congz Jay kwa kufika 1M subscribers,naomba kila mtu hajagonga kwa subscribe agonge kwa sub sababu msanii huyu anafanya nyimbo nzuri tu,kutoka nchini Rwanda tunapenda sana Jay Melody🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Diamond tumkubalia kwa nyimbo za mahaba yakapita aka mbosso akapita Sasa ni wew ndio umeshilia kwenye nyimbo za mapenzi utaenda mbali Jay melody watoto wakike sivyo unavyowaliza uku kennya🇰🇪🇰🇪
Yan this guy ,l don't how l can explain surely ,yani nampnda San jaymelody ❤❤❤and rayvny those are the only musician that l always listen to there music from Tanzania ,love u guys❤❤❤❤❤❤❤
❤aaah aaah aaah jay once again Vimacho na zake lipsi, kumpata sio rahisi Yani kweli mungu umenibariki, mimi umenibariki Na kabla ya hii gift, ukatufanya marafiki Mpaka sasa penzi liko lit, moto kiukweli yani kama, nimeokota dodo, chini ya mperaah Nimeokota dodo ,nasiambiliki Hata kidogo, mwenzenu mimi Nimeokota dodo Wapeke yangu huyu, x2 Wapeke yangu x2 Jamani wapeke yangu huyu Wapeke yangu huyu, Wapeke yangu x2 mapenzi gani haya anayonipa, Mpaka damu nasikia inavyopita Kwenye moyo mbio, kwenye mishipa Au tuseme ndo kashanishika Yani kama nimeokota dodo, chini ya mperaah Nimeokota dodo nasiambilikiki, hata kidogo Mwenzenu mimi, nimeokota dodo Wapeke yangu huyu x2, wapeke yangu x2 Jamani wapeke yangu huyu, Wapeke peke yangu huyu Wapeke yangux2 darling yuko moyoni, navomuota usingizini Jamani darling yupo moyoni, navomuota usingizini Wapeke yangu huyu x2 Wapeke yangu (ooh nananaaah) Wapeke yangu Jamani wapeke yangu huyu (mimi hapa) Wapeke yangu huyu Wapeke yangu x2 I LOVE YOU BABY" ❤
@jay melody I just wanted to let you know how much I enjoy your music. Your voice is truly captivating, and the emotion you pour into every note is incredibly moving. Your songs have a way of touching the heart and soul, and I find myself listening to them on repeat. Thank you for sharing your beautiful talent with the world. Keep making such amazing music! #wa peke yangu is a masterpiece#, keep it up, brother
I hope that someday I'll have a wedding and I'll incorporate this song in my songs playlists of that day....God from my mouth to your ears.❤❤ #LoveExists...
Ngoma kali kabisa, yani kwangu hakuna ngoma hata moja yako ambao haija wai ni kolea, niko kwa congo na mimi pia niko kwa upande wako kupitia ngoma ambazo unaendelea ukizi fanya.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I hope hii video mmeipenda
Thanks for your support 🙏🌸👊
❤❤❤❤
Sure ❤❤
nzur sana brow ENDELEA kutoa vtu vzr tu shabiki zako tu,enjoy💪💪
1:45
TV 💯
Vimacho na zake lips kumpata sio rahisi
yaani kweli mungu umenibariki ...mimi umenibariki 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👍👍😂😂
SINDIO PIA MIMI AME NIBARIKI KWA NIKO UHAI😎🕳🧒🏼🧑🏼🔬🧑🏼🎓🏃🏼♂🚴🏼♂ WEKA LIKE KAMA YOTE
@@BobiYsmf bomba
Vizuri
Kwenye love songs hapa bongo kwa sasa Huna mpinzani kilaa ukiachia ngoma ya motoo sanaa
congz Jay kwa kufika 1M subscribers,naomba kila mtu hajagonga kwa subscribe agonge kwa sub sababu msanii huyu anafanya nyimbo nzuri tu,kutoka nchini Rwanda tunapenda sana Jay Melody🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Diamond tumkubalia kwa nyimbo za mahaba yakapita aka mbosso akapita Sasa ni wew ndio umeshilia kwenye nyimbo za mapenzi utaenda mbali Jay melody watoto wakike sivyo unavyowaliza uku kennya🇰🇪🇰🇪
Wapekeee yngu ❤❤❤ iki juuu moyoni paka mishipa aki wapekee yngu mm ❤❤🥰😘😘😘
I wish I had a one life opportunity to work with jaymelody😢that girl is so lucky yaah😢jay if u see this just know I love yah man 😍🤗
😂😂😂
Jay wamotooooo🎉
