MIMI SIO MUUMINI WA "MIPANGO ILIKUWEPO", MIMI NI MUUMINI WA MTENDAJI WA MIPANGO, HUO MPANGO WA MJI MKUU WA NCHI KUWA DODOMA ULIWEKWA LINI? NA MTEKELEZAJI NI NANI? NA LINI ?
ZANZIBAR SIYO KENYA!! MWALIMU GOOGLE NAKUPONGEZA KWA KUZUNGUMZA MENGI YA MAANA KWENYE HILI SAKATA LA KENYA VS TANZANIA, LAKINI KAKA HAPO KWENYE ZANZIBAR UNAPOSEMA BILA YA AIBU ETI ILIKUWA ARDHI YA KENYA UMETUONGOPEA BRO, ZANZIBAR ILIKUWEPO KABLA YA KENYA NA TANGANYIKA NA NDIYO ILIYOTAWALA SEHEMU KUBWA YA AFRIKA MASHARIKI HASA UKANDA WOTE WA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI TOKEA PWANI YA SOMALIA, KENYA (MOMBASA) TANGANYIKA (MZIZIMA / DAR ES SALAAM) MPAKA MSUMBIJI. TENA HATA IKULU YA TANZANIA YA HAPA MAGOGONI (POSTA) DAR ES SALAAM ILIJENGWA NA UTAWALA WA ZANZIBAR CHINI YA SULTAN SAYYID MAJID KUNZIA JUU YA MIAKA YA 1850s NA YEYE NDIYE ALIYEASISI JIJI LA DAR ES SALAAM KUTOKA KUWA KIJIJI KIDOGO CHA UVUVI KILICHOITWA MZIZIMA HADI KUWA JIJI KUBWA LA DAR ES SALAAM. NA ALIFANYA HIVYO KWA SABABU HII YOTE ILIKUWA ARDHI YA ZANZIBAR NA YEYE NDIYE ALIYEKUWA AKIITAWALA. UVAMIZI WA WAZUNGU NDIYO ULIYOIDOGOSHA NA KUIUWA ZANZIBAR NA ARDHI YAKE IKAGAWANYWA NA IKATUMIKA KUUNDA NCHI INAYOITWA KENYA NA TANGANYIKA MWAKA 1884 - 1885 KTK MKUTANO WA BERLIN YANI (BERLIN CONFERENCE) PALE UJERUMANI. LAKINI KABLA YA UVAMIZI HUO WA WAJERUMANI NA WAINGEREZA HAPA AFRIKA MASHARIKI HAKUJAKUWA NA TAIFA LINALOITWA TANGANYIKA WALA TAIFA LINALOITWA KENYA. ZANZIBAR NDIYO ILIYOTAWALA AFRIKA MASHARIKI. TATIZO LAKO MWALIMU GOOGLE UNASUMBULIWA NA CHUKI YA UKASKAZINI NA UBARA NA UNAWACHUKIA SANA WATU WA PWANI NA HASA WAZANZIBARI. MIMI BINAFSI UPANDE WA BABA NINA DAMU YA KIZANZIBARI NA UPANDE WA MAMA NINA DAMU YA KITANGANYIKA NA MABABU ZANGU WALIKUWA WAPIGANIA UHURU WA NCHI HII, KWA HIYO USITUDANGANYE KWA UTASHI WA CHUKI ZAKO KAKA DHIDI YA WATU WA PWANI NA ZANZIBAR KWA UJUMLA, TUNAIJUA HISTORIA VIZURI. ZANZIBAR HAIJAWAHI KUWA SEHEMU YA KENYA HATA SIKU MMOJA, ACHA POROJO NENDA KASOME HISTORIA KAKA. MIMI NI MFUASI WAKO MKUBWA NA NINAKUBALIANA NA WEWE KWA MAMBO MENGI LAKINI KWENYE HILI LA KUTUDANGANYA ETI ZANZIBAR ILIKUWA KENYA BRO HAPANA NINAKUPINGA HAPA UMESEMA UONGO, SIMAMA KWENYE UKWELI UTAFANIKIWA LAKINI UKIENDEKEZA CHUKI ZA UKANDA NA UDINI HUKU UKITULISHA MATANGO PORI YA UBARA DHIDI UPWANI NA KUTUGAWA KAMA WATANZANIA TUTAKUKIMBIA WOTE, UTABAKI PEKE YAKO NA CHANNEL YAKO HII!!
