DENIS NKANE AGUSWA NA HUYU MAMA ALIYEMUOMBEA DUA KUBWA/ONA ALICHOKIFANYA NKANE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 438

  • @RubenIbrahim-st6dh
    @RubenIbrahim-st6dh Рік тому +49

    Nkane utafika mbali pambana afu huyu mama mtembelee akuone atafurahi na utabarikiwa sana🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿

  • @BigKing-ge8hj
    @BigKing-ge8hj Рік тому +48

    Najivunia kuwa mwanafamilia wa Yanga! Hakika upendo ndio nguzo yetu 💛💚🖤. Big up Nkane kwa kumpa furaha mama yetu huyu

  • @fathmashakur5738
    @fathmashakur5738 Рік тому +7

    Wooow....Yani ametajiwa hao wengine wote akasema ni watoto wake lakini alivyotajiwa tu NKANE akasema ni roho yake mpaka alitamani aruke💚💛So touching wallah!!!

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Рік тому +21

    Huyu mama wa watoto mayele na nkane Mungu amzidishi miaka mingi katika maisha yake

  • @msafirisalum6245
    @msafirisalum6245 Рік тому +82

    Nkane 😢 nimetokwa Mimi machozi. Huu ni zaidi ya upendo. Tunaomba namba timu nkane tumsaidie huyu mama. Tufanye kitu juu ya huyu mama. Please 😢

    • @ains1122
      @ains1122 Рік тому +1

      Kweli

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Рік тому +6

      Dah unasema ndugu yangu mimi nimetokwa na machozi kbs yaan moyo umejawa na huruma gafla jins anavyojielezea hisia zake juu kijana wake NKANE aisee Mungu acha aitwe Mungu

    • @SaniphaRamadhani-sr2qz
      @SaniphaRamadhani-sr2qz Рік тому +2

      Kaah wenye mioyo midogi tupo wengi nimejikuta tuu naliaa

    • @JustusPius-zu2ve
      @JustusPius-zu2ve Рік тому +3

      Naunga mkono kaka, mimi pia nimeguswa sana watupe namba tuji organize tufanye kitu kwa huyu mama inawezekana

    • @augustinomkongwa5444
      @augustinomkongwa5444 Рік тому

      Umenena vema hebu Nkane popote ulipo fanya jambo tumwezeshe mama

  • @chazlaw6730
    @chazlaw6730 Рік тому +25

    Nkane utafika mbali sana.. si kwa maombi haya ya huyu mama... Naiman Mungu u pamoja nawe utakuwa viwango vya juu mnoo mnoo Amen

  • @apostleisaacnyika4669
    @apostleisaacnyika4669 Рік тому +19

    MUNGU Ambariki Huyu Mama Na Huu Ndo Ushabiki Halisi...Huyu Afanyiwe Kitu Kikubwa Zaidi 🙏🙏🙏

  • @Nayfat-us6cj
    @Nayfat-us6cj Рік тому +15

    Najikuta machoz yananitoka mwenyez mungu atupe maisha marefu na afya njema

  • @mauahills7913
    @mauahills7913 Рік тому +45

    Huyu Mama amenipa wakati wa furaha sana hata kutokwa machozi.....@denis nkane! MUNGU akubariki pambana

    • @aminasalim8708
      @aminasalim8708 Рік тому

      😢mm pia nmelia kwa furaha daah... Mungu ni mwema

    • @hamudshabani7801
      @hamudshabani7801 4 місяці тому

      Namkubali sana pia nkane na namuomba yanga wasimuuze kwingne Bali wampe nafasi ya kucheza Mara kwa mara

  • @samoramartin
    @samoramartin Рік тому +25

    Daaaah usema kwel, hata mim, niliumia sanaaa lile tukio la nkane kule Malawi,,,😭😭😭😭🙏🙏

  • @mabuga_og
    @mabuga_og Рік тому +15

    Safi sana Bg broo Denisi Nkane umefanya jambo zuri sana ❤

  • @andreanamizyemba4051
    @andreanamizyemba4051 Рік тому +31

    Iwish you DENIS NKANE All the best🙏

  • @am_matis
    @am_matis Рік тому +5

    Hisia zipo live Sanaa Hongera sana Denis na pongezi nyingi kwa mama uwo ndo upendo wa mtaa #hisiazipolive💚

