- 156
- 982 776
Fahamu Plus
Tanzania
Приєднався 26 сер 2019
Kila utakachokiona hapa kinakupa thamani ya MB zako na muda wako. SUBSCRIBE UPATE THAMANI ZAIDI
MASHIMO KWENYE MFUMO WA KOCHA FADLU
Leo tuchambue mfumo wa kocha wa Simba SC - Fadlu D. ambao amekuwa akiutumia mara nyingi sana.
Timu inachezaje? (Kwenda kushambulia vs Kurudi kwenye kujilinda).
Fullbacks wanavyo-operate?
Nini ubora wa mfumo huu?
Nini udhaifu wa mfumo huu?
Tuchambue A-Z ya huu mfumo.
Tumetumia mifano mingi kutoka katika mchezo wa Simba SC vs Tabora United, katika michezo mingi ambayo Simba alicheza mchezo huu ndio ulionyesha mafanikio makubwa zaidi ya matumizi ya mfumo huu wa Fadlu.
Ni mfumo wa 4-2-3-1.
Karibu sana usisahau kuweka maoni yako.
Tufuatane katika mitandao ya Kijamii:
Instagram: @johnviva_
TikTok: @johnviva_
Facebook: @Zinat Digital
#FahamuPlus #ZinatDigital #SimbaSC #Simba #azamsports

Переглядів: 929
Відео
Hii Sio Bahati Sasa🔥Gari ya Milioni 230+ 🔥🔥🔥 MTANZANIA AMESHINDA KWA KUM-FOLLOW TAJIRI MR THANK YOU
Переглядів 1084 місяці тому
Hii ni story ya Mtanzania aliyeshinda bahati nasibu ya Influencer wa Instagram maarufu kama Mr. Thank You, ambaye jina lake halisi ni Sergei Kosenko. Fuatilia mchongo mzima hapa, mpaka mwisho ambapo tumekuwekea video ya Mr. Thank You akimjulisha jamaa kuhusu ushindi huo. Karibu sana. Nifuate kwenye mitandao ya Kijamii: Instagram: johnviva_ TikTok: tiktok.com/johnviva_ x.com/johnvi...
YouTube ya Ronaldo Imelipuka🔥: Unakijua Kinywaji Cha Messi? 🥤🐐🔥
Переглядів 694 місяці тому
Karibu kwenye Mjadala usiokuwa na mwisho, Nani zaidi kati ya Leo Messi na Cristiano Ronaldo. Ronaldo amefungua channel ya UA-cam mapokezi yake sio ya kawaida amevunja rekodi nyingi sanakwa upande wa SUBSCRIBERS lakini kama kawaida lazima waweze ku-trend ilimradi mjadala wa nani G.O.A.T. uendelee. Kwa upande wako nani G.O.A.T kati ya Leo Messi au Cristiano Ronaldo? Nifuate kwenye mitandao ya Kij...
😂😂😂MSEMAJI AMEIPONZA TABORA UTD TENAA
Переглядів 724 місяці тому
Karibu sana... TAFADHALI SUBSCRIBE #simba #yangasc #ZinatDigital
YANGA NI TIMU YA HATARI SANA
Переглядів 414 місяці тому
#VAR #ZinatDigital #FahamuPlus Mpira wa Yanga unaogopesha sana ukiuangalia.
Inakuwaje Jezi za Simba Bei yake Inakaribiana na Yanga na Hawana Designer??
Переглядів 235 місяців тому
#SimbaSC #YangaSC #GSM #ZinatDigital #FahamuPlus Jezi za watani wa Jadi Simba na Yanga mara zote huwa ni gumzo. Video hii inajaribu kugusia umuhimu wa kuwa na designer wa jezi kwa upande wa timu ya Simba ambayo hatujawahi kuambiwa kuhusu designer wao. Karibu sana. Tafadhali Like video hii. Tafadhali Subscribe channel yetu uwe mwanafamilia mwenzetu, tunaheshimu sana muda wako na tunajitahidi kuu...