Tz imepita Kenya kwa kuuza mali kuelakea inchi za afrika mashariki lakini uchumi wa Tz haujakua mkubwa kuliko Kenya,,he only talked about goods&services in the region
Kuna mikopo inayotolewa tanzania hili utashuhudia na money lenders wameongezeka tanzania. Kama ilivokuwa kenya 2008. Mikopo ya kiholela ndio kisababishi cha inflation. Msururu ni ule ule. Gdp is nothing measures of a country is per capita income. Napenda kazi zako endelea kazi nzuri
Hizo ni maani zako. Magufuli alikuwa kafungiwa kuchukua mikopo kila mahali wakati anakufa, hiyo kitu ya kusema Nchi ingekuwa mbali angepata wapi pesa za kuindeleza au unaropoka tuu? Huoni hata ni Mungu tu amebadilisha uongozi maana TZ ingekuwa imekwama kabisa kwani misaada na mikopo ilishasimamishwa wakati wa Magufuli? Acha kuropoka.
@@ameedamilja7992 we akili huna kichaa kwani nchi gani inaendelea kwa kutegemea mikopo kwani tuna vyanzo vingapi vya mapato Kodi kila nyumba kwa mwezi au huijui
Mombosa ilihongwa na Jemshid 1963 sababu mama yk alikuwa hawara wao Wangereza Zanzibar historia yake ni Pana mno tokea inaitwa Zinjbar mpaka ikawa Zainzalbar hadi Zanzibar
Kabla ya mkutano wa Berlin na kabla ya Warabu kuja. Hilo eneo lilikuwa linaitwa Swahili Coast na mombasa ilikuwa ndani ya nchi ya PWANI inayoanzia Mogadishu mpaka Msumbiji Pemba. Baada ya vita Oman na Mreno. sultan alishuka Pwani ya Waswahili na kuja mpka Msumbiji na kukaa Kilwa ambao ndio ulikuwa mji mkubwa ya kibiashara miaka hiyo na Bagamoyo. Sultan alipogeuza utawala wa kiasili na kuleta utawala wa kiarabu na kupitia mgongo wa Dini waislam waliungana na kuwa Swahili Coast Oman Sultanate state na head office ilikuwa Unguja. When berling conference ndio ikagawa maeneo kulingana na wajeruman waingereza waraabu, wabeligiji na wareno . Wakaivunja vunja Swahili Coast 😢. Leo Mombasa Pwani state imelazimishwa kuwa Kenya. Na Zanzibar imekuwa Tz. Mafia na Kilwa imekuwa Tz , Comoros na syschelles pia. Nice story ndefu tujifunze zaidi. Wakenya hawakugaiwa Pwani walilazimisha kuungana kilazima coz otherwise Kenya ingekuwa landlocked country. 😂😂
Huyu Anajisemea tu! Eti Zanzibar ilikuwa ya Kenya! Hajui kama mwambao wote wa Africa ya mashariki from Mogadishu to Beira Mozambique ilikuwa chini ya utawala wa Zanzibar.
