Tamaa mbaya ibilisi ananjaa sana kuzimu bado nafasi ipo kwahiyo pesa ndiyo kivutio kikubwa cha kuwasajili watu kwenye akaunti yake usilewe napesa ewe mwanadamu isije ikakugalimu
Subbahannallah 😭😭😭😭Allah ATUEPUSHE...na shilk. Imeshaa andikwa katika QURHAN baada ya kushushiwa...mtume mohamad (s.w.s ) yoyote....mshilikina. Atosameewa na ALLAH , PINDIPO... Umauti ..utapo mkuta, kwaiyo. Fanya yoote. Ila. Tambua majuto uja mbele ya safari ya maisha. , naisii nafsi. Yangu na kuwasii. , wanaadam woote. Acheni shiliki😭😭😭🤲🙏tutafute kumlilia Allah atupe Pepo maisha ya DUNIA. NI Mafupi, 🤲🙏peponi. Apaishi , tumludie ALLAH ,tafuta rizki ya Halali. Daima. MUNGU Atakupa. Hata ukiwa ndogo au kubwa. :sema SHUKRAN🤲......ALLAH TUSAMEE , NA UTUNUSURU NA SHIRK, USHILIKINA😭😭😭😭😭😭🙏
Karibuni mkutane na Mungu wa kweli anaetoa nguvu za kupata utajiri.nanyi mtawekwa huru. Kanisa linaitwa @rgc ministry chini ya mtumishi Ev. Daniel Joshuan. Lipo goba Center. Karibu
Kwa hera hizo nimechemka mapemaaaa hakuna kitu ambacho nakithamini kama amani ya moyo hata nikila kuku mayai maziwa huku nikitunza majoka kwangu sitaki kabisaaa heri nile mlenda na dagaa kwa amani hayo magorofa nitayaona kwenye simu kwangu ni poa tuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mjifunze kuuliza maswali Jina lake la kuzaliwa ni nani mwenyeji wa wapi kabila Gani dini Gani, umeolewa una watoto wangapi ilikuwaje ukaingia kwenye utajiri wa kishirikina
Heri niwe masikin niishi maisha ya furah na amani kuliko utajiri wenye shida na kuishi maisha ya wasiwasi na kutokuwa msahada kwa ndugu zangu sasa utajiri hauna faida yeyote
Hata Mimi nilikabidhiwa wawili kutoka bariadi kama ndagu ya utajiri ila nilipovunja masharti nilirudia kaburini,mpaka nilipomkubali Yesu akaniponya na nikapata Raha moyoni Hadi sasa
Unapata utajiri kwenye juya ysjabu kwasababu yatama oky kwann mungu alikuweka masikin ugevumiliyatu kwamahana baba yako alikuwa masikun kwaziya zaman kwann ulitaka kuwa tajiri wakat baba yako masikun alivumiliya adi akakusomesha mama unashisha mama❤❤❤❤❤❤😂😂😂😅😅😅😅😅
Huyu mama ni muongo sana alisema yeye alikuwa mchawi kipindi cha nyuma alihojiwa nachanel fulani baadae akajiingiza fremason akawa analala na nyoka ndani ya siku 90 ndio awe tajiri
Uyu mtangazangi kwani ni WA Haina Gani bona umkatizie story yenye alikuwa anasimulia nawe waamuliza maswali ya upuzi c ungengoja amalizie story yake kwanza ala Rudi shule ukasomee utangazaji Tena bro
Eh Yesu, wewe Uwe misaada wangu Pekee🙏 Kikombe Hiki Kiniepuke🙏
Tamaa mbaya ibilisi ananjaa sana kuzimu bado nafasi ipo kwahiyo pesa ndiyo kivutio kikubwa cha kuwasajili watu kwenye akaunti yake usilewe napesa ewe mwanadamu isije ikakugalimu
Du! Mungu apishie mbali fedha za shetani na mateso hayo
Huyu mbuzi alikuwa binadamu na huyo nyoka ni mtu.Pole dada
Waganga na wachawi washindwe kwa jina la yesu dada pole wenda ulikua hujui ila mungu ndo kila kitu dada pole sana
Wanawake Nyinyi ni Watu Hatari Sana Sana Sana, Mungu Anakuoneni.
