Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 1
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
Mara zote ukiwaza Manzese kama wewe ni mpenzi wa Bongo Flava basi utawaza Madee tu. Waliosema au alipojiita Rais wa kule sidhani kama kulikua na upinzani wowote, najua kulikua na mtu mwengine ambae alikua anataka hiyo title ila tayari ilikua na mwenyewe ambaye inamkaa haswa.
Busara zake za miaka ya karibuni na haswa niseme zaidi mwaka huu ni moja ya vitu vilinivutia kutaka kuongea nae. Maana si mara nyingi kwa kijana ambaye amekulia maisha ya ‘ki gangster’ kuwaza watu wengine au hata kuonyesha kuguswa na kitu flani. Ili mtu afikie kufikiria suala la umri kwenda na kuanza kujijengea kwenye maisha ya baadae siku Muumba atakapotuita ni jambo ambalo tunatakiwa kujifunza kutoka kwake. Na pia ni moja ya idea maridhawa nimeskia mwaka huu. Na kubwa kabisa ni kuwa mimi na yeye hatukuwahi kuwa na maongezi ya aina hii, wakati muafaka kabisa...
Seneda yeye haswa alizaliwa wapi? Ametokea kwenye familia ya mziki? Wazazi wake ni watu wa aina gani haswa? Kule Manzese ndo kwao? Au ilikua maskani tu? Na kama si hivyo aliwezaje kujikita mpaka akawa rais? Suala la elimu je? Wakati anakua kuna makashkashi yoyote alipitia? Na muziki? Na Babu Tale? Na Abdu Bonge aliwatoa wapi? Na TipTop Connection nayo chimbuko lake ni wapi?
Niliongea naye kuhusu hayo na kuwa ‘chawa’ ili yake yamuendee kwenye suala zima la kujijengea empire yake... Muziki umemfanyia nini? Kama Baba ni kitu gani ambacho watoto wake wanapenda kuhusu yeye? Yuko na hao Mama za watoto wake? Ki ukweli kuna mengi tumezungumza naye lejendari huyu wa Bongo Flava ikiwa pia pamoja na wimbo wa ‘Pombe Yangu’ ambao nao pia una story yake ya kipekee.
Yangu matumaini uta enjoy kama nilivyo enjoy mimi na wenzangu wakati tuna film hii.
Love,
Salama.../
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Hawa ndio mfano wa watu tunapenda kuwasikia Salama.
Asante sana,
Fid Q, Idris, na wengine wachache pia, are very inspiring.
We love your interviews.
Kosa lako wewe sio kosa kwangu ni FUNZO kwangu 🙌🏽🙌🏽 madee
DUU AISEEE MADEE UKIKAA NAE UTAVUNJIKA MBAVU ANACHEKESHA SANA ANA STORY KINOMA... SIJUTII MB ZANGU BIG UP NACHEKA TU HAPA
Nakupenda hiki kipindi Sanaa narudia This is how journalism is , how journalist need ANGEL it's gives you all detail from interviewer freely,flowing, no hesitation s. LOVE YOU SALAMA♥️♥️♥️
Nimeipenda chemistry ya Salama na Madee, interview nzima nimebaki nakenua tu,
Big up kwenu.
Nice one.
Queen September mie pia nakenua tuu jmn kha!!
😍
Exclusive moja hatari sana... Madee is very wise and Salama you the best
Salama, hio salamu Hamadi amejibu kwa sauti ta Bwakila! Kazi safi.
Asante Sheikh Ali! ♥️
QUEEN OF TV SHOWS
Kipindi chako kizuri salama , from Lusaka zambia through youtube
Tatizo nimeliona kwa Watanzania wengi wanajibu tofauti na swali,Salama kauliza colour ya nywele kama kapaka "black colour",yeye anajibu "volume" wingi wa nywele.
Hiki sio kipndi bali ni DARASA 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 MIM MUHUDHULIAJI MZURI SIKOSAGI KIPINDI
Dah😂😂😂 nimecheka sana eti tulikua tunaiba magunia ya mkaa
nimeipenda hile "pambania umuoneshe mtoto kuwa wewe ndo baba yake hamna mwingine ,hata kama kuna mwingine anakuja na kutambulishwa kuwa ni baba yake,ila mtoto akilini ajue kuwa wewe ndo baba yake sio yule anayekuja badala yako" safi sana shineida ndo madee..
Love u Salama, am glad kweny kpnd hiki u also shares some of ur Lifestory I really wanted to no u more😍
Soooooo nice aseeeee... Show ina uhalisia wa kweli hadi raha. Big up to you all
Best of the best interview........salama acheka sana coz huchoki kusikiliza!........... like kwa madeeee!✌
Brother unajua kujieleza vizuri
Kosa lako wew kwangu ndo elimu kwangu
Salama nakukubali sana niletee jide
salama this is the best interview.
