Simba SC 4-0 Biashara United: Highlights - VPL 20/09/2020

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 581

  • @aminaselemani6212
    @aminaselemani6212 4 роки тому +21

    Simba wamecheza mpira sanaaa yani hatar sana naikubali simba kama unaikubali simba gonga like hapo

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 4 роки тому +31

    Asante Mungu kwakuisaidia Smba sc ikashinda mchezo dhidi ya biashara united Ee Mungu nakuomba tr 26/09/2020 team tutakayocheza nae tuishinde magoli mengine Kama haya, KAMA NA WEWE UNAITAKIA MEMA TUPU SIMBA GONGA LIKE HAPA TUENDE PAMOJA, Another level, Simba wote Nguvu moja

  • @elifrewjohn8723
    @elifrewjohn8723 4 роки тому +36

    Kama umekubali simba ndiyo mabingwa wa msimu huu gonga like tuendelee na 4G

  • @richardmteka6586
    @richardmteka6586 4 роки тому +12

    Azam mnatupa burudani mungu awabariki sana

  • @elishaezron8434
    @elishaezron8434 4 роки тому +8

    Wa kwanza ap simba nguv moja,gonga like kam umeuelew uwezo wa mabingwa wa nchi

  • @danielmafara7168
    @danielmafara7168 4 роки тому +9

    What a game. I am happy to be simba. Sijutii kuwa Simba...this is next level

  • @pheninhojr5875
    @pheninhojr5875 4 роки тому +16

    Wanaokubal Simba Kubwa Kuliko Tia Comment na like twende zetu😂😂💉

  • @shabanikamsawa181
    @shabanikamsawa181 4 роки тому +7

    Anae kumbuka pasi ya bao la tatu ya kutoka kwa chama ni sawa na bao la tatu zidi ya simba na nkana gonga like hapa tujuane tunao hifazi kumbukumbu

  • @hassanseleman7145
    @hassanseleman7145 4 роки тому +16

    Kama 2naipenda simba gonga lyk

  • @abbasmtamani1233
    @abbasmtamani1233 4 роки тому +8

    We are the Simba sports club

  • @yusuphkimolo861
    @yusuphkimolo861 4 роки тому +5

    Hongera simba kwa kuifunga biashara 4-0

  • @shabanimwinchea2696
    @shabanimwinchea2696 4 роки тому +6

    Kuitazama simba sc kwa buku 3 n sawa na dhuluma, biashara wameteseka sana hii game,this is simbaaaa

  • @abdulshaban866
    @abdulshaban866 3 роки тому +9

    From 9ja simba have good quality players i ddnt know that !

  • @emmanuelpoletz6481
    @emmanuelpoletz6481 4 роки тому +8

    Simba kama tukiendelea kucheza hivi club bingwa tutafanya vizur sana naamin nguvu moja

  • @luluadam3086
    @luluadam3086 4 роки тому +4

    Simba one love nakupenda kufa my team 💪💪👏👏

  • @allymacnair5189
    @allymacnair5189 4 роки тому +5

    Mashallah kiwango cha Mzamir kimekuw bora zaid

  • @emmanuelwilliam9882
    @emmanuelwilliam9882 4 роки тому +6

    Kaka wewe noma sana anapiga ku ku ku ku ku kama blusiri mpenja hongera sana kama utangazaji uliotukuka.

  • @fadhilmolel6767
    @fadhilmolel6767 4 роки тому +5

    The most beautiful highlights😍 If you love Simba like😍

  • @josephatmagori7588
    @josephatmagori7588 4 роки тому +5

    Nguvu moja ndy ushindi asante sana simba sc kwa ushirikiano wenu

  • @derickfrance6287
    @derickfrance6287 4 роки тому +21

    Jaman like zenu wale wa marudio kama mimi

  • @Murtini2023
    @Murtini2023 4 роки тому +6

    Hello from UK. I guess Biashara aren't that good but my word Simba play some scintillating football.