Subbahannallah 😭😭😭😭Allah ATUEPUSHE...na shilk. Imeshaa andikwa katika QURHAN baada ya kushushiwa...mtume mohamad (s.w.s ) yoyote....mshilikina. Atosameewa na ALLAH , PINDIPO... Umauti ..utapo mkuta, kwaiyo. Fanya yoote. Ila. Tambua majuto uja mbele ya safari ya maisha. , naisii nafsi. Yangu na kuwasii. , wanaadam woote. Acheni shiliki😭😭😭🤲🙏tutafute kumlilia Allah atupe Pepo maisha ya DUNIA. NI Mafupi, 🤲🙏peponi. Apaishi , tumludie ALLAH ,tafuta rizki ya Halali. Daima. MUNGU Atakupa. Hata ukiwa ndogo au kubwa. :sema SHUKRAN🤲......ALLAH TUSAMEE , NA UTUNUSURU NA SHIRK, USHILIKINA😭😭😭😭😭😭🙏
Heri niwe masikini kuliko kutengana na yesu, kwa furaha kwa huzuni hakika sitamwacha yesu.
Amen una sema vizuri sana
Ameeen
Kumuacha yesu njo bongo
Alikufa juu yangu na mimi naishi juu yake
Umenenepa sana ! Na Mimi niounguzie hayo maikoto rafiki yangu ! ❤
Karibuni mkutane na Mungu wa kweli anaetoa nguvu za kupata utajiri.nanyi mtawekwa huru.
Kanisa linaitwa @rgc ministry chini ya mtumishi Ev. Daniel Joshuan.
Lipo goba Center.
Karibu
"Tubuni na kuiamini injili, kwamaana ufalme wa Mungu umekaribia"asema Yesu Kristo, Bwana ba mwokozi wa maisha yetu.
Km siwezi kula utajiri wangu na wazazi wangu heri nife maskini juu akuna kaburi la maskini na tajiri😢😢😢soo sad😭😭😭
Ni Zambi 😊
Kwa hera hizo nimechemka mapemaaaa hakuna kitu ambacho nakithamini kama amani ya moyo hata nikila kuku mayai maziwa huku nikitunza majoka kwangu sitaki kabisaaa heri nile mlenda na dagaa kwa amani hayo magorofa nitayaona kwenye simu kwangu ni poa tuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅😅😅umeonaeee
Hakika
Subbaha Allah 😭 Allah atuepuche na shilk imeandkwa katika Quran baada ya kushushiwa mtume Mohammed S.A.W
Naomba niulize ...kama mkienda Nigeria mnaongea Luga gani ..huyo mukuu wao anajua Luga zote
😂😂😂
Walekaka, hatakama nibubu unaongea nawooo,, maana wao ndio wanajuakila kitu kua kunavipofu namabubu, nawaliosoma nawasiosoma, wanamuelewa kilamtu
Imani yako na ulichokibeba ndani ndicho kilichokutoa ktk jalibu zito, coz mungu akimpa kitu mwanadamu huwa hamnyang'anyi
Pole mama yangu hizo ni changamoto za maisha tu
Mjifunze kuuliza maswali
Jina lake la kuzaliwa ni nani mwenyeji wa wapi kabila Gani dini Gani, umeolewa una watoto wangapi ilikuwaje ukaingia kwenye utajiri wa kishirikina
Mtangazaji hapa hakuna! Anamrudisha nyuma badala ya kwenda mble
Utuletee mama salama siku zimekuwa mingi hatumuoni tunamupenda sana
Mama hukuwa hata nauoga
Duuu! Aliuza Yesu kwenye hela alikosea Sana, tumeshalaniwa Ila Mungu atusaidie jamani.
Mama Hassan alichinja kweli mbuzi pekeyake🤔🤔..!!?
😂😂😂😂ata akuniita nimsaidie
@@GraceOwano-v4r 😂😂😂😂😂 we ulisikia wapi kama bahati yake atakosa na hatakama sio bahat yeke atakosa
Ni kweli hata wifi yangu uko Congo alikuwa na nyoka anatema pesa ila hakuishi sana alipata ajali akafariki
misiwezi kumnyima mama na baba bora niwwe maskini kuriko utajiri huo ni zaidi ya umaskini nibora kua maskini kuriko kuitwa tajiri feke
Kama nimeshindwa dunia kuliko niingie kwafalme hizo bora nife hata leoleo Mungu anichukue
Heri niwe masikin niishi maisha ya furah na amani kuliko utajiri wenye shida na kuishi maisha ya wasiwasi na kutokuwa msahada kwa ndugu zangu sasa utajiri hauna faida yeyote
Kudadadeki mwandishi kilaza huyu sijawahi ona. Tumeshafika Nigeria unaturudisha bongo.