I will give you a chance
Nitafute nikuconnect nae
Fanya swala utubie ndugu 😂😅
🎉🎉🎉What a voice just * Angelique * even I don't understand the language but ❤ it is absolutely ❤️ love the sound/ beat. Congratulations 🎉🎉🎉
Jay melody natamani ku sing na wewe if you see this you just now i love you❤❤❤❤❤
Yani hii nyimbo,baridi,mbali nawe,usiniache lazima kila siku niziskilize jay unajua sana congrats
Ngoma Kali sana watu mnamkubali jay melody chungulieni hapo chini mnipe like
ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=c95zDCFVSpEf6cSv❤
Nourish Sana’a
Eminem's houdini song is also great
Kaka yuko vizr sana nyimbo zake
ni ukweli watu wa mnakubali
Bro huu moto wakuzima anatafuta kufa asnte mwenyezi mungu kila ck nakuomba umzidi kupata ki2 kizuri
Bros in love songs😮...you 1 in a million, men takecare of your women....lover man with a banger🙏🥂🍾
Mfalme wa love songs kwenye kizazi cha wakati huu❤❤❤pure vibes
Jay never disappoint much love from 254🇰🇪🇰🇪 wa kwanza leo nipewe likes ata kumi tu wadau
Yan this guy ,l don't how l can explain surely ,yani nampnda San jaymelody ❤❤❤and rayvny those are the only musician that l always listen to there music from Tanzania ,love u guys❤❤❤❤❤❤❤
From Kenya,we declare this boy New king of bongo music
HY👎
xsxsz💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝😻😻😻😻😻😻💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻💝💝😻😻😻😻😻😻💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻😻💪💪👊👊👊👊👊👊👊🙎🏿🧔🏿🧔🏿👨🏿👨🏿👨🏿😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎🤢🤢😎😎asfddfcfvgchyff12
nice one jay
muko poa
😮kabsaa naipeda sana
Mungu awabariki sana nyimbo nzuli sana amazing ihope nainjoy nakumbuka ubinti wangu hongera sana Jay melody
Moto wakuotea mbali maana iko vzr good song🇹🇿
M J KUTOKEA KATORO GEITA Nice music ukweli kanyimbo kana shawishi moyo WANGU
Wow nimeskiza huu wimbo baada ya kurudiana na mpenzi wangu,,,,,kiukweli penzi linalit❤❤❤❤
SINDIO KWANI UJUI 😬🤭😗😘☺😚😇🥰😍😍
SIONDOKI KWA NGOMA ZA HUYU GENZ MWENYE ANAWIKA MJINI TZ KAMA UNA KUBALIANA NA MIMI GONGA LIKE APO
My baby boy used to sing me this song aki beb rudi n sing ne this song again.anytime I listen to it nakukumbuka Beav😢
Beat, Melody, Verses, Ngoma Kiujumla na Kichupa Hanscana nae akaamua kuua kabisa The Real Jay Met The Real Hans 🎉
Thanks am listening this from London and still have a lover in 254 kenya am in love with this song until it'd my ringtone🥰🥰🥰 congrats 💖💖💖💖💖
waoooh nice video 📸 director killed on dis.big shara out to you hascana
Jay hanaga mambo mengi kwenye videos zake, ni yeye na mwanamke mwanzo mwisho hadi raha.
Jay maulana akujalie na Umri, kipaji Kamili umejaliwa. Yaani mziki Laini vile inafaa, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
fight xana boy cyooo poah unaweza xana tu one day i hope you will be regend, big up you able,you can and you must
Jay wewe mtangulizi wa ndoto yangu . Ipo siku nitafika kutoa nawewe mzinki ninaimani ❤❤
daah!! jey kafanya mzuri kumshikilia hanscana hadi kazi zake mzuri sana
Jay is the best singer ever even I don't understand every single of word accept English but his song always makes me happy .😊Love from India
Saizi kama unaamini saiz ukitaka kusikiliza nyimbo za mapenzi lazina usikilize za huyu mwamba tukutane hapa mwendo wa like tu ni ♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥✍️✍️✍️
❤❤❤❤❤❤💥💥💥💥💥💥💥✍✍✍✍✍✍💤💤💤💤
Bv
Haina❤🎉❤noma models wan
😊
Jay Melody ana tungo nzuri za mapenzi yaani huyu jamaa anaimba sio kizembe
🎉🎉🎉 me kilaa saa nairudiaa jamaniiii nzuriii
My salutation goes to all kenyans 🇰🇪 🇰🇪 in the building.
