DDC Mlimani Park - Shahada Ya Uvumiulivu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Sometimes you do not know what you have missed until you find out what you have missed. Listen to this........

КОМЕНТАРІ • 5

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 10 років тому

    asante kk kwa huu ukumbusho mzuri kwangu, francis lubua, fresh jumbe, na kundi zima la wana ngoma ya ukae

  • @mbungembunge9865
    @mbungembunge9865 6 років тому

    Dahh hizi nyimbo zinanikumbusha mbali,ck ya jumamos tunachma kahawa na mama na Mzee daaaa kipindi cha misakato

  • @khalidmakumulo8294
    @khalidmakumulo8294 7 років тому

    Moyo gani daaah@ Vocal Benovilla Antony na jopo zima la nginde ngoma kubwa wacha kabisaaaaa.

  • @stevenjohn3688
    @stevenjohn3688 6 років тому

    Namkumbuka mama Hadija, alikuwa jirani yetu pale mtaa wa CCM Nach, huyu Moyogani alikuwa ni Afisa wa jeshi, nilikuwa Mdogo sana wakati huo darasa la kwanza.

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 6 років тому

    Zamani ilikuwa raha sana,sauti ya Benovilla Anthony ilikuwa na tone ya kipekee kabisa