Shwine😅😂
😂😂😂
Pesa ina siri kubwa sana😭😭😭 ee Mungu nifanye niridhike na hiki kidogo unachonipa
Hata Mimi nilikabidhiwa wawili kutoka bariadi kama ndagu ya utajiri ila nilipovunja masharti nilirudia kaburini,mpaka nilipomkubali Yesu akaniponya na nikapata Raha moyoni Hadi sasa
Uko wapi kaka tunaweza kushare hayo uliyopitia!
Nipe namba
Yesu mamy polesana naamani umeuona mkono waMungu
Utaiweza kaka❤❤❤❤❤ iyo Kali leta tu habari tu ijoyiii❤❤❤❤❤❤❤
Acha aendelee na stor hayo ya nyuma hayana maana tunahitaji kujua mwisho wake nn kimetokea
Can you plz give her time to express herself ...wacha ubwakini🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
Mh bola nife maskin kulikokuish manshi maisha ya hofu
Unapata utajiri kwenye juya ysjabu kwasababu yatama oky kwann mungu alikuweka masikin ugevumiliyatu kwamahana baba yako alikuwa masikun kwaziya zaman kwann ulitaka kuwa tajiri wakat baba yako masikun alivumiliya adi akakusomesha mama unashisha mama❤❤❤❤❤❤😂😂😂😅😅😅😅😅
Dah mtangazaji imefeli kweli kukatisha apo
Duuh huyu dada n noma sana..
Pole xana dada mungu yupo na wewe
Niseme tu ukweli kama kwa pesa zako siwezi kumsaidia mama angu baki nazo tu😂😂
Mtangazaji ulikosea kumkatizia huyu mama na maswali kuliko kumuacha amalizie hadithi yake. Kama si hivyo ungetuletea sehemu ya pili ya hii hadithi.
Sooon
Maisha safi
Ppp@@MaksMedia1
Sio professional km kinamillard ayo
Acha nife masikini
Izo kengele zinaboa Kweli pole mamaangu Bora Allah amekuokowa
Muache mama hasani aendelee na story
Mungu ndo anetoa utajiri wenda ulikua hujui dada pole sana
Mali ni mtihani, na Mwenyezi Mungu ata wauliza kuhusu mali walio ichuma
Muache mama wajina langu aendeleze story
Wha pole sana
Hizo nyumba na maduka yapo yalipotea Moja Kwa mija
Mama Hassan umenenepa MASHALLAH.Tusalimie mama Salama na mama Khadija.
Mama salama na mama Hadija🤣🤣🤣
Nipe namba yake aniunganishe na mim
Nikweli au anakula mb zangu huyu mother
Mtu anasimulia story wwe unasema mungo bas kasimulie wwe ulie kuwa nae name tukusikilize
kikituhizo wanataka watrend maana hawa watu wanyoka tena washakuw wengi
Hata Allah amissema empede quanza mama na baba Itália sana duniani.Usi yime mama na baba utayenda Motoni.
Lete story ya mama Hassan part 2 Tunataka tujue alitokaje Freemasoon
Wew mtangazaji ulichelewa sana una maswali mengi yasiyo msingi ...ona omefanya simulizi imeisha njiani... mmmmh ovyo
Dada pole sana naomba yako tafadhal
Ipo no ya media
Mtangazaji mpe Mama Hassan ajieleze
Hoster hujui kuhoji maswali mazuri
Huyu mama ni muongo sana alisema yeye alikuwa mchawi kipindi cha nyuma alihojiwa nachanel fulani baadae akajiingiza fremason akawa analala na nyoka ndani ya siku 90 ndio awe tajiri
Tupate no yauyo babu mama asani
Mtangazaji mwache huyo mama ajieleze vizuri maswali yako hayana msingi
Kbx
Duuuh pole sana mama
Utajri wa kutokula na mama na baba na watoto,hiyo wala haiwezakani hata kidogo na utajiri wenyewe nikose tu.Pole dada kama kweli yalikukuta.