Nimekaa muda mrefu nasoma kibao katikati ya madee na saalama. Kimeandikwa gather it mean a lot
😂
Salama Big up sana dada Yetu
Salama u are the best .......naomba kuona ukimiterview kiba plz
Salama una kazi nzuri mamii, u know how to question ur guests.... Madee unavutia na nywele zako,ni baba bora na nimependa ulivyopambana... Good guys
madee nakukubali Sana brother , hatari Sana
Daah, nimecheka sana aisee. #RESPECT
SALAMA JABIR is the best YOH
Nataka kujua mengi kuhusiana na kiba plz salama naomba inayo fuata ufanye nae au diamondi
Aisee maisha kupata sio rahisi kikubwa subra na uvumilivu
Nmeendaa kuitazama kazi yake mola
Umekuta dunia imeandaliwa,
Nawe bila hiyana si ukazaliwa,
Umekuta wasafiri (wasafiri)
Waliotutoka kwaheri
Kimwili umetutoka kiroho tupo nawe,
Upo ndani ya kina Kati mbao chini mawe,
Mchana na usiku tunaomba tuwe nawe,
Haiwezi kuwa sawa,
Ugonjwa hautibiki na mauti hayana dawa,
Kwa heri mwanahawa
Salama naona anachukua notice kama yupo darasani pale maswali yake yanapojibiwa vzuri 😀😀😀
Kiukweli tume enjoy sana interview 😂😂😂
This is the funniest interview so far...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
BABA WA DOGO JANJA... SHENEDA ASANTE KWA MAOJIANO YAMEKA PAHALI YAKE NICE LESSON
"Leta tuone kama kweli umevunjika taya arifu" ilickika sauti ya kijana mmoja huko A town akimwambia Naniii
mjuba kama mjuba😂
Nimeenjoy sana na cheko kubwa.. Nice interview
Very professional bro
F
Mikono juu kama unampenda madee yooo miaka yote mi nazidi kuwarusha Toka far es salaam dodoma mpaka Arusha
Plz salama naomba ufanye na kiba au diamond
Salama msosi unaletwa kwa grade,wa manzese wana grade yao na wa mbezi wana grade yao
Cool
We are waiting
hilo la tale na uniform""""Madee wewee😂😂😂😂😂kweli usimuone mtu kafanikiwa watu wanatoka mbali saaaana acheni wale Bata zao.
Kweli kabisa
Today lesson...To Accept changes
Napenda kipindi chako salama
..."kuzaa nje ya ndoa imenikomaza"... reaaleee?... acheni ku preach uzinzi na ufuska... inaweza kuwa imakaa sawa kwa upande wako... ila watu si wapumbavu kuamini huo upuuzi... kuna listi isiomaliza ya matatizo yanayoweza kujiri kwa kuwa mzizi...maradhi.. watoto wa mitaani (wanao kwenda kuwa wezi, na majambazi)... na hapo hatujaongelea suala ambalo ni Muhimu kwa wengi kuliko yote... kumuasi Mungu.... so tuondolee uo ujinga...
tatzo mnayakuza...kwan ambacho hujamuelewa nn...kashasema yeye anajifunza so kama unaamin ni uzinzi ndo usizini sasa
I like it
🤣🤣🤣🤣 sasa madee uliimbaje wakati taya ulivunjwa?🤣🤣🤣🤣 da 🙄 watu wanatoka mbali jamani,mpaka wameshawahi kuiba du kweli usione watu wanamafanikio ukadhani wamepata kirahisi big NO,❤ you much salama from swiss
Madee nakuelew sana bro
Watu wng wanadumaa kuogopa mabadiliko, inanihusu 80%
Dah! Mimi 100%
Watu wahip hop wanajuag kuengea
mwasiti#uyo sio msanii wa hip-hop huyo, msanii wa fleva za bongo
Nimependa men
Salama, this is the best interview
Ya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana
interview nzuri sana
Salama anafurahi jamani unaonesha haswaa kua hii interview ya kirasta
Kumbe ilikua n debate..
Tunasubiri
Senedaaaaaa
Safi sana salama....u re the master of tv shows
machalii wa chuga hawaamini mpaka waone nyaya mdomoni😂
Unaibiwa ulikuja na shilingi ngapi
Hamad Ali. 👍🏾😎
Duu maisha ni safari ndefu
Mtandao unasumbua nilipo lkn naangalia hvyhvy kibish
Kama mm
This episode was good but the set up seem rushed, the scarfs are not ironed, the drinks weren’t mentioned seems like regular juice , the table set is off , and the samaki samaki food wasn’t mentioned when bought out. Seems like was a last minute set up.
One of the interview.... "Nice one"
Nzury San
NIMESIKILAZA INTERVIEW ZOTE HII BORA SANA UKIONDOA ILE YA MWANA F.A
#MADEE KAWASHIKA MKONO DOGOJ NA MAARIFA
MAFANIKIO KUSAIDIANA
Salama ulipo tupo dada
Another day
Vipi kuhusu mchizi wako mb Dogg mbona unamlenga
Unajifunza kupitia tamthilia?na si maadili ya u-Afrika wako..hapa sijamkubali huyu mtu
Aii kazi yake mola naikibali kinyamaaaa...yaani jamaa Rasta huyu namkubali anavoongea yupo Nature yaani
Madee
Bonge Darasa
URirC Air
Salama naomba umuite na NIKKI MBISHI kwenye hii interview..
Haswaaa
Hamad seneda
Salama Naomba Uni Unblock Instagram @eliasakitasa
Hahaha ulimfanya nn😀😀
Tulia dawa IKUINGIE!
Shenz type
Huna hoji watu bila kuwauliza sehemu huska wanapotoka au kuzaliwa
Big Interview! Hongera Madee! Karibuni msubscribe channel yetu kwa video's za mazoezi
🇧🇮