All the way from tanga
jay mung akubaliki na uwendelee kufany kaz nzur by jay destine
Jay Melody naomba utoke na uyo mbinti mana ni mrembo sana 🙏❤️🥰
Kabisha
Pure ROMANCE by jay💖much love from 254🇰🇪
Much love from Tanzania❤ wa pekee anguuh😊
Huyu wa peke yangu huyu❤❤❤much love you jay🎉🎉
Nice song me from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮nipe like zangu
Jay the best and best ❤❤❤❤ congratulations 🎉🎉 jay
❤aaah aaah aaah jay once again
Vimacho na zake lipsi, kumpata sio rahisi
Yani kweli mungu umenibariki, mimi umenibariki
Na kabla ya hii gift, ukatufanya marafiki
Mpaka sasa penzi liko lit, moto kiukweli
yani kama, nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo ,nasiambiliki
Hata kidogo, mwenzenu mimi
Nimeokota dodo
Wapeke yangu huyu, x2
Wapeke yangu x2
Jamani wapeke yangu huyu
Wapeke yangu huyu,
Wapeke yangu x2
mapenzi gani haya anayonipa,
Mpaka damu nasikia inavyopita
Kwenye moyo mbio, kwenye mishipa
Au tuseme ndo kashanishika
Yani kama nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo nasiambilikiki, hata kidogo
Mwenzenu mimi, nimeokota dodo
Wapeke yangu huyu x2,
wapeke yangu x2
Jamani wapeke yangu huyu,
Wapeke peke yangu huyu
Wapeke yangux2
darling yuko moyoni, navomuota usingizini
Jamani darling yupo moyoni, navomuota usingizini
Wapeke yangu huyu x2
Wapeke yangu (ooh nananaaah)
Wapeke yangu
Jamani wapeke yangu huyu (mimi hapa)
Wapeke yangu huyu
Wapeke yangu x2
I LOVE YOU BABY"
❤
💞💞💕💖
@jay melody I just wanted to let you know how much I enjoy your music. Your voice is truly captivating, and the emotion you pour into every note is incredibly moving. Your songs have a way of touching the heart and soul, and I find myself listening to them on repeat. Thank you for sharing your beautiful talent with the world. Keep making such amazing music! #wa peke yangu is a masterpiece#, keep it up, brother
Iko sawa hii song na mkubali jeymelody congrats
Hanscana Hiki kichupa kikubwa haujawah Fanya 🔥🔥
hapo mondi akasome mdogo wangu endelea kupambambana tuko nyuma yako tu saurais champion du monde je te failicite mon frère tu es au top 😅
Tu m'as rends heureux même dans le noir lait est blanc one love depuis Guinée Conakry 🫶❤️🇬🇳
Welcome to Tanzania 🇹🇿 ❤
Wao wao waooo 💞nimeokota dodo kwenye mpera 😍
Aki jaymelody apewe likes bhanee achana na hao wakupiga kelele tu
Diamond
I only understand a few words but definitely loving this #ChiTown
Waaa had yangu ngojeeni next year by jay jay
I hope that someday I'll have a wedding and I'll incorporate this song in my songs playlists of that day....God from my mouth to your ears.❤❤
#LoveExists...
