Zuchu - Hakuna Kulala (Music Video) Sms SKIZA 8549159 to 811
Вставка
- Опубліковано 18 кві 2020
- Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
zuchu.lnk.to/iamzuchu
Set As Caller Tune👇🏼
SKIZA - Sms 8549159 to 811
TIGO TZ - Sms RC kwenda 15050
Song Produced By Black
Video Shot In Kilwa & Arusha Tanzania By Director Kenny Under Zoom Extra
Contacts: +255718546547 | directorkeny1@gmail.com
Get It On Audiomack
audiomack.com/album/zuchu/iam...
Get It On Boomplay
www.boomplaymusic.com/share/a...
For Bookings:
Contacts -- bookzuchu@gmail.com
Connect With Zuchu On:
Instagram: / officialzuchu
Facebook: / officialzuchu
Twitter: / officialzuchu
#Zuchu #HakunaKulala #Wasafi
Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.
Ila Zuchu Umeuwa Dyadya Love From Burundi .....💋💋💋♥️♥️♥️♥️🙈Jameni Naombeni Likes Twendeee Hakuna Kulalaaaaaa
Kama unamkubali Director Kenny Gonga like twende sawa hizo Camera zake ni Balaa🔥🔥
Zuchuu asante my
Me nipo marekani ila ni mtanzania,naombeni like za uyu dada zuchu,kweli kaonyesha unyama❤️❤️❤️
Huyu zuchu ni hatare Sana ananifanya nione maisha matamu.
The queen of magic voice
Daaa nime mshukuru mungu kuwa wa kwanza leo. Naomba like zenu wa tanzania. Watching from Australia. ONE LOVE ✌️✌️✌️
you did keny yani video kali afu zuchu kaitendeya haki kabisa afuntuipeleke kwa vieuws 1M mnamo siku tatu wanaokubaliyana nami gongeni apa like twende.# wcbforlife baby.ili njo chama lawana
I want to join wasafi 😢❤ one day inshallah 🤲
Zuchu you are number one best singer alive on earth. Umeshinda hadi Diamond.
Hapo sawa
Jamani tutakimbilia wapi sisi wakina team Konde mbona uyu mtoto atatuua I sayeeee this girl ataacha watu wanajinyonga, Kama unakubali Zuchu atawafunza midomo, na WCB kiujumla ngonga like apa 🙏🙏🙏🇳🇱🇳🇱
Jaman Hii Nyimbo Bad Naipend Mpk Leo❤❤❤❤
Naona humu umeimba kama mama yako mzazi Bi. Khadija Kopa! Umerindima vilevile. Hongera mjomba! Mamayo ajisikia furaha na fahari kuwa mwanawe!
Jalali akujalie uzima na hikima.
Zuchu welcome mama WCB❤❤❤
Tuko pamoja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Home🇨🇩
wewe Chuchu Zuchu unamkosha Sana mweshimiwa wetu nikifikiria kwenye kampeni zake lazima uwepo tengeneza maisha kipindi hiki ukiwa mtam usfimbe kichwa Sana ukajisahau tuko pamoja
Aanze Bangladesh amalizie Sudan....noma gonga like hapo💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yes here we go nakuona mbali Sana we mtoto n 🔥🔥🔥🔥
I like song wezuchu weeee mtoto sauti mungu akuongoze na safar yako💪🏻💪🏻😍😍😍 pambn mama
I love how everyone is giving Zuchu her flowers on this song. This is one of her underrated songs if I dare say and I think everyone that knows this song can see how pure Zuchu’s talent is.
Zuchu amekuja with a bang..new artist in town..Leo aki mnipe likes
Walioangalia hili goma zaid ya mara tatu tujuane 💃💃💃
Mm pia
Jamani zuchu uku wadada wanakupendraaaaa mpka wanaaumwa iyoo sautii hoiii bwaaana dada wawezaa jemenii💞💞💞💞💞💞💞💞
Zaidi ya mwezi kila nikiamka nilikua naskiliza iiih ngoma kinyama Zuchu nichekeki huku shabiki ako kinyama nakusoma
Kajol wa bongo.....
