Mwalimu Google TV
Mwalimu Google TV
  • 220
  • 336 886
KENYA WANAPENDA SIASA KULIKO MICHEZO, TANZANIA WANAPENDA MICHEZO KULIKO SIASA, KWA NINI ?
Siasa ni kuwa gawa watu na kuwa tawala, michezo ni kuleta watu pamoja ili kushirikiana kwa ajili ya maendeleo. #mwalimugoogletv
UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII
Airtel money +255 685 72 22 17 (peter daudi)
Переглядів: 984

Відео

MFUMO WA UCHAGUZI WA MAREKANI, KWA TANZANIA, UTAZUIA CCM KUIBA KURA
Переглядів 8674 години тому
Afrika tuandike wenyewe mfumo wetu wa "DEMOKRASIA" YETU Demokrasia tuliyonayo ni kwa ajili ya KUSAIDIA KULINYONYA BARA LA AFRIKA. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
PART 2: KENYA: TANZANIA WAMESHATUACHA KWA MAENDELEO .
Переглядів 11 тис.14 годин тому
MAGUFULI APEWE MAUA YAKE JAPOKUWA AMEFARIKI . #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
TRUMP KUUAWA NA IRAN
Переглядів 3,7 тис.19 годин тому
Katika historia ya marekani kwenye maraisi wao waliouwawa hakuna nchi ya kigeni iliyohusika. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
CHINA ANAITAWALA MAREKANI.
Переглядів 2,3 тис.День тому
KATIKA JEOPOLITIKSI UCHUMI NDIO SILAA NO.1 UKIMTAWALA KIUCHUMI MWENZAKO UMEMMALIZA. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
URUSI USIOIJUA NI HII HAPA
Переглядів 6 тис.День тому
DUNIA IPO KWENYE MCHAKATO WA "BALANCE OF POWER" TUMETOKA KWENYE "UNIPOLAR WORLD ORDER" TUNAELEKEA KWENYE "MULTI - POLAR WORLD ORDER" TAIFA KUBWA SIO MOJA TENA YAANI MAREKANI TU. BALI MATAIFA MAKUBWA NI MENGI KAMA VILE CHINA , URUSI , INDIA N.K #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
TRUMP AMESHINDA , KWA SABABU...
Переглядів 38 тис.День тому
Katika siasa za zama za leo, sera za KIZALENDO ndio zinazowabeba wanasiasa. Kuweka maslai ya taifa mbele. Na hilo ndio limembeba TRUMP kurudi ikulu. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
MAREKANI MASANDUKU YA KURA YANACHOMWA MOTO. JE INGEKUWA TANZANIA MNGESEMAJE ?
Переглядів 1,5 тис.14 днів тому
BABA WA DEMOKRASIA YAMEMKUTA KILA MTU A"DEAL" NA MAMBO YAKE PASI NA KUINGILIWA .#mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
KENYA: TANZANIA WAMESHATUACHA KWA MAENDELEO
Переглядів 35 тис.14 днів тому
MWALIMU JULIAS NYERERE: MAENDELEO NI WATU , MAENDELEO SIO VITU . #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
Israel kulipiza kisasi kwa Iran ni IGIZO LA MAREKANI.
Переглядів 15 тис.14 днів тому
Ijue jeopolitiksi uwe na amani #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
SIASA NDIO KAZI NZURI KULIKO ZOTE DUNIANI
Переглядів 1,8 тис.21 день тому
Siasa ni kazi ya kutawala watu na mali zao.#mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
TUNDU LISSU: TANZANIA SIO NCHI SALAMA
Переглядів 10 тис.21 день тому
Demokrasia ni njia ya wazungu kuendelea kulinyonya bara la Afrika.Kwa kuingiza viongozi wenye kujali maslai yao.#mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
SIKU - 'KUU' KUBWA KULIKO ZOTE TANZANIA NI HII HAPA
Переглядів 1,1 тис.28 днів тому
Simba na Yanga zilitumika kuua ukabila TANZANIA NA RAISI WA KWANZA JULIAS KAMBARAGE NYERERE. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
MO DEWJI HAKUTEKWA ILA ILIKUA NJIA YA KUCHAFUA UONGOZI WA MAGUFULI KWAMBA NCHI IMEMSHINDA
Переглядів 3 тис.Місяць тому
Ukifanikiwa bila kutegemea globalists wao wanakila njia kuuambia ulimwengu kua hujafanikiwa. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
Dotto Magari alipewa unabii wa maisha ya DIDA
Переглядів 704Місяць тому
Jifunze kutambua maneno ya unabii juu ya maisha yako.Siku zote huwa ni ukweli unaouma na hutolewa na mtu unaemdharau sana au wakawaida katika maisha yako. #mwalimugoogletv UNAWEZA CHANGIA HUDUMA HII Airtel money 255 685 72 22 17 (peter daudi)
MAREKANI HAIWEZI KUPIGANA NA URUSSI, KWA NINI ?
Переглядів 48 тис.Місяць тому
MAREKANI HAIWEZI KUPIGANA NA URUSSI, KWA NINI ?
TUNDU LISSU: TIGO ILISAIDIA MIMI KUSHAMBULIWA
Переглядів 723Місяць тому
TUNDU LISSU: TIGO ILISAIDIA MIMI KUSHAMBULIWA
AZAM MEDIA ITAKUFA KAMA IPP MEDIA
Переглядів 6 тис.Місяць тому
AZAM MEDIA ITAKUFA KAMA IPP MEDIA
TUNDU LISSU: NDEGE NIZA MAGUFULI SIO WATANZANIA
Переглядів 656Місяць тому
TUNDU LISSU: NDEGE NIZA MAGUFULI SIO WATANZANIA
TUNDU LISSU: SERIKALI ILIYOTAKA KUNIUA HAITAKI KUNILIPA.
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
TUNDU LISSU: SERIKALI ILIYOTAKA KUNIUA HAITAKI KUNILIPA.
TUNDU LISSU: MAGUFULI ALITAKA KUNIUA KWA SABABU NILIKUA NATETEA WAZUNGU
Переглядів 374Місяць тому
TUNDU LISSU: MAGUFULI ALITAKA KUNIUA KWA SABABU NILIKUA NATETEA WAZUNGU
TUNDU LISSU NI MTU HATARI KWA AMANI YA TANZANIA
Переглядів 3,8 тис.Місяць тому
TUNDU LISSU NI MTU HATARI KWA AMANI YA TANZANIA
Kiboko ya wachawi na Anjela sio unabii bali ni ''SCRIPT'' ilikua inachezwa
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Kiboko ya wachawi na Anjela sio unabii bali ni ''SCRIPT'' ilikua inachezwa
Maigizo ya Wanasiasa kwenye Maandamano Tanzania
Переглядів 278Місяць тому
Maigizo ya Wanasiasa kwenye Maandamano Tanzania
KWA NINI MAANDAMANO YALIFELI TANZANIA ?
Переглядів 2,7 тис.Місяць тому
KWA NINI MAANDAMANO YALIFELI TANZANIA ?
TOFAUTI YA MAANDAMANO YA TANZANIA NA KENYA
Переглядів 5 тис.Місяць тому
TOFAUTI YA MAANDAMANO YA TANZANIA NA KENYA
TANZANIA ENGLISH
Переглядів 842Місяць тому
TANZANIA ENGLISH
Trump kuuwawa tena, UKWELI NI HUU HAPA.
Переглядів 5822 місяці тому
Trump kuuwawa tena, UKWELI NI HUU HAPA.
MTANZANIA MPUMBAVU KULIKO WOTE NI HUYU HAPA.
Переглядів 2,9 тис.2 місяці тому
MTANZANIA MPUMBAVU KULIKO WOTE NI HUYU HAPA.
Wanaogopa kupingana na serikali ya chama tawala,Kamala hakushinda.
Переглядів 4732 місяці тому
Wanaogopa kupingana na serikali ya chama tawala,Kamala hakushinda.