  • @godwinwilson3837
    @godwinwilson3837 4 роки тому +8

    Ukitaka chama aperfome zaidi nyuma yake muwekee mtu Kama bwalya ambaye atampunguzia majukumu zaidi, nadhani wengi manakumbuka kipindi niyonzima yupo Simba akiwa chini ya chama performance ya chama inakuwa juu Sana..kocha akiweza kumtumia vizuri bwalya nyuma ya chama Kuna mengi chama atayafanya makubwa mno

  • @iddmcholwa9096
    @iddmcholwa9096 4 роки тому +7

    Hadi mshabiki wa Yanga anafurahi kuona mpira mzuri wa Simba

  • @lulukibanga8152
    @lulukibanga8152 4 роки тому +5

    Simba raha aisee😍😍😍😍

  • @zayfaabbas9384
    @zayfaabbas9384 4 роки тому +5

    Mmetisha

  • @felixpaul8303
    @felixpaul8303 4 роки тому +23

    miquisoni katoa asist za magoli matatuu....alkua hatr kulko chama mpira ulipo na yy yupo......naona hasemwi kabisa yy ndo katengnez magol ma3 mnyonge mnyongen haki yake mpeni

    • @maryamzuheir3734
      @maryamzuheir3734 4 роки тому

      YANGA FC SALAMU ZENU HIZO MKUTANO TAREHE 18 OKTOBA 2020 UWANJA WA MKAPA KAMA HIZO ZA BIASHARA.

    • @godwinwilson3837
      @godwinwilson3837 4 роки тому +1

      Kwa jinsi Simba wanavyocheza yani hata hujui uumpe credit Nani manake hata Ndemla kafanya kazi, Tshabalala, yani wengi tu...hii ndo Team work it's very hard kujui yupi ni muhimu kuliko mwingine

  • @mathiasnestory6979
    @mathiasnestory6979 4 роки тому +6

    Yes this is simba bro

  • @dvdbruno6530
    @dvdbruno6530 4 роки тому +14

    Jaman hyu Luis miqissone haya assist amejifunzia wap 🤣🤣🤣🤣

  • @petermaingu899
    @petermaingu899 4 роки тому +7

    NguvuMoja 💪💯🤸

  • @sultantz7635
    @sultantz7635 4 роки тому +4

    Much respect to fundi asiyezungumziwa sana hata akifanya makubwa MUZAMIRU YASSIN

  • @steve_tz
    @steve_tz 10 місяців тому +2

    Wanao imic hii Simba naombeni like

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 4 роки тому +3

    Nampenda sana onyango hatak masihara kule nyuma nawawa mahara pake au mnasemaj wazee

  • @filbertsamson8140
    @filbertsamson8140 4 роки тому +4

    Simbaa baba Lao chama baba chamaaaa

  • @cityhunter6858
    @cityhunter6858 4 роки тому +11

    me nasema tu yanga wangekuw na mtu mmoja kama chama tusingepumua nchini hapa

    • @rehemabakali494
      @rehemabakali494 4 роки тому

      Umeona eeeh chama ana sifa halafu ana kera sasa wanakwambia usiyempenda kaja

    • @cityhunter6858
      @cityhunter6858 4 роки тому

      @@rehemabakali494 hatari sana mtu huyu

  • @yohanacharles5758
    @yohanacharles5758 4 роки тому +3

    Fantastic ball

  • @jonasmaganga7433
    @jonasmaganga7433 2 роки тому +2

    Aisee iyo simba ilikuwa nomaa sanaa

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 4 роки тому +4

    Daa hii Simba raha🏃🏃

  • @shafiiemilias7332
    @shafiiemilias7332 3 роки тому +1

    Sema mpenya ana Enjoy sana kutabgaza game za simba

  • @jrsingham
    @jrsingham 4 роки тому +4

    Mtoto chama huyu mmh 💣💣💣

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +1

    Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁

  • @upendomaganga9706
    @upendomaganga9706 4 роки тому +5

    Aaaaawwww! 💝💝💝

  • @msyanituntufye3441
    @msyanituntufye3441 3 роки тому +9

    Huu mpira ni hatari sana huwa naangalia kila siku daaah....

  • @masoudseif4962
    @masoudseif4962 3 роки тому +26

    Nani mwengine anarudia mara nyingi hii mech

  • @frankmagoyo7864
    @frankmagoyo7864 4 роки тому +4

    Naipenda sanhaa simbaaaaaaa jamani make wanatupa laha mashabiki wake

  • @fredinyamba1251
    @fredinyamba1251 4 роки тому +5

    Chama kubwa Tanzanian ni simba

  • @khasianussamson6227
    @khasianussamson6227 3 роки тому +8

    Nani ametizama UA-cam ya mechi za plateau united na sasa hv Anatazama za simba km mimi