😂😂😂hamna zanzibar ilikua kenya kaka waingereza walitaka kuwapa wakenya chimba kiundan utajua ndugu hiyo ilikua nibaada ya vita kuu kuisha namagawano ya yakututawala huku kwetu mzee
Sio kweli hakuna hicho kitu, Zanzibar ni nchi kongwe sana zaid ya Kenya iweje mtu mkongwe awe ni sehemu ya mtu anaekuja baadae? Kaangalie hayo mataifa mawili yalianza uhusiano na nchi za west lini ndio utagundua kua Zanzibar empire ilikuepo zamani kabla Kenya haijaasisiwa@@HansChuma
@@litimbaify Makao Makuu ya sultani wa Oman yalihamishiwa Zanzibar na baadae ndugu wa kifalme wakagawana madaraka.Mmoja akawa ni sultani wa Oman na mwengine akawa sultan WA Zanzibar ambae alitawala mwambao wote wa Africa mashariki .Fuatilia mkataba wa kuutoa mwambao wa Kenya uliofanyika Lancaster huko uengereza. Washiriki na wawakilishi Tom Mboya - Kenya bara Abdilah Nassir- Kenya Mwambao Ali Muhsin - Zanzibar Na katika makubaliano wakati wa makabidhiano walikubaliana mambo kadhaa ambayo watu wa Kenya Mwambao wapewe priority.
🇹🇿Tanzania Is Self Controlled & Focus In Life 🇰🇪Kenya Is Aggressive & Arrogant In Life 🇧🇪Uganda Is Polite & Confident In Life Kama wewe nimwana Africa mashariki gonga like tusonge nayo nayo haya ndio maishayetu tulio yachagua na viongozi wetu walio yachagua wala tusichukiane kikubwa tuheshomiane tujenge undugu wetu na nchizetu hakuna kama East Africa sisi ni number one Duniani tunaongea Lugha Moja makabila niyaleyale tomeoleana waisilamu na wakristo tunaishi pamoja bila kubaguana tunasaidiana shidazenu nizetu furaha yetu niyenu mungu azidi kutubariki wote sisi na wazazi wetu na vizazivyetu atujaalie mwisho mwema assalamualaikum 🇹🇿🇰🇪🇧🇪 🙏🙏🙏🙏🙏
Uko sawa mchambuzi wangu huwezi kumtenga magufuli kwa maendeleo tuliyo fikia hivi Sasa! kwani msingi wa haya yote ni yeye, Eee. Mwenyezi Mungu na aiweke roho ya Rais Magufuli Mahalia pena peponi Amina.
Kweli Sana bro Mimi ni mkenya na ni dereva wa lory nasafiri Mombasa na lusaka Zambia.kweli Tanzania ipo mbali sahivi naona mwenyewe hiyo sio chuki ni challenge tu ili. Tuwe na bidii
nakupenda maneno yako , Ila kilwa ilikua inchi , ikitawala , msumbiji mpaka rasi ya somalia , Zanzibar Tena ikatawala ,Kama kilwa , ilivotawala kilwa, ikitawala pwani ya Tanganyika mpaka lamu, Mombasa
Mombasa ndio ilikuwa sehemu ya Zanzibar soma historia vizuri halafu wakenya wanachukulia kuzungumza kiingereza (lugha ya kikoloni) ndio kuendelea kwa hiyo pigeni sana kiingereza
@FadhiliAlly-fy2tx na wewe acha ukora. Kweli mlitawaluwa na WABRITISHI. Ona mlvyofanana nao aggressive at just simple pinch. That means you are really favoured and spoiled. Watanzania wana kaujermani kidogo which means " keep on working " kwa kiswahili " kazi iendelee"
Mimi siku zote nakukubali, ila jambo moja umekosea. Zanzibar haijawahi kuwa sehem ya Kenya. Spokuwa pwani yote ya Kenya na Somalia mpaka Kidmayu ilikuwa chini ya Sultani wa Zanzibar Ndio maana Jomo Kenyata alipodai mlima Kilimanjaro Nyerere nae akaanza kuidai Mombasa na Lamu.
Zanzibar ilikuwapo na mamlaka yake kabla Kenya na Tanganyika,kisha mamlaka yao yakatekwa na waingereza na baadae wao wakaamua wao kuiweka ama Tanganyika au Kenya.
MIMI SIO MUUMINI WA "MIPANGO ILIKUWEPO", MIMI NI MUUMINI WA MTENDAJI WA MIPANGO, HUO MPANGO WA MJI MKUU WA NCHI KUWA DODOMA ULIWEKWA LINI? NA MTEKELEZAJI NI NANI? NA LINI ?