КОМЕНТАРІ

  • @godshanthomas3297
    @godshanthomas3297 Хвилина тому

    Nakusikiliza kwa makini sana kenya watu ni maskini sana

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 6 хвилин тому

    Hivi ndio inatakiwa huyu bwana yupo nje ya nchi lakini anaupenda sana nchi yake Tanzania..sio kupinga nchi Yako uliyodhaliwa ukadhani ndio maendeleo

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 20 хвилин тому

    Kweli

  • @FredyVincent951753852456
    @FredyVincent951753852456 40 хвилин тому

    Wakenya ,Watanzania na Waganda nadhani umefika wakati wa kuachana na hii biashara ya nani mwenye uchumi Imara. Hii hali ipo hadi kwa viongozi wetu. Mwalimu Nyerere alikua anautazama ukanda huu kwa namna tofauti kabisa. Ukubwa wetu na uchumi na kua dola yenye nguvu ni endapo nchi zetu zitaungana. Tuondokane na fikra za utengano kwa kua "Umoja ni nguvu na Utengano ni udhaifu"🇹🇿 ,🇰🇪🇺🇬

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 41 хвилина тому

    Safi sana kaka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏💯

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 43 хвилини тому

    Hatutaki democracy TZ

  • @MnyongeMuganza
    @MnyongeMuganza 43 хвилини тому

    wewe nimwalimu wakweli.