  • @rasmatthew6995
    @rasmatthew6995 4 роки тому +2

    Simba is my team,,, naipenda simba

    • @agripinaabera7058
      @agripinaabera7058 4 роки тому

      Pas yachama chura waiangarie vizuri watalia sana

    • @rasmatthew6995
      @rasmatthew6995 4 роки тому

      Jamaa inaonyesha habahatishi, chama noma sana,, vyura kazi wanayo

  • @ramadhaniselemani7204
    @ramadhaniselemani7204 4 роки тому +4

    Show kali

  • @aminaside7218
    @aminaside7218 4 роки тому +11

    Mnyama amempa mtu 4G

  • @jaladollar7745
    @jaladollar7745 4 роки тому +7

    Kwa simba hii watapata tabu sana,awa Biashara kila number Simba iliwashika natuseme ukweli simba wanalisakata kabumbu jamani.

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +4

    SIMBA 4 Biashara 0
    Utoporo Fc 🐸 1 Biashara 0
    SIMBA sports club big Team Tanzania 🇹🇿

  • @mujunvicta6379
    @mujunvicta6379 3 роки тому +10

    Ngoja tu nijifariji kwa kuangalia marudio

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 роки тому +4

    🦁🦁🦁🔥🔥🥰

  • @saidhassan3155
    @saidhassan3155 4 роки тому +4

    Sana simba bgp

  • @simonbernado7658
    @simonbernado7658 2 роки тому +8

    nani kaja kuangalia tena baada ya mechi ya tarehe 04/03/2022 simba kumpiga biashara 3:0?

  • @kuruthummkuka768
    @kuruthummkuka768 4 роки тому +13

    Hahaha Nani kaskia Gori kipa kasimama Kama imamu au mchungaji weka comment tusonge mbele

  • @lembemc-tz8857
    @lembemc-tz8857 3 роки тому +5

    Ooooh chamaaaaaaa

  • @shamilabakari7334
    @shamilabakari7334 3 роки тому +6

    Sichoki kuona huu mpira jamani kila day simba inanipa fulaha sana mm

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 4 роки тому +6

    Simba ni mnyama atar sana

  • @josephinejoseph6436
    @josephinejoseph6436 Рік тому +5

    Chama jr na Rally Bwalya wapewe hifadhi.

  • @evodiusmhanuz7886
    @evodiusmhanuz7886 4 роки тому +12

    chama ulijifunzia wap.mpila jaman

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 3 роки тому +11

    Dah hili pira biriani sio poa 🤣🤣🤣🤣

  • @fidelslick2086
    @fidelslick2086 4 роки тому +3

    The men of honour Todays game is Louise marquison (konde Boy) I salute him

  • @allyramadhani2632
    @allyramadhani2632 4 роки тому +8

    Simba wanachez kama mbele mzee baba. morison hana tamaaa anachez vzr kinoma, Akiona kapita anatoa

  • @andreaeliakus8139
    @andreaeliakus8139 4 роки тому +3

    Mambo ya pesa hayo gongeni like

  • @bernardchibwana9411
    @bernardchibwana9411 4 роки тому +2

    Yaaani unaangalia mpira hadi unainjoy jamani

  • @hamaboytz6481
    @hamaboytz6481 4 роки тому +2

    Hatari Sana

  • @pascalpembamoto8611
    @pascalpembamoto8611 4 роки тому +11

    SIMBA INAPASWA KUCHEZA HIVYO KILA MECHI.

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 4 роки тому +1

      Viwanja mkuu vinatibua performance pia.

    • @maryamzuheir3734
      @maryamzuheir3734 4 роки тому

      YANGA FC ( a.k.a UTOPOLO FC) TUNAWAPA SALAMU WAJIANDAE KUFUKUZANA PALE JANGWANI KUANZIA TAREHE 18/10/2020 .

