Zuchu - Kwaru (Official Music Video) Sms SKIZA 8549160 to 811
Вставка
- Опубліковано 13 кві 2020
- Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
zuchu.lnk.to/iamzuchu
Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
zuchu.lnk.to/iamzuchu
Set As Caller Tune👇🏼
SKIZA - Sms 8549160 to 811
TIGO TZ - Sms RQ kwenda 15050
Song Written By Zuchu & Produced By Lizer Classic
Video Shot & Directed By Director Kenny From Zoom Extra
Contacts: +255718546547 | directorkeny1@gmail.com
For Bookings:
Contacts -- bookzuchu@gmail.com
Connect With Zuchu On:
Instagram: / officialzuchu
Facebook: / officialzuchu
Twitter: / officialzuchu
#Zuchu #Kwaru #Wasafi
Copyright ©2020 WCB Wasafi. All rights reserved.
Mbona kila siku nasupport WcB lakini sipati hata ka like kamoja
Endelea tu ku like ipo siku mungu atakujalia utapata by anzel jc new generation from zanzibar
Ukiamua kusapot spot usitegemee kusifiwa
Nakupends
😅😅😅😅😅😅😅
😢😢😢😢😢😢
Jaman .....Zuchuuuu!!!!
Sijawahi fikisha like 50mko wapi wakwetu...!!!!
Steven Mnyonge 👀
Daah...hii nyimbo jamani ni balaaa inapenya kwa moyo daaah.....if you love zis song...gonga like nyingi hapa!
2023 here still listening 🎧 to her vocals ♥️♥️ Tanzania got the talent
Director Kenny mpumbavu huyu hebu gonga like zake hapa Kama umekubali kwamba amelisimamisha goma ki international level
Wasafi ni moto yakuotea mbali
Ametisha
big up 4 diamond pluntnum,,,huyu jamaa najivunia uwepo wake sana ....
na ananifanya niendelee kuishi ili niwasapoti zaid na zaid ......nipeni like nyingi kwa wanao amini uwepo wa zuchu kuwa ndo msanii bora kwa sasa
Kama umependa nywele conga like twende sawa
Dahaaa Jaman mda wote Alikua wap huyu
Kenya imewaka 💥💥BBI IKO WAPI?
Ati kakamega lady anataka kisiagi bedroom before lockdown ianze😂😂😂
ua-cam.com/video/wsvDy0_S-0o/v-deo.html
Mpofu moyo wangu ulishidwa ona hukuandikwa wa kwangu limenikaba nalitema 😔😔😔😔 kwaru
TULIO ANGALIA ZAIDI YA MARA KUMI TUJUANEEE🔥🔥🔥🌹
Namm nnakipaji. Chakuimba kaka nitafute 0686877128
Wasema 10wewee..
Tumeangalia ta hatuesabu tena
Mara mia
Na mimi naomba ataniwe video qun
I ngoma ndo ilibidi utoke nayo kaka wanaoamini ivo naombeni like kali kuliko aliyoanza nayo
Kama unamkubali ZUCHU gonga like Twende sawa 🤯🤯
Mhhh daimondi noma anatowa wasanii wazuri pia zuchu nisikuache nyuma iko vizuri uko na kipaji
Chungu nilichokipa wamepakua wenzangu 😭😭😭😭😭😭😭💔💔I miss my ex daily it's 2yrs now since we separated
My favourite song
1. Wana
2.Kwaru
3. Ashu
4.Mauzauza
5.Nisamehe
Km unazielewa hizi ngoma gonga like hpa
Inakosaje nisamehe apo
خسن موس mbona unapenda zote sasa
Kwaru ni kali
Nadhani kwaru ingekuwa nambari moja na hizo zingine zifuate
@@nasraxhekidele3749 Nazipenda zko poa...Karibu
Jamani hivi likes mlisema mpka nifanye nini ndo nizipate
Nipeeni angalau likes 100 wadau
Ukitaka like bac subscribe zuchu UA-cam channel yake.itambendezaa
Kwani hizi like huwa mnazipeleka wapi
We like zanin sasa
Kweri mungu anatoa riziki mafungu Sana komaa dada kwa kuomba mungu
Kama wewe Ni chama la WCB gonga like za kutosha hapa
Sapoti kwa zuchu wetuu Ahsante Sana brother diamond kwako WCB The number one
Ili kuipata lyrics video ya ngoma ya zuchu kwaru subscribe channel yangu ya silver lyrics video
Kweli Dada yangu unakipaji kweli kweli pia ubunifu unao mistari yenye ufuatano Nashukuru Nakupenda
Sichoki kusikiliza huu wimbo, ye kwanguvu anaukwaruaa aaah jamani moyo wangu unaumiaaa ahaaa limenikaba nalitemaa.
