Jinsi ya kupika sambusa za nyama nyumbani,kuandaa manda za sambusa,kusaga nyama/meat samosa at home

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лип 2024
  • Kwa maandalizi ya nyama/for meat preparation
    nyama nusu steki/meat 500g
    vitunguu 3/ 3onions
    kotmil/coriander
    vitu guu saum /Garlic 1tbsp
    tangawizi/Ginger1 tbsp
    Garam masala 1 tbsp
    chumvi /salt 1tbsp
    lemon
    kwa maandalizi ya manda za sambusa/For samosa sheets
    Ngano robo /wheat flour 275g
    Maji kikombe 1 kidogo/water 1 cup (small cup)
    mafuta kijiko 1/cooking oil 1 tbsp
    pinch of salt
    #jinsi ya kupika sambusa za nyama#jinsi ya kutengeneza manda za sambusa#jinsi ya kusaga nyama#sambusa za nyama#how to cook meat samosa#how to prepare samosa sheets #how to blend meat in blender #how to park samosa

КОМЕНТАРІ • 37