ZANZIBAR SIYO KENYA!!
MWALIMU GOOGLE NAKUPONGEZA KWA KUZUNGUMZA MENGI YA MAANA KWENYE HILI SAKATA LA KENYA VS TANZANIA, LAKINI KAKA HAPO KWENYE ZANZIBAR UNAPOSEMA BILA YA AIBU ETI ILIKUWA ARDHI YA KENYA UMETUONGOPEA BRO, ZANZIBAR ILIKUWEPO KABLA YA KENYA NA TANGANYIKA NA NDIYO ILIYOTAWALA SEHEMU KUBWA YA AFRIKA MASHARIKI HASA UKANDA WOTE WA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI TOKEA PWANI YA SOMALIA, KENYA (MOMBASA) TANGANYIKA (MZIZIMA / DAR ES SALAAM) MPAKA MSUMBIJI. TENA HATA IKULU YA TANZANIA YA HAPA MAGOGONI (POSTA) DAR ES SALAAM ILIJENGWA NA UTAWALA WA ZANZIBAR CHINI YA SULTAN SAYYID MAJID KUNZIA JUU YA MIAKA YA 1850s NA YEYE NDIYE ALIYEASISI JIJI LA DAR ES SALAAM KUTOKA KUWA KIJIJI KIDOGO CHA UVUVI KILICHOITWA MZIZIMA HADI KUWA JIJI KUBWA LA DAR ES SALAAM. NA ALIFANYA HIVYO KWA SABABU HII YOTE ILIKUWA ARDHI YA ZANZIBAR NA YEYE NDIYE ALIYEKUWA AKIITAWALA. UVAMIZI WA WAZUNGU NDIYO ULIYOIDOGOSHA NA KUIUWA ZANZIBAR NA ARDHI YAKE IKAGAWANYWA NA IKATUMIKA KUUNDA NCHI INAYOITWA KENYA NA TANGANYIKA MWAKA 1884 - 1885 KTK MKUTANO WA BERLIN YANI (BERLIN CONFERENCE) PALE UJERUMANI. LAKINI KABLA YA UVAMIZI HUO WA WAJERUMANI NA WAINGEREZA HAPA AFRIKA MASHARIKI HAKUJAKUWA NA TAIFA LINALOITWA TANGANYIKA WALA TAIFA LINALOITWA KENYA. ZANZIBAR NDIYO ILIYOTAWALA AFRIKA MASHARIKI. TATIZO LAKO MWALIMU GOOGLE UNASUMBULIWA NA CHUKI YA UKASKAZINI NA UBARA NA UNAWACHUKIA SANA WATU WA PWANI NA HASA WAZANZIBARI. MIMI BINAFSI UPANDE WA BABA NINA DAMU YA KIZANZIBARI NA UPANDE WA MAMA NINA DAMU YA KITANGANYIKA NA MABABU ZANGU WALIKUWA WAPIGANIA UHURU WA NCHI HII, KWA HIYO USITUDANGANYE KWA UTASHI WA CHUKI ZAKO KAKA DHIDI YA WATU WA PWANI NA ZANZIBAR KWA UJUMLA, TUNAIJUA HISTORIA VIZURI. ZANZIBAR HAIJAWAHI KUWA SEHEMU YA KENYA HATA SIKU MMOJA, ACHA POROJO NENDA KASOME HISTORIA KAKA. MIMI NI MFUASI WAKO MKUBWA NA NINAKUBALIANA NA WEWE KWA MAMBO MENGI LAKINI KWENYE HILI LA KUTUDANGANYA ETI ZANZIBAR ILIKUWA KENYA BRO HAPANA NINAKUPINGA HAPA UMESEMA UONGO, SIMAMA KWENYE UKWELI UTAFANIKIWA LAKINI UKIENDEKEZA CHUKI ZA UKANDA NA UDINI HUKU UKITULISHA MATANGO PORI YA UBARA DHIDI UPWANI NA KUTUGAWA KAMA WATANZANIA TUTAKUKIMBIA WOTE, UTABAKI PEKE YAKO NA CHANNEL YAKO HII!!
