Hawa wazee kama babake fahim washukuru kwa vile zipo jela na mungu lkn bila hivyoooooo,nyundo moja moja za vichwa ndio ingekuwa zawadi za hao wasaliti wakubwaaaaaaa,na nawachukia watu kama haoooooo,eeeeeee mungu nisaidie tu✋✋✋✋✋✋
Daah! Ama kweli! Katika simulizi zote nilizowahi kusisikiliza tangu mwaka wa 2013 nikiwa bado nasoma, mpaka nilipokuja kuoa mwaka wa 2018, Simulizi hii ya ndugu yetu Fahimu imeniguza sana na nimejikuta nikiitafakari sana na naumia eti! Kwa sababu nimeshapitia maisha ya aina kama hii ya ndugu Fahimu. Mwanzoni mwa mwaka huu 2021, nilimfuma baba yangu mzazi kabisaa akiwa juu ya mke wangu mama wa mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka miwili. Hakika inaniuma sana sana! Na nilipokuwa naisikiliza hii simulizi nikiitafakari maisha yangu halisi ya awali. Naomba baba yangu mzazi mzee Jumanne Mwandima, na mke wangu (nishaachana naye) simulizi hii iwafikie popote walipo. Nawatakia maisha mema. MUNGU NDIYE HAKIMU WA HAKI. Amiin
Wkt unaanza kuja Veronica hata sikukukubali nilizoea zaidi mtu asimulie mwenye ila saiv nakupenda mpk basi sauti nzuri kwa simulizi huna haraka wala papara kipenzi changu......Mabadiliko yana shida sana.
Rusheni sehemu ya kwanza Mbona mnazingua sasa ambao redio hazishiki tunategemea kusikiliza hapa UA-cam halafu mnatuzingua mnaanza kurusha sehemu ya pili ndio nini sasa Mnaanza kuzingua Kule kwa Veronica nako ndio 0 kabisa Mara aweke Mara asiweke ndio nini mmeshachoka au mseme basi Sio tunaweka MB zinakuwa zinaenda tu bila faida
Tangu nimeanza kusikiliza simulizi anazosimulia Veronica kutoka tangu Yuko praise power radio mpk EFM radio . Simulizi Zote anazosimulia Veronica iwe ndef au iwe fup zote zinaelewekaga labda wewe hufatilii tu vzuri mpendwa
Hawa wazee kama babake fahim washukuru kwa vile zipo jela na mungu lkn bila hivyoooooo,nyundo moja moja za vichwa ndio ingekuwa zawadi za hao wasaliti wakubwaaaaaaa,na nawachukia watu kama haoooooo,eeeeeee mungu nisaidie tu✋✋✋✋✋✋
Daah! Ama kweli!
Katika simulizi zote nilizowahi kusisikiliza tangu mwaka wa 2013 nikiwa bado nasoma, mpaka nilipokuja kuoa mwaka wa 2018, Simulizi hii ya ndugu yetu Fahimu imeniguza sana na nimejikuta nikiitafakari sana na naumia eti!
Kwa sababu nimeshapitia maisha ya aina kama hii ya ndugu Fahimu.
Mwanzoni mwa mwaka huu 2021, nilimfuma baba yangu mzazi kabisaa akiwa juu ya mke wangu mama wa mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka miwili.
Hakika inaniuma sana sana!
Na nilipokuwa naisikiliza hii simulizi nikiitafakari maisha yangu halisi ya awali.
Naomba baba yangu mzazi mzee Jumanne Mwandima, na mke wangu (nishaachana naye) simulizi hii iwafikie popote walipo.
Nawatakia maisha mema.
