Mkasi - SO8E01 With Mchungaji Lusekelo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Follow MkasiTV on
    Facebook : / mkasitv
    Twitter : @MkasiTV

КОМЕНТАРІ • 44

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 10 років тому +1

    i like this guy. mzee wa upako nisemaga sana hii kitu. i like this guy

  • @kisesah.i.a9205
    @kisesah.i.a9205 10 років тому

    Hakuna aliloshindwa kujibu, kweli wa upako hasa, nimegundua maswali ya kuuliza yaliisha kabisaa, Muba alibaki anacheka tu, Salama akaamua kuimba wimbo wa Bob Marley wakati wa upako anajibu maswali, John maswali yote yamejibiwa.Huyu jamaa anaupeo mkubwa sana wa kujibu maswali. Nawapongeza kwa kazi nzuri.

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 років тому +1

    Napenda majibu yako very powerful

  • @elizabethswinny4516
    @elizabethswinny4516 10 років тому

    daa salama umemuuliza ya muimu sana mimi kama mkristo cjampenda anaonyesha ni kiac gani anatumia uchawi kwa sababu watanzania wanaamini uchawi

  • @kingsulemani7251
    @kingsulemani7251 6 років тому

    Asante sana Mzee wa upako umejaa Kweli na hekima nyingi umesaidia wengi sana wachache sana wasio nauelewa mzuri kuhusu wewe mzee ulimwengu nakuhitaji kwa utukufu wa Yesu kiristo Amen

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 10 років тому +3

    from Ney WaMitego. Nasema nao clip 45----57. "MCHUNGAJI NDO TAJIRI, WAHAMINI HOTE NI MASKINI. UTAJIRI KAHUPATA WAPI KAMA SIYO SADAKA ZENU..? HAMKENI NYINYI MAZOMBI KUZIMU MULISHA WEKWA PONI."
    NI BALAAAAAAAA. sasa nimesikia hapo Mzee waUpako, amesema lazima yeye awe kioo, yahani hawezi kuwa maskini, wakati yeye ni Mchungaji. ikani bidi nikumbuka True boy. nakuhona kweli anastahili kwa anacho kihimba.@Trueboy. chapa kazi, Mfalme wa MANZESE.!

  • @mwagitomkalimoto1866
    @mwagitomkalimoto1866 10 років тому

    Job well done Team Mkasi! However, Mzee wa upako amewapeleka mbio sana. Ni vyema watu kama hao mkawa mnajiandaa mapema kwa maswali, vinginevyo itakuwa balaa, kama ilivyowatokea hapo.

  • @khadijawilly3348
    @khadijawilly3348 10 років тому +2

    Salama umekosea mno kwenye swala LA mavazi maana umeshindwa kusoma mazingira.kumbuka huyo ni mchungaji so nyinyi mnao muoji mmefeli mavazi kabisa.

  • @luluemerald5380
    @luluemerald5380 10 років тому +1

    nakubaliana na Jonah Hex...huyu anaitwa nabii na ameshawahi kuiba na kwenda jela, na bado wanamwita nabii.

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 10 років тому +1

    Iwatch little bit of everything "Salama"

  • @charlyjackson4283
    @charlyjackson4283 10 років тому +1

    Salama unajitahidi sana mashallah

  • @nadiambeya
    @nadiambeya 10 років тому

    I like me some Salama!!!,
    greetings from Sweden!

  • @EmmanuelMassawe
    @EmmanuelMassawe 10 років тому

    @mkasi have more prep time for questions. .this upako guy waz not answering any questions. ..love the show keep up the good work
    Hopefully one day this can be like larry king show on cnn...

  • @michaeltonya5537
    @michaeltonya5537 10 років тому

    Safi sanaa bi dada unaruka viunzi.

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 5 років тому

    Salama ndo maswali gani hayo.ingawa imepita ila I hopeumejirekebisha

  • @nenohekima6014
    @nenohekima6014 10 років тому

    Mzee wa upako una maneno mengi lkn huna neno na maneno yanauwa lkn neno linahuisha jilekebishe

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +1

    Duh! Mzee hana kazi yoyote zaidi ya sadaka ndio inamtajirisha.

