MPENZI WA AZIZI KI AFUNGUKA TABIA ZA AZIZI KI/MARA YA KWANZA KUKUTANA NAE /MAHUSIANO YAKE NA WAKWE
Вставка
- Опубліковано 29 бер 2024
- MPENZI WA AZIZI KI AFUNGUKA TABIA ZA AZIZI KI MARA YA KWANZA KUKUTANA NAYE /MAHUSIANO YAKE NA WAKWE MCHUMBA WA azizi ki #AZIZIKI #MPENZIWAAZIZIKI #YANGA #BONGOMOVIEW
- Розваги
She's simple and kind, humble down to earth 👏
Ila anamfaa azizi Hana makuu
Nimependa junsi asivyojipandisha pandisha!
Mshaurin Aziz ki avae kinga kwa style hii kuna mobeto tena mko wangap?
Dada anajua kumiliki lengo na maudhui iliyopo mezani Haropoki tu ovyo ovyo
Homgelo
uyo anae muhojiii ni mpumbavuuu,unamuhoji vipi demu wa aziz ki umevaa jezi la kikolokolonii??? mwambieni awe na heshima bhana
Home girl
Awa wachezaji wakigeni kwakweli niwajinga... kwanini wasitoke na madem kutoka kwao ....ila acha wachunwe.....waangalie tu Kuna na maradhi... yangu ni hayo tu
Kwani mademu wa kwao hawana magonjwa... waendelee kuruka na dada zetu..ila watoe maokoto ya kutosha.. wakatembelee mbuga zetu..ikibidi wazae nao
Ajapendeza ki ukwelii
Wivu
Ni wivuuuu tu
@@giztony2009 nimuonee wivu kwa huo uchafu alovaa we huogopii😏
Uko sahihi kila mtu ana mtazamo wake 🎉❤
Wivu roho mbaya