  • @davidpius4764
    @davidpius4764 Рік тому +152

    Mama anahitaji kitu kikubwa zaid nataman kusema sisi kama wana Yanga na mashabiki wa nkane tumchangie mama japo ktu kidogo

    • @RubenIbrahim-st6dh
      @RubenIbrahim-st6dh Рік тому +12

      Kweli ase ikiwezekana tumpe mama chochote wanayanga

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Рік тому +10

      Naunga mkono hoja yako mdau kwani anakaa wapi?

    • @GalaxyA-yw7eg
      @GalaxyA-yw7eg Рік тому +7

      Naunga mkono

    • @munamuna4621
      @munamuna4621 Рік тому +8

      Kabisaa my friend ❤

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax Рік тому +4

      Na mm nakuunga mkuno hoja yako tufanye ivyo wana yanga

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Рік тому +9

    Yani huwezi kujua unawagusa watu kwa kiasi gani kwa unanchokifanya. Keep doing it wako watu wana appreciate. 🔥🔥🔥🙏🙏

  • @BrownMusolini-h5l
    @BrownMusolini-h5l Рік тому +8

    😭nimejikuta nalia tu Denis hii Dua ya uyu mama aliyekujua na kkupenda kupitia kipaji Chak hakika Allah ni mwepes wa kuskia tunza iyo video Kwa sijili ya kumlipa fadhila zaid ya iyo jezi Kaz njema na mungu akubali the wander kid

  • @SophiaHamis-o4n
    @SophiaHamis-o4n Рік тому +1

    M/mungu akuzidishie Wonderkid Denis Nkane 🌹🥀❤️

  • @nadyaabubakar3960
    @nadyaabubakar3960 Рік тому +43

    Pure love its so touching emotional. ALLAH AKUZIDISHIE WATU WENGI WANAKUAMINI NA KUKUOMBEA THE ONLY TIN YAKUWAREJESHEA SHUKRAN N KITIHADA ZAKO KUWA HAWAKUKOSEA KUKUAMINI KUKUAMINI KUKUPENDA.

    • @mussabakari7
      @mussabakari7 Рік тому +2

      Kwa upendo wa huyo mama juu ya nkane iyo zawadi ya jezi haijatosha ebu mfukilie tena yaan aongea kwa isia sana mpaka mm imenichoma moyoni

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 Рік тому +21

    Ata Mimi huyo dogo hua na mtafakari sana mungu amubariki kijana

  • @MtunziProperties
    @MtunziProperties Рік тому +43

    Very emotional and touching

    • @JJ-fb9jp
      @JJ-fb9jp Рік тому

      Tumpatie zawadi huyu mama

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому +11

    Aki nimelia kwa upendo wa kweli kutoka kwa hyu Mama💚💛💚💛💚

  • @Blackagara1953-zb5vc
    @Blackagara1953-zb5vc Рік тому +3

    Nkane Asante kwa kumpelekea Jezi japo amepata furaha ,Tafuta Muda uende kwake akuone akushike mkono najua atafurahia zaidi na usiache kuwasiliana na huyu mama hata kama mnaenda kucheza akupe baraka zake

  • @prosperurio4538
    @prosperurio4538 Рік тому +8

    Upendo wa mashabiki kwa wachezaji na timu yetu ya yanga ni mkubwa sana Mungu ibariki yanga Mungu ibariki Tanzania 💛💛💚💚

  • @lokole22tv
    @lokole22tv Рік тому +108

    Kama na wewe umetokwa na emotional tear nipe like yangu tafadhali

  • @siaramadhan4707
    @siaramadhan4707 Рік тому +19

    Very emotional
    😔heart touch

  • @lukooaugustino9424
    @lukooaugustino9424 Рік тому +15

    Nkane ni kijana mwema sana mwenye mapenzi ya kweli kwa mama, hongera kwake

  • @yusuphsaid7965
    @yusuphsaid7965 Рік тому +7

    Mimi ningekuwa Nkane basi huyu ni Mama yangu mwingine aisee.Nkane umepta Mama mpende akupendae mdogo wetu much love kwa Mama