Jaman jaman wakuu kwema natumai Hamza mboo nimechelewaa lakin nimewahiii sema nn kujeni hapaa Mziki mzuri huu ❤. Nawapenda wotee
Jey nyimbo zako zote nazipeda san umeshinda weng san 🎉🎉🎉
Nyimbo
Zako
Zote
Nazipenda
Sana
Tena
Sana
So amazing and wonderful umeweza hadi umeweza tena ❤❤❤
nice nice ❤❤❤❤❤endelea ivio ❤❤you are smart
My May 2024 anthem❣wa Pekee yangu...my blood😊
Yaani kama
Nimeokota dodo
Chini ya mperaa na siambiliki hata kidogo
The girl hajachezea hii chance ata kidogo 😂😂😂😚😚much love
Jay Melody to the world ❤❤
Come to me we sing collabo plzzzz
ua-cam.com/video/66Qq6RjxAjI/v-deo.htmlsi=c95zDCFVSpEf6cSv❤
He's great indeed
That's for sure
Such a talented guy with great potential
hakuna wimbo. Ukosea zoteziko vzr. pngkz brother ♥️♥️♥️♥️🌹
Naikubali mm bila kinyongo moto kama pasiii, i lovee it❤❤❤❤❤
Wow just wow ..my fav already🎉❤❤🇰🇪
my bigest role model, msanii mdogo kutoka kenya, wapi support kwenu
JAY yuko juu sana....most talented artist in TZ 💥💥from KENYA.
Hi.. guys..wapi.likes za Kenyans .., Jay Melody..is on 🔥🙌
🌹🌹💋💋
Waaaaaa nimeshidwa kusema vile iko sawa
Lot's of Love from khasi hills meghalaya India
Bonge la wimbo Hadi ikawa my wedding entrance song
My favorite song nipeni like zangu jaman
Guys in 2085 you can miss to vibe on Jay melody...hili jimbi lilitamba sana mwaka wa 2024....❤❤❤❤🎉
Nice song brothers🇧🇮🇧🇮😊
Ngoma kali sana jay kam kwa colable huwa nakunga motomoto 🔥🔥🔥🔥
jay melody always is music killer hajawahi toa kazi mbovu mzee daah blessed music son (jay melody)💪💪💪💪💪
😂 nice comment
Jay melody ni WA moto sana, director hsnscana Sasa ndo kazingua
Kenya🇰🇪ni waone kwa likes🔥💯✅
The only guy anafata alikiba bongo music ni jey melody wen alikiba retire we will hand over u kingship ❤❤❤😂
wa pekeangu ninguma kali like zangu kama umekubali ngoma hiii🎉
Jamani Jay unaimba NIMEPENDA 👏😍😍😍😍🎶🇹🇿
woooooow nmechelewa jaman lkn jay kaweza naomben like baaas
This is fantastic i love the song and the idea Jay Unaweza
Maji ya melowana🙌💯✅️
Jay Melody, Mario when it comes to love song vocals they are just on another levels 💪💪💪🙏
Mbosso jee
Wabongo muko na uteam mwengi ama chuki kama umependa like na subscribe kwa somo wangu tufike million sub jay to the universe
Sai hzi ne🎉be beh6g❤jdGDY
Doug and of uwez ❤
Nd diomond and cs 😢❤
Rafters shida zb😮😮😮😮😢😢❤an 😮the 😢🎉🎉
Number 1 Bongo artist right now. No doubt 👌
Jay melody ninakupenda xaana hii ngoma ni kali sana hino Burundi❤❤❤❤🎉🎉🎉
Damanii jey melody wanimaliza Kwa song hii naipendaa snaaa💖😘
Wapekeangu is fireeeee 😅😅😅😅
mapenzi gani unatupa we jay melody jamn uku wengine atuambiliki kwaajili ya nimbo zako 🤝🤝🔥🔥🔥 like zote apa jaman mashabiki wa jay melody 🤝🔥
Kenyans in the city tujuane hapa
poa sana tuko drc sasa
Therapy is such a dope album,, I will play it on my wedding 💍
Unajua sana jay Melody yani huna baya 💯
jay melody watu wanasema msanii sio lazima atangulie
Jay melody the music maestro and Star🥳🥰♦️❤️♦️
Jay always on fire nyimbo zako nzuri sauti nayo kabarikiwa
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 dinyeni hii comment na líkes😂😂❤
Wild😂
@@eveamuli😂😂😂😂
Ulisema mahali tuko n influency tuuu
😂😂🎉🎉
Uko na tabia mbaya wewee anyway uko wapiii
❤❤❤❤ I like that ,give the like here ,more love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Love song jay melody 😅😂❤❤
Nimechelewa kidogo but mnipe likes zngu
Ngoma kali kabisa, yani kwangu hakuna ngoma hata moja yako ambao haija wai ni kolea, niko kwa congo na mimi pia niko kwa upande wako kupitia ngoma ambazo unaendelea ukizi fanya.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri jay🎉🎉😊
Clean song. You the best jay Em from Zimbabwe
Wimbo 'janja' kweli❤