DR.SULLE WENYE MAJINA YA B.N.Z WANATAKIWA KUFANYA KAZI HIZI NDIO WATAFANIKIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • #drsulle #tanzania #islaamic

КОМЕНТАРІ • 28

  • @NurathAthumani-bq4iw
    @NurathAthumani-bq4iw Місяць тому

    mashaallah shekhe

  • @NeemaMatta
    @NeemaMatta Місяць тому

    Naomba kueleweshwa, helufi ni N tar, ni 26 septemba, nyota yangu ni lpi?

  • @zakiajuma2022
    @zakiajuma2022 7 місяців тому

    Daa she Mimi ni miungoni wa izo nyota jina langu zakia sasa nimeguswa na izo kazi ulizo zitaja Mimi ni fundi cherehani na ninajushuulisha na shuguli za biashara ya kilimo ndio kazi zangu uwa sitaki kabisa kazi za kuajiliwa uko sahihi kabisa lakini nilikua sijui ninanyota Gani Asante nitakutafuta

    • @ZakiaDeogratious
      @ZakiaDeogratious Місяць тому

      Mimi pia jina langu ni zakia je nikifanya biashara ya kilimo nitafanikwa??

  • @AsumaniTeam
    @AsumaniTeam 2 місяці тому +1

    ASante ni sana baba B N Z

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 8 місяців тому +1

    Mm naisubiria herufi u

  • @nasrahassan7272
    @nasrahassan7272 Місяць тому

    Shekhe Sule nimekuelewa kwa uzuri , mimi ni herufi N, na mpenzi wangu ni herufi M je huyo ni mtu sahihi kwangu

  • @Nasmajumanne-g2b
    @Nasmajumanne-g2b 8 місяців тому

    Sheikh Mimi nipo miongoni mwahiyo nyota lakin sioni hizo daliliza kufanikiwa nisahidie hap

  • @HamzaMketo
    @HamzaMketo 8 місяців тому

    Dr nakubali sana lakini kwa mada hii sikuelewi kabisa,,,Nyota ya n'gombe !??

  • @BridgetMajaliwa
    @BridgetMajaliwa 4 місяці тому

    Asant saan dr sulle

  • @NurathNassor
    @NurathNassor 5 місяців тому

    Assalam alaykum
    Sheikh nakupata vp jaman
    Nina shida na ww

  • @LucyGichuhi-ij8sl
    @LucyGichuhi-ij8sl 7 місяців тому

    Nisaidie sulle wetu

  • @SadikiShekiondo
    @SadikiShekiondo Місяць тому

    Kweli kabisa

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂❤❤ ukweli mtupu huyu ni mimi ukweli jamani duu huyu mzehe ukweli kabisa na mahusiano ya miaka3 ukweli mtupu 😂😂Duu

  • @ZugaSaid-xe3px
    @ZugaSaid-xe3px 4 місяці тому

    Assalam aleykum

  • @ZaynabMtepa
    @ZaynabMtepa 3 місяці тому

    Mim mpenzi wang herufi H je ni sahihi alafu mimi z

  • @Zlfa-y2p
    @Zlfa-y2p 7 місяців тому

    Sasa si umesema tusiajiliwe uwo uhasibu je itakuaje

  • @AliHassan-wt6jn
    @AliHassan-wt6jn 8 місяців тому +1

    Hakuna kitu inaitwa nyota bro sisi ni waislamu tuna amini kitabu chetu cha quraani. Niambie aya gani ya qurani imesema mambo ya nyota. Risiki mungu aliandikia waja wake wakiwa hawaja saliwa. Hiki ulisitoa wapi ndugu are you not a Muslim

  • @abeidjuma1855
    @abeidjuma1855 8 місяців тому +1

    Ustd vua kanzu na kofia ju wadhalilisha uislamu...this is not islamic

    • @berry4726
      @berry4726 8 місяців тому

      Vaa wewe kanzu uje uongee.

  • @BerthelGeorge
    @BerthelGeorge 7 місяців тому

    Mimi nifundi wa kusuka je siko sahihi na nina herufi B

  • @NestoryMisalaba-lu9ox
    @NestoryMisalaba-lu9ox 4 місяці тому

    Je unaijuej sa nyota yako kama heruf ya mwanzo inatofautiana kbs na nyota ya tareh ulozaliw nayo??

  • @MasomeAbell-cr1um
    @MasomeAbell-cr1um 8 місяців тому +1

    Mimi.naisubiria herufi M

  • @zabibu-xx5xz
    @zabibu-xx5xz 5 місяців тому

    G

  • @abeidjuma1855
    @abeidjuma1855 8 місяців тому

    Ustd vua kanzu na kofia ju wadhalilisha uislamu...this is not islamic

    • @ZalhaRashid-o6z
      @ZalhaRashid-o6z 8 місяців тому +1

      Vaa wewe uelezeee ,,, nyokoo wewe kiupande wangu ni heruf Z nyot ya ngombe hna baya 100% kanipatia

    • @ziadakatundu-cv4mg
      @ziadakatundu-cv4mg Місяць тому

      😂😂😂😂umemkomesha mwanga uyo mie kanipatia ​@@ZalhaRashid-o6z