  • @raheemkhalfani7209
    @raheemkhalfani7209 Рік тому +4

    touching,, hongera mwamba kwa kupewa mahaba kiasi hicho

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 Рік тому +1

    Safi Sana Mkani umeonesha upendo wa kweli mdogo wangu Mungu yupo na ww Insha'Allah
    Amin Amin Amin
    Aka bachuchu Mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @leonardkashinje9756
    @leonardkashinje9756 Рік тому +7

    Wewe mama ubarikiwe sana kwa kuwapenda wachezaji hasa Denis nkane

  • @peterjairours7194
    @peterjairours7194 Рік тому +5

    Huu ndo ule upendo unaitwa wa agape 😟😟😟😟😟😟 unconditional love,,, Mungu akubariki we Mama

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 Рік тому +4

    What an emotional and touching video Mungu amsaidie Nkane apambane vilivyo na kuwa na mafanikio zaidi

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Рік тому +3

    😢 Bibi kanitoa 😢mchozi kusemaza ukwel N zaiiiid ya #Upendo 🙏💚💛🌙🌟

  • @jumannehamad5846
    @jumannehamad5846 Рік тому +14

    Kane wala usicheke huyu mama unadeni kubwa sn kwake coz anamatarajio makubwa sn Toka kwako na shida yen mnaridhika sn

  • @williammayutha8287
    @williammayutha8287 Рік тому +2

    Daaaa cjawai pendwa iv mm'kiukwel ameniliza sana❤❤mung msaidie mam uyu mwenyeupendo wa dhati

  • @jumannemagawa5095
    @jumannemagawa5095 Рік тому +2

    Asante sana NKANE Kwaroho uliyo onesha kwa huyu mama. Mola akuongezee upate zaidi.

  • @RehemaDege-vg2bl
    @RehemaDege-vg2bl Рік тому +1

    Dah!!! Nice zaidi ya upendo

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 Рік тому +14

    😭😭😭 Daaah soo touching.....

  • @markcossenaji8092
    @markcossenaji8092 Рік тому +5

    Am from Kenya but I feel these lady much respect 🙏🙏🙏

  • @ramadhanimalick6232
    @ramadhanimalick6232 Рік тому +6

    Asee nimejikuta 😢😢😢 so touching 😭😍🥰

  • @philipomponeja2457
    @philipomponeja2457 Рік тому +2

    YANGA yangu jamani! nkane unapendwa mdogo wangu! huyu mama tumfanyie chochote wananchi! daima mbele nyuma mwiko!💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @essaujonathan6663
    @essaujonathan6663 Рік тому +8

    Touching 💚💚💚

  • @AnaJoel-l8t
    @AnaJoel-l8t Рік тому +2

    oh my she make me cry the love that she has amaizing guys so lovely❤❤❤❤

  • @azizsembe4826
    @azizsembe4826 Рік тому

    Mapenzi ya mungu yamejificha ndani ya watu... Ukiyatambua onesha shukran na mola atakubaiki..🙏🏼🙏🏼💛💚 Be blessed wonder kid👍

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 Рік тому

    Jmn ata mm nampenda xana denis Mungu amsaidie afike mbali

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr Рік тому +1

    Nampenda sana mdogo wangu Denis hasa muonekano wake wa sasa Mungu ambariki afike mbali zaid

  • @shahiduzuberi-vm3hy
    @shahiduzuberi-vm3hy Рік тому +15

    Emotional ✅💚

  • @michaeljohn8154
    @michaeljohn8154 Рік тому +1

    All the best for you brother Denis nkane ...the wonder kid and all players in YANGA SC😮

  • @scopy0428
    @scopy0428 Рік тому +1

    Mwenyeez Mungu ni mkubwa sana Wamama kama hawa washikwe mkono kwa chochote kitu ni wachache sana wanavikubal vya kwao Mwenyeez mungu atamripa kwa mahaba yake