Mwandishi huyu ni mbuzi hajui anachofanya
MATANGAZAJI MAZWAZWA KAMAHILI MNAYATOLEA WAPI YANI DADA WAWATU ANAJIELEZA VIZURI KABISA ALAFUYEYE KAZIYAKE NIKUMTOA KWENYE RELI LIMENICHUKIZA SANA
😅
Ni sawa kama umechoka kulala kwenye nyumba ya nyasi Bora block ili ulimwengu ukuone Kua wewe nitajiri
Inna lilah waina lilah rajun yarabin tupe mwisho mwema
Uliza maswali ya msingi
Eti ana mrudisha nyumaaa ila watu wengine bana haoni kama anampoza joto
Ni hatari kabisa dunia hiyi ,inatisha??
Uliza maswali ya msingi
Mungu nipe hekima Mungu wangu
Uwiii siwez mm
Jamani mama umenenepa sana Jamani
hampana mimi sitaki utajili jamani duuuu,sitaki jamani,🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆😩😩😩😭😭😭😭
Uyu mtangazangi kwani ni WA Haina Gani bona umkatizie story yenye alikuwa anasimulia nawe waamuliza maswali ya upuzi c ungengoja amalizie story yake kwanza ala Rudi shule ukasomee utangazaji Tena bro
Na Kuna watu wanaamini hii story ni za kweli😂😂😂
Heri nife maskin kuliko nijiingize kwenye mtihan huu
Story za mjini kuuza mb acheni uongo wenu hapa.
nimemchukia mtangazaji ana maswali ya kipuuzi amwache mama hasani atupe story
hii ni hadithi tupu, hamna ukweli wowote. huyu mama mimi namfahamu kwa miaka mingi na hajawai kuwa na pesa nyingi... ahaahaa
Mtangazi endelea Nigeria ilikuwaje hayo maswali ungeuliza mwanzo
Pole Sana dada
Tangazaji jinga hunauelewa wa kumuongoza msemaji
Maks, nataka onana na huyu Mama
Muache aendelee akimaliza siutamuuliza maswali acha ushamba wwe muandishi
Uyu mtangazaji ni doro sana
Mama uko vzur kwenye kujieleza ila mtangazaji ndio hayupo hapo wanadhalilisha professionalism
Watu wengi wanakufa pepon wanaingia wangapi? Mungu nisaidie mimi nisikie chakula nisiumwe nipe mwisho mwema
Hakuna kitu apa siku hzi watu wazima n ovyo kabsa ..
Ww mtanga zaji mbona husomeki huyo mtoto ilikuwaje alivyo ambiwa amtoe mbon huelewek kwenye kuhoji una Rudi nyuma mara mbele
Hua hatusemi hizi vtuu mama
Sasa nyie nao s rafiki yako angewasaidia wazazi wako na ww uwasaidie wakwako 😅😅😅😅 eee mola wangu naomba uniepushie kikombe hiki .
Huyo mzee anapatikana wp
😂😂😂😂😂😂
😮 wachawi washindwe Kila mitungi wanaotumia viooooo wafeeee
Pole sana dada 😢 😅
Freemason hako kama unaavyo ongea muongo acha kudanganyaa watu wanga na freemason ni tofauti
Siku ingine ukitaka kuigiza hakikisha mnafanya vizuri mazoezi maana mtangazaji wewe ndio shida
Wewe mwandishi mbona maswali YAKO niya kujirudia rudia uandishi gani huo
Bora nimuombe mungu wa mwamposa kwakwel
mungu wa mwamposa ndo huyo nyoka sasa mbaka hapo ushafeli
😢we mwamposa unaona avyowauzia watu mchanga ni sawa
Wewe mtangazaji unaboo unauliza maswali wakati kuhusikia anaeleza vizuri tu
Yani mtangazaji ana kera sana alafu watu acheni tamaa tafuta pesa kwa jasho lako bara ujiuze mwili wako kuliko njia hizo za kafara
Mtangazaji umekosea sana dada anadisia stoli kuusu Nigeria we umemkatisha unaanza maswali mengine
Soon part2
Yaaani mtangazaji umegeuza story kuwa yakoo?acha tumsikie huyo dada hayo maswali yako baadaye unaboa
Ee mungu tusaidie
Washenzi wote wanasema watu wa dini nyinyi ni waongo jaman
Mtangazaji unazingua unakatisha stori bhnaaa