Kanyimbo kataaamuu snaaa
My favourite song in this Ep
Zuchiiiiiii, unajuwaaaaa mama kazana
Kama Mama kama mtoto
Dah mtoto anasauti jamanie Mashallah
Piga like tusonge😍
Sauti yadhahabu🔥🔥🔥🙌😍
hao
Hatari
Jamani uyu anafaa hasa kwenye taarabu mziki mna fos 2 alieliona ili nipen 2 like
@@tatuhamidu1595 like hiyo vipi
Mzikii wako uko juu miss zuchuu waja lini kenya
Zuchu umeua , kichupa kikali sana
Mashairi tuuuu. Mashallah. Mpeeni likes basi mtoto zuchu.
Grace Toroitich n
@@ibrahimbakar622 Mama Rwakatale afariki dunia
ua-cam.com/video/6nAnu-ZTfzI/v-deo.html
😭😭😭😭😭
Yuko vizuri sana kwa mashairi
@@Chilu_newstv yld0o
Nakwambia tena
Product of wasafi haikosei. Like zote kwa zuchu na simba
Jambo,zuchu kwakweli napenda nyimbo zako,nimefatilizia hapa mombasa matatu nyingi wanapiga nyimbo zako.Bila shaka wewe nikiboko yao..Munguakubariki
Hii nyimbo Ipo Kama Taaribu, Ila nxt level. Imewekewa kaladha flani hivi cha Kipekee... Umetisha Zuchu, shkamo WCB!
Kitoto kizuri, kibichi, kina sauti nzuri... Zuchu ni Mwanamziki wa kike namba moja Tanzania na East Africa and central...
Absolutely👌🔥🙌😍
Zuchu first to comment, I’m Ali from Germany 🇩🇪, my East African people show me some love. Twende nayo tuki like hapo chini if u think Zuchu is taking over
Pamoja sana
Welcome Bongo Tanzania🙏😍
I like dat voice########
I too likes her song cause,am zuchu part two
,,💃
Huyu zuchu yupo moto sanh
Umenikosha mie.. Mpka chozi limenitokaaa kwa furaha ya ladha ya maneno hayo.. Upo good sana dear
Sabrina Singo pande zp we mamii
@@meshackmagibo4470 dsm
My favorite song 🥰🥰🥰Like zenu jaman
We have got our own Simi....I love my country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
ZUCHU Kama ZUCHU
Nzriii snaaa mtoto zuchu hapo Nandy naamini hana nafasi tena tunamuhesabia siku tu
Kweli asee nandy anakalishwa zuchu nisauti ynyewe
Zuchu.... Queen of bongo... Kama wakubali nipe likes za East Afrika😍❤️🔥👑
Nampenda zuchu ile mbaya, basi nipeni izo LIKE kaa na nyiye mnampenda🤷♀️
Justine Bitariho huyu wambadilishe awe muimba taarabu musiki hawezi ila kwa ss watanzania kwakuwa nimburura tutasifiatu ilamm nimwanataarabu
@@mohamedbway8952 matako yako
Ndokeshatoboa au huon we kipofu
Kwendraaaaa
Kwani taarabu n movie au speech
@@mohamedbway8952 hiyo ni kweli, ila wakimpa nyimbo za style nyingine, i believe ataweza kufanya vizuri tu.
@@mohamedbway8952 kwani taarabu sio muziki au,acha uchoko kenge wewe
Mungu banaa kama hakupi hakupi
Yani zuchu kawa mkubwa queen Darren yan mungu ww ubakitu kuwaa mungu
Huyu dada anajua aseee duuuu✔️✔️✔️✔️✔️
Wa kwanza 🔥🔥❤️
Nani kakwambia
ngadu jr me myself and I 😉
Wa congo muko wapi ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🙌🙌
Duuh,ila mijamaa itakufaidi sana kwa kukumbatiaaaa...All in all you know alot...now isnyour time to show us!!
Zuchu katika kama Rysi sio mikono tu na mabega,hapo utatisha zaidi
🔥🔥🔥
She is becoming even prettier than before
Go girl ! Its Time to shine 🦅🦅🦅
Like mother like daughter..Kopa seed..♥️🌹♥️🌹♥️🌹♥️🌹♥️
Mama anafurahi sana
@@InnohubGroup .I Love Khadija kopa So much.. Mambo yako huku that was a hit...So i must love her daughter too..Much Love From Germany 😍🌹♥️😍🌹♥️😍🌹♥️😍🌹♥️😍🥰....