Tz imepita Kenya kwa kuuza mali kuelakea inchi za afrika mashariki lakini uchumi wa Tz haujakua mkubwa kuliko Kenya,,he only talked about goods&services in the region
Kuna mikopo inayotolewa tanzania hili utashuhudia na money lenders wameongezeka tanzania. Kama ilivokuwa kenya 2008. Mikopo ya kiholela ndio kisababishi cha inflation. Msururu ni ule ule. Gdp is nothing measures of a country is per capita income. Napenda kazi zako endelea kazi nzuri
Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Tz ilikuwa Sera ya Mwl.J.K.Nyerere miaka ya 1970's Kwa sababu ipo kati kati ya Nchi
Wewe Mjinga Zanzibar haijawahi kua ya Kenya ila Mambasa ndio ilokua ya Zanzibar
Asante sana mwanangu magufuli angekuepo leo tanzania tungekua mbali sana mkuu acha
Kwani ukuaji wa uchumi wa sasa ameuleta magufuli uko aliko?
We msenge kuwa mwelewa magufuli ndiye alituamsha huyu mama anaendeleza kidogo alipoachia magufuli@@hamzakhamis1575
Hizo ni maani zako. Magufuli alikuwa kafungiwa kuchukua mikopo kila mahali wakati anakufa, hiyo kitu ya kusema Nchi ingekuwa mbali angepata wapi pesa za kuindeleza au unaropoka tuu? Huoni hata ni Mungu tu amebadilisha uongozi maana TZ ingekuwa imekwama kabisa kwani misaada na mikopo ilishasimamishwa wakati wa Magufuli? Acha kuropoka.
@@ameedamilja7992 we akili huna kichaa kwani nchi gani inaendelea kwa kutegemea mikopo kwani tuna vyanzo vingapi vya mapato Kodi kila nyumba kwa mwezi au huijui
Magufuli angeturudisha nyuma sana
Upo really kabsa broo
Nimekukubali mzee ANKO namkubali sana aliyatoa maisha yake kwaajili ya taifa lake...
Kweli kabsaa UNAFIKI ndo unaotupoteza wengi, JPM alijitoa kwa dhati.
Kaka wewe mwambaaa nakukubaliii sanaaa
kaka nimekubali wewe ni jenius, upo vzr sana
Ila ni kweli magufuli ndiye alituzindua sana katunyofoa kenya sasa anayumba mpaka kwenye utalii RIP Magufuli asante mama Samia
Magufuli alikuwa game changer
💪🏿💪🏿💪🏿
Upo vizuri sana baba ubarikiwe
Zanzibar, kenya na Tanganyika ni Nchi tafauti,
Sema Mombasa ilikua ya Zanzibar, muengereza akawapa kenya
Muelimishe jamaa maana hiyo sehemu ya historia ilimpita kando..
Mombosa ilihongwa na Jemshid 1963 sababu mama yk alikuwa hawara wao Wangereza Zanzibar historia yake ni Pana mno tokea inaitwa Zinjbar mpaka ikawa Zainzalbar hadi Zanzibar
Really 🔥🔥🔥
Hapa Mwalimu Google historia imempiga chenga.