VYUO KUMI (10) BORA TANZANIA | TANZANIA BEST UNIVERSITIES 2024/2025 - By ChatGPT
Переглядів 5855 місяців тому
VYUO KUMI (10) BORA TANZANIA | TANZANIA BEST UNIVERSITIES 2024/2025 - By ChatGPT
KWA YANGA ILE: MABANGO YA GOLI TANO BADO YAPO SANA
Переглядів 445 місяців тому
KWA YANGA ILE: MABANGO YA GOLI TANO BADO YAPO SANA
SIRI NYUMA YA ROBOTI ALIYEJIUA SOUTH KOREA | ROBOTS/ The Age of A.I S01 EP01
Переглядів 675 місяців тому
SIRI NYUMA YA ROBOTI ALIYEJIUA SOUTH KOREA | ROBOTS/ The Age of A.I S01 EP01
UNAFANYA NINI UKIWA FREE? TUMEKULETEA MAMBO SABA YA KUFANYA UKIWA FREE
Переглядів 7792 роки тому
UNAFANYA NINI UKIWA FREE? TUMEKULETEA MAMBO SABA YA KUFANYA UKIWA FREE
🔴#LIVE: SIO YA KUACHA KUANGALIA; Mambo Matano Kujifunza kwa Wanawake!
Переглядів 5412 роки тому
🔴#LIVE: SIO YA KUACHA KUANGALIA; Mambo Matano Kujifunza kwa Wanawake!
🔴#LIVE: USIPITE BILA KUTAZAMA HII; INAGUSA FAMILIA ZETU; MUHIMU SANA
Переглядів 4472 роки тому
🔴#LIVE: USIPITE BILA KUTAZAMA HII; INAGUSA FAMILIA ZETU; MUHIMU SANA
RIPOTI YA LEO (RUTHI SEHEMU YA 05 - MWISHO)
Переглядів 8 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (RUTHI SEHEMU YA 05 - MWISHO)
RIPOTI YA LEO (RUTHI - SEHEMU YA 02)
Переглядів 6 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (RUTHI - SEHEMU YA 02)
#STORY RIPOTI YA LEO (RUTH SEHEMU YA 01)
Переглядів 8 тис.3 роки тому
#STORY RIPOTI YA LEO (RUTH SEHEMU YA 01)
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 05 - MWISHO)
Переглядів 1,5 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 05 - MWISHO)
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 04)
Переглядів 3,2 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 04)
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 02)
Переглядів 6 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 02)
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 01)
Переглядів 7 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (JASMINI SEHEMU YA 01)
RIPOTI YA LEO (OMEGA SEHEMU YA 09 -MWISHO)
Переглядів 3,9 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (OMEGA SEHEMU YA 09 -MWISHO)
RIPOTI YA LEO (MARIA SEHEMU YA 10 - MWISHO)
Переглядів 11 тис.3 роки тому
RIPOTI YA LEO (MARIA SEHEMU YA 10 - MWISHO)
Wanaume wote umbwa
Nilitgemea udom kiwe chapili
.
Haki Penina haukuwa na fadhila kwa huyo kaka aliekupenda na kukuthamini kuliko ndugu zako
Pole sana Penina... hukuthamini msaada uliokuwa unapewa. Ulijisahau sana ukaona ni haki yako na ukadharau masomo ukaona mapenzi ndio ya maana. Mabinti zetu muwe na focus ya maisha, vishawishi vipo, mapenzi yapo, starehe zipo lakini simamia lengo lako..unataka kufika wapi maishani mwako. Jifunzeni kusema hapana hata kama utadharauliwa au utachekwa wakakuita mshamba lkn unajua unachokifanya.