Awwww Yani kila siku hii nyimbo inazidi utamu...kama wine kadri inavyokaa ndo utamu unazidi♥️♥️♥️♥️.Alafu natafuta mchumba serious na aanze kupractice mapema kujitayarisha kucheza hii ngoma siku ya harusi yetu😍😍😍.Alafu awe na kifua cha kunikumbatia😋😋
Duu maqam ajemi nzur kaimba zuchu vizur ningekupata ningekushrkish kwen qaswida ya ajemii ongeraa snaaa
Sijui Nina gundu gani maana sijawahi kupa like 500, ngoja nione na leo
Zuchu team kiba utawaua na presha.
Hajudocompany Limited hahaha
Alifaa mwanaume mgumu kidogo. Kama sauti Soul
Lol😂😂😂🔥🙌
Mimi n mshabik wa konde geng Ila msemakwel mpenzi wa mungu uyu Dada kwasaut ya zahabu anayo
Lol😂😂😂👌🔥😍
Didnt know this Lady before buh She's really talented.. Her voice.. Vocals.. Mashaallah.. Kenyans in Qatar.. 🇰🇪🇶🇦❤️
U are so unlucky to know her today😔😩😭
Please support my UA-cam channel by subscribing plssssss
😊
Nyimbo kali i say gonga like kama wewe umeona ❤❤❤
Aaq
Jamaniiiiii huyuu dada zuuu hanaga kazimbovoo nyimbozake zateeee nitam❤❤
Zuchu ana sauti nzuriii nyieee khaaa! Jamanii! 😢😢😢😘❤❤
😂😂😂😂🔥😍😘
Kama unaamini nyimbo zote za zuchu ni hits gonga like 👍
Mashaaah Allah
Kabisa👌😍🙌
Big up girl
Subscribe to my UA-cam channel if you love comedy. Inaitwa kangai ntwiga
Sana.. Tizama Hii vizuri!😱 ua-cam.com/video/hPmBqrnzETc/v-deo.html
Wangap tunamuunga mkono mrembo huy kuingia WCB 2juane hapa chin like bac🙏
jaman acheni tu ZUCHU anakipaji sauti nzuri yenye msisimko ndani yake .Go ZUCHU 😍🤩🤩🤩😘😘😘
Mondi has an affinity for talent... Huyu sista ameweza
Here before 1k🔔🤗🤗🇰🇪🇹🇿wavimbie kabisa🔥🔥
Mafsi wa zuchu.gonga like tuende sawa wcb for life
Da htr sana hy mtoto ni noma
Love wcb chib
Nyimbo za zuchu ukizipeleleza zinamaanisha kitu ,Ila soon mtajua nimemaanisha nini
Hongera sana simbaaaa hanaga hata kazi mbovu
Huyu zuchu anaonekana kuwa mkal cku za mbele kam unaamn hivy gonga like hapa 😀😀😀😀😀😀😀
Director Kenny pamoja na zoom extra...hongereni kwa kazi nzuri
Watu mnalala sasa yani ngoma ina siku ya 3 afu bado hata nusu ya million hatujafika keep watching bwana ifekeee one million kabla ya 5 days
The problem is anangoma wana na kwaru zote on trending 🔥🔥🔥🙌
Bado huyu dem hajanishika vizuri
Wangapi tunaanzia Bangladesh tunamalizia Sudan🖐️
Hatulalii serious
Hatukuchoki mama endelea kutupa vitamu👍👍👏👏
Wapenzi wa Zuchu tukumbuke hii video aijafikisha 1m tuipeleke moja basi jamani
Kama ujalala unairudia hii nyimbo ya taifa ngonga like tujuane🔥🔥🔥🔥🔥🔥Wcb fan for whole life......