Kabla ya mkutano wa Berlin na kabla ya Warabu kuja. Hilo eneo lilikuwa linaitwa Swahili Coast na mombasa ilikuwa ndani ya nchi ya PWANI inayoanzia Mogadishu mpaka Msumbiji Pemba. Baada ya vita Oman na Mreno. sultan alishuka Pwani ya Waswahili na kuja mpka Msumbiji na kukaa Kilwa ambao ndio ulikuwa mji mkubwa ya kibiashara miaka hiyo na Bagamoyo. Sultan alipogeuza utawala wa kiasili na kuleta utawala wa kiarabu na kupitia mgongo wa Dini waislam waliungana na kuwa Swahili Coast Oman Sultanate state na head office ilikuwa Unguja. When berling conference ndio ikagawa maeneo kulingana na wajeruman waingereza waraabu, wabeligiji na wareno . Wakaivunja vunja Swahili Coast 😢. Leo Mombasa Pwani state imelazimishwa kuwa Kenya. Na Zanzibar imekuwa Tz. Mafia na Kilwa imekuwa Tz , Comoros na syschelles pia. Nice story ndefu tujifunze zaidi. Wakenya hawakugaiwa Pwani walilazimisha kuungana kilazima coz otherwise Kenya ingekuwa landlocked country. 😂😂
Broo Mimi #kanyukatv nimeona ni like unaongea very point kwa magufuli umeongea good magufuli alipambana
Upo vizuri sana we jamaa na kalugha unakafahamu vzr pia, kongole kwako.
Sio kalugha unakafahamu jamaa ni English language expert
Safi sana brother!! True FACTS!!
I agree with you 💯
🎉Go! Go! East Africans❤ my bantus brothers!
Hujuwi broo mombasa ilikuwa ni ya zanzibar understood
Huyu Anajisemea tu! Eti Zanzibar ilikuwa ya Kenya! Hajui kama mwambao wote wa Africa ya mashariki from Mogadishu to Beira Mozambique ilikuwa chini ya utawala wa Zanzibar.
😂😂😂hamna zanzibar ilikua kenya kaka waingereza walitaka kuwapa wakenya chimba kiundan utajua ndugu hiyo ilikua nibaada ya vita kuu kuisha namagawano ya yakututawala huku kwetu mzee
Sio kweli hakuna hicho kitu, Zanzibar ni nchi kongwe sana zaid ya Kenya iweje mtu mkongwe awe ni sehemu ya mtu anaekuja baadae? Kaangalie hayo mataifa mawili yalianza uhusiano na nchi za west lini ndio utagundua kua Zanzibar empire ilikuepo zamani kabla Kenya haijaasisiwa@@HansChuma
Ilikuwa chini ya utawala wa Oman sultanate
Na sio utawala wa Zanzibar,
@@litimbaify Makao Makuu ya sultani wa Oman yalihamishiwa Zanzibar na baadae ndugu wa kifalme wakagawana madaraka.Mmoja akawa ni sultani wa Oman na mwengine akawa sultan WA Zanzibar ambae alitawala mwambao wote wa Africa mashariki .Fuatilia mkataba wa kuutoa mwambao wa Kenya uliofanyika Lancaster huko uengereza. Washiriki na wawakilishi
Tom Mboya - Kenya bara
Abdilah Nassir- Kenya Mwambao
Ali Muhsin - Zanzibar
Na katika makubaliano wakati wa makabidhiano walikubaliana mambo kadhaa ambayo watu wa Kenya Mwambao wapewe priority.
🇹🇿Tanzania Is Self Controlled & Focus In Life 🇰🇪Kenya Is Aggressive & Arrogant In Life 🇧🇪Uganda Is Polite & Confident In Life Kama wewe nimwana Africa mashariki gonga like tusonge nayo nayo haya ndio maishayetu tulio yachagua na viongozi wetu walio yachagua wala tusichukiane kikubwa tuheshomiane tujenge undugu wetu na nchizetu hakuna kama East Africa sisi ni number one Duniani tunaongea Lugha Moja makabila niyaleyale tomeoleana waisilamu na wakristo tunaishi pamoja bila kubaguana tunasaidiana shidazenu nizetu furaha yetu niyenu mungu azidi kutubariki wote sisi na wazazi wetu na vizazivyetu atujaalie mwisho mwema assalamualaikum 🇹🇿🇰🇪🇧🇪 🙏🙏🙏🙏🙏
Safi saana EA FOR Life. ❤ Ila bendera ya Uganda 🇺🇬 ni hii, hiyo hapo ni Belgium 😂🎉. Undugu na umoja ndio ngao yetu.