  • @Zina-m2v
    @Zina-m2v Рік тому +2

    I wish you Denis Nkane all the best Inshaallah

  • @justuceelias637
    @justuceelias637 Рік тому +5

    Daah huyu mama Mungu ambariki sana

  • @Jumajux-lt8xx
    @Jumajux-lt8xx Рік тому +7

    Makofi Kwa nkane 👏👏👏🙌🙌🙌

  • @raluasnet
    @raluasnet Рік тому +2

    yaan paka chozi limenitoka wallhy oya nkane kwanzia leo namm nakupenda
    ila pambana kaka pambana kaka pambana kak pambnaaaaaaaa

  • @ShadrackKidamui
    @ShadrackKidamui Рік тому +1

    Hongera nkane

  • @davidfocus-r1p
    @davidfocus-r1p Рік тому +1

    Asee waweke kitu tumfrahishe mama etu imeniliza duh! Yes mum udumu daima.

  • @victoraron6096
    @victoraron6096 Рік тому +8

    Hii ni kubwa sana upendo wa dhati usio na unafiki hakika ubarikiwe sana mama umenifundisha kitu kikubwa

  • @allykarupa1411
    @allykarupa1411 Рік тому +9

    Mama ameonyesha mapenzi kwa nnkane kama mtotowake. Apewemauwa yake

  • @ZawadiJaphet-hi4ew
    @ZawadiJaphet-hi4ew Рік тому +1

    💘💘💘💘 mama na inatouch hii sanaa hadi machozi yanatoka 🙌🙌

  • @fargakoigip6029
    @fargakoigip6029 Рік тому +8

    Nataka sana Nkane afanikiwe sana sana YANGA

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 Рік тому +8

    Nimejikuta nalia aisee mama ametoa upendo 😢😢

  • @chillypips-yq6vh
    @chillypips-yq6vh Рік тому +1

    this is beyond love ❤❤❤❤❤❤ our mom anastahili apewe VIP seat kwenye game ijayo na apige picha na nkane
    iwe history nzuri #youngafrican do something 📌📌📌📌📌❌❌

  • @aminangano3635
    @aminangano3635 Рік тому +6

    Yani huyu kijana ata Mimi namkubali, Nawaombea mafanikio mazuri pamoja na Wachezaji wote wa YANGA💛💚💛💚🙏

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Рік тому +1

    Soon tutaingia trending wananchi

  • @saydteemy18
    @saydteemy18 Рік тому +3

    Dah real love real love .....daima mbele nyuma mwiko ndo timu ya wananchi tupo hivi sio drama

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo Рік тому +3

    Maskini😭😭😭😭Allah ibaarick Yanga mashabiki wanaipenda for really wallahi na sio for Kick💚💛💚💛❤

  • @dmswaggbamboostick4576
    @dmswaggbamboostick4576 Рік тому +2

    😢❤Mwenyezi ampe uhai mrefu ashuhudie maendeleo ya denis nkane

  • @andersonbruno6255
    @andersonbruno6255 Рік тому +2

    Huyu..mama anamapenzi ya dhati..kwa nkane...kama mwanae.... I love Mother 1 🔰🔰🔰🇹🇿🇹🇿🇹🇿💐💐💐🌹🌹🌺🌺🌷🌷🌷

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 Рік тому +2

    Very emotional upendo wa dhati 💚💛🖤

  • @walterMasawe
    @walterMasawe Рік тому +1

    💛💛💛💚💚💚 ukweli ni kwamba nabi alikuwa anakukubali sana brother pambana brother muonyeshe gamondi una kitu hiyo ndo njia pekee ya kufika mbali

  • @francisjapan1594
    @francisjapan1594 Рік тому +1

    That feelings from mom

  • @happyfaniabenedictor69
    @happyfaniabenedictor69 Рік тому +1

    Nkane mwenywe mebnampenda sana namuombea kla siku I love❤ nkane MUNGU akulinde siku zote I love you yanga African,

  • @kulthummohamed101
    @kulthummohamed101 Рік тому +3

    Hata mm nampenda sana Denis mkane mmwaaaa

  • @yusuphsaid7965
    @yusuphsaid7965 Рік тому +1

    Love ya ukweli kwa Mama Mayele na Nkane💚💛💚💛ni 🔥🔥

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 Рік тому +1

    Ubarikiwe mama kwa upendo wako huo na mkane Mungu akujaalie afya njema pia.Daima mbele nyuma mwiko.