Mara nane imeeerudiwaa
😘
Team Zuchu naombeni like hata 10 Mashairi tu Mashaallah 😍
Cku nyingine utafute video king mzuri zunchu,
Nyimbo zako mzuli sema fup Sana bado unaham ya kusikilza imeishaaa nakupongeza kwa mwazo mzuli wcb for life
Lol😂😂😂😂😔😩😩😍
KENNY SIO POA💥💥💥💥💥💥💥
Ni motroooo wakuotea mbali aseee🔥🔥🔥🔥🙌
If you liked what ZoomExtra or Kenny did, hit a like🔥🔥
Kenny ametisha
Ok
Naona mnasifia vyote ila mnamsahau video king mkali nae
Zuchu isn't pregnant but she always delivers ♥️💯💯🔥🔥🔥🙌
Mmmh we mtoto sasa unatushia amani maana hizi nyimbo hakuna hata mbaya kila goma ni fire.twende like hapa chini kama ni ww ni fans wa #WCB pia tuwasikitikie kidogo wanaotaka kujifananisha nahuyu mtoto 🤣🤣🤣
Nakwambia weeh..alafu kuna deslikes nyingi
jaman cc mashabiki wa WCB 4life hatunaga maneno mengu zaidi ya kumsapost msanii wetu mpka agonge M1 ndani ya masaa km kaka ake mondi maneno tuwaachie upande wa pili au mwaxemaje wanangu Wcb 4life
👊👊
@@ramahaji9342 kwel
Kabisaa
Kwa hii taarabu
@@princeobeid663 ww umeona hvyo lkn wcb wanatoaga kampan hata kwa taarabu kwetu p t
Zuchu imeweza gal.....kweli hakuna kulala
Ni og sanaaa wana ,wcb 4 life
Zuchu Allah bless you long life and more nice voice 🙏❤🇰🇲🇹🇿
Zuchu kam chuzu like zake❤️❤️❤️
Wallah katika zote hii ni tamu kuliko wapi zuchu akeee
huyu anafaa kuimba taarab sio bongo fleva kweli kwa taarab yuko safiiiii
Fan wa zuchu gonga like tujuwane
Wakwanza ku comment,#zuchu to the world Wasafi 1st lady 🔥🔥🔥🔥gonga like kama unamkubali
Zuchu ni mfano bora wa vipaji lukuki vya muziki tulivyonavyo Tanzania. Sauti tamu, ujasiri na mashairi murua. Tanzania bado ina vipaji vingi vya muziki na maigizo ambavyo vikipata "platform" na kuwezeshwa vitaliingizia taifa fedha nyng na kutengeneza ajira kwa vijana wetu.
Natoa rai kwa wizara kuwaenzi vijana kama Diamond Platnumz wanaotoa nafasi kwa vijana wenzao kuonekana kupitia kidogo wanachojaliwa. Wizara iangalie changamoto wanazopata wasanii wa taifa hili na ijitahidi kuzitatua ili muziki wa Tanzania uendelee kusonga mbele.
Pongezi za kutosha kwa Laizer Classic na Director Kenny pia.
Thank u homie!🙏🙏🙏😍
Ukianza ulikwa mwana wa mama sai ni wa mondi haeleweki kimziki😢😢😮
Nitajie mwanamuziki wa kike Tanzania anayejua kuimba kuliko Zuchu na uthibitishe, nakupa Shilling millioni 1,000,000 kwasababu hakuna...
Watake wasitake hii sauti yadhahabu haina mfanowe👌🔥🔥🔥🙌😍😍😍🙏
huyu dada komesha huwa sishadadii mziki wa wanawake ila huyu kiboko
Wale pumbavu wa kuomba likes wako wapi?
Acheni hiyo bana, tusikilize mziki mzuri
Kweli kabisa
Me apo tu unaposema unampa vya kurithi na mizungu ya kigeni hii nyimbo kiboko Allah akuongoze dyadya
Again and again, very obsessed indeed!.254🇰🇪🇰🇪hoiyee
Zuchu platinum
Wale wa kulike ni hapa
Yuko rich mavokooo ,nadhani anaona wivuu anatamani kurudi
Zuchu umefanya toka asubuh mpk usiku huu nisikilize hili pini nimeweka repeat just for you!! NOMA
Ila zuchu fanya urudie huu mwilii mama