@@kiddyadamsnashukuru kwa kuliona hilo maana mpaka nilikuwa natetemeka nikajua labda UG ishapinduliwa na Uberigiji 🤣🤣🤣🤣
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh 😅😅
Anyway ila let's what will come after
Sawa mwalimu👍🏿👍🏿
Kaka uko vizuri
Heko kwa watanzania.. Ni wakati wenu wa kujipiga kifua..Wacha tutie bidii
Uko sawa mchambuzi wangu huwezi kumtenga magufuli kwa maendeleo tuliyo fikia hivi Sasa! kwani msingi wa haya yote ni yeye, Eee. Mwenyezi Mungu na aiweke roho ya Rais Magufuli Mahalia pena peponi Amina.
Kaka nimekuelewa sana upo sawa kabisa
I love 💕 my country
4 sure MAGUFULI is the best of the best leader God bless MAGUFULI and rest in peace👏👏👏
Mwasisi wa wasiojulikana
Magufuli👍🔥🇹🇿
Hata Mama Raisi wetu ana jitahidi hasa miradi mikubwa yaki mkakati Kazi ina endelea
@@robertphilip385ww ndio mtekaji kuma we chunga bakuli lako au unataka tujue unapoamka kisha uvishwe shanga kiunoni?
Huu ni ukweli kabisa kaka mungu akurinde
Ni kweli Tanzania tunalima sana tuna chakula kutosha
Uko vizuri tafadhali wafundishe madhara na ubeberu wa GMO
This man is ok politically 🎉🎉
Safi sana
MOMBASA ILIKUA ZANZIBAR EMPIRE..
Safi ndugu upo sahihi na ukweri huwa unauma sema zaidi na zaidi watanzania wengi ni machawa ira wewe ni mkweri
Big up boy 🔥🔥🔥
Broo umeongea facts VITA YA RUSSIA NA UKRAINE, imetuzindua wengi. Mm siamini tena maendeleo kwenye demokrasia.
Uyu asalimiwe
very nice broo
It is true brother unaongea ukweli shukran sana
This is inter trade not economy wise bro listen carefully.he is talking about the trade between member state
Ni kweli kabisa
Kweli Sana bro Mimi ni mkenya na ni dereva wa lory nasafiri Mombasa na lusaka Zambia.kweli Tanzania ipo mbali sahivi naona mwenyewe hiyo sio chuki ni challenge tu ili. Tuwe na bidii
Fact+reality+materials hongera mparee
Yes is true brother
nakupenda maneno yako , Ila kilwa ilikua inchi , ikitawala , msumbiji mpaka rasi ya somalia , Zanzibar Tena ikatawala ,Kama kilwa , ilivotawala kilwa, ikitawala pwani ya Tanganyika mpaka lamu, Mombasa
Nakubali sana blaz
Big up Brother
MAGUFULI BEST LEADER
Well said kaka
Wow❤
Mombasa ndio ilikuwa sehemu ya Zanzibar soma historia vizuri halafu wakenya wanachukulia kuzungumza kiingereza (lugha ya kikoloni) ndio kuendelea kwa hiyo pigeni sana kiingereza
Ya😂😂😂😂 yaani unaamini ruto
Hongera sana
Hii ni zaidi ya shule, ahsante sana kwa maarifa
Umegonga ndio👏👏👏👏
❤🎉🎉🎉🎉😅 salute
Safi sana kijana
Kuhusu zanzibar historia imekupiga....
Mm nakuomba siku moja utupatie full detail point why magufuli ni Bora kama Nyerere
Mombasa was part of Zanzibar
Fact!
Kweli kabisa uwewizi kumshau John Pombe Magufuli kweli sifa tunazpoata Magu alidhubutu hali ilikuwa mbaya haswa, lazima tuseme ukweli wa Mungu
Ukweli mtupu
True
Wao wanategemea kuandamana maisha yao yawe mazur. Wakat wabongo wanafanya kaz Tanzania hapa kaz tu
Lakini wakenya wana bidii ya kazi kuliko hata sisi Watanzania. Shida yao ni ukora tu but they are very hardworking. Sijawahi kukutana na Mkenya mvivu.