  • @lucaskimaro2530
    @lucaskimaro2530 7 років тому

    Muba unazunguka sana wakati wa kuuliza maswali alafu unachapia kinoma noma

  • @sarshamarrabo9822
    @sarshamarrabo9822 7 років тому +1

    Mh madam kufa ni hasara

  • @kcstarztorch248
    @kcstarztorch248 10 років тому +1

    population 48,261,942 (July 2013 estimate)

  • @josephinemeela9098
    @josephinemeela9098 10 років тому

    Nataka nimjue Yesu, Na nizidi kumfahamu, Nijue pendo lake na wokovu wake kamili. Ukisoma Biblia vizuri na kuelewa utagundua Yesu hakukusanya Sadaka wala hakusajili watu wanaosali naye. Hawa wachungaji wetu wanaishi maisha ya Yesu.... eti Yesu alilive large? Sikumbuki kwa kweli. He was a rich man in their dreams..... though

  • @nataliakihio8550
    @nataliakihio8550 8 років тому +1

    kuishi ni Kristo na Kufa ni faida

  • @Raihan20000
    @Raihan20000 10 років тому

    Ibrahim kamzaa Yaakub... that's wrong Mchungaji. Ibrahim kamzaa Ismail na kamzaa Is'haq. Allah akuongoe

  • @chescomwakipese3422
    @chescomwakipese3422 5 років тому

    Wewe salama jitazame

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 10 років тому

    Muba bro leo umekosea katika kivazi

  • @saycrissimon4058
    @saycrissimon4058 10 років тому

    amen

  • @EmmanuelMassawe
    @EmmanuelMassawe 10 років тому

    Mzee wa upako akijiinua...

  • @alexmilwano7537
    @alexmilwano7537 10 років тому

    MZEE WA UPAKO UMESAMEHEWA DUNIANI NA MBINGUNI ENENDA UKAIHUBIRI INJIRI

  • @Diah1981
    @Diah1981 10 років тому

    huyu Jamaa , kiroho chake ni 0 zero
    hana hata kauli za kichungaji , yani hata upako as he calls him self kuwa ni mzee wa Upako

    • @frankkasekaFrankfrut
      @frankkasekaFrankfrut 10 років тому

      umeona ee, yahitaji Mungu kujua yupi ni yupi

    • @Diah1981
      @Diah1981 10 років тому

      Frank kwa huyu jamaa hata akiliza kuzaliwa tu unajua kuwa hapa hamna kitu ....
      alafu salama anamuuliza maswali ya kumkejeli na yeye anajibu kwa ujasili kumbe anajikashifu mwenyewe alafu salama anamcheka ... ¬!"£$%^&*()_

    • @yohanamwilwa8841
      @yohanamwilwa8841 5 років тому

      mnamwamini mungu niaminina namm oll jesus

  • @thomasanthony8246
    @thomasanthony8246 10 років тому

    yap

  • @allenge
    @allenge 10 років тому

    Viongozi wa dini kuishi maisha ya kifahari kupitia migongo ya waumini sijui dhana hiyo wanaitolea wapi? Mbona hatoi ushahidi wa kiongozi gani wa wakati huo ambaye alikuwa akiishi maisha ya kifahari kupitia kwa michango ya waumini wake. Sasa kama ana biashara nyingine afanyazo kwa kupitia mgongo wa jina la dini hapo aeleze vizuri na hukumu yake ikoje? La sivyo ni mpiga dili kama wapiga dili wengine tu mjini.

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 10 років тому


      from Ney WaMitego. Nasema nao clip 45----57. "MCHUNGAJI NDO TAJIRI, WAHAMINI HOTE NI MASKINI. UTAJIRI KAHUPATA WAPI KAMA SIYO SADAKA ZENU..? HAMKENI NYINYI MAZOMBI KUZIMU MULISHA WEKWA PONI."
      NI BALAAAAAAAA. sasa nimesikia hapo Mzee waUpako, amesema lazima yeye awe kioo, yahani hawezi kuwa maskini, wakati yeye ni Mchungaji. ikani bidi nikumbuka True boy. nakuhona kweli anastahili kwa anacho kihimba.@Trueboy. chapa kazi, Mfalme wa MANZESE.!

    • @salumhabib3329
      @salumhabib3329 10 років тому

      ndugu yangu sas hivi au wakati tulio nao ni tofauti na nyakat zile. viongozi wa dini wanafanya biashara kwa kupia imani lakini wanafahamu kabisa ni makosa kufanya hivyo. ni bora imani ubakie nayo mwenyewe usitegemee kwa viongozi wetu, ni bora usome imani na mwisho ujiongoze mwenyewe

  • @uwrtvuwrtv3575
    @uwrtvuwrtv3575 5 років тому

    Kwel

  • @nenohekima6014
    @nenohekima6014 10 років тому

    imeandikwa wapi kuwa kufa ni faida

    • @reginaassey6534
      @reginaassey6534 9 років тому

      imeandikwa kufa ni faida kuishi ni Kristo. ndani ya Biblia

    • @reginaassey6534
      @reginaassey6534 9 років тому

      Wafilip1:21

    • @azizakhereem5799
      @azizakhereem5799 5 років тому

      Soma vitabu vya Paulo IPO kufa ni faida kuzaliwa ni kristo

  • @reginaassey6534
    @reginaassey6534 9 років тому

    alitakiwa kujibu maswali yote kupitia Biblia Takatifu