Nyimbo taaaaam sana kavaa vzr tunaomba ukishakuwa shabiki wet usivae utupu kama wengine hao
Naombeni like za Zuchu na team nzima ya WCB hapa jamani
Kama unamkubari zuchu na team nzima ya wcb4life usipite bila kuacha like maana wanajua sana
Mdogo mdogo mtu wangu, tutafika Zuchu wangu, "limenikaba nalitema"
Sijui niseme nini....am in loooove!!!!!!! Zuchu bigups dada
Chuga vp mbn huku like hatuonagi ebu leo fanyeni kweli kwa kwaru
Simba Wa Chuga chuga 4 life
chuga 4 lyf
Aya chuga mwenzangu like hiyooo nimekupa
Dada mweny kipaji chakipeke
Nakukubali sanaa mshabeki wangu
WCB WAPO SERIOUS NA WANACHOKIFANYA LIKE NYINGI DIRECT KENNY
Nliskia huu wimbo juzi na nkaja kuutafta,mtamu sana...makes me emotional, kama unakubaliana nami gonga like hapa
Mfano ungekuwa unaniimbia mm nsngekukwarua tena, umeimba Kwa hsia Sana!
Nmekuelewa sana tena sana.
Aliyemwelewa kama mimi gonga like twende sawa
Mbona kila siku naisaport WCB Wasafi lakini sijawahi pata like
Tumekupa bwana
Umepata xx
Umeopata zote kazitowe kwa wakala zisha kua pesa hzo
ua-cam.com/video/VZPHBIg0ges/v-deo.html
@D255 TV ua-cam.com/video/VZPHBIg0ges/v-deo.html
Beautiful language, melody voice, accurate video, all put together makes the song delightful to watch, I may not understand Swahili hence I’m Ghanaian living in Europe, but can’t love this song less
I love how she started with covers and now she’s doing her own
She’s destined for great
She is special among best vocalists👌😍😇
Yaaan bila u team bila nini Uyu dada yupo vizur jaman halaf mpole yaan talented girl nampenda bure zuchuu go babe make it love
Wa kwanza kucomment.. Gonga like hapo chini
Chineke!!!! Nilipo hapa Nairobi, sio uongo lakini katoto kazuri kweli......Eeeeish
Leo ndio nimeukubali huu wimbo,,,, mkali kinomaaa
NA BADROOO👌😂😂😂
I don't understand any single word but am jamming to it
#WASAFI for life
Tanzania 🇹🇿 show me some love all the way from Nigeria 🇳🇬🇳🇬
ADEWALE WISDOM that’s what unity all about support each other no matter what thank you bro 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Also try Kenyan girl @nadia mukami
Aaaah tok hapa we mbin unajua kixwahil boya ww
@@queennoah1251 😂😂😂😂⚽
@@jayzablon7281 much love ♥️💪 #AFRICATOTHEWORLD
Wataelewa tuu sio kea vichupa hivi na wananyooka mpaka waje watikise wamekaa Sana maana wakijidai wanazibit hapa tuna bandika mbosso wakijidai jeuri tunaeka tena lavalava wbc for lyfe
Kaza upo vizuri hapo upo chuo lzm ule madini yakutosha ,afu ukiona wanakufananisha na wakongwe wanakuhofia so kaza watakuekewa tuuu,WCB for life
Kama.naww unakubaliana namm kua zuchu nizaid ya NANDY NGONGA LIKE💢💢💥💥💥💥
Another Diamond in wcb☺kabinti kameingia na gear zote,wapi team mkenya mwenzangu tujipe pole kwa kujipumbaza na Zuchu,imajn amekuja the right time all the world tunastay home😁,so wether we like it or not tunamsikiliza japo kimoyomoyo,fanya makekes dia,ungekua kenya ungeburudika pia na 100m alizotoa prezoo kwa ajili yenu martist☺👍❤🤭big up!