  • @tofautinamalengo5035
    @tofautinamalengo5035 2 роки тому +3

    Tutawakumbuka daima

  • @lovenessmrutu5418
    @lovenessmrutu5418 3 роки тому +4

    Simba inatisha sana

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 4 роки тому +9

    Yanga wanavomfikir calinho kam chama kumbe.....hahah

  • @mdhakirukashakara3953
    @mdhakirukashakara3953 4 роки тому +4

    Ila Chamaaaaa uko vizur

  • @kidotom2580
    @kidotom2580 4 роки тому +10

    me shabiki wa yanga ila simba wanatuzidi tukubali tuu

  • @saracharles3321
    @saracharles3321 4 роки тому +6

    Mauaji ya kigaidi haya,,, ni kama Vita vya majimaji muraaaaa

  • @jumannembamba8026
    @jumannembamba8026 Рік тому +1

    Coach wangu bora muda wote

  • @omarymaliki5894
    @omarymaliki5894 4 роки тому +3

    Baba mzaziieeee baba lawena nzonda

  • @shukurumustafa478
    @shukurumustafa478 4 роки тому +4

    Chama Hatari jamani

    • @cellyjoseph5382
      @cellyjoseph5382 4 роки тому

      Shukuru Mustafa huyo ndio MVP katunukiwa na Mungu kipaji

  • @alfanishabani2699
    @alfanishabani2699 3 роки тому +4

    Chamaaaaaaaaa

  • @mahabazaira3414
    @mahabazaira3414 4 роки тому +6

    Kam uliskia hii controo nyumbaa bx Cheka kidg

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 4 роки тому +5

    Chamaaaaaaaaaaaaa

  • @eliyamloy3490
    @eliyamloy3490 4 роки тому +7

    Mimi siku zote huwa nasema kwamba ukiwaweka hawa wachezaji wakigeni kuanzia namba nane mpaka kumi na moja tegemea Matokeo mazuri kwa sababu hao ndio wanaowezana ktk kuchezeshana
    Pili kocha Bwalya na Chama combination imekubali Bwalya 8, chama 10, 9 Mugalu, 7 Luis, 11 Morrison huo mpira Utanoga balaa

  • @canisiusclemencemkuyu6505
    @canisiusclemencemkuyu6505 4 роки тому +6

    Kipindi hiki napenda kuiona Simba Sports Club ikicheza na kufanya vzr michezo ya kimataifa ili tuvuke kabisa kwenda level za juu, tuhame huku chini

  • @wizhad001officialtv3
    @wizhad001officialtv3 4 роки тому +3

    Daa chama ukiunganish magoli Na assist in hat trick kabs

  • @tobiasnyarubanga1889
    @tobiasnyarubanga1889 3 роки тому +2

    Nakubari sana wanangu

  • @agnessfedrick1368
    @agnessfedrick1368 4 роки тому +3

    Hongera sana

  • @anitharichard4892
    @anitharichard4892 4 роки тому +1

    Piga kelele Kwa Simba Yankee watuachie Simba yetu jamani naipendasana simba

  • @musaking8838
    @musaking8838 4 роки тому +8

    Mzamiru ameiva, kaza kakaaaaaa

  • @esterenosi8460
    @esterenosi8460 4 роки тому +2

    Noma

  • @jrsingham
    @jrsingham 4 роки тому +6

    Huyu mmakonde kama anakimbiza mwizi 😅

  • @jacklinejames1050
    @jacklinejames1050 4 роки тому +3

    Kwa Tanzania nadiriki kusema kuna Simba SC na vitimu timu vingine huko majina sitajui😂😂😂

  • @piusdeo1533
    @piusdeo1533 4 роки тому

    Fantastic gem

  • @Allystor
    @Allystor 4 роки тому +8

    chama ni shida

  • @sagutmussa8045
    @sagutmussa8045 4 роки тому +5

    Makin

  • @raphaelgaudence4027
    @raphaelgaudence4027 4 роки тому +2

    Sho sho

  • @muksinikambi721
    @muksinikambi721 4 роки тому +1

    🔥🔥🔥

  • @barikikimaro9165
    @barikikimaro9165 4 роки тому +6

    PASI YA CHAMA NI BILIONI TATU ZA KITANZANIA THANI YAKE😀😀😀😅😅😅😅😅

  • @khadijaahmad9539
    @khadijaahmad9539 2 роки тому +2

    Nani kasikia mkono wakichawi🤣🤣🤣Simba hii sijui itarudi lini😭😭😭

  • @annahalex6412
    @annahalex6412 4 роки тому +5

    Chama jamaaaan burudan

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 2 роки тому +2

    Haki hii pasi ya chama haijawahi tokea Dunia hii kajifunzia wapi hii mpenja anauliza duhu htari hii ,chama rudi tu Simba tushakumic sanaa

  • @user-cz9me7mq9r
    @user-cz9me7mq9r 4 місяці тому +1

    Tujuwane tunao Anglia 2024