DR SULLE | SILVER OIL | MAFUTA YENYE MAAJABU 7 | YENYE KUTIBU MAGONJWA SUGU 7 | HUONDOA NUKS UCHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • DR SULLE | SILVER OIL | MAFUTA YENYE MAAJABU 7 | YENYE KUTIBU MAGONJWA SUGU 7 | HUONDOA NUKS UCHAWI
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv #Silver_Oil #DrSulle

КОМЕНТАРІ • 62

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 3 роки тому +3

    Mche Allah dr sulle, acha kuwapiga Waislamu..!!
    ACHA utapeli kaka, utasimamishwa mbele ya Allah

    • @smina8226
      @smina8226 3 роки тому

      Kwani vip

    • @muuu9505
      @muuu9505 2 роки тому

      Kwakweli analeta mambo ya kina mwamposa

  • @rahmahassan1167
    @rahmahassan1167 3 роки тому +2

    Shukrani nimekusikiliza mpaka mwisho kumbe bado hujaanza kusafirisha nchi za nje

  • @madinamasoka3979
    @madinamasoka3979 Місяць тому

    Shukran

  • @juliusmmary7587
    @juliusmmary7587 Рік тому

    Mwenyeenzi Mungu akubariki

  • @rachelndalio6258
    @rachelndalio6258 3 роки тому

    Wamikoani umetutenga docter

  • @juliusmmary7587
    @juliusmmary7587 Рік тому +1

    Nipo dodoma nipata vipi mafuta?

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 2 роки тому +1

    Sisi waisilamu tunatabu acheni rohombaya tumuunge mkono mwenzetu angekuwa mkirsto mngekaa kimya lakin kwakuwa nishekhe nishida kilasiku watu wanaenda kawe kilasiku kwa mwaposa lakin hawasemi chochote nawanatapeliwa lakin hawasemikitu ilakwakuwa jambo imesemwa nashekhe watu hawamini

  • @maryamsakar5343
    @maryamsakar5343 3 роки тому

    Asamu alyku warahma tulahi Wa barakatu alhamdulilah,.mola akupe saha Wa afiya kwakutu ilimisha shukran

  • @MwanaidiSalimu-kv5eb
    @MwanaidiSalimu-kv5eb 5 місяців тому

    Nipo Kilimanjaro nitapataje hayo mafuta Dr?

  • @susankainda8899
    @susankainda8899 2 роки тому

    What's the name in English .

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому

    Mashaallah hakika

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 3 роки тому

    Asalam alaykum Doctor sule mbona ujutena holi la shekhAlifa

  • @jamilayusufu2119
    @jamilayusufu2119 3 роки тому

    Asc
    sisi tuku mbali i tutapataje
    mafuta ??

  • @hamisisaidi5608
    @hamisisaidi5608 3 роки тому

    Duh wazee wa madili mafuta yanaondoa nuksi????

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 3 роки тому +1

    Tafadhali kama umewahi kutibiwa na nadawa za sule na haukupata kupona weka like kapa

    • @salminasalim5630
      @salminasalim5630 3 роки тому +1

      Hakuna kitu hapa ni ujanjaujanja tu hakuna mafuta yeyote y kutibu basi huyu ajjiyae Dr ni mwongo

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 3 роки тому

    Mijiminginehaipatikan?

  • @mohdsilima8828
    @mohdsilima8828 11 місяців тому

    Dr tunayapataj hayo mafuta dr tunayahitaj

  • @annakadege8160
    @annakadege8160 3 роки тому

    Naomba jibu Mimi na pres sha na Sukari nikitumia mafuta yatanisaidia ntapataje Au Dar yanapatikana? Naomba jibu

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 2 роки тому +1

      Napresha ni mazuri sana mim mwenyewe nimeyatumia yana FAA sana na sasa presha sina kabisa haki ya Allwah yanatibu kweli

    • @joyceataka5226
      @joyceataka5226 Рік тому

      Napataje please 🙏 😊

  • @juliusmmary7587
    @juliusmmary7587 Рік тому

    Naomba namba ya Dkt sulle

  • @sylviakarimi1253
    @sylviakarimi1253 Рік тому

    Nitapataje mafuta

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +2

    Shuhuda nzuri ziwe kabla na baada ya Tiba/Matibabu.
    Shuhuda za kujionyesha na kutueleza umepona/umefanikiwa baada ya kutumia dawa wakti hatujaonyeshwa kabla ilikuwaje/alikuwaje haki kunawalakini (kunatia mashaka).
    Ni vema wangekuwa wanaonyeshwa kabla (hali hali halisi ilivyo) na baada ya kutumia mafuta/dawa.
    Sio mbaya wangefuatwa Wagonjwa Hospital walopooza nk tuka washuhudia kabla hawajatumia dawa/mafuta kisha wakatoa ushuhuda baada ya kutibiwa/kutumia madawa.
    Tunalalamika na kuchangishana pesa kuendeleza Uislamu (kuwalipa Walimu wa Madrasa, kuw
    Tunawasema Wasokuwa Waislamu wanatowa shuhuda za uwongo nasisi tungeboresha ushuhuda wetu usuwe wa maashaka.