  • @salumseleman5261
    @salumseleman5261 Рік тому +15

    So touching😢

  • @EmilianJoseph-u5b
    @EmilianJoseph-u5b Рік тому +1

    Much love❤

  • @manasebilago6598
    @manasebilago6598 Рік тому +1

    Wonder kid.bless sana

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Рік тому +1

    Safi saana

  • @mwelimazozo9691
    @mwelimazozo9691 Рік тому +1

    Wow

  • @MosesWilliam-oh8tt
    @MosesWilliam-oh8tt Рік тому +2

    Daaaaaa huyu mama watoto wake nahis wanafaidi sana ana balaaaa huyu

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Рік тому +1

    Very touching

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 Рік тому +5

    Safi sana timu ya wananchi

  • @hamzahhassan6474
    @hamzahhassan6474 Рік тому +4

    Ni upendo mkubwa sana ni video iliyo beba hisia sana 💚💚💚

  • @JumaNyanza-f2c
    @JumaNyanza-f2c Рік тому

    ❤❤❤❤ Denis unadenikumwa sana mdg wng mwenye isia zetu isia alizo onyesha uyo mama amesababisha weng tulie ss usilewe sifa kaza.

  • @monicaessero
    @monicaessero Рік тому +3

    Mama Umeupiga mwingi mpaka unamwagika, wallah umeniliza una upendo mwema wa Kimungu, Barikiwa Mama yetu, Nkane pambana Umtoe huyu Mama yetu Kimasomaso🙏🙏

  • @kicksonenzo9154
    @kicksonenzo9154 Рік тому +1

    ❤love respect

  • @alponasarkar5717
    @alponasarkar5717 Рік тому +3

    Wallah mama huku mwishon umenitoa machozi😭😭😭😭

  • @bm4tv602
    @bm4tv602 Рік тому +5

    Upendo wa kweli si kusema unatoka kwa ndugu zako tu ila pia kuna watu wanamapenzi ya kweli wapo mtahani uwajui wala ujawai kuonana nao lakini wanakupenda

  • @edwardgeorge1314
    @edwardgeorge1314 Рік тому +1

    Very emotional

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Рік тому +2

    Nkane ss kina mm tunawapenda kutoka moyoni mm na mpenda kibwana na job nawapenda kutoka moyo hivi kibwana alivo sema kazini kwangu kuna kazi na muombee duaa kila nikisali mungu amfungulie njia pale anapoona pana uzito na mpenda sana tuu akiwa hanafuraga nn mm nakosa amani

  • @issashekh9437
    @issashekh9437 Рік тому +2

    Yuko vzr sana, mama you have pure love 💕

  • @FTUBEMEDIA_TV
    @FTUBEMEDIA_TV Рік тому +1

    The Number One Follower ❤❤❤
    We Love u Nkane

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 Рік тому +3

    Dah uyu mama anakupenda sn dogo upendo wakweli❤❤❤

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 Рік тому +1

    Denisy mashabiki wako tuna expectation kubwa juu yako so kazi kwako mdogo wetu

  • @Amosicharles-c3d
    @Amosicharles-c3d Рік тому +1

    ❤❤

  • @patrycyerpak
    @patrycyerpak Рік тому +1

    🫶🏼Hii ni babkubwa 🙌🏼👏🏻👏🏻
    Bi mkubwa apate jezi yenye jina na namba ya Nkane, hiyo sahihi hapo itafutika

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Рік тому +2

    Namsikiliza jamani najikuta nalia kwafuraha tunawapenda sana wachezaji wetu hizo ndo hisia zetu kwa wachezaji wetu Mungu awavushe wafike mbali zaidi inshaAllah 💚💛💚💛🙏🙏

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 Рік тому +9

    Young Africans for life ever

  • @bongolyrics6442
    @bongolyrics6442 Рік тому +1

    Omg! Whaaat a love 💚💚💚

  • @PascalJustine-kf9iw
    @PascalJustine-kf9iw Рік тому +3

    Good sana nkane pambana mama kasema