  • @yarmfayce167
    @yarmfayce167 47 хвилин тому

    You're very correctly brother. #MwalimuGoogle All African people must be carefully about getting/searching information or to dill with those Westearn Medea, or they're news platforms. It's very DANGEROUS. Indeed,,,Fully DANGEROUS all meadea frome western.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 48 хвилин тому

    Simba 🦁🦁 na yanga 💛💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💯

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 49 хвилин тому

    Na mziki pia ulisaidia sana kuuwa ukabila karibu kila Mkoa kuli kuwa na band ya mziki...

  • @BrianOngattah
    @BrianOngattah Годину тому

    National sport ya kenya ni athletics😂😂munapenda michezo na hamna any medal

  • @BrianOngattah
    @BrianOngattah Годину тому

    Sasa huyu anasema nini😅😅

  • @salehsuleiman9407
    @salehsuleiman9407 Годину тому

    Je sarafu ipi yenye thamani hamuoni kuwa Tz imelala na watu wanajinufaisha ?

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 2 години тому

    Kaka nakufuatilia sana uko vizuri mungu akupe maisha marefu.

  • @AyoubHajj
    @AyoubHajj 2 години тому

    Kka, me naomba uwe unatuleteya uchambuzi wa matukiyo kwa series Especial geopolitics

  • @Pwaguzi
    @Pwaguzi 2 години тому

    Democracy has not killed Kenya but Corruption..

  • @francismichael1258
    @francismichael1258 2 години тому

    Waambie hao

  • @valerianrwebandiza754
    @valerianrwebandiza754 2 години тому

    Kenya kuna demokrasia kuliko Tanzania???? I don't think so. Mpaka uwe Mkikuyu, Mkaleinjini au Mluo ndo uwe Rais wa Kenya! Kenya ina makabila zaidi ya 40. Hiyo ndio demokrasia???? Nonsense.

    • @PatrickJulius-uy3yb
      @PatrickJulius-uy3yb 2 години тому

      Demokrasia haina umuim wowote kwenye maendereo ndio maana wakenya hawa pigi hatua kimaendereo huumfomo sio wa kiafrica ni kwaajili ya magharibi kupandikiza vibaraka wao..!

  • @damasiliduke6649
    @damasiliduke6649 2 години тому

    Unajichanganya sana brother

    • @KigodaHamis
      @KigodaHamis 2 години тому

      Huyu jamaa anajichanganya sana MIMI mwenyewe si mwelewi . Nahisi 😂😂😂

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 2 години тому

      Siasa ni malumbano tuuu​@@KigodaHamis

  • @Niika870
    @Niika870 2 години тому

    Tena wakome hatutaki ujinga wao Huko wa Demoncrss sisi tunataka Majivijijini,barabala, umeme tosha

  • @jumaothman5019
    @jumaothman5019 2 години тому

    Mm pia sipend democracy

  • @jumaothman5019
    @jumaothman5019 2 години тому

    Kaka fungua group

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 години тому

    Kuna wabongo wamesahau. Mandela aliishi bongo na alikuwa na passport ya bongo wakati alikuwa anagombania uhuru

  • @salumomar5234
    @salumomar5234 3 години тому

    Halafu wanataka kupigana na mrusi

  • @erickmgaya3914
    @erickmgaya3914 3 години тому

    Huyu jamaa anaongea pointi sana🎉🎉

  • @SaidKondo-i2t
    @SaidKondo-i2t 3 години тому

    Sawa kaka,twende pamoja,watatuelewa tu

  • @richardjuma1623
    @richardjuma1623 3 години тому

    Wa kwanza ku comment naomba like

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 3 години тому

    Kaka wewe ni genios hilo halina mpinzani akili mingi sana madini yamejaaa big up broooo

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 5 годин тому

    We jaamaa inaonekana huko marekani we ni mke wa mtu,ndio maana umechanganyikiwa unaongea upuuzi

  • @MgishaBoaz
    @MgishaBoaz 6 годин тому

    😢😢😮

  • @HenryHumphrey-mj9jw
    @HenryHumphrey-mj9jw 8 годин тому

    Mungu hana dini acheni kudanganyana dini ni njia za wanadamu katika kumtafuta Mungu

  • @JohnArobogast
    @JohnArobogast 8 годин тому

    Hebu Sasa tusikie kutoka kwako dini ya Mungu Ni ipi?

