DR.SULLE WENYE MAJINA YA E,NA Q HIZI NDIZO TABIA ZAO NA KAZI WANAZOTAKIWA KUFANYA//

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • #drsulle #islaamic #live #health #film

КОМЕНТАРІ • 12

  • @husseintebe-ss9by
    @husseintebe-ss9by 4 місяці тому +2

    Hii ndo elimu inayotakiwa ktk jamii achana na mayahud wanaokwambia ww mshirikina mana wao ndo washirikina wanahis na ww mshirikina hahahaha mayahud bhana keep grinding sheikh tuko pa1 na ww

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 4 місяці тому +2

    Mwanzo mzuri mwisho mbaya mtihani huu sasa umekuwa mshirikina hazarani bado kuvaa nguo nyekundu na nyeusi

    • @papsmicrocreditcompanylimi1443
      @papsmicrocreditcompanylimi1443 4 місяці тому +1

      Afadhali ya kafiri aliyezaliwa kwenye ukafiri kuliko muislam aliye ritadi na kuanzia kumshirikisha Allah Kwa kufanya shiriki

    • @sadamibrahim8480
      @sadamibrahim8480 4 місяці тому

      Tumombee Dua huyu shekh, huu ni upotevu mkubwa

  • @NaaSiraj
    @NaaSiraj Місяць тому +1

    Naombeni mnisaidie mimi nyota yangu ni ya ng'ombe mpenzi wangu ni nyota yake ni simba yaan mm ni udongo yeye ni moto je zinaendana katika mahusiano au tunasukuma tu siku ili mlad ziende

  • @ShadadiBizokunda
    @ShadadiBizokunda 4 місяці тому +1

    Wewe nikiongezi unafatikiwa na wengi na kuaminika na wengi sana sasa kama unajuwa uko unapoteza watu ujuwe km utaulizwa na allah

    • @islaahislamictv9085
      @islaahislamictv9085  4 місяці тому +1

      Sawa

    • @ShadadiBizokunda
      @ShadadiBizokunda 4 місяці тому

      Mimi sina elimu wewe ni sheikh nae kukubali nakukuamini sana kama unajuwa sio upotevu sheikh wang namimi nahitaji iyo pète nakutibiwa ju zile dalili ulisema Kuna baazi ninazo wew ni sheikh tena tegemezi la jamii tunahitaji elim zaidi kwenu

  • @kizunguarafati9839
    @kizunguarafati9839 4 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤

  • @ag3044
    @ag3044 4 місяці тому +1

    Wacha kupoteza watu

  • @muhidinsiwa1523
    @muhidinsiwa1523 4 місяці тому

    Vp kwema dr sulle natumaini huko poa naomba upitishe elimu hapa kwa hawajamaa zetu wenye imani hii ya rasta man na hawa wanao hamini dini tumeletewa na wakoloni ili watutawale na wachukue mali zetu kupeleka kwao huko ulaya na uarabuni

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 4 місяці тому

      Hao ni makafiri manaswala wanapoona wameshindwa hoja ndo wanajifanya dini tumeletewa shekh uislam ni dini iliyotoka kwa Mungu na ndo muongozo sahihi ayo maneno mengine ni washindwa hoja tu