Jamani😂😂😂😂
zuchu ww ni talented.... umekuja kuonesha km ndan ya tz kuna vipaj ambavo bdo havijatoka... tulijuwa kuna Nandy, vanessa, Ruby e.t.c kumbe mko kibao.... lov u Zuchu
Zuchu zuchu zuchu nimeikuita mara 3,sina la kusema juu yako...! Diamond umechelewa sana kumsajili huyu mdada kaaaaa!! Mpka najikuta nachanganyikiwa...
Yaani ukiingia tu wcb mambo yananyooka. Toa tu kazi nzuri Mama mengine achia mashabiki. Kamwe hawatokuangusha.
Likes zote zuchu zije Hapa.... Huyu ni malkia mpyaa wa Bongoflava
Kula yako ni muhimu mwenzangu,,,Ngoma ikosawa dunia na binguni wote wamekubalo,,,Siugonge tu like twende pamoja,,,Asante kwa like,One love
Nc
There’s something about her voice this song ..can’t get enough 😍😘❤️❤️❤️
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I agree with you
If you like ZUCHU,KENNY na WCB kwa hii Kazi nzuri gonga like hapa. Watu wako serious na mziki👏👏🔥🔥👍👍 Much love from Kenya 🇰🇪
Timu WCB mpo wapi mbona Sion like hapa kwangu
Kwa baadhi ya nyingi ulo imba, huu naupenda zaidi. Sauti ja ninga nakwambia-Hongera Zuchu!!!
Angelic voice👌🔥🙌😍👏
Wanamwita side boy from tanga sahale aisee zuchu unajua mdogowang mungu akutangulie ktk safaliyko ya muzc god bless u Mrs chuchu aaa nimechapia kidogo zuchu
Dah nimeshindwa kujizuia jmn jmn dada mbona mkali sana iyo saut sasa unabembelezwa unalala WCB huwaga hawakoseagi kuchagua vifaaa big up sana tanzania tunawasanii bwana lazima tujivunie. Sasa tukapeperushiwe bendera yetu ya tanzania internation na malkia zuchu fro WCB mfalme tayari tunae SIMBA na anatuwakilisha vyema . Mungu akaiongoze safari yako ya music malkia wetu tunakupenda na tutakuwa bega kwa bega na wewe pia tutakuwa mashabiki wa kwel usituangushe . We love u😘😘
Jamani like 50 zina nitosha kabisa
Upuuzi mtupu
Akika Dada yang una kipaji mungu akubariki Sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Good job sister ❤❤❤❤❤
Zuchuuuuuuuuuu. we mzanzibari watutesa huku bara mweh. mashahiri murua yani.
Kinda la nyoka nyoka tu.
Jaman wale tunao sema zuchu ni 🔥🔥🔥🔥mkowapi👇👇
Leo ameachiliwa ngoma 10 😂 kama ii ngoma imefanya ukumbuke ngoma ya (Diamond platinumz -sikomi ) gonga like
MBONA naona COMMENT nying ni za WANAUME ,wanawake MKO WAPI,AU NDO wivu mwanamke mwenzenu akifanyi vzur msapotin ata kwa kumsifia itamtia moyo,sijawaponda jman wadada 😄😃😃 nawakumbusha tyu 😍😍,"Heshima kwa wanawake jaman"big up sana ZUCHU
penda Sana wewe zuchuuu u are so sweet and speacil mwimbooo ni wa maumiv na hutoa msongo wa mawaz sanaaa
Mashallh
Hakika Zuchu Atafika mbali tens zaidi ya hapo Kama unakubal gonga like hapo na coment
Mmmhhh we mdada hizo sifa sasa!