Hivi Penina, ulisahau ulikotoka na yote uliyopitia!?!!! kaka wa hiari anakusomesha anakupa kila kitu halafu ufanye upuuzi wa namna hii!!!😡😡
Daah😢 poleni sana wapendwa wetu 2024
Zakaya sehemj ha Saba haipo???
Kaka ima nakubali sana kazi yako ❤❤❤
Duuu
TUKUNANE MWEZI UJAO
FUNZO HAPA KWA SISI KINA MAMA NI KWAMBA HAIJALISHI HAWA VIUMBE BAADHI WANATUTENDA NINI HATA AKATAE MTTO NA WW KUCHUKUA MAAMUZI YA KUMPA JINA UPANDE WENU SIO KOSA ILA HAKIKISHA MTT ANAPOSOGEA KIUMRI MWAMBIE UKWEL MWAMBIE MAJINA YA KWAO
waridi
Mzizeeeeeee
Mzinze ni tunu kwa taifa siyo lazma tuwasifie wageni nasisi tunavyo
Uko sahihi kabisa
😮😮😮😮
21.9 by saiv
Semaji la nyukiii😂😂😂😂😂😂
18.9 SASA HIVI
Wakati naandaa video hii SUBSCRIBERS kwenye UA-cam Channel ya Ronaldo walikuwa Milioni 12.4 - wakati na-edit hii video walikuwa Milioni 13.6 - wakati naandika comment hii wapo Milioni 17.1. Je, wakati wewe unaangalia video hii UA-cam Channel ya Ronaldo ina SUBSCRIBER wangapi???!!! Nasubiri Comment yako kwa hamu kubwa. Facebook followers walikuwa Milioni 169.8 wakati naedit walikuwa wamefika Milioni 170. ☺Uniwie Radhi - Masahihisho kwenye Facebook Followers wa Messi nilisema Milioni 176 lakini ni Milioni 116+.
Asante sana kwa kutazama video yetu. Karibu sana na Tafadhali SUBSCRIBE🙏, LIKE 💖NA COMMENT... Inatusaidia sana na tunashukuru.

Asante sana kwa kutazama video yetu. Karibu sana na Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA COMMENT... Inatusaidia sana na tunashukuru.
Hakika njia za Mungu hazichunguziki…Mungu Awabariki Hao Walio Msaidia 🙏🏽
Pole sanaaaa maria jmn huyo Baba nilijua ni mwema kumbe nae ni Ibilisi
Duuu pole maria
Mzumbe inakuwaje chini kote huko jmn.....Mzumbe namba 1
Haina shida ... Mimi nakubaliana na wewe 100%
Great job
Appreciation Boss
👏👏👏👏👏
Makin
Asante sana
Wala huwa hakuna mjadala. Chuo kikuu bora Tanzania ni UDSM
Sikupingi mkuu...
👏👏👏
😅😅😅😅
HAHAHAHA NOMA SANA
Shukrani sana, karibu zaidi
hi simuriz inanitia moyo sana katika maisha yangu yote naiman ipo siku namm nitatoboa kama maria 😢
Vp mbon ampo makini sana maan sehem ya3amna jmn kwaiyo atuerewi
Kweli nimegundua watu wanaabudu chakula 😮sana sasa mshahara 20k tu jamani alf unamtesa juu aisee Mungu tusaidie watoto wetu.Pole Maria
Bwakila
Swali najiuliza faida aliyo pata kaka yke huyu ninnini???? M Mungu atuepushe
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Jamn so sad Jamn mauaji ya kikatili kabisa hya jmn looooh
Pole sanaaa zebedayo
Yani hii stori katika stori zote hii sijachoka kuiskiliza
Huyu Baba Huyu mbona Kma anajambo lake
Jmn story haijafika mwisho
Simulizi inafundisho kubwa snaaa
😂😂😂😂anaongea ki dar res salama ki daresalaam😂
Pole snaaaa penina
Kweli penye miti mingi hakuna wajenzi