Amamapafu ya mbwa! Simchezo 90 anakimbia uwanja wote bonge la mchezaji Ila kunawatu wameanza kumfutilia wamuumize nje ya uwanja uchawi mazoezi tu yanga wanaanza kutufikiria kuturogea huyo max mwenyezimungu atawalaani hamtaweza.mwenyezimungu mkubwa kuliko hayo mnayo fikiria pia ujanja usajiri toapesa wekapesa.💚💚🙏
Uwanja mzima anacheza Max, Engineer Hersi ampe cheo cha Naibu Waziri Mkuu😊
Amamapafu ya mbwa! Simchezo 90 anakimbia uwanja wote bonge la mchezaji Ila kunawatu wameanza kumfutilia wamuumize nje ya uwanja uchawi mazoezi tu yanga wanaanza kutufikiria kuturogea huyo max mwenyezimungu atawalaani hamtaweza.mwenyezimungu mkubwa kuliko hayo mnayo fikiria pia ujanja usajiri toapesa wekapesa.💚💚🙏
Ahaahhaha maxi yuko kila mahali kama nywele
Max mbape
Mwambieni Max avue Mask tumesha mshitukia yeye ni Mbappe
Yani mpaka waseme 😂😂😂
Tumtafutie jina lingine tofaut na mbape
Huyu jamaa ni wa moto kinoma❤
Max jina la brudoza kila sehem yupo😂😂
Naomba kuuliza huyu jamaa anacheza no ngap ahahahah
Huyu Maxi Wa Noma Saaaana🧡💛💚🔰🏆💪
Noma sana halloooo
Hakik max akivua mask n mac alister mtup
Moto wa kuotea mbali 👊
Huyu max nimzuri zaid acheze kat halafu anasafa uwanja mzima
Fundi haswa yanga msimu huu hakuna wa kutushika
Dah uy jamn 2mutafutie uliz jamn wanayanga dah uy jamaaa afai
Mwamba sana huyu 🔰🔰🔰
Uyu noma
Hiv namba anayocheza max nzengeli ni ip maana anatajwa kila position aisee