    • @salumtajiri8018
      @salumtajiri8018 3 роки тому +1

      Kwa nchi za kiarabu uae yanapatikana kwa jina gani?

    • @ngokaomary5123
      @ngokaomary5123 3 роки тому +1

      @@salumtajiri8018 Amiiin

    • @mwanarabumm7814
      @mwanarabumm7814 3 роки тому

      Salum. Niko Saudi na hiyo mafuta inaitwa Zeitun. Haikosi kw Kila nyumba ht mm niliambiwa inatibu majini.

    • @rmohamedmattan1040
      @rmohamedmattan1040 3 роки тому

      @@mwanarabumm7814 zeitun ni olive oil ni tafauti

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 роки тому

      Nani takubali kutangazwa akiwa mgonjwa anapotafuta matibabu ?kupona Ni furaha hivyo Ni maamuzi ya mtu kutoa ushuhuda na kupona katika tiba sio lazima unaweza kupona au usipone akatumia mwenzao akapona na ww usipona

  • @claudetiddy6758
    @claudetiddy6758 2 роки тому

    Sheikh nahitajipia

  • @husseinramadhani1345
    @husseinramadhani1345 3 роки тому +2

    Naona Sule ana uza dawa sasa, ni masuala ya muda tu ila tutasikia mengi sana

  • @yusuflangat3556
    @yusuflangat3556 3 роки тому +1

    Sule toka niskinze Mambo yako na mwaipopo Yani video zako pia nilichukia kabisa pia za mwaipopo

  • @zubedasoud9204
    @zubedasoud9204 2 роки тому

    tutayapataje hayo mafuta.

  • @fatmakhamis6069
    @fatmakhamis6069 3 роки тому +1

    Naomba no yako doctor sule nataka mafuta ya silver oil

  • @rahmahassan1167
    @rahmahassan1167 3 роки тому +1

    Assalam Aleykum Dr mimi nimkaazi wa nchi ya kenya hayo mafuta nayahitaji nami sasa nitayapata vip ?

    • @13_young.k.i.d.d
      @13_young.k.i.d.d 3 роки тому

      Dukani tu😂

    • @rahmahassan1167
      @rahmahassan1167 3 роки тому +1

      @@13_young.k.i.d.d shukrani niko mombasa kilifi.Kilifi ndiko ninako ishi sasa.mobasa.nidukagani naweza.yapata.au.Kilifi.nakama.hayo maduka yana namba za sim niandikie hizo namba zao

    • @13_young.k.i.d.d
      @13_young.k.i.d.d 3 роки тому

      Nitauelekeza vipi? nifwate inbox

    • @abdulrahmansafari897
      @abdulrahmansafari897 3 роки тому

      Asalam Aleykum Rahma vip ulipata mafuta nami unielekeze

    • @rahmahassan1167
      @rahmahassan1167 3 роки тому

      @@abdulrahmansafari897 waalaykum salaam sijayapata mafuta.hajaanzakusafirisha nchi za nje ni Tabora tu nilivyomsikiliza mpaka mwisho sasa tuwe na subra kakangu

  • @jamilayusufu2119
    @jamilayusufu2119 3 роки тому

    kkkkkklll
    dr wacha mafumbu sema wazi tujue

  • @bonfacebaraka2958
    @bonfacebaraka2958 3 роки тому

    Nikihitaji haya mafuta nitayapata vipi

  • @maureennaliaka5793
    @maureennaliaka5793 2 роки тому

    Simu ukipanga zishingwi tutasaindika vipi

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 3 роки тому

    TAPELI TUUU WEWE HAKUNA ZAIDI YA QURAAN KUONDOA NUKSI

    • @lkshmykomar5472
      @lkshmykomar5472 3 роки тому +1

      Ww mwenyewe ntapel la kmataifa ndomana klamtu unahs ntapel km ww kula yako n kbaruwa kukitmiza akutapel nn ww kgagura wacha choyo pambana na Maisha yako umfkiye Dr Sulle syo husda itakuweka pabaya

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 3 роки тому

    Tulete nasi dawa

  • @hamisihamisi3022
    @hamisihamisi3022 3 роки тому

    Kama unayataka tunapataje nipo tanga na bei gan