![NGUVU YA MAOMBI TV](/img/default-banner.jpg)
- 197
- 174 895
NGUVU YA MAOMBI TV
Tanzania
Приєднався 19 сер 2022
Hii ni Channel online tv ya NGUVU YA MAOMBI inayosimamiwa na Mwl Renald Mlawi. Maono yetu ni kuwa na wetu wengi wanaousimamisha Ufalme wa MUNGU mahali popote duniani Kupitia maombi na Neno la MUNGU. Mafundisho yote yatakayotoka kupitia Channel hii ni Yale yaliyojikita Kutoka Katika Biblia takatifu. Ombi letu kwako Hakikisha unafuatilia maombi na Neno litolewalo Kwa Kwa kumaanisha na kuondoka katika mazoea Ili kuona matokeo halisia ya Neno kupitia Channel hii ongeza Bidii Kiu ya kumtafuta MUNGU Kwa kufuata timetable za Huduma kupitia you tube channel au watsapp group Kwa Ibada za Kila siku kupitia watsapp groups Kwa Njia za audio n.k.
Kwa mawasiliano zaidi Wasiliana na Mwl Renald Mlawi watsapp Kwa ushauri,maulizio na Maombi Moja Kwa moja
+255758306109 au +255677968604
NGUVU YA MAOMBI
JESUS, LET YOU KINGDOM COME
MATHEW 6:10
Kwa mawasiliano zaidi Wasiliana na Mwl Renald Mlawi watsapp Kwa ushauri,maulizio na Maombi Moja Kwa moja
+255758306109 au +255677968604
NGUVU YA MAOMBI
JESUS, LET YOU KINGDOM COME
MATHEW 6:10
DAY 3 | KUMILIKI MALANGO | MZALIWA WA KWANZA NA HATIMA ZA WENGI
DAY 3 | KUMILIKI MALANGO | MZALIWA WA KWANZA NA HATIMA ZA WENGI
Переглядів: 1 116
Відео
DAY 2 | KUMILIKI MALANGO | MZALIWA WA KWANZA NA HATIMA ZA WENGI
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
DAY 2 | KUMILIKI MALANGO | MZALIWA WA KWANZA NA HATIMA ZA WENGI
KUMILIKI MALANGO | MZALIWA WA KWANZA NA HATIMA ZA WENGI
Переглядів 1,5 тис.Місяць тому
KUMILIKI MALANGO | MZALIWA WA KWANZA NA HATIMA ZA WENGI
ILI MUNGU AKUTUNZE KWA NAMNA YAKE | Mwl Renald Mlawi
Переглядів 4512 місяці тому
ILI MUNGU AKUTUNZE KWA NAMNA YAKE | Mwl Renald Mlawi
SEHEMU YA 11 | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | LANGO KA WIKI NA BARAKA ZAKE
Переглядів 1 тис.2 місяці тому
SEHEMU YA 11 | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | LANGO KA WIKI NA BARAKA ZAKE
DAY 02 | AWAMU YA PILI | EE MUNGU UTUPE NEEMA YA NUHU ILI KIZAZI CHETU KIWEZE KUOKOLEWA-KUOMBEA UZAO
Переглядів 8563 місяці тому
DAY 02 | AWAMU YA PILI | EE MUNGU UTUPE NEEMA YA NUHU ILI KIZAZI CHETU KIWEZE KUOKOLEWA-KUOMBEA UZAO
DAY 01 | AWAMU YA PILI | MAOMBI YA MZALIWA WA KWANZA ILI KULETA UPENYO KWENYE FAMILIA- KUOMBEA UZAO
Переглядів 1,3 тис.3 місяці тому
DAY 01 | AWAMU YA PILI | MAOMBI YA MZALIWA WA KWANZA ILI KULETA UPENYO KWENYE FAMILIA- KUOMBEA UZAO
SEHEMU YA SABA | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | 04 Marchi, 2024
Переглядів 1 тис.3 місяці тому
SEHEMU YA SABA | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | 04 Marchi, 2024
SEHEMU YA SITA | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE
Переглядів 1,1 тис.4 місяці тому
SEHEMU YA SITA | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE
SEHEMU YA TANO | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE
Переглядів 1 тис.4 місяці тому
SEHEMU YA TANO | EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE
DAY 02 | AIBU YANGU IMEVIRINGISHWA NA MUNGU (GILGALI) | MAOMBI YA MFUNGO WA MWANZO WA MWEZI WA TATU
Переглядів 9675 місяців тому
DAY 02 | AIBU YANGU IMEVIRINGISHWA NA MUNGU (GILGALI) | MAOMBI YA MFUNGO WA MWANZO WA MWEZI WA TATU
DAY 01 | MSAADA WA MUNGU KUYASHINDA YALIYOSHINDIKANA | MAOMBI YA MFUNGO WA MWISHO WA MWEZI WA PILI
Переглядів 9285 місяців тому
DAY 01 | MSAADA WA MUNGU KUYASHINDA YALIYOSHINDIKANA | MAOMBI YA MFUNGO WA MWISHO WA MWEZI WA PILI
EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | KUOMBEA LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE | 26 Feb,
Переглядів 7705 місяців тому
EE MUNGU NYAKATI ZANGU ZIWE NYAKATI ZA KUKAA IMARA | KUOMBEA LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE | 26 Feb,
LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE SEHEMU YA PILI #maombi
Переглядів 8515 місяців тому
LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE SEHEMU YA PILI #maombi
LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE #maombi
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
LANGO LA WIKI NA BARAKA ZAKE #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 21 #maombi
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 21 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 20 #maombi
Переглядів 8415 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 20 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 19 #maombi
