I just wanted to get a glimpse of the story but vile nimejipata nimemaliza 55 minutes watching I cant explain. This guy, formerly a thief but now a pastor has a great sense of humor. Nimecheka sana and he has really made my day. The syory has a lesson to any audience regardless of your status in the society. ...kwanza hapo pa ngumi moja mbili tukisonga really made me laugh
God bless you pastor nimependa sana ushuhuda wako na nimejifunza kua ktk kila watu kuna watu wa Mungu usimuhukum mtu kwa nyakati anazozipitia Mungu ndie msemaji wa mwisho wa maisha yetu
Hapo kwa pastor 🤔🤔waah! God have mercy..tuchungane na marafiki waovu..ahsante kwa kuhurumia watu ndio mana Mungu pia alikuhurumia..
No one is beyond salvation. Indeed God's love goes beyond any transgression. Great testimony. Good job Kamiti.
Watu wenye wametoka TikTok let's gather here
All the way frm TikTok 🤞🤞
Same here
Pamoja
same
Same
We thank God for this new platform. Mungu akufanikishe brother kamiti. Awesome testimony
Mwizi wa heshima na huruma, i like that
Nimefurahi sana natamani ningeendelea kusikiliza zaidi aise! Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
I just wanted to get a glimpse of the story but vile nimejipata nimemaliza 55 minutes watching I cant explain. This guy, formerly a thief but now a pastor has a great sense of humor. Nimecheka sana and he has really made my day. The syory has a lesson to any audience regardless of your status in the society.
...kwanza hapo pa ngumi moja mbili tukisonga really made me laugh
The best interview ever .
Great ave watched this more than 5 times, great inspiration
Mungu alimwokoa huyu kwa sababu alikua anawaokoa watu wengine wakati ambapo wenzake walitaka kuwaua
God bless you pastor nimependa sana ushuhuda wako na nimejifunza kua ktk kila watu kuna watu wa Mungu usimuhukum mtu kwa nyakati anazozipitia Mungu ndie msemaji wa mwisho wa maisha yetu
😮My God 😢,pastor mkora
Imagine 😂
Mungu hutumia vyombo dhaifu kwa utukufu wake huyo jamaa ni ushuhuda Tosha aeneze injili bila wasiwasi
Good interview......the body language can tell hii ni ya ukweli kabisa.....utufuku na heshima ni kwako ee Bwana kwa kumuokoa huyu Jamaa mwizi
It's like the 10th time Im watching this story..😂😂😂😂😂. I just keep laughing
What wonderful story may bless you
All the way from tiktok
Waaaaaah mungu Yuko aky 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This guy was merciful that's why God was merciful to him.
This story has touch me, God has changed you
Yesu ni mambo yote ndani ya yote🎉
😂😂😂ngumi moja kwisha
Amini Mungu tu siomwanadamu
This guy is a comedian 😂 mi nimecheka hii story yote🤣🤣
Kumbe umeona ni mwanzo bt nimeisha 😂😂😂😂😂😂
Wow! good job Kamiti,Leo ndio nimekua kwenye ulihamia
Lemmie support this guy i like the programe
Nimetembea sana kutoka tiktok hadi huku. Twendelee na story sasa😅😅
Pia Mimi bana😅
@@JohnKefa-n1v 🤣🤣🤣
Kwa tiktok nilidhani ni uongo but hapa kuna vitu umeongea nimeona ni ukweli😂 Mungu ni mwema
Amen, your story is amazing brother, kwanza hapo kwa Kupewa Bible na Angel indeed the precious blood of Jesus saves ..Asante sana kaka
😂😂😂Ungenipea connection mzeee
Thank God for the transformation 🙏🙏.
Sijui mbona nacheka😂😂
Guest is a comedian walai😂😂😂
Nmekubali Mungu hakuna kitu hawezi kufanya
I love this 😊
Nice kamiti
Karibu msalimiane😂😂😂😂
this is very interesting bro this is now the story to tell
Thanks
AMEN 🙏 🙏 🙏
Great
Yaani ulifanya nyumba armoury
God is so merciful.he still forgave him.
You look so handsome
Amen 🙏 good advice
pasta beba pesa 😂😂😂
God is good
Wacha ye atuelezee😅
Akamba bus😂😂😂mungu aliwasaidia mgetoa nguo😂😂
Bunduki zilieda wapi?
Ameen
😢
Ile mbio nimetoka tiktok❤
kumbe si mimi peke yangu😂😂
Aaah kumbe hadi ww😅😅😅
Wabukusu kujeni hapa
Niko na challenges ambazo huwa napitia ningeomba kupata no.yko ama ya watu wenye huwa unahoji pliz
Buzia 😂😂😂omwami!
Kubukusu baya.....ndombi
Ana mke?
Alijuaje mama alikuwa na 3 days after kuzaa???😅😅😅
Si alisema ,labda alijitetea ndio asiuliwe,ata kaa ni ww hakuna kitu hautasema saa hyo
Jesus is Lord 😮
Naomba naomba Yako please
eti pastor chukua pesa🤣🤣🤣🤣
Ati pastor wanatumana vyombo?hio imenishangaza
Whaaa Tungojee siku tatu any way
Finally ! 😅
Ads mingi za nini bro? Unafanya watu Wanachoka
Mbona mkae kwa jua
Tiktok imenileta
😂😂
𝘞𝘢𝘢𝘢𝘩 𝘏𝘢𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘔𝘵𝘶 𝘔𝘶𝘯𝘨𝘶 𝘩𝘢𝘸𝘦𝘻𝘪 𝘣𝘢𝘥𝘪𝘭𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘠𝘌𝘚𝘜 𝘢𝘯𝘢𝘰𝘬𝘰𝘢🙏