#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2024
  • #EXCLUSIVE: NOVATUS DISMAS na KUCHEZA ULAYA - KWA NINI SIYO SIMBA na YANGA? - SIMU za VIGOGO...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 29

  • @globaltv_online

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==>

  • @user-qt9uj5rr8p

    Nice miroshi nakukubali kinouma sana yani

  • @toryazimio3429

    Much appreciated @Novatus 🔥

  • @josephlorri431

    Dada amejitahidi sana..ningeshauri hizo interview tujue kabla ili tuweke maswali yetu...

  • @AllyAmiriSaidi

    Acheni usenge kila kitu mkosoe kazi hamna za kufanya mnalipwa nn kumtus huyo dada? Kosa lake nn? Mbona hana shida anaweled mzur na dogo naye anajibu vzr naniwakumpongeza na kumuombea kwa Mungu aendelee kupambana

  • @Winstonfying

    All the best dogo to EPL

  • @isikeamani3078

    Uelewa mkubwa sana novatus that's why you're there

  • @user-gk9wq5pl6l

    Kijama uko vizuri nakubari kazi yako, jitahidi kuongeza uwezi utafika mbari.

  • @albertmullah2377

    Sisi tunachojua ulimkaba Amrqbat na tulienjoy 😂😂😂 sisi hatukukutuma kuwaheshimu wale tunapenda uzidi kuwakanda na kuwakanda mpaka wajae nyembe 😂😂😂.. NB una made madeni makubwa sana kweny vichwa vyetu, me nasubiri kukuona katika clubs kubwa 5 dunian tena first Aim Madrid huko ukidondokea kwingne fresh 🙏

  • @user-oh7dj8vh2u

    Big up miroshi 👍

  • @user-oh7dj8vh2u

    Big up miroshi

  • @hajimnubi4581

    Hiyo ni Month off sio day off

  • @HomeboyPOLO

    ✌️✌️✌️

  • @ifraimifraimuhusen282

    Nilicho Gundua Samatta ana mchango mkubwa sana na wanamuheshimu

  • @jacksonkoisi6189

    Acheni matus na dada wawatu

  • @user-tg8sp6ql6v

    Asa kakosea nn mdada etu mnamtukana bure sio vizuri

  • @MohammedJaizan-yf5yt

    Hili lidada kwa vile ni utopolo anatamani asema atakuja kuchezea uto .

  • @justinelaizer4252

    kilombero kwetu

  • @samwellygeophrey3685

    Miloshi hakukubali sana,, vipi unadada?