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 9 годин тому

    Huyu jamaa anasumbuliwa na ujinga, ukristo ni Dini hatari kwa sababu imekataza kuoa wake wengi?! Vp kuhusu makundi ya Dini yanayonyonga watu kwa sababu siyo wa imani yao? Vp kuhusu boko Haram,algaeda,is nk Vp Dini ambayo inahukumu kuua watu,kupiga watu mawe mpaka kufa,vp kuhusu kukata watu mikono Mafundisho ya ukristo ni samehe saba mara sabini,mpende adui yako na umuombee,mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,Hv kuna mambo anayohitaji mambo zaidi ya haya?! Yaani tuache ukristo ambao unasema ni hatari tufuate imani ambayo inafundisha watu kulipiza kisasi,inayofundisha kuua na kuchukia wengine?!

  • @khamisshabani691
    @khamisshabani691 10 годин тому

    mpumbavu mkundu wa mama yako na baba yako kuma la mkeo unataka kufirwa paka wee

    • @KigodaHamis
      @KigodaHamis 8 годин тому

      Napenda MiKUNDU sana na naamini MKUNDU WAKO ni mtamu sana mitumie number Yako au account Yako ya benki Nikutumie 300,000 Sasa hivi. Achana na hizi video. SHABANI KHAMISI na kufahamu sana kaka na sifa zako ziko hapa maskani wewe ni NTA na maanisha mnato

    • @shabanimataka8418
      @shabanimataka8418 4 години тому

      Pole sana ila soma kwanza ujilidhishe

  • @maulidmusa8902
    @maulidmusa8902 11 годин тому

    Anachisena hakuwezejani Bongo Kwa Tume Na wahusika. Labda iwe tume huru Na si hii ya Rais ambaye naye mgombea wa CCM huku mihimili ya Dola wakiwasaidia

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 12 годин тому

    wakenya wengi mko kama mazuzu mko busy TICKTOK mnaota kama mtapewa Lion za bure mmezoea vitu vya kupewa pewa kujiongeza maarifa hamuwezi ndio maana wengi wenu watumwa wa waarabu GULF COUNTRIES. mnasugua sugua tu mavi za Waarabu...

  • @SalehSaidAhmed
    @SalehSaidAhmed 12 годин тому

    Yesu hajafariki alipaa kwenda mbinguni

  • @MbwanaIzaa
    @MbwanaIzaa 12 годин тому

    Ukovizuri

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 12 годин тому

    Wazungu wamefanikiwa

  • @KhamisMcha-u3z
    @KhamisMcha-u3z 13 годин тому

    Urusi hawana mambo ya hovyo ila hao manyangau eee waonevu ona afrika kitumbaya walizofanya putin mmwamba wanyoeshe manyangauwaonevu cna

  • @konciikonsi5230
    @konciikonsi5230 19 годин тому

    How can you compare kenya and tanzania enda uoge wewe

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 20 годин тому

    Duuh ❤

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 20 годин тому

    The funny things ni mweusi anatuaibisha msenge

  • @Hadiharoun-w1w
    @Hadiharoun-w1w 20 годин тому

    Wew ni kutoka Rwanda?

  • @HawaBakari-u6q
    @HawaBakari-u6q 21 годину тому

    Kweli kaka uko sahihi sana

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 21 годину тому

    👍👍

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 21 годину тому

    Kama ndiyo hivi basi namim ngoja nisilimu niwe muislam

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 47 хвилин тому

      Uwenamsimao wadini tu mkusilimu

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 21 годину тому

    Inawezekana kuna ukweli kwa upande wa Roman Catholic. Wao ni watawala. Wana nchi yao. Lakini elewa kwamba walioazisha Ukristo siyo warumi kama unavyosema bali ni Wanafunzi wa Yesu ambao Yesu aliwaacha. Walieneza imani ya Kiristo mpaka Roma wengi wao wakauawa huko. Mfalme Constantino ndiye aliyeruhusu dini hiyo iwepo Roma baada ya yeye kuamini na kuanza kuweka taratibu zao za kidini zilizochanganyika na utawala tofauti na ukristo halisi. Ndiyo maana akina Ruther King na wengine waliasi wakaanzisha Rutheran na baadae Waingereza wakaanzisha Anglican. Huwa hakuna dini ya Mungu isipokuwa ni mfumo wa kumwamini Mungu. Lakini kumbuka Yesu alimwambiaje Petro; alisema juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa na Milango ya kuzimu haitaliweza. Kwahiyo Dini ya Kikristo iianzishwa na Yesu Mwenyewe.

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 22 години тому

    Umesema kweli kaka. Hongera sana

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 22 години тому

    Aisee, wapotevu ni wengi sana,, we endelea kutafuta wajinga wenzako.