Unadhani kuandamana ni shida .....mtaamka tu
@FadhiliAlly-fy2tx na wewe acha ukora. Kweli mlitawaluwa na WABRITISHI. Ona mlvyofanana nao aggressive at just simple pinch. That means you are really favoured and spoiled. Watanzania wana kaujermani kidogo which means " keep on working " kwa kiswahili " kazi iendelee"
🔥🔥🔥🔥🔥
Tanzania wametushinda ...kutekana
Tusome na kuelimika na akili nyingi zisituondoe maarifa. Kongole kwa udadavuzi makini❤❤❤❤
YOYOTE ATAKEYOCHUKIA UKWELI UMEMFIKIA SUPER MESSENG ✊️💪♥️🙏
RIP🙏💜JPM
sure
Zanzibar na coast region ni moja wala sio Zanzibar na kenya upo hpo
MEGAMIND
Asante Asante mungu magufu ndiyo laisi bala kabisa
Wakenya wanapenda kukimbilia ulaya na America bdala yakujenga nchi yao watanzania wengi hawapendi kwenda nchi zakigeni
Watanzania wanatamani sana kwenda ulaya lkn watanzania wengi hawajui luga ya kigeni tumebaki na siasa uchwara na wizi wakura
Acha upumbavu wabongo wangapi wapo bongo wametoboa.
Hawajui kingereza ndomaana hawaendi
@@abdulomari4932Kenya kuna njaa ndio maana mnaikimbia nchi yenu😂😂
Pumbaff 😏 Omba omba wengi sana watanzania wamejaa Kenya!
Wenzio wakenya awamini kisa wao wana majengo malefu😂😂😂😂
Time will tell watch the pace, kenya will rise
Fidia ya kuwapa wakenya mombasa tuliongezewa umiliki wa ziwa victoria kiukubwa
Bro you're being blackmailed and you feel motivated
Mandugu
Leo ni kuzuri Tz, kwetu kuna misuko, tutaipita hii yote kisha tutajenga, tutaifanya hio biashara
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tuko sawa sisi wacha tukufe njaa vile nyie mnasemaaa aty mombasa ni 😂😂😂😂😂😂😂
Nakufatilia sana kaka mana unaongea ukweli mpaka nahisi moyo wangu kuhisi magufuri anazunguka akilini mwetu
haijalishi
Leo umejipanga umeongea point saf
Hakuna ubaya kusifia mwenzako anapofanya vizuri
Genius
Mimi siku zote nakukubali, ila jambo moja umekosea. Zanzibar haijawahi kuwa sehem ya Kenya. Spokuwa pwani yote ya Kenya na Somalia mpaka Kidmayu ilikuwa chini ya Sultani wa Zanzibar Ndio maana Jomo Kenyata alipodai mlima Kilimanjaro Nyerere nae akaanza kuidai Mombasa na Lamu.
Yeye ndio ameiangusha kenya na wizi wake wakijinga
HUYU JAMAA ANATULETEA MAMBO MAZURI SANA
Fact juu ya fact wape vidonge vyao bro
Sio kweli 😅😅😅
Umeongopa
Ha😂sema ukweli kabisa 😅
Zanzibar ilikuwapo na mamlaka yake kabla Kenya na Tanganyika,kisha mamlaka yao yakatekwa na waingereza na baadae wao wakaamua wao kuiweka ama Tanganyika au Kenya.
Lazima ukienda nchi jirani ukawasifie
Kenya na tanzania zote niinchi maskini
Ukweri unasimama hata kama utaucherewesha
Rushwa ndio issues katika nchi za Afrika jambo ambalo ndio linayomaliza Kenya
Tunamshukuru muumba wetu
Yani watanzania hamujui ruto ni muongo?😂
Mwanza imeshuka sana kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu wakati uzalishaji ukipungua.
Sura mbaya we are waiting for you