Yaani ngoma baada ya ngoma na hamna mbovu.
Umetisha. Keep it up
Kopa ndio,,,,,mtoto wa nyoka ni nyoka tena zaidi ya nyoka du
Every day naisaport WCB but no like no comment ✍️✍️✍️
Jamn ww dada kwanza unasauti nzuri
Pili mrembo
Tatu unakipaji Mashaallah napenda San nyimbo zako zote uko gud kila kona 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 team zuchu ❤
From now on I am team the voice #Zuchu🔥🔥🔥😍
Together for good
Acha tu akina KILLY NA CHID wajitoe King music, yaani mtoto hana hata wiki, tayari ana Album
Ila wao bado wana nyimbo moja moja tu huu mwaka wa tano sasa
Umeona ehee kiba ajui kz anafis tuu simba ni modo wao Akina ubishi anajuwa kz simba
kibamba
Mobile Plaza miaka mingapi queen darlin iko queen pekee wa wasafi wala hakuimba wimbo wa pekee bila colabo?
Mtto anamiaka uyo hujui tu ww
@kibamba Mobile plaza
am WCB fans....lakin suala la album alianza kuandaa tangu long time...maana zuchu yuko WCB since miaka 4 iliyopita...ila walikuwa wanamtizamia tu tabia na pia alikuwa akiandaa album yake ambayo ndo hii...
Asante
#subscribe channel angu
@@Mr_Highlights360 hiyo ndo maana halisi ya neno mipango, sasa wapinzani hawana mipango
Huyu binti akipewa muongozo mzuri asisumbuliwe na mapenzi apige mziki kwanza atafika mbali sana africa na nje ya hapo. Hapo wcb awe tu ni stepping stone to her destiny which is not bongo.
Kenya tuko ndani 🇰🇪. Bila corona🙌🏾
SHABIKI WAKO NAMBA MOJA
1.UMEKUJA KUVUNJA RECORD
2.UMEKUJA KUONYESHA KIPAJI
3UMEKUJA KUTHAMINISHA GIRLS WENZIO.
FANYA KWELI SASA
#ZUCHU
#WCBFORLIFE
🔥🔥🔥🔥
Hatari❤
Jamani mbona mimi sipati like humu ao ni sababu mimi ni mrundi jamani wenzangu nipeni likes kwa hii kazi nione tuko wangapi from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hahahaaa. Sisi watanzania hatuna ubaguzi
ntelahama😂😂
Although I'm from Tanzania.....😂
@@mwannejafali2157 exactly ✌️
🇧🇮
This baby girl is talented,and produced by wasafi...its like like adding fuel to fire..Love from Rwanda🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Thank u for making jeje no.1 on boomplay rwanda🙏😭😍
Mpofu moyo wangu, ulishindwa ona
Hukuandikwa wa kwangu limenikaba nalitema...
Sichoki kuskiliza 😍💃
#wcb never disappoint 🔥
Wap WCB??? . Ndondosh like hapo tewndezet pamoja
Kwaru the best song like kama nawewe umekubali
Daa yani nasikiza wimbo ukunatabasam pekeangu wallah bint mashaallah
mungu akupe maisha malefu yanye mafaniko
Piga kelele kwa kwaru akeee!! Wa kwanza kucomment like zenu hapaaa🤣🤣🤣🤣
Nisaidieni kumwambia Tembo akitulize kifaranga chake dunia ipo bize kupokea dozi ya korona #IAMZUCHU atutaki shobo
😂😂
Kabisaaaa
Chungu nilichopika wamepakua wezangu, moyo wangu unaumia 😭😭😭 zuchu all the way
Zuchu aki si huwa na sauti Tamu🥰🥰🥰
Sauti hadimu duniani mmhh nimekubali huyu Dada sijui nimfananishe na shakirra hivi maana talent anayo kweli shikilia hapo mrembo ni mm shabiki wako mpya nikiwa Nairobi Kenya plz watz msikuwe wachoyo naombeni like kama 15 nitashukuru sana
Sema km unataka kulinganisha sauti shakira siyo vocalist hafikiii kwazuchu labda celine dion, whitney houston, beyonce, sza, etc
@@iammusic3404 kabisa brother keep going
