SOKA KIJIWENI | Gharib Mzinga, Ayubu Hinjo wazichambua goli tano walizofungwa Simba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Watangazaji waliopewa jukumu la kuisherehesha mechi ya #DerbyYaKariako kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC, Novemba 5, 2023, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo wameichambua mechi hiyo na kuyataja makosa yaliyopelekea matokeo hayo.
    Mtangazaji wa kipindi cha "Kidani Show" kinachoruka UTV, Sauda Hussein, amefunguka kuhusu mumewe ambaye ni shabiki wa Simba.

КОМЕНТАРІ • 30

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 9 місяців тому +4

    Mungu akubariki mzinga na mwenzio muendelee kufanya kaz yenu vzr

  • @camilenshimirimana9084
    @camilenshimirimana9084 9 місяців тому +7

    From Bujumbura 🇧🇮🇧🇮, goli tanu nyingi bwana

  • @habiburamadhani236
    @habiburamadhani236 9 місяців тому +5

    Wakwanza naomba like zangu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 місяців тому +1

      Kaka hiv hizo like huwa mnapelekagaa wapi 🤣🤣👏

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 9 місяців тому +5

    Mwathirika wa 5 ....anatoa lawama kwa uongozi mhhh kocha katolew sadaka duuh pole

  • @DaudMashaka-hn3zw
    @DaudMashaka-hn3zw 7 місяців тому +1

    Mm na kipaji Cha utangazaji wa mpira naomba msada wenu ndugu zangu gharib mzinga pia na ayubu hinjo napenda sana mnavyotangaza

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 9 місяців тому +2

    😂😂😂😂mtangazaji unakeeeeraaaaaaaa Jamari Mungu anakuona kono la nyani hoiyeeeeee😂😂😂

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 9 місяців тому +1

    MZINGA AND HINJO🙌👏👏

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 9 місяців тому +3

    Gharib Mzinga unajua sàaana super comentetar ila Tano Ni Nyingii KONO LA NYANI🖐️🖐🏾🖐🏿 🖐🏽 🖐🏻 5️⃣g 😂😅😁

  • @user-pw3xt9mw1n
    @user-pw3xt9mw1n 9 місяців тому +1

    Ghalib mzinga nakukubali sana ni zaidi ya mbalaka mpenja

  • @DaudMashaka-hn3zw
    @DaudMashaka-hn3zw 7 місяців тому

    Mm na kipaji Cha utangazaji wa mpira jaman naombeni ushauri kaka zangu gharib mzinga na Ayubu hinjo

  • @user-qp7zo9ir5d
    @user-qp7zo9ir5d 9 місяців тому +6

    Huyu mwamba ni mtangazaji sahihi wa iki kipindi.....

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 9 місяців тому +1

    Mpooo Vizurii

  • @MRBANGEE
    @MRBANGEE 9 місяців тому

    ongezeni dk kwenye highlit za mechi

  • @zeonlytv3704
    @zeonlytv3704 9 місяців тому +3

    👋👋👋👋👋

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 9 місяців тому +1

    SAUDA mtu jmn

  • @BINRESAMUSTAFA-kg2hr
    @BINRESAMUSTAFA-kg2hr 9 місяців тому +1

    Goli tano ujue nyingi fanya ziwe chapati

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 9 місяців тому +1

    Na hapo sasa ndio arajiga alijisahau kua che Malone alikua na kadi ya njano tayari ilikua ni nyekundu akamuacha😂😂😂

  • @user-pb2up3py4x
    @user-pb2up3py4x 9 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 місяців тому

      Kaka unacheka kwakuwa wewe ni mnufaika wa 5 eehh 🤣🤣

  • @LydiaStephano
    @LydiaStephano 9 місяців тому +1

    Mohamed wa5😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 9 місяців тому

    Umeongoza kipindi vizuri mwishoni unaharibu sasa Manchester unaitaja yann ww mzee nimekukataa 😂

  • @DgmondTz
    @DgmondTz 9 місяців тому

    Tupo mambo

  • @user-se5zb4qh2f
    @user-se5zb4qh2f 9 місяців тому

    Huyo HINJO hafai kua mchambuzi wa mechi wakat wa matangazo yakiendelea. Ana makosa mengi Sana hasa ya kutoa hukumu kwa kutumia akili yake.
    Mfano, mpira umngonge mchezaji begani, yeye anasema moja kwa moja kua mchezaji huyu kashika, wakat sio kweli.
    Munapoweka wachambuzi wakati wa mchezo, wekeni wachambuzi wenye uwezo wa kufikiria kwa haraka na wenye uwezo wa kujua maneno yeti yatumike wapi na yepi yasitumike wapi.

  • @user-me3dy9zk7e
    @user-me3dy9zk7e 9 місяців тому

    🖐

  • @user-pu9gc1lr2i
    @user-pu9gc1lr2i 9 місяців тому +3

    😂😂

  • @DgmondTz
    @DgmondTz 9 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 9 місяців тому

      Sasa kaka unacheka Nini 🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      MSICHEKE SANA MTAPASUWA CHUPI.

  • @mwanajumaraso4637
    @mwanajumaraso4637 9 місяців тому +2

    Tulishukur