MUNGU NDIYE HAKIMU WA HAKI. Amiin
Daaahh!!pole sana ila wanawake cc😪😪😪
Pole sana
So Sad
Pole sana bro
Pole sanaa
Nice thanks
Pole sana fahim kwa mkasa uliokukuta inaumiza sana
Pole cn fahimu 🤔🤔😭😭😭
Pole sana kweli kk
Aisee inaumiza sana
Mm!!! baba hata aibu kwa mkweo ama kweli dunia imeisha
Duuuu niliisubiri mda sana jamani pole sana Fahim
Wkt unaanza kuja Veronica hata sikukukubali nilizoea zaidi mtu asimulie mwenye ila saiv nakupenda mpk basi sauti nzuri kwa simulizi huna haraka wala papara kipenzi changu......Mabadiliko yana shida sana.
Nilijua to babako anakula mzigo 😂😂😂😂Ila pole Sana fahimu
Aisee kwel wat wanapitia makubwa pole fahim
Mama yako ana akili Sana Fahim shukrani zimfikie mama 🥰🥰🥰🥰
Wa 4.....dah! pole fahim
Pole sana kuteleza cyo kuanguka weng tumejfunz k2
Tamaa mbele mauti nyuma
Asantee sana veronica unatusafishia njia
Duuh Katik yote Mungu badoo ni mwema
Siku zote
Pole sana fahim, hakika inaumiza sana 😭
Ibilisi ni Noma baada ya yote fedheha na aibu ndiyo mwisho wake
Pol San fahim
Karne hii co yakutafutiana mchumba jamnii mi nikitafutiwa mchumba na wazazi wangu Wala ckubaliii
Aisee
Sister Veronica unajua bana. Yeyeyeye
Mmmmmh
Duh aiseeeeh mungu akutie nguvu fahim
Pole sana inaumuza kwa kweli 😢😢
Pole sana walah inaumiza sana
Wangapi mie😍
Pole sana huyo babayako wakufikia choko tu mshamba wa madem
Daa inauma sana
Polee fahim
😢😢😢pole xana Fahim jamaniii
Pole sana.
Wa 3
Tujihadhari na usaliti na unafiki katika ndoa ni chukizo kubwa kwa mungu
Mungu akubarik dad vero
Mnatutesa Sana nyie
Nilicho jifunza Kuna mambo unatakiwa kuyafanya mwenyewe bila mtu yoyote kujua huwezi jua unae mwambia ndye anakuumiza
Nilijua tu ni huyo baba ndiye aliye kua anatoka na mkwewe, what a shame!
.
Rusheni sehemu ya kwanza
Mbona mnazingua sasa ambao redio hazishiki tunategemea kusikiliza hapa UA-cam halafu mnatuzingua mnaanza kurusha sehemu ya pili ndio nini sasa
Mnaanza kuzingua
Kule kwa Veronica nako ndio 0 kabisa Mara aweke Mara asiweke ndio nini mmeshachoka au mseme basi
Sio tunaweka MB zinakuwa zinaenda tu bila faida
😭😭😭😭Pole Sana kaka yangu
Maosha haya yakulana lana kama masamaki
Daaah
Daaah fahim amepitia magumu pole sana
Hii ndio dunia bhana
Naweza pata ugonjwa wakuzimia zimia Mwezi wotee huo aisee skia kwa fahimu
Mimi napenda simulizi fupi namna hii sio simulizi eikimbili na nyingine azieleweki 😁
Ipi ambayo aileweki
Hakuna simulizi isioeleweka anayosimulia veronica..
Tangu nimeanza kusikiliza simulizi anazosimulia Veronica kutoka tangu Yuko praise power radio mpk EFM radio . Simulizi Zote anazosimulia Veronica iwe ndef au iwe fup zote zinaelewekaga labda wewe hufatilii tu vzuri mpendwa
Adisia wewe
Wee sawa na baba yake fahim.
Fahimmmm tatizo kinyama utamu kinasunbuwa watu🤣
🔥🔥🔥
Babamkwe ni shiiida,ametaka kula anachokula mwanao,stupid baba
Mama yako ana akili Sana Fahim shukrani zimfikie mama 🥰🥰🥰🥰