Переглядів 8455 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 19 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 18 #maombi
Переглядів 8986 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 18 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 17 #maombi
Переглядів 9606 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 17 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 16 #maombi
Переглядів 8016 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 16 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 15 #maombi
Переглядів 9006 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 15 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 14 #maombi
Переглядів 1 тис.6 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 14 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 13 #maombi
Переглядів 9286 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 13 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 12 #maombi
Переглядів 9416 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 12 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 11 #maombi
Переглядів 9506 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 11 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 10 #maombi
Переглядів 1,2 тис.6 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 10 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 9 #maombi
Переглядів 9366 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 9 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 8 #maombi
Переглядів 9516 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 8 #maombi
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 7 #maombi
Переглядів 1,1 тис.6 місяців тому
MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 7 #maombi
Nimepokea Nguvu Mpya na Upako wa Tai
Napokea nguvu mpya na upako wa Tai
Nimepokea nguvu mpya na upako wa Tai katika Jina la Yesu Kristo🙏🏾
Ameeen mtumishi Mmungu awe mwema kwako
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai. Amen🤚
Ameen barikiwa sana Mtumishi mimi nko kwenye mfungo kuweka siku ya wakfu
Nimepokea nguvu mpya na upako wa Tai
Barikiwa Mtumishi mwezi wanane niwa upako wa Tai
Napokea nguvu ya Tai mwanangu akawe na viwngo vya Yai
Amina Myumishi nimelia sana kwa sababu amebadika sana hataki kusoma lakini nina imani huyu mtoto anakwenda kubadilika
Napokea ktk jina la Yesu Kristo wa Nazareti
Napokea nguvu mpya ktkt uzao wangu kwa jina la Yesu
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai katika jina la Yesu
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai
Nimepokea upako wa Tai
Nimepokea nguvu mpya upako wa tai upo juu yangu upo juu yangu 🙏
Uzao wangu umepokea nguvu mpya katika jina la Yesu 🙏🙏
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai katika jina la Yesu
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai
Nimepokea nguvu mpya na Upako wa Tai.
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai 🙏
Uzao wangu umepokea upako wa tai
Nimepokea. Nguvu mpya na upako wa tai
Mimi na Uzao wangu Tumepokea Nguvu Mpya na Upako wa Tai🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nmeokea nguvu mpya na upako wa tai
Nmeokea nguvu mpya na upako wa tai
Nmepokea nguv mpya na upako wa tai
Amen.
Napokea nguvu mpya katika jina la Yesu kristo.
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai
Nimepokea nguvu mpya na upako wa tai🙏🏻
Nimepokea Nguvupya na upako wa tai..🙏🏼
Amen
Mungu nakushukuru Kwa maombi haya ya mchana huu nimepokea uponyaji Tena Kwa jina la Yesu Kristo.Ameen Hakika nimeuona wema wako
Amen Amen Amen 🙏
Asante Yesu kwa kunifungua vifungu vyote nakuniweka huru kweli kwelikweli ninakushukuru Mungu kwa kuniponya 🙏🙏
Asante Yesu kwa matendo makuu uliyonitendea, umenivusha kwenye mitihan umenipa amani ya moyo. Asante kwa baraka unazoendelea kunibariki kwenye maisha yangu na familia yangu. Lihimidiwe jina lako siku zote za maisha yangu. Amen🙏
Ahsante YESU kwa kuondoa hofu ndani yangu.
Ahsante MUNGU kwa kuniponya tumbo langu.
Namahukuru Mungu mtoto wangu amepata scholarship
Nimefunguliwa mtoto wangu amepata scholarship
Asante YESU kwa kunipa Amani
Asante Yesu kuniwezesha kufuatilia ibada
Ahsante Mungu wangu, nimepokea kila nilichokuomba katika maombi na mfungo wa siku 21. Amen🙏🏻
Thank you Lord.
Nina hakika vile vilivyoibiwa na adui zangu vitarejeshwa kwangu ktk jina la Yesu. Niko DSM
Mungu amenitendea, nimepona kichwa. Amen
NANI EE MUNGU NINAPOANZA KUSIILIZA UNIFANYIE KITU KIPYA USINYAMAZE NAKUOMBA MAANA WEWE UNASIKIA
Asante Yesu kwa kuniponya