Jinsi ya kufunga sambusa | kaki/manda za kutengeneza mwenyewe | ni rahisi sana
Вставка
- Опубліковано 10 жов 2024
- Homemade samosa wrappers • Jinsi ya kutengeneza m...
Manda za kutengeneza mwenyewe • Jinsi ya kutengeneza m...
How to make vegetables samosas • Sambusa za viazi kwa k...
jinsi ya kutengeneza sambusa za viazi na mboga mboga • Sambusa za viazi kwa k...
__
▫️For more updates please join my social media family ❤ 👇
✔instagram: @jifunze_mapishi : / jifunze_mapishi
✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
__________________________________________
✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
_____________________________________
✔More videos to watch;
🔴✅jinsi ya kupika keki ya machungwa/ Orange cake video 👉 • ORANGE CAKE / KEKI YA ...
🔴✅ Jinsi ya kupika chapati laini na za kuchambuka bila kukanda unga sana/ How to make no knead soft chapatis 👉 • Jinsi ya kupika chapat...
🔴✅ Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka / How to make delicious and fluffy cake 👉 • Jinsi ya kupika cake l...
🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 • Jinsi ya kuchoma kuku ...
🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele / Rice pudding 👉 • Mapishi ya pudding ya ...
🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉 • Jinsi ya kupika mkate ...
🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 • Jinsi ya kutengeneza I...
#sambusa #samosa #shunaskitchen
Thank you for sharing your unique method, the shape is perfect.
Mungu akubarik
Ameen asante
Mashaallah unaelekeza uzuri Allah akulipe Innshaallah ❤
loving ur skills and since i hv found you ... am having the best kitchn experience
Your a good teacher today I will practice
Asante kipenzi changu nilishakata tamaa kabisa yakutengeneza sambusa
I hope hii video itasaidia. asante sana kwa kuangalia
a very good recipe I am slow learner but you make me understand so easily
I always love ur tutoring classes God bless u
Mashaallah
Shukran nimeelewa instead
MashaaAllah MashaaAllah Allah akujaze kheri Shuna wetu
👌🏾 thank you so much, you're great teacher. Will definitely try
I love this I was doing very different and they eould turn out very funny looking .. opened.. cracked...Asante dada yangu
Asante nimeelewa mama
mashaallah
Saafi Aunt Shuna!hakika unajua kufundisha na mtu anaelewa!
Asante sana my dear, nafurahi kusikia hivyo
Mashaallah shukran
Afwan dear
MaShaAllah
Shukran
👊nice...
So amazing thank you alot
Shukran dear
Masha allah
Shukran
ahsante kwa kutuwekea video hii tutajaribu inshallah !!!!!
Mungu akubariq
Wao,,, mafunzo yakufana...shukran Dada..
Afwan dear
Thanks to you🥰🥰
Napenda sana
Asante sana.
Nitapika thambuthaaa tamuuuu hatari mashallah
in shaa Allah shukran
Mungu akujaze kher tufundishe tringel samak na msanif
ameen asante sana. in shaa Allah
dada nmekupata vzr
Thanks dear😋
Asante kwa somo,ubarikiwe
asante sana
Mashallah nzuri sanaaa
Your recipe are straight forward and easy to follow thank you aunty may Allah bless you and your family in shaa Allah
Ntajaribu tena hii ilinishindaga jamani😍😍😍😍
I hope hii video itasaidia. asante kwa kuangalia
Nzuri sana
Asante sana kwa kuangalia
Ahsante nitajatibu
Mashallah 😘👍
Shukran sana habibty ❤️
afwan dear
Mashallah mamy nzuri sana
Asante sana kwa kuangalia
Great
Thank you
Aa naomba unifanyie kima ya sambusa bila kutia spices coz nkitia spices huwa zanitia heartburn pls
Maryam ame
samahani mam nahtaj uhifadhiji wake kama Sina friji??
Ahsante sana my dear
Karibu sana my dear
Mwalimu muzuri that for your teaching
Thanks darling
Asante kwa mafunzo swali langu ni mbona kaki zangu za readymade hukauka hara wala siziachi inje sana
unapozitengeneza tu ziweke kwenye bakuli la mfuniko bila kusahau unga wa mchele wa kutosha kuzizuwiya zisigandane
Use even English in spices and what is kaki but still thank you for the show
😍😍😍😍😍😍😍
Allah akulpe kher zaid tajfunza kwa tissue had nieze
ameen asante
Pakti moja ya manda kama zile za azam pc 50 nahitajinyama kiasi gan yakufungia
Mashllah jmn
Asante sana kwa kuangalia
Kwani hizo Manda haziuzwi madukani au sehemu maalumu?
Na kama zinauzwa,nitasipataje
Mimi hata sijaelewa
hizi i gave up
Ukitumia zikabaki unafanyaje mi naona zikibaki zinahaibika hasa izi za dukani
Naomba link ya kutengeneza khaki
hii hapa ua-cam.com/video/7YnyghT2DCY/v-deo.html
@@ShunasKitchen thanks
Dalodi
Nakpnd habbty
asante sana Warda kwa kunipenda 😚
Naitaji izo parket ya kaki inauzwa wapi mm nipo pemba cjui kama nauku kwetu zipo ama vip
Tuma ramadhan Ghulaam pemba seem gn mbona zipo masupermarket au kwenye maduka ya vyakula
Nitumie link ya kuweka kaki
How do u make this kaki
madukani my dear kama kuna supermarket karibu jaribu kutafuta
Mashaallah
Masha Allah
Asante sanaa
Karibu dear