@@johnrogasiani 🙏😍😍😍
💋😀😀😀😀😀😀
mbona sauti Hadimu😂😂
Eissh this girl didn't come to play with our mbs , love you dear
True she is one in a million lol❤❤❤😍😍
Naendelea kunukuu Zuchu au Chuchu Raisi wawa nyonge nampenda Sana Magufuli aliyenifanya nikakujua na ninakusihi uzidi kumpenda Raisi wako amekunyanyua Sana na umefahamika na wengi
Hii ngoma imengusa xnaa nakupndraa zuchu😘sauti nyororo mashallah 😘💯👌jamni like zenu
Nimekupenda bure Dada unaimba hadi raha team zuchu tujuane kwa like hapa na comment😍😍😍
Tupooo
Tupoo
@@rehemanyumile7887 pambe
Yupoooo
Tupo jamani team zuchu
Tunaorudia kuitiza nyimbo za zuch u kama chakula tujuwane 😜😜😜😜
Yaani najikuta kila unapoisha naurudia zaidi ya mara 10
Dada uko vizuri sana, nice song na mafunzo, keep it up, with no early pregnancy
Kongole Kwa Dada yetu Zuchu, Watanzania mnakiheshimu Kiswahili Sana , endeleeni na Moyo huo huo,
Likes za kenya hapa 🇰🇪🇰🇪
Kama unaamini KWARU ndo ngoma kali zaidi ktk EP ya Zuchu gonga like
Nisamehe bwana ndo nomah
Zote kali
Zote kali sana
Sema kanajua Sana haka kadem af nyimbo inaisha ndo inanoga ko unarudia haiish hamu
Roho ingekua na macho ungejiona ....
Kwaru
Nijikuta ty nikitokwa na machozi😔😍 Zuchu best umenifanya nikumbuke yaliyo pita, but sijui kwann sichoke kutazama hii video ❤️❤️🇹🇿🔥 WCB woteeeee💪💪🙏👆
If you know the music you can tell this girl is gonna be one big vocalist in Africa. No doubt. She sings with confidence and relaxed, sings in tune, looks already like a pro. Let me tell you I was playing this tune today at work and it blew away a group of my coworkers who don't understand the language at all!!!. That's a sign of proper respect for the artist. She is going to be the 1st female from East Africa to go and win a major award ie. Grammy, MTV, BET and the like. Hongera ndugu yetu stay humble and grounded just let your talent speak.
OMG! COVID-19 TZ 👇👇
ua-cam.com/video/BL6Ez51K6ME/v-deo.html
From where
@@cutworksstudio nibala
Hi we making youtube videos in east africa tanzania for social coz for orphanage purposes all we need is you to help us subscribe to our channel and share it with others god bless you dear ua-cam.com/video/pjRE1HOWo7w/v-deo.html
You are right.The first time you listen to her you definitely gonna fall on love with her exceptional voice.I listen to her back and forth of my 24miles driving to work
Nimeipenda hii nyimbo ni nzur ingawa mm so shabik wa WCB umejitahid, usilewe sifa piga kaz
Dah jman mweny sifa apewe kwa hii ngoma nakupa hongera zuchu umenishka myon♡♡♡♡
Kwani Zuchu huu wimbo kakutungia Nani . wewe Zuchu unaniua Mimi naupenda kuliko zote za sasa 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘heshima kwa mtunzi na wewe umeutendea haki😅😅😅
New queen of bongo fleva
Back 2 back ngoma juu ya ngoma noma kabsa wasafi wapo vzr yani nazani hii corona kunavutu vingi imetukosesha mana najua kabsa ingekua kubwa zaid ya apa
Unanikosha sana zuchu kwa nyimbo zako
Naturally voice like mother like daughter I love you Zuu💗Naomba like jaman kwa Zuu
MSANIII BORA WA KIKE TANZANIA TENA WA MDA WOTE #ZUCHUUU❤❤💞🙏🏻
Likes kwa sauti ya zuchu👌👌👌👌✅