DAY 01 | KUTANGULIA KABLA YA KUTANGULIWA | MAOMBI YA SIKU 21 | Mwl Renald Mlawi | 01 July, 2024
Вставка
- Опубліковано 29 чер 2024
- Karibu Kuungana nasi katika Maombi ya Siku Ishirini na Moja (21) Maombi yakiongozwa na Mwl Renald Mlawi
AGENDA: KUTANGULIA KABLA YA KUTANGULIWA
Ayubu 22:29
Hapo watakapokuangusha, utasema, Kuna kuinuka tena; Naye mnyenyekevu Mungu atamwokoa.
Kwa Mawasiliano Zaidi;
Mwl. Renald Mlawi
+255 758 306 109
+255 677 968 604
Ni mkono wa Bwana umetubeba kututoa mwezi wa 6 mpaka kutufikisha mwezi wa 7 ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu ni Neema na Rehema zake,Sifa na utukufu ni vyake Mungu wetu
Nainuka Tena Mimi na watoto wangu,Ameni🙏🙏🙏
Nimenyanyuka Tena mwezi wa 7,8,9,10,11 na 12 na kuendelea katika jina la Yesu
Nimeinuliwa Tena Kwa upya,Yesu nishike mkono
Nitainuka tena mwezi 7,8,9,10,11, na 12 kwa jina la Yesu 🙏
Amina mtumishi wa Mungu Mungu aendelee kukutumia kwa kazi yake na injili yake isonge mbele daima.Ameni
Nainuka Mimi na familia yangu katika jina la Yesu 🙏
Ninaweka agano lañgu na Mungu kumtumikia kwa imani.
Nimeinuka tena Mimi na watoto wangu damu ya Yesu itulinde
Nitainuka Tena Kwa jina la Yesu
Mungu anipe neema ya kumjua
Ninakushukuru kwa neema zako Bwana.
Mungu azidi kukubariki mtumishi
Amen
Amen🙏🏻
Glory to God
Ninainuka tena mimi na watoto wangu
Nitanyenyuka tena.
Ameeen.
Lk 21
Ameeen
Nainuka tena nusu hii ya mwaka nilioanza.
Kwa msaada wa Roho mtakatifu NIMEINUKA TENA
Nitainuka tena
Mwezi wa saba nitainuka tena
Ninainuka tena
Mimi na familia yangu tunainuka tena
Kumbukumbu 34:8
NITAINUKA TENA
Zab 107:7
Matayo 12:37
Kumbu 34:10
Kila mahali nilipokatwa nitachipuka tena
Nitainuka tena
Ninainuka tena
Nitainuka tena
Nitainuka tena
Nitainuka tena