi kimaskini wakati opportunity zipo za kutosha biblia inatuambia “I can do everything through Jesus “ yes dokta ur multitalented do everything usiache kitu usisikilize mtu endelea kusikiliza hio hio sauti ya ndani,life is too short kuwa discouraged ndio mana salama unakomaa kwenye utanngazaji wakati ungeweza kuwa ht mama ntilie na ukatoboa.
Congratulation salama
Mahojiano ni mazuri
Salama unajua mambo mengi Sana.
Salama iyo style ya kufunika mic kwa vitambaa umeitoa wapi
so powerful straight dawg
Nice interview, nimefurahi kumuona Ndege na kumjua zaidi
Dada salama tuletee Dr Mwaka
Interview nzuri sana
So kwa ubaya Babu tale na salama hawawezi kua na busara ivi
Hawafanani!
Huyu msomi
Salama una mitego mpaka nakushangaa
This guy is very smart
Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
Whatsap +255 653953900
Company: Mofaz movers
Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
Nilijua kwangu to
hii interviw nzury sana ila kunasuwali moja halikutakiwa kuwemo kuhusu ulewi imearibu kiukweli
Nice 👍🏻
Salama my sister, tuletee Galatone wa samaki samaki, atupe hustle zake mpaka hapo alipofikia
Seba shikmoo
Kweli
niceeee
🙏
Bi Salama naomba jina la theme song ya show.
Wimbo unaitwa Yeaah wa Marco chali ft one incredible & Msamiati
Shukran sana Roger
Mr Jembe ni Jembe
Always be responsible
🧡🧡
Good job salama Jembe ni Jembe kweli
Asant
NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE
habari naitwa hero ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html
ua-cam.com/video/vUEnXdxTubc/v-deo.html
Kama unataka kufurahia Filamu Kali Ya Kiswahili Basi Bofya Hiyo Link Hakika Huto jutia Muda wako na Bando lako🔥🔥
JAMAA HUYU YUKO VIZURI SAANA
Mmiliki wa konde gang😂😂
Ndio maana harmonize anafanya vizure the man behind the scene yuko vizure
Bado dakika 78 yaani saa nane na nusu ndo unaweza kuangalia
Bi salama waga haukosei
Video hai-play nn shida
10:15
Challenge
👏👏👏👏👏💪💪💪💪💖
MUDA HAUTOSHI KABISA NDUGU YANGU (KISTULI)
Kibaka tu uyo aliharibu machozi band ya jide kinachombeba hamo nikwavile katoka wasafi mbwaa uyu time will tell
Eti uitaji kuongelea acheni kuwatenganisha vijana
Interview nzuri sanaaa
NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE
habari naitwa hero ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